Somalia: Donald Trump arudia matamshi ya ubaguzi wa rangi dhidi ya Wasomali na mbunge Ilhan Omar
Siku ya Jumatano, Januari 21, katika Jukwaa la Uchumi Duniani huko Davos, na kisha siku iliyotangulia katika Ikulu ya White House, katika kumbukumbu ya miaka ya kwanza ya kurudi kwake…