Kwanini uchaguzi wa Uganda unafuatiliwa kwa ukaribu na Jumuiya ya Afrika Mashariki
Ni hali ya kinaya: serikali hunyamaza kidiplomasia, lakini raia wake huzungumza kwa sauti kubwa mtandaoni.
Ni hali ya kinaya: serikali hunyamaza kidiplomasia, lakini raia wake huzungumza kwa sauti kubwa mtandaoni.
Serikali ya Mogadishu imeituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka na uhuru wa Somalia.
Maandamano yanayoendelea hivi karibuni ni zaidi ya malalamishi ya kiuchumi na kimaisha hadi matakwa ya wazi ya kukomesha utawala.
UCC ilieleza kuwa hatua ya kusitisha kwa muda huduma za intaneti ilichukuliwa ili kuzuia usambazaji wa habari potofu, wizi wa kura, pamoja na shinikizo la mtandaoni linaloweza kuchochea ghasia au…
Uchaguzi huu unafanyika katika mazingira ambayo sio tofauti sana na chaguzi zilizopita hali ya wasiwasi ikiwa imetanda na ulinzi mkali ukiimarishwa.
Mamlaka ya Iran ina “udhibiti kamili” wa hali usalama, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema siku ya Jumatano katika mahojiano na Fox News, baada ya maandamano…
Ukraine imetangaza hali ya hatari katika sekta ya nishati ya nchi hiyo, ikilenga zaidi Kyiv, huku mashambulizi yanayoendelea ya Urusi yakiendelea kuwaacha maelfu ya wakazi bila umeme. Imechapishwa: 15/01/2026 –…
Baraza la mpito la kitaifa, chombo cha kutunga sheria cha utawala wa kijeshi nchini Guinea-Bissau, limepiga kura kwa kauli moja Januari 13, huku kura 65 zikiunga mkono, marekebisho ya Katiba,…
Kamandi ya Marekani barani Afrika (AFRICOM) imetangaza kwamba “imepeleka vifaa muhimu vya kijeshi” nchini Nigeria, wiki chache baada ya kufanya mashambulizi ya anga katika eneo la Sokoto kulenga rasmi “Islamc…
Tangu mwishoni mwa wiki iliyopita, video kadhaa zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Ukraine zikionyesha watu binafsi wakiwasilishwa kama wapiganaji wa Kiafrika katika jeshi la Urusi. Video hizo zinaonyesha…
Zambia na DRC zimeidhinisha Mwongozo wa Uendeshaji wa kituo cha mpakani cha Chalwe siku ya Jumatano, Januari 14, huko Lubumbashi (Haut-Katanga), kama sehemu ya mradi wa Kasomeno-Kasenga-Chalwe. Imechapishwa: 15/01/2026 –…
Morocco, taifa mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika, iliungana na Senegal katika fainali baada ya kuwalaza Nigeria 4-2 kupitia mikwaju ya penalti Jumatano kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah…
Waganda wanapiga kura leo Alhamisi hii, Januari 15, kumchagua rais na wabunge. Uchaguzi huu unafanyika katika hali ya sintofahamu wakati jeshi na mtandao vikizua taharuki na katika hali ya mvutano…
Maandamano dhidi ya serikali nchini Iran yamefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya miaka 47 ya nchi hiyo.
Mazungumzo ya kujaribu kupata Suluhu ya mzozo wa Sudan yameanza mjini Cairo, ambapo waziri wa mambo ya nje wa Misri, Badr Abdelatty, amesema nchi yake haitasita kuchukua hatua stahiki kulinda…
Rais wa Angola Joao Lourenco, ambaye pia ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), alikutana na viongozi wa kidini kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mjini Luanda siku ya…
Wenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika nchini ya Morocco, wamefanikiwa kuingia hatua ya fainali baada ya kufanikiwa kuwaondoa Nigeria, na sasa watacheza fainali na mabingwa wa mwaka…
Kiungo wa kati wa Wolves Joao Gomes anatakiwa na Atletico Madrid, huku Everton na Nottingham Forest zikitaka kumsajili mshambuliaji Youssef En-Nesyri.
Malefu ya raia wa Iran wamejitokeza jijini Tehran kuhudhuria mazishi ya maafisa wa usalama 100 waliouawa wakati wa maandamano, wakati huu serikali ikisema kesi dhidi ya waandamanaji waliokamatwa zitaendelea kwa…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonya kuwa, iwapo Marekani itafanikiwa kuchukua kisiwa cha Greenland kinachomilikiwa na Denmark, hatua hiyo itakuwa na matokeo mabaya. Imechapishwa: 14/01/2026 – 16:10Imehaririwa: 14/01/2026 – 16:57…
Tangu Ijumaa, Januari 9, Afrika Kusini imekuwa ikiandaa mazoezi makubwa ya majini kama sehemu ya mpango wa BRICS, ambao unaweza kuikasirisha Washington, kutokana na uhusiano ambao tayari ulikuwa mgumu kati…
Nchini Chad, jeshi limepelekwa kwa siku kadhaa katika eneo la Moyen-Chari, karibu na mpaka na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Siku ya Jumanne, Januari 13, makabiliano yalianza katika eneo hilo…
Siku ya Jumatatu Trump alichapisha taarifa kwenye Truth Social: "Kuanzia hivi punde, nchi yoyote inayofanya biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran italipa ushuru wa 25% kwa biashara yoyote inayofanya…
Zaidi ya watu 22 wameripotiwa kufariki wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya mashine ya kunyanyua vitu vizito kwenye reli ya mwendo kasi nchini Thailand kuvunjika na kuangukia treni ya abiria. Imechapishwa:…
Mmoja kati ya Pape Thiaw, Éric Chelle, Hossam Hassan na Walid Regragui, atakuwa bingwa wa Afrika tarehe Januari 18, 2026.
Ukandaizaji dhidi ya harakati za maandamano zinazoendelea nchini Iran umesababisha idadi iliyothibitishwa ya vifo vya watu 2,571, wakiwemo waandamanaji 2,403 na watu 147 wanaohusishwa na serikali, shirika la haki za…
Mohamed Salah na Sadio Mané wanakutana tena wakati Misri itakapokabiliana na Senegal kwenye nusu fainali za AFCON 2025.
Marekani imtangaza rasmi matawi ya Muslim Brotherhood nchini Misri, Jordan, na Lebanon kama “makundi ya kigaidi ya kigeni” siku ya Jumanne, Januari 13. Uamuzi huu, pamoja na athari zake muhimu…
Venezuela imeanza kuwaachilia wafungwa wa Marekani, afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ametangaza siku ya Jumanne, Januari 13, akikaribisha hatua ya Caracas, siku kumi baada ya Marekani kumkamata kwa…
Wiki mbili tayari zimepita nchini Cameroon tangu Paul Biya, katika hotuba yake ya Mwaka Mpya, alipotangaza “serikali mpya” itakayoundwa “katika siku zijazo.” Ingawa “siku zijazo” ziko wazi kwa tafsiri, hii…
Uchaguzi wa urais na wa wabunge unafanyika Januari 15 nchini Uganda. Rais aliye madarakani Yoweri Museveni, aliye madarakani tangu mwaka 1986, anawania muhula wa saba. Wanaokabiliana naye ni wagombea wengine…
Iran imedai Marekani inatafuta sababu ya kuingilia kati kijeshi kwa kutumia maandamano ya machafuko ya Wairan wanaopinga hali ngumu ya maisha.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema baada ya karibu miaka minne ya vita, hali nchini mwake inaendelea kuwa mbaya zaidi katika eneo la vita. Amesema miundombinu inaharibiwa na mashambulizi ya…
Denmark na Greenland zimeungana kupinga wito wa rais wa Marekani Donald Trump kutaka kukitwaa kisiwa cha Greenland. Viongozi wa nchi hizo wamesema wanaichagua Jumuiya ya NATO na Umoja wa Ulaya…
Idadi ya vifo hivyo kubwa imeripotiwa kufuatia mapigano kati ya jeshi la Kongo na Allied Democratic Forces (ADF), kundi lenye silaha linalohusiana na kundi la kigaidi la Islamic State (ISIS),…
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema watu zaidi ya 400 wameachiwa huru kama sehemu ya mpango wa kuwaachilia wafungwa wa kisiasa.
Mareani imesema itafuta hadhi ya ulinzi wa muda kwa baadhi ya wahamiaji kutoka Somalia. Hatua hii ni katika kuendeleza juhudi za rais Donald Trump kuwafukuza watu wengi kutoka nchini Marekani.
Serikali nchini Uganda imezima mtandao wa intaneti siku chache kuelekea uchaguzi mkuu wa hapo kesho, uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni anataka kuchaguliwa kwa muhula wa saba. Imechapishwa: 14/01/2026 – 04:53Imehaririwa:…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran. Marekani imewataka raia wake waondoke Iran.
"Kulikuwa na wanawake watatu wenye uwezo na sifa stahiki ambao wangeweza kufika katika orodha ya mwisho ya wagombea, lakini mfumo uliwakwamisha wote", anasema Yvonne Mpambara.
Wakati ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya kupinga serikali ukiendelea, rais wa Marekani anatafakari ni jinsi gani bora ya kushughulikia hilo.
Iran yasema Marekani inatafuta 'kisingizio cha kuingilia kati kijeshi'. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akiri hali ni ngumu nchini Ukraine. Na viongozi wa Denmark na Greenland waungana kupinga wito wa…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran / Shinikizo kutokana na hoja…
Awali, Ikulu ya White House ilisema kuwa Rais Trump “haogopi,” lakini anapendelea kufuata njia ya diplomasia na Iran.
Mamlaka ya mawasiliano nchini Uganda imetangaza kuwa itazima mtandao wa intaneti siku ya Jumanne, siku mbili tu kabla ya uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni atagombea dhidi ya Bobi Wine.
Idadi ya watumiaji wa usafiri wa ndege nchini Tanzania inazidi kuongezeka. Ripoti ya serikali ya mwaka 2023 inaonesha kuwa abiria waliotumia usafiri huo walifikia milioni 6.8 kutoka milioni 2.8 mwaka…
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja huo unajiandaa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran.
Mbunge wa Republican kutoka Florida amewasilisha mswada unaopendekeza kuiunganisha Greenland na kuifanya kuwa jimbo la 51 la Marekani.
Uganda imeagiza kuzimwa kwa mtandao wa intaneti siku mbili kabla ya uchaguzi, wakati Rais Yoweri Museveni akitafuta kuendeleza utawala wake wa takriban miaka 40.
Takriban watoto 100 wameuawa katika mashambulizi ya anga na operesheni za ardhini zilizofanywa na Israel katika ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa usitishaji mapigano miezi mitatu iliyopita.