#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuinua uthamani wa MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania.?
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuinua uthamani wa MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania.? -Weka Moani yako
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuinua uthamani wa MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania.? -Weka Moani yako
🔴KUMEKUCHA MICHEZO .....FEBRUARI 19, 2026
🔴KUMEKUCHA: ....FEBRUARI 19, 2026
🔴#MAGAZETI:WAZIRI MKUU AAGIZA 'FAGIO' KUWAONDOA VIGOGO WOTE
Mvutano wa kodi kati ya Bara na Zanzibar kuibuka mara kwa mara. Je,Viongozi walaumiwe kwa kutosimamia maamuzi yao kuhusu jambo hili ?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 19, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 18, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 15, 2026
#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Dkt. Jafar Seif, ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuwathamini wawekezaji wazawa na kuwashirikisha kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo pale wanapoelemewa katika…
🔴MAHOJIANO MAALUM NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI BW. ANDREW LENTZ.
#HABARI: Tanzania imepata mafanikio makubwa katika sekta ya nishati baada ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kuongezeka mara tatu, kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 23.2 mwaka 2025.…
#HABARI: Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ametangaza kuwa mwezi umeandamana na kesho Waislamu nchini Tanzania, wataanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kufuatia kuandama kwa Mwezi Mtukufu, Waumini wa…
#HABARI:Mtumishi wa DAWASA Kibamba, alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Ubungo, kulipa faini ya kiasi cha Tshs. 1,000,000/= na kurejesha fedha kiasi cha Tshs. 297,000/= ambazo alizipokea kutoka kwa mlalamikaji,…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Bw. Paulo Chacha, ametangaza kuongeza dau la zawadi hadi kufikia Shilingi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa mtuhumiwa wa mauaji ya kinyama…
#HABARI: Serikali imetoa ithibati kwa kitabu cha "Dunia Yangu Bora" ili kianze kutumika rasmi kama kitabu cha ziada cha stadi za maisha katika halmashauri 76 ndani ya mikoa 10 nchini.…
#HABARI: Zaidi ya wanafunzi 13,000 waliokatisha masomo ya sekondari nchini wamefanikiwa kurejea shuleni kupitia mradi wa SEQUIP-AEP, unaotekelezwa na Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa kushirikiana na TAMISEMI.…
#HABARI:Wawakilishi wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkuu wa Mkoa wa Tanga pamoja na viongozi wa Mabaraza ya Muziki nchini, wamewaongoza Watanzania' katika zoezi la kuuaga mwili…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 18, 2026 - MVUTANO WA KODI BARA NA ZNZ WAIBUKA TENA.
#AIBUYAKO:Fuatilia vyombo vya moto vikivunja sheria na kanuni za usalama Barabarani, kwa kuendesha vyombo vyao mpaka kufikia kuishiwa mafuta njiani. Kipindi hiki kitakuwa #MUBASHARA Facebook na Youtube #ITVTANZANIA, Februari 23,…
#HABARI: Vikundi 19 vya mamalishe, wajasiriamali, na maafisa usafirishaji katika Kata ya Gongolamboto jijini Dar es Salaam, vinatarajiwa kunufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa lengo la…
#MICHEZO: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amezindua bBodi mpya ya Klabu ya michezo ya TRA United, akieleza kuwa timu hiyo ni mkakati wa kiuchumi wa…
#HABARI: Serikali imefanikiwa kuokoa kiasi cha Shilingi bilioni sita, kupitia mfumo wa manunuzi ya pamoja ya saruji na vifaa vya ujenzi kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya VETA katika…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Welezo Mhe. Asma Ali Hassan Mwinyi @asmaalimwinyi kupitia taasisi yake ya Asma Mwinyi Foundation (AMF), imeadhimisha miaka mitano tangu kuanzishwa kwake, ikiwa na historia ya…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA, FEBRUARI 18, 2026 -
#MEZAHURU".....japo nimefuatilia kwa namna flani nimekuja kugundua wadada wa kazi wana changamoto zao binafsi ambazo hawana nguvu ya kuweza kujielezea, kwamba kwa mfano anajua kabisa labda mimi hapa kazi nimeshindwa......sina…
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amemwambia Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, John Heche, “njoo unitembelee bana, ujee” wakati wakizungumza mahakamani leo. Kauli hiyo…
🔴MEZAHURU ; ELIMU YA UZAZI VYUONI....FEBRUARI 18, 2026
#HABARI: Wakati akikusanya vitu vyake ili kuondoka Mahakamani Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alimuona dada yake Mchungaji Rose Masesa akamsisitiza kusali kwa bidii akimuombea. “Pray hard,” alisema Lissu. Huku dada…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 18, 2026
#MEZAHURU ".....sisi tunawatia moyo tunawafundisha namna gani wanaweza wakajikwamua kimaisha kwa kufanya kazi za nyumbani kwa uaminifu kwa bidii.....kabla hatujawaunganisha na sehemu husika kwa ajili ya kazi za nyumbani huwa…
#HABARI: Waziri Wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, imeendelea kuwa kichocheo muhimu cha kukuza ubunifu, miongoni mwa waandishi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 18, 2026
#HABARI: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema imeimarisha Dawati la Huduma kwa Wateja na mifumo ya ufuatiliaji wa watoa huduma, hatua inayolenga kuongeza uwazi, ufanisi na ushirikishwaji katika maamuzi ya…
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi baada ya kuangukiwa na ukuta wa jengo la Kanisa, kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 18, 2026
HABARI: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kuchukua hatua ya kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao katika maeneo yasiyo rasmi. Hatua hiyo ni utekelezaji wa maagizo ya Mkuu wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....FEBRUARI 18, 2026
#HABARI: Wafuasi wa Chama cha Demokrasia waliofika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wao Tundu Lissu, wameanza kwa maombi kama kawaida yao wakimtanguliza Mungu,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 18, 2026
#MEZAHURU: Unahisi itasaidia ELIMU YA UZAZI ikipelekwa VYUONI kama masomo kwa vijana.? -Weka maoni yako
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, amewatakia Wakristo wote Mfungo mwema wa Kwaresma, ulioanza leo Februari 18, 2026. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 18, 2026
#HABARI: Katibu Mwenezi wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amehitimisha ziara katika Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kwa kishindo. Kihongosi amewataka wananchi kulinda Amani, Umoja na Mshikamano huku akiwashukia wale wanaosema…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: USAFI KWA KUTUMIA POVU.....FEBRUARI 18, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 18, 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ...FEBRUARI 18, 2026
🔴#MAGAZETI: WAFUASI WA LIPUMBA, WANAOMPINGA WATWANGANA / ISHU YA MPANZU BARKER AMALIZA UTATA....
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 18, 2026
#KIPIMAJOTO: Migogoro ya ardhi kuchukua muda mwingi wa mikutano ya wananchi. Je, maamuzi yanafanyiwa kazi kwa wakati?
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 17, 2026