Sh1.7 bilioni zanufaisha vikundi 165 vya wanawake Mbarali
Hatua hiyo ni kutekeleza maelekezo ya Serikali, kuzitaka halmashauri nchini kutoa mikopo ya...
Yanga yaibua mambo matano, Bodi ya Ligi yajibu
Ofisa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wamelazimika kufanya hivyo kwa...
Naibu Waziri akabidhi viti mwendo 10 Manyara
Ndege, ambaye pia ni mbunge wa viti maalumu mkoa wa Manyara, amesema lengo ni kupunguza ugumu...
Takukuru yakabidhi mashine za Sh18 milioni kuokoa vichanga
Mwanza. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imekabidhi mashine mbili za...
Kituo cha taarifa mwarobaini kero za wananchi Mbarali
Mbarali. Wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wameeleza matumaini yao baada ya Serikali...
Mtanzania ateuliwa katibu mkuu mpya wa EAC
Kuteuliwa kwa Balozi Mbundi kumetangazwa na mtangulizi wake, Veronica Nduva katika mkutano huo...
Museveni achaguliwa mwenyekiti mpya EAC
Museveni amechaguliwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa...
Mlipuko wa drone watikisa uwanja wa ndege Dubai
Taarifa za awali zinaeleza mlipuko huo umehusishwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ndege isiyo na...
Kyela yashusha mitambo kumaliza kero ya barabara
Mbeya. Kero ya miundombinu ya barabara iliyokuwa ikiwakabili wananchi wilayani Kyela mkoani...
Mahakama yawaachia huru washtakiwa vurugu Oktoba 29
Washtakiwa hao pia walikuwa wakikabiliwa na tuhuma za kuchoma majengo ya Serikali, likiwemo la...
Mpishi amburuta Neymar mahakamani akimdai Sh129 milioni
Neymar ametuhumiwa kumfanyisha kazi kwa saa 16 mpishi huyo huku pia akimlazimisha kupika...
Bei ya kakao yaishtua Serikali, yaita wadau kusuka mikakati
Wadau na wakulima wa zao hilo pia wametoa ushauri wa hatua za moja kwa moja zinazoweza kusaidia...
TBS yaanza ujenzi wa maabara Kanda ya Kaskazini
Amesema shirika hilo tangu limefungua ofisi ya Kanda ya Kaskazini mwaka 2016 hadi sasa limeweza...
Serikali yatoa ahadi ulinzi wa bahari IORA ikiadhimisha miaka 29
Balozi Luvanda amesema maadhimisho hayo yanawezesha kutathmini walipotoka, walipo sasa na...
Sababu Rais wa Rwanda, DRC kutohudhuria mkutano wa EAC
Katika mkutano huo, jumla ya Wakuu wa Nchi wanane wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Ndani ya Boksi: Konde + Kajala, Marioo + Paula = Bilioneazi
Baba mkwe Konde Boy, ana pipo milioni 11 na laki 4. Mama Mkwe Kajala ana watu milioni 8 na laki 3.
Ziara ya Kihongosi Shinyanga yaacha neema kwa binti aliyekosa ada
Mama huyo alisema binti yake alimaliza kidato cha sita na alitakiwa kujiunga na chuo kikuu cha...
Angelina Jolie yupo single tangu talaka
Mwigizaji wa muda mrefu huko Hollywood, Angelina Jolie, (50) hajawa katika uhusiano wa...
Mambo ya kuzingatia msanii kabla ya kusaini mkataba
Siyo suala la kushangaza msanii aliyesajiliwa katika rekodi lebo fulani kuacha lawama pindi...
Kabudi aongoza ujumbe wa Tanzania mikutano ya Jumuiya ya Madola London
Kikao cha CMAG kinatarajiwa kujadili utekelezaji wa maamuzi ya awali ya jumuiya hiyo pamoja na...
Mimi Mars atamtosa tena Vee Money?
Mwimbaji wa Bongofleva, RnB na Pop, Mimi Mars (33), a.k.a Chugga Queen anatarajia kuachia...
Wachambuzi wadai Pakistan ipo katikati ya Iran na Marekani
Wameeleza kuwa kuna baadhi ya mataifa kama Hispania yamekuwa na msimamo thabiti ili kutoingia...
Pacha wa kike waliojijengea umaarufu kwa kazi ya upagazi Mlima Kilimanjaro
Pacha Enjolight na Heavenlight Mafuwe (33), wakazi wa Kijiji cha Uduru, Wilaya ya Hai, mkoani...
Madhara wanawake wanaotumia steroidi kujenga misuli
Mapitio ya mwaka 2024 ya tafiti za kimataifa yalibaini kuwa takriban asilimia nne ya wanawake...
Fanya haya kuukwepa ugonjwa wa presha
Kuna njia nyingi za kuukwepa ugonjwa huu ikiwa mtu atachukua hatua za mapema.
Kanuni ya siku 90 inavyoweza kubadilisha tabia
Wataalamu wa saikolojia duniani wametengeneza ‘Kanuni ya siku 90’ kama mhimili wa mabadiliko ya...
Wakuu EAC kuja na jina la Katibu Mkuu, ugumu wa kumpata watajwa
Mkutano wa 25 wa dharura wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Mjadala wa ubora wa wahitimu wawekwa mezani
Wakati mjadala kuhusu ubora wa wahitimu wanaozalishwa na vyuo vikuu nchini ukiendelea kushika...
Manyara watakiwa kuchukua tahadhari ya uviko – 19
Wananchi wa Mkoa wa Manyara wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya...
Serengeti kujengwa madaraja makubwa matano kudhibiti mafuriko
Serikali imepanga kujenga madaraja makubwa matano katika maeneo korofi ndani ya Hifadhi ya...
LIVE: The Citizen Rising Woman 2026
Jukwaa hili linafanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
Dk Mwigulu aagiza mkandarasi wa Bwawa bonde la Eyasi asakwe, akamatwe
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amemwagiza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, kumtafuta...
Chakula silaha ya siri dhidi ya maradhi
Unapokula tunda, mboga, au nafaka, usitazame tu ladha au shibe; tazama mchanganyiko wa kemikali...
Maofisa elimu wakumbushwa nidhamu, itifaki kazini
Wakati jitihada za kuboresha sekta ya elimu nchini zikiendelea kuchukua nafasi kubwa katika...
RC Mara ashusha zigo la elimu ya udumavu kwa wahudumu wa afya
Wakurugenzi wa halmashauri tisa za wilaya mkoani Mara, wametakiwa kutenga bajeti ya kuwezesha...
Mbarali kutumia Sh2.5 bilioni kukamilisha miradi viporo
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, imekuja na mikakati maalumu ya kufanya tathmini...
Wawekezaji wanawake soko la hisa bado kiduchu
Wakati zaidi ya Watanzania 800,000 wakiwa wamewekeza katika Soko la Hisa la Dar es Salaam...
Wakulima Bonde la Kalenga walia na uharibifu wa mazao baada ya mvua kubwa
Baadhi ya wakulima wanaolima katika Bonde la Kalenga mkoani Iringa wameeleza kilio chao...
Sababu Lissu kuomba kuunganishwa kesi ya mali Chadema
Tarehe hiyo ya uamuzi wa maombi hayo imepangwa na Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi leo...
AG awataka watumishi wa umma kulinda taswira ya Serikali
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amewataka watumishi wa umma kuepuka vitendo...
Ufugaji watajwa chanzo cha magugu maji Ziwa Victoria
Bodi ya Maji ya Bonde la Ziwa Victoria imeeleza kuwa shughuli za kibinadamu, hususan ufugaji...
Shahidi aeleza alivyokamata vielelezo kesi ya Malisa
Shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri katika kesi ya makosa ya kimtandao inayomkabili Mchungaji...
Serikali yataja magari ya umeme muarobaini wa bei ya mafuta
Kwa mujibu wa Serikali, gharama ya kuendesha chombo cha umeme ni nafuu kuliko mafuta. Ametolea...
Kihongosi ataka ujenzi stendi Shinyanga ukamilike, ang’aka mkwamo malipo ya vibarua
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi...
Wakuu EAC kuja na jina la Katibu Mkuu, ugumu wa kumpa watajwa
Mkutano wa 25 wa dharura wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Mapigano Marekani, Israel na Iran yazidi kupanuka
Ni piga nikupige. Ndivyo unavyoweza kuelezea hali ya mambo Mashariki ya Kati ambapo...
Utovu wa nidhamu waigharimu Simba, Yanga yawaponza marefa
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), leo Machi 6...
Kompyuta yaikataa Liverpool kutinga Ligi ya Mabingwa Ulaya
Mfumo wa Kompyuta wa mtandao wa Opta unaotumika katika ubashiri wa soka, umeipa nafasi finyu...