Nigeria: Ubomoaji wa makazi ya Makoko yasababisha maelfu ya watu kukosa makazi Lagos
Nchini Nigeria, ubomoaji wa kikatili wa makazi duni maarufu ya Makoko huko Lagos umeshtumiwa na mashirika ya kiraia. Makumi, labda hata mamia, ya maelfu ya watu wanaaminika kupoteza nyumba zao…