Mfanyabiashara Keko ashinda Sh10 milioni Kampeni huduma za kifedha
Mfanyabiashara John Kaseka Kabalo, mkazi wa Keko, ametangazwa kuwa mshindi wa kitita cha Sh10...
Nguvu ya vijana na hatima ya ujenzi wa Afrika
Katika historia ya zaidi ya karne moja iliyopita, hakuna kizazi kilichoishi bila kukumbana na...
Maadhimisho ya Mapinduzi yatatue changamoto ya maji
Katika kipindi hiki, Serikali imezindua na kuweka mawe ya msingi au kukagua utekelezaji wa...
UDOM yazindua mradi wa TevuAfya kuimarisha afya ya akili kwa vijana
Dodoma. Katika hatua inayotajwa kuwa mwanga mpya kwa vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya...
Mwili wa dereva wa bodaboda waokotwa msituni Tabora
Mwili huo umetambuliwa kuwa ni wa Sigela Hamisi, mkazi wa Kata ya Tumbi katika Manispaa ya Tabora.
Shahidi aeleza mashine zilivyokutwa yadi kesi ya mafuta TPA
Ameeleza kuwa dereva alikimbia baada ya kuegesha gari hilo ndani ya yadi isiyo na mtu.
Biashara chuma chakavu inavyoathiri miundombinu ya umeme
Twange amesema suala la biashara ya chuma chakavu limekuwa kikwazo kikubwa, kwani wahalifu...
Sababu kupanda bei ya samaki, dagaa mchele
Kwa mujibu wa wavuvi, ndoo moja ya dagaa mchele yenye ujazo wa lita 20 iliyokuwa ikiuzwa kati...
Wabunge waapa kuisimamia Serikali, vikao vya kamati za Bunge vikiitishwa
Vikao hivyo ni maandalizi ya mkutano wa pili wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
Serikali yawabana wawekezaji ajira za wasomi wa vyuo vikuu
Mwanza. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dk Pius Chaya amewataka...
Balozi Kombo awahimiza vijana kuilinda amani ya nchi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
Wananchi wataja kero ya kukatikakatika ka umeme
Wananchi wa Kata ya Iwiji, Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamelalamikia kukosekana kwa huduma ya...
Zanzibar yazindua flyover ya kwanza Mwanakwerekwe
Ujenzi wa flyover hiyo namba moja ulianza Desemba mosi, 2023 na kukamilika Desemba 31, 2025 na...
Uganda yatoa kongole utekelezaji bomba la mafuta ghafi
Mradi huo unatekelezwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Uganda.
Madereva Watanzania waliokwama DRC waiangukia Serikali, yenyewe yajibu
Madereva hao ambao kwa mujibu wa waliozungumza na Mwananchi wamezuiwa kuendelea na safari...
Wananchi Arusha watoa dukuduku kwa tume Jaji Chande
Wananchi wa Mkoa wa Arusha wameitaka Tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya...
Veta yatakiwa kupanua wigo uandaaji wakufunzi, walimu tarajali
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir ameielekeza Mamlaka ya Elimu na...
Rais Samia kuzindua jengo la utawala Taasisi ya Sayansi za Bahari
Katika utekelezaji wa ajenda ya kuimarisha miundombinu ya elimu ya juu, Rais Samia Suluhu...
Naibu Waziri aridhishwa na mradi wa Kituo cha Umahiri Kikuletwa
Naibu Waziri huyo ameongeza kuwa ushirikiano uliopo kati ya chuo hicho na viwanda pamoja na...
RC Mtambi atoa siku 21 Tarura kupata ofisi za kudumu Mara
Kabla ya kutoa agizo hilo, Meneja wa Tarura Mkoa wa Mara, William Gyunah amesema miongoni mwa...
Kikundi cha WhatsApp chatoa msaada kwa walemavu, wafungwa Ludewa
Njombe. Wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya Mundindi, iliyopo katika Wilaya ya Ludewa...
Kaya 21 zazingirwa na maji ya mvua Uyole, Dk Tulia awafariji
Mvua hiyo imetajwa kuleta madhara ya uharibifu wa mali, vikiwemo vyakula, huku kaya mbili kati...
Magdalena afungua mwaka na Subaru Forester XT droo ya miaka 10 ya Halotel
Idadi hiyo ya wateja ni kuanzia mwaka 2015 ilipoanzishwa kampuni hiyo hapa nchini hadi Septemba...
STEM inavyoibua wanasayansi, wabunifu wa kesho
Sekta muhimu kama kilimo cha kisasa, afya, nishati, ujenzi, madini na mawasiliano zinahitaji...
Mzazi fanya haya kila siku kuimarisha elimu ya Mtoto
Siri ya mafanikio ya mtoto shuleni haipo kwenye ukuta wa madarasa pekee, bali kwenye mazingira...
Watoto wetu wako salama mabwenini?
Ongezeko la matukio ya ulawiti katika mabweni si suala la kufumbiwa macho tena.
Wajibu wako mzazi 2026 ni zaidi ya kulipa ada, sare
Kumpa mtoto elimu bora leo ni kuwekeza katika maendeleo ya kesho.
Mjengo wa Diddy waondolewa sokoni
Nyota wa muziki na mfanyabiashara maarufu duniani, Sean Combs 'P Diddy', ameondoa sokoni jumba...
Bendera ya ligi yetu ilivyopepea Morocco
Makala ya 35 ya mashindano ya soka kutafuta taifa bingwa barani Afrika, AFCON 2025, yanaendelea...
Jiongeze: Konde na nyayo za JB Mpiana
Konde kachakazwa na huba la ‘Da Kei’ wa Obey. Konde hasikii la muadhini wala mnadi swala. ‘Da...
Ndani ya Boksi: Jay Melody + Marioo, Aslay + Mbosso=?
Haya majina na warembo ni kama pipi na watoto ama kitunguu na nyanya. Vinywa vyao viliumbwa kwa...
Athari chanya za Diamond kwa wasanii wake!
Tangu ameanza mradi wa kuwasimamia wanamuziki wenzake chini ya WCB Wasafi, hakuna ubishi kuwa...
Miroshi anaondoka bila deni AFCON
Nyota wa Kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas Miroshi anayekipiga kwenye Klabu ya Göztepe...
Asap Rocky awalipia kodi ya Januari 2026
Msanii wa Hip Hop, mtayarishaji muziki na mwanamitindo kutokea Marekani, Asap Rocky, 37...
Miezi mitatu tu, makocha saba wamesepa Bara
Katika maisha ya ukocha, kuna msemo maarufu zaidi unaosema 'Makocha huajiriwa ili kufukuzwa.'...
Mamia wajitokeza kujiandikisha Nida Tabata, vyeti vya kuzaliwa kikwazo
Waliozaliwa miaka ya 1970 kurudi nyuma walitakiwa kuwa na kiapo kutoka mahakamani.
Barnaba anaitaka tena rekodi yake 2026
Mwimbaji wa Bongo fleva, Barnaba Classic, 35, anatarajia kuachia albamu yake nyingine mwaka huu...
Ngowi achaguliwa kuwa diwani Kirua Vunjo Magharibi
Wananchi waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 7,790 na waliopiga kura ni 4,358, ambapo kura za...
Kauli ya kwanza ya Maduro alipofikishwa mahakamani Marekani
Maduro na mkewe wamekana mashtaka yote waliyosomewa na hawakuomba dhamana huku akiendelea...
Tofauti ya mishahara kwa madaktari yamuibua Waziri Mchengerwa, atoa maelekezo
Waziri huyo ametoa maelekezo hayo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk Seif Shekalaghe na Katibu...
Delcy Rodriguez: Mwanamke aliyetwaa madaraka katikati ya dhoruba ya kimataifa
Mahakama Kuu ya Venezuela ikiungwa mkono na jeshi, ilitoa uamuzi wa haraka: Delcy Rodriguez...