Mtoto wa kwanza nchini Uingereza kuzaliwa kwa kutumia tumbo la uzazi lililopandikizwa
Upandikizaji wa tumbo la uzazi wa Bell kutoka kwa mtu aliyefariki ni moja kati ya upandikizaji 10 wa aina hii unaofanyiwa utafiti na majaribio ya kitabibu nchini Uingereza.