Rais wa Syria atangaza makubaliano ya usitishaji vita na vikosi vya Wakurdi
Rais wa Syria Ahmed Al-sharaa ametangaza siku ya Jumapili, Januari 18, makubaliano na Wakurdi wa Syria, yanayotoa nafasi ya kusitisha mapigano na kuunganishwa kwa vikosi vyao katika taasisi za serkali…