Yanga yazoa tuzo Ligi Kuu mwezi Desemba
Yanga imetawala tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mwezi Desemba ambapo imevuna tuzo mbili...
Afya bora inaanzia kwenye sahani mezani
Lishe bora husaidia kuimarisha kinga ya mwili na kuuwezesha mwili kupambana na magonjwa...
Serikali yataka CBE Moshi kuzalisha wabunifu wa sekta ya utalii
CBE ina wanafunzi 24,657, huku kukamilika kwa kampasi hiyo mpya kukitarajiwa kuongeza zaidi ya...
Kauli za viongozi Korea zazua mjadala kuhusu uhuru wa dini
Wachambuzi wa sheria wanasema matamshi hayo yanaweza kuathiri uhuru wa vyombo vya uchunguzi na...
KONA YA MSTAAFU: Bunge jipya litaleta chochote kipya kwa wastaafu?
Bunge jipya limeanza kazi Januari hii ya mwaka huu wa 2026, likitegemewa kufanya mambo mengi...
Luis Miquissone naye afuata mamilioni Libya
Mkataba baina ya Miquissone na Al Ahly Benghazi utasainiwa baada ya kufanyika na kukamilika kwa...
เปิดวาร์ป 10 เว็บตรง ฝาก20รับ100 มาใหม่ ทำเทิร์นน้อย รองรับ ทรู วอเลท นำเข้าจากต่างประเทศ 2026
เว: แนะนำ 10 เว็บตรงนำเข้าจากต่างประเทศ ที่มาพร้อมโปรโมชั่น ฝาก20รับ100 เทิร์นน้อย ถอนได้จริง...
Askari wa Zimamoto, raia wawili kortini wakidaiwa kusafirisha bangi
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Erick Ndagwa (32) amefikishwa katika Mahakama ya...
Benki ya CRDB Dubai kufanikisha mitaji ya kimataifa Afrika Mashariki na Kati
Mahusiano ya kiuchumi kati ya Afrika na Falme za Kiarabu (UAE) yamefikia hatua muhimu leo...
Watumiaji Stendi ya Magufuli walia ukosefu wa maji
Watumiaji wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, jijini Dar es Salaam wanakabiliwa...
Wazee waazimia mambo manne kuliponya Taifa
Wazee kutoka mikoa mbalimbali nchini wameazimia mambo manne, ikiwemo kutaka mchakato wa...
Mchungaji atoa ushahidi kesi ya Dk Manguruwe
Mchungaji Enock Likoma ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jinsi alivyoshawishiwa na...
BOT yawaonya wafanyabiashara wa kubadilisha fedha kinyume cha sheria
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watu wanaojihusisha na biashara ya kubadilisha fedha za...
Wazazi wakaliwa kooni kuchangia chakula shuleni
Wataalamu wa lishe na viongozi wa Serikali wamependekeza kuanzishwa kwa sheria...
Hii ndio sababu ya uwepo wa utapiamlo
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk Seif Shekalaghe amesema jamii inakabiliwa na utapiamlo...
Bugando yaanza upasuaji wa matundu wagonjwa wa magoti
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando, iliyopo jijini Mwanza imeanza kutoa huduma ya...
Masilahi bora ya wafanyakazi yatajwa msingi wa ufanisi Tanesco
Masuala ya masilahi na haki za wafanyakazi yanatajwa kupewa kipaumbele katika juhudi za...
Tathmini yaja na majibu mgogoro wa mipaka Kilosa
Wataalamu wamekuja na majibu yatakayomaliza mgogoro wa mipaka baina ya kijiji cha Rudewa...
Trump azindua “Bodi ya Amani” Davos, asema dunia inaweza kuongozwa kutokea Marekani
Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua mjadala wa kimataifa baada ya kuzindua rasmi chombo...
Mwenyekiti asimulia mtuhumiwa wa mauaji alivyomueleza tukio zima
Tukio la mauaji ya kijana Mathias Teti (26), mkazi wa Kitongoji cha Kireiyo, Kata ya Uru...
Viuatilifu 805 vimeondolewa, Serikali yapiga marufuku kuingizwa nchini
Serikali kupitia Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imeondoa sokoni jumla...
Mavunde awaonya maofisa madini kusababisha migogoro
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa maagizo matano kwa Maofisa Madini wa Mikoa (RMOs)...
Kumbukizi maisha ya Mtei yaahirishwa, sababu zatajwa
Kumbukizi ya maisha ya Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Gavana wa...
Mkurugenzi mkuu NSSF ajitosa kutoa elimu hifadhi ya jamii sokoni
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema hakuna...
Wawili wafutiwa kesi na DPP, tisa waendelea kusota tuhuma wizi wa Sh5.7 bilioni
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru washtakiwa...
Mabomu ya machozi yatumika kutawanya wachimbaji wadogo
Jeshi la Polisi mkoani Geita limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya baadhi ya...
Trump aanzisha ‘Bodi ya Amani’ kuchukua nafasi ya UN, dunia yagawanyika
Kauli ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwamba chombo kipya alichokianzisha cha “Bodi ya...
Familia yagoma kuzika mwanafunzi anayedaiwa kukatwa na jembe shuleni
Mwanafunzi Kassim Omary (12) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Bukindwasali iliyopo...
Takukuru yatangaza kuwasaka Alex Msama na Benny Sammoh
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni imeanza msako wa...
CMA yaja na mkakati kuharakisha utatuzi migogoro kazini
Suala la kusafiri kufuata mahakama kwa ajili ya utatuzi na usuluhishaji wa migogoro ya kazi...
Mv New Mwanza kuzinduliwa kesho
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuzindua safari za meli ya MV New Mwanza kesho...
Washtakiwa walivyokiri kuchepusha mzigo, waridhia lori lao kutaifishwa
Washtakiwa wanne wa kesi ya uhujumu uchumi wamekiri mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili yakiwemo...
Waliopora Iphone, Sh 635,000 watupwa jela miaka 30
Mahakama ya Wilaya ya Morogoro imewahukumu vijana sita (vishandu) wakazi wa Chamwino kifungo...
Mfumo usajili wa diaspora fursa za uwekezaji Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezindua mfumo wa kidijitali wa usajili wa diaspora wenye asili...
Dk Mwigulu atoa maagizo mapya utatuzi wa kero za wananchi
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuhamia kwa ofisi zote za umma katika Mji wa Serikali...
Vijana 228 waliopata ajira nje ya nchi watakiwa kuzingatia weledi
Wakati Serikali ikiwaaga vijana 228 wanaoelekea kufanya kazi nje ya nchi baada ya kupata ajira,...
Trump atoa ofa nzito kwa wakazi wa Greenland
Trump alegeza msimamo kuhusu Greenland, atupilia mbali vitisho vya ushuru kwa Ulaya. Ametoa ofa...
Mahakama yaamuru Alex Msama wa Tamasha la Pasaka, mwenzake wakamatwe
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu imeamuru na kutoa hati ya kukamatwa kwa...
Man United yaporomoka klabu tajiri duniani
Manchester United imeshuka kutoka tano bora kwenye orodha ya klabu tajiri zaidi duniani...
Aweka rekodi ya dunia Guinness kwa kupika pilau kilo 8,780
Mpishi wa Nigeria, Hilda Baci ameshinda tuzo akiweka rekodi yake ya tatu ya Guinness World...
Mvua yabomoa, kuezua nyumba tano Makambako
Nyumba tano zilizopo mtaa wa Idofi, kata ya Mlowa, wilayani Makambako, Mkoa wa Njombe...
Butiku: Tusipoteze msingi wa Taifa, tukitafakari Oktoba 29
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amewataka Watanzania kutotoka nje...
Rais Samia kukumbuka siku yake ya kuzaliwa kwa kupanda miti Kizimkazi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ataadhimisha siku yake ya kuzaliwa Januari 27, 2026 kwa...
Ushirikiano wa Stanbic, CRDB unavyopaisha Sukuk
Kadiri Tanzania inavyopanua masoko yake ya mitaji, bidhaa za kifedha zilizokuwa zikihusishwa na...
Dodoma, Tanzania Prisons imekaa kimtego
Dodoma Jiji FC inaikaribisha Tanzania Prisons katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma leo katika mechi...
Uwajibikaji wa pamoja katika enzi za teknolojia
Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi...
Mastaa Senegal waoga mamilioni
Rais wa Senegal, Bassirou Faye ametoa zawadi ya Dola 135,000 (Sh342 milioni) pamoja na kipande...