DC Maswa akerwa uvamizi vyanzo vya maji, atoa onyo
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Vincent Anney, amewaonya watu wanaovamia maeneo ya vyanzo vya maji...
Miili minne ya ajali ya basi, lori Morogoro yatambulika kwa DNA
Miili miwili imebaki katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro ikisubiri ndugu kwenda...
15 wapata ushemasi Moshi, Askofu Minde awapa ujumbe wao na wazazi
Mafrateri 15 wa Jimbo Katoliki Moshi wapata sakramenti ya ushemasi, kanisa lataka waumini...
Wanaodaiwa kuiba The Voice waendelea kusota rumande
Tumaini na Gaspar wanakabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha, tukio...
Samia: Tuzo za utalii ni matokeo ya uhifadhi, mshikamano
Amesema ushindi huo si wa bahati, bali ni matokeo ya kazi endelevu inayofanywa na taasisi za...
Dk Mwigulu: Serikali inalenga elimu ya ujuzi inayozalisha ajira
Serikali imesema itaendelea kuwekeza katika elimu inayojenga umahiri, ujuzi na maadili kwa...
Mashahidi 177 kuitwa kesi ya ‘Dk Manguruwe’ kuanza kusikilizwa
Mashahidi 117 wanatarajiwa kutoa ushahidi wao mahakamani katika kesi ya kuendesha biashara ya...
Miradi 150 ya uwekezaji kusajiliwa Zanzibar kila mwaka
Wakati mazingira na miundombinu vikiboreshwa, Zanzibar imepanga kusajili miradi isiyopungua 150...
Naibu Waziri awataka vijana kutokubadilishwa na desturi za kigeni
Wanu, ambaye ni mara yake ya kwanza kufika katika taasisi hiyo inayotoa shahada za umahiri na...
Wawekezaji DSE waongeza utajiri mwaka 2025 benki zikiongoza
Wawekezaji katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wameongeza utajiri wao kwa Sh6.12...
Adaiwa kumuua mkewe, akimtuhumu kurudiana na mzazi mwenzake
Amesema baada ya mtuhumiwa kutekeleza mauaji hayo, alikimbia, na Jeshi la Polisi linaendelea...
Walimu 606 wapatiwa mafunzo ya matumizi ya Tehama, ufundi wa vifaa
Ili kutekeleza azma ya Serikali inayolenga kuwezesha matumizi ya tehama katika kujifunzia na...
Tume ya Madini yaja na mkakati wa ushirikishwaji wa wazawa
Dodoma. Serikali imefanya marekebisho ya Kanuni za Ushirikishwaji wa Watanzania za mwaka 2018...
Waluguru kufanya tambiko la wahenga Morogoro
Jamii ya Waluguru mkoani Morogoro wanatarajia kufanya tambiko la kimila Januari 11, 2026...
TRA yaagizwa kuboresha mifumo ukusanyaji kodi
Arusha. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imetakiwa kuendana na kasi ya maendeleo ya sayansi na...
Stamico yalia upungufu malighafi kiwanda cha kusafisha dhahabu
Katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2025, kiwanda hicho kimenunua dhahabu ghafi kilo 2,995...
Kikwete aridhishwa na miradi ya maendeleo Pemba
Pemba. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
Starlink yasitisha huduma za intaneti Uganda
Mtoa huduma wa intaneti ya setilaiti, Starlink, amesitisha upatikanaji wa mtandao wake wa...
Amorim afungashiwa virago Man United
Klabu ya Manchester United imemfuta kazi kocha wake Ruben Amorim, kutokana na muendelezo wa...
Mradi wa EACOP wafikia asilimia 79, kukamilika Julai 2026
Mradi huo upo chini ya wanahisa Kampuni ya Total Energy yenye hisa asilimia 62, Shirika la...
Upelelezi wakwamisha kesi ya mauaji ya Mobe
Kesi ya mauaji ya Rhoda Mobe (42) aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha Burunga Wilaya ya Serengeti...
Kanisa la TMC latoa mkono wa pole Mpwapwa
Kanisa la Tanzania Methodist (TMC) limetoa mkono wa pole kwa washirika wa kanisa hilo waliopata...
Huu hapa ujumbe wa Venezuela kwa Marekani
Rodríguez alimrejea Rais wa Marekani, Donald Trump, akisema yeye, wananchi wa Venezuela na...
Maduro kufikishwa mahakamani Marekani leo
Maduro alikamatwa wakati wa uvamizi wa kijeshi uliofanyika Jumamosi mjini Caracas, tukio...
Singida BS yambadilishia majukumu Gamondi
Gamondi amefanikiwa kuiongoza Stars kuweka rekodi ya kucheza hatua ya mtoano ya AFCON kwa mara...
Watumiaji wa bahari watahadharishwa upepo mkali, mawimbi makubwa kuanzia leo
Kwa mujibu wa taarifa ya Tasac kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Jumapili Januari 4, 2026,...
Mambo saba Taifa Stars ikiaga mashindano Morocco
Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeaga rasmi mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika...
Madarasa ya mitihani yalivyo mzigo kwa wazazi
Kila saa 11:30 alfajiri, Nicodemas Massawe huwa tayari barabarani. Si kwa sababu ya kazi, bali...
Uchaguzi mwingine mdogo kufanyika Kilimanjaro, Morogoro
Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki...
ACT- Wazalendo yatanguliza mguu SUK
Chama cha ACT - Wazalendo kimeshatanguliza mguu mmoja mbele kuingia katika Serikali ya Umoja wa...
Rais Samia kuzindua bima ya afya kwa wote Januari hii
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Bima ya Afya kwa Wote Januari hii, kwa...
Waziri Sangu azuru Bakwata, atambulisha jukumu jipya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu ametembelea Ofisi za...
Waziri Kombo: Kuna haja ya kuwa na viongozi wenye ujuzi wa kuzungumza
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema...
Man United yabanwa ugenini
Manchester United imelazimishwa sare kwa mara ya pili mfululizo wakati safari hii ikiwa ugenini...
Wanaharakati Uganda washitushwa na ukamataji kuelekea uchaguzi
Kukamatwa na kisha kuwekwa rumande kwa Sarah Bireete, mtetezi mashuhuri wa haki za binadamu na...
Morogoro, Manyara, Zanzibar waanika fursa maeneo ya uwekezaji
Mikoa ya Morogoro, Manyara na Zanzibar imebainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo...
Msimamo wa Chadema wawaibua wadau, watoa maoni tofauti
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitoa msimamo wake ikiwemo kutaka...
Azam vs Simba yanukia nusu fainali
Leo Jumatatu, makundi mawili katika Kombe la Mapinduzi 2026 yanamaliza mechi zake ambapo baada...
Sababu ya Joshua kuishi Nigeria
Ni wachache wanaoweza kufikiria kupona katika ajali ya gari ya kusikitisha iliyogharimu maisha...
Diarra sasa aifuata Senegal
Kipa namba moja wa Yanga, Diarra Djigui usiku wa juzi alikuwa shujaa wa timu ya taifa ya Mali...
DC Sweda amaliza mgogoro kati ya waumnii, viongozi wa Kanisa Moravian
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Juma Sweda, amemaliza mgogoro uliodumu kwa miezi kadhaa kati ya...
Kocha aifungukia Nigeria
Kocha mkuu wa Msumbiji, Chiquinho Conde, ameonesha imani kubwa na uwezo wa timu yake kuelekea...
Kukamatwa kwa Maduro ni kama walivyokamatwa Noriega, Saddam
Taarifa za kukamatwa kwa kiongozi wa Venezuela, Nicolás Maduro, na kuwekwa chini ya ulinzi wa...
Bulaya kugharamia wanafunzi wasio na uwezo
Mbunge wa Bunda Mjini (CCM), Ester Bulaya amezindua programu maalumu ya kuwasaidia watoto ambao...
Makusanyo TRA ni zaidi ya matarajio, wachumi wasema…
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, mwaka jana uliohusisha vurugu katika baadhi ya maeneo, shughuli...
Dereva aliyefungwa Sudan Kusini asimulia safari yake gerezani, masaibu
“Miezi minane usiku na mchana niliishi na minyororo miguuni, leo naona mwanga. Ahsanteni...
DC Itunda: Serikali inathamini mchango wa viongozi na wasomi waliotumikia taifa
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda, amesema Serikali inaendelea kuthamini mchango wa...
Amorim aibua sintofahamu Man United
Kocha mkuu wa Manchester United, Ruben Amorim, ameashiria kuwepo kwa sintofahamu kati yake na...