Je, unataka kulala baada ya dakika mbili?
Watu wengine huwa na wakati mgumu kulala, wakati wengine hawawezi kulala kabisa. Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wanakabiliwa na tatizo hili.
Watu wengine huwa na wakati mgumu kulala, wakati wengine hawawezi kulala kabisa. Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wanakabiliwa na tatizo hili.
Watu wengine huwa na wakati mgumu kulala, wakati wengine hawawezi kulala kabisa. Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wanakabiliwa na tatizo hili.
Michezo ya Ligi ya Mabingwa ya Ulaya katika hatua ya makundi inahiitimishwa usiku wa leo ukitarajiwa msisimko mkubwa, huku timu 30 zikitarajia kujua hatima zao. Timu sita kutoka Englad zinaweza…
Wixon alimpa mwathiriwa chakula kidogo na hakumruhusu kutoka nje ya nyumba na alilazimika kuoga kwa siri usiku.
Nchini Uganda, serikali inakataa shutuma za ukandamizaji wa kisiasa. Katika taarifa iliyotolewa Januari 27, 2026, Waziri wa Habari alitetea kukamatwa kwa watu na kuzimwa kwa huduma yaintaneti, akisema kwamba alichukua…
Mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameapa akisisitiza kwamba ardi ya ardhi ya nchi yake haitotumika kuishambulia Iran. Hayo alimuahikishia Rais wa Iran Masoud Pezeshkian siku ya Jumanne, wakati…
Wakati wa mazungumzo ya simu na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman, Rais wa Iran Massoud Pezeshkian amesisitiza kwamba ukosefu wa utulivu wa kikanda “haufaidii mtu yeyote.” Imechapishwa: 28/01/2026…
Serikali ya Kongo imetangaza Januari 27, 2026, “siku ya kuwakumbuka waathiriwa wa ukatili uliofanywa na muungano wa jeshi la Rwanda na M23-AFC katika miji ya Bunagana na Uvira,” mashariki mwa…
Maelfu ya faili zilizotolewa na mtoa taarifa wa Interpol zinafichua kwa mara ya kwanza ukubwa wa unyanyasaji unaoonekana kufanywa na Urusi dhidi ya shirika la polisi la kimataifa ili kuwalenga…
Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani amesema utawala wake unafikiria kupunguza operesheni za wahamiaji wasio na vibali kwenye mji wa Minneapolis baada ya maafisa wa kikosi maalum cha uhamiaji…
Hayo yanajiri huku Waziri wa masuala ya usalama Kristi Noem akikabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kufuatia mauaji ya raia wa Marekani yaliyotokea huko Minneapolis, yaliyofanywa na Mawakala wa idara ya…
Manowari ya kubeba ndege inayotumia nishati ya nyuklia ya Lincoln imekuwa ikihudumu chini ya Jeshi la Wanamaji la Marekani tangu 1989 na ni mojawapo ya meli kubwa na za kisasa…
Manowari ya kubeba ndege inayotumia nishati ya nyuklia ya Lincoln imekuwa ikihudumu chini ya Jeshi la Wanamaji la Marekani tangu 1989 na ni mojawapo ya meli kubwa na za kisasa…
Brighton wamekataa ombi la Nottingham Forest la kumsajili Lewis Dunk, Chelsea wanamchukulia Cole Palmer kama mchezaji “asiyeuzwa”, na Raheem Sterling anatarajiwa kuondoka Stamford Bridge.
"Kwa pamoja, tuna fursa ya kukomesha miongo kadhaa ya mateso, kukomesha vizazi vya chuki na umwagaji damu, na kujenga amani nzuri, ya kudumu na tukufu kwa eneo hilo na kwa…
Halligen, ni mkusanyiko wa visiwa vilivyo karibu na pwani ya kaskazini mwa Ujerumani, visiwa hivi ni muhimu kwa Ujerumani kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Vikosi vya Jeshi la DRC (FARDC), tangu siku ya Jumapili, Januari 25, vimerejesha udhibiti wa maeneo kadhaa yaliyokuwa yanakaliwa kwa wiki chache na wanamgambo wa Wazalendo katika maeneo ya Kasenga…
Rais wa Brazil Lula amemwomba mwenzake wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Januari 26, kuliwekea kikomo “Baraza lake la Amani” kuhusu suala la Gaza, wakati wa mazungumzo ya simu…
Donald Trump anataka Greenland iwe sehemu ya Marekani na hata amewahi kupendekeza uwezekano wa kuinunua kutoka kwa Ufalme wa Denmark, ambao kisiwa hicho ni mali yake.
Rais wa Jamhuri ya Kongo, Denis Sassou-Nguesso, na wasaidizi wake wanadaiwa kuhusishwa na rushwa ya kiasi “cha juu zaidi” kuhusiana na utoaji wa vibali vya mafuta, kulingana na taarifa iliyotolewa…
Nchini Kenya kumekuwa na mabadiliko katika kesi ya kundi la kiimani la Shakahola. Paul Mackenzie, mchungaji aliyejitangaza, atashtakiwa kwa vifo vipya 52. Mchungaji huyo aliyejitangaza yuko kizuizini kabla ya kesi…
Mkutano wa Kimataifa wa Nishati nchini Libya umefikia kikomo. Siku tatu za majadiliano huko Tripoli ziliwaleta pamoja maafisa na wawekezaji wa Libya, pamoja na wawakilishi kutoka Marekani, Ufaransa, Uingereza, na…
DRC imekanusha madai yaliyochapishwa katika ripoti ya Human Rights Watch kuhusu usalama wa eneo la Uvira kwa kusema kuwa madai yao hayakuwa ya kweli, na yamechukuliwa nje ya muktadha wa…
Pande zote mbili zimekuwa zikionya mara kwa mara kuhusu madhara ya shambulio lolote.
Nigeria itawahukumu wanajeshi walioshtakiwa kwa jaribio la mapinduzi. Tangazo hilo limetolewa siku ya Jumatatu, Januari 26, na jeshi la Nigeria. Mnamo mwezi Oktoba mwaka uliyopita, wanajeshi 16 walikamatwa, rasmi kwa…
Je, ni wakati wa maridhiano kati ya Ufaransa na Chad? Rais wa Chad Mahamat Idriss Déby amempokea balozi wa Ufaransa huko N’Djamena siku ya Jumatatu, Januari 26, na kukubali mwaliko…
Nchini Uganda, vita mpya ya maneno imezuka kwenye mitandao ya kijamii kati ya mkuu wa jeshi na kiongozi wa upinzani Bobi Wine. Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa rais Yoweri Museveni, anakanusha…
Serikali inaona maridhiano kama mchakato unaohitaji utulivu na utaratibu. Upinzani unaona kama haki iliyochelewa kutendeka. Katikati ya mitazamo hiyo miwili, Watanzania wanasalia wakijiuliza maridhiano haya ni ya nani, kwa ajili…
Mshambuliaji wa Everton na Guinea-Bissau Beto, 27, ni mojawapo ya chaguo la Juventus wanapotafuta kumsajili mshambuliaji wakati wa dirisha la uhamisho la majira ya baridi
Wanasayansi wanaonya kwamba dunia haijajiandaa kwa ongezeko la joto kali ifikapo mwaka wa 2050. Ingawa nchi za kitropiki ndizo zitakazoathiriwa zaidi, maeneo yenye baridi kali pia yatahitaji kuzoea, wanasayansi wamesema…
Jeshi la Israel limesema limerejesha mwili wa mateka wa mwisho aliyebaki Gaza. Lilikuwa likimtafuta Sajenti Ran Gvili tangu usiishaji wa mapigano na Hamas kuanza mwezi Oktoba. Imechapishwa: 26/01/2026 – 17:05…
Wizara ya Ulinzi ya China imesema imeanzisha uchunguzi dhidi ya Jenerali wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini humo, ikimtuhumu kwa "ukiukaji mkubwa wa nidhamu na sheria."
Rais wa Marekani Donald Trump asema Marekani inapaswa kutwaa Greenland ili kuzuia Urusi na China kuchukua eneo linalosimamiwa na Denmark.
Rais wa Marekani Donald Trump anakusudia “kulazimisha” sera ya Venezuela, hatua ambayo haimpendezi rais wa mpito Delcy Rodriguez, ambaye hapo awali aliridhika kushirikiana na Washington. Imechapishwa: 26/01/2026 – 07:52Imehaririwa: 26/01/2026…
Wafuasi 89 wa rais wa zamani wa mrengo wa kulia nchini Brazil, Jair Bolsonaro, wamejeruhiwa baada ya kupigawa na radi, walipokuwa wakiandamana kumuunga mkono rais wao huko Brasilia siku ya…
Gavana mwingine nchini Nigeria amejiondoa kutoka upinzani na anatarajiwa kujiunga rasmi na chama cha APC, chama tawala, Jumatatu, Januari 26, 2026, kulingana na msemaji wake. Gavana huyu ni Abba Kabir…
Mwanachama maarufu wa upinzani nchini Kenya Rigathi Gachagua amedai kulikuwa na jaribio la kumuua wakati wa ibada ya siku ya Jumapili kanisani. Imechapishwa: 26/01/2026 – 06:27 Dakika 2 Wakati wa…
Takwimu hii, iliyotolewa na wenzetu kutoka Jarida la Time, inaonyesha hisia ya vurugu za ukandamizaji nchini Iran. Idadi hiyo ya vifo inahuu siku za Januari 8 na 9 pekee, wakati…
Kwa mara ya kwanza katika historia, kiongozi wa taifa alilazimika kuamsha kile kilichojulikana kama kifaa cha nyuklia, mfumo maalumu wenye maagizo na teknolojia ya kuidhinisha shambulio la nyuklia.
Katika kile kinachoitwa ushindi wa biashara huria, EU na India zimejiandaa kukubaliana kuhusu “mama wa mikataba yote” na makubaliano ya ulinzi yanayolenga kuivutia India kutoka kwa uhusiano wake wa karibu…
Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wameonya siku ya Jumapili kwamba kuongezeka kwa vurugu nchini Sudan Kusini kunaongeza hatari ya ukatili mkubwa dhidi ya raia, wakitaja mapigano mapya na maneno…
Gavana wa Minnesota Tim Walz ametoa wito wake kwa Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaondoa maafisa hao wa shirikisho katika jimbo lake, akisema: "Huu ni wakati wa mabadiliko."
Ushindi wa Jumapili dhidi ya Arsenal ulikuwa ushindi na matokeo mengine ya kushangaza kwa Manchester United, walivutia kwa jinsi walivyoupata ushindi.
Manchester City wanaendelea kumfuatilia Trent Alexander-Arnold huku Liverpool wamewasiliana na Xabi Alonso na kupata ishara njema kuhusu kujiunga nayo
Kutengwa kwa waandishi wa habari kunaashiria mabadiliko katika mbinu ya uchunguzi na kumezua maswali kuhusu uwazi.
Ugomvi kati ya wazazi na watoto wao si jambo la kushangaza - hivi ndivyo utafiti unasema linapokuja suala la kufanya uamuzi mgumu kama huo.
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ambaye yuko mafichoni kwa siku kadhaa baada ya vikosi vya usalama kuvamia nyumba yake, amelaani siku ya Jumamosi, Januari 24, 2026, shambulio dhidi…
Mashariki mwa DRC, tangu shambulio jipya lililozinduliwa na kundi lenye silaha la AFC/M23 linaloungwa mkono na Rwanda huko Kivu Kusini mwezi Desemba, mapigano hayajakoma kabisa. Vurugu hizi zimesababisha ongezeko kubwa…
Tottenham na Liverpool zinajadili mkataba wa £5m kwa Andy Robertson, Bournemouth inakaribia kumsajili Christos Mandas kwa mkopo na Arsenal italazimika kutumia £80m kumsajili Julian Alvarez.
Sudan ni “inakabiliwa na mambo mabaya zaidi ambayo yametokea duniani,” Waziri wa Masuala ya Jamii wa Sudan amewaambia wenzetu wa shirika la habari la Agence France-Presse (AFP). Kulingana na Sulaima…