Bwege azikiwa Kilwa, viongozi walivyomzungumzia
Baadhi ya viongozi na wanasiasa wamemzungua aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara,...
Unyanyapaa wakwamisha ndoto za wasichana wanaorejea shuleni
Licha ya Serikali kuruhusu wanafunzi walioacha shule kutokana na ujauzito au changamoto...
Mfumo wa NEST ulivyookoa fedha taasisi za umma
Juhudi za Tanzania kuhamisha ununuzi wa umma kidijitali zimeanza kuonyesha matokeo baada ya...
‘Lumumba’ kuikosa DR Congo dhidi ya Jamaica kisa viza
Shabiki maarufu wa DR Congo, Michel Kuka Mboladinga ‘Lumumba’ hatoonekana uwanjani baadaye...
Wananchi Mwanza wapewa elimu kujilinda kifedha
Katika juhudi za kuimarisha ulinzi wa kifedha na uwezo wa wananchi kukabiliana na changamoto...
Serikali yaahidi kutimiza ndoto za Lukuvi Ismani
Ndoto za maendeleo alizoziacha aliyekuwa mbunge wa Ismani kwa zaidi ya miongo mitatu, William...
Babati wapanda miti 5,000 kuunga mkono upandaji wa miti milioni 1.5
Katika kuhakikisha shoroba za wanyamapori zinatunzwa na mazingira yanaendelea kustawi, wadau wa...
Wanawake wabeba uchumi wa buluu, lakini wanabaki pembeni katika maamuzi
Wanawake katika uchumi wa buluu bado wako nyuma katika ngazi za maamuzi licha ya mchango wao...
Hizi hapa fursa 300 za ajira Saudi Arabia, mshahara Sh7 milioni
Aidha, mwajiri atagharamia huduma za matibabu, malazi, chakula pamoja na tiketi za safari ya...
Dk Mwigulu awaweka matumbo joto watendaji Iringa, atangaza ziara
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ametangaza mpango wa kufanya ziara mkoani Iringa...
Miche 534,000 ya kahawa yagawiwa kwa wakulima Vunjo, kuinua uchumi
Serikali imetoa miche ya kisasa 534,000 ya kahawa bure ya kahawa kwa wakulima Wilaya ya...
Miundombinu chakavu, mivujo yatikisa upatikanaji wa maji
Kwa baadhi ya wakazi kupata maji mikoa mbalimbali nchini imekuwa kama bahati nasibu, leo...
Mavunde azuia kutangazwa bei ya makaa ya mawe bila maoni ya wadau
Maagizo hayo yametolewa kufuatia malalamiko ya wadau wa sekta hiyo waliowasilisha hoja ikiwemo...
Wanne waliokata rufaa kupinga adhabu ya kifo, wakwaa kisiki
Mahakama ya Rufani imekataa rufaa ya watu wanne waliokuwa wanapinga adhabu ya kunyongwa hadi...
Samia mgeni rasmi harambee ya kuchangia matibabu ya selimundu, figo
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamini Mkapa (BMH) imepanga kufanya harambee ya kusaidia...
Iran yashambulia tenki kubwa la mafuta karibu na Dubai
Iran imeshambulia na kuchoma moto tanki kubwa la mafuta ghafi karibu na pwani ya Dubai Jumatatu...
Bunge laahirishwa, bajeti kusubiri kusomwa rasmi
Macho yote yanaelekezwa kesho Jumatano Aprili Mosi, 2026, ambapo Waziri Mkuu atafungua pazia la...
Mbeya City yatenga Sh10 milioni kuimaliza KMC
Katibu Msaidizi wa Mbeya City, Joseph Mlundi amesema kuwa lengo la kutenga kiasi hicho ni...
Ashutosh Jog: Kila mradi uliokamilika ni ushuhuda wa ahadi yetu kwenye ubora na uaminifu
Wakati tunaanza lengo letu lilikuwa wazi ya kwamba tunataka kutimiza ahadi zetu na kujenga...
Iran yashambulia meli kubwa ya mafuta karibu na Dubai
Iran imeshambulia na kuchoma moto tanki kubwa la mafuta ghafi karibu na pwani ya Dubai Jumatatu...
ACT Wazalendo kugharimia mazishi ya Bwege
Chama cha ACT Wazalendo, kimeahidi kubeba gharama zote za mazishi ya aliyekuwa mwanachama wake,...
Haya hapa matobo ya Sheria ya Elimu
Wadau wa elimu nchini wametaka kuandaliwa kwa sheria mpya itakayosimamia elimu nchini ambayo...
Wito shule binafsi kuchangamkia elimu ya amali
Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, ambako ajira rasmi zinazidi kuwa haba na ushindani wa...
Mary Mugitu na ndoto ya biashara iliyogeuka tumaini kwa wanawake
Mugitu akizungumza na Mwananchi hivi karibuni, amesema kwake biashara haikuwa njia ya kutafuta...
Wanawake wabeba mzigo wa mabadiliko ya tabianchi kimyakimya
Dar es Salaam. Wakati athari za mabadiliko ya tabianchi zikiendelea kuathiri maisha ya wananchi...
Wabunge kuanza kibarua cha bajeti kesho
Mambo hayo yameelezwa na makundi mbalimbali ya wananchi, kutokana na uhalisia wa hali ilivyo...
PPRA yabaini ‘madudu’ kwenye manunuzi ya umma
Simba amesema pamoja na mafanikio yaliyofikiwa, asilimia 30 ya taasisi hazikutenga fedha kwa...
Serikali yatoa misaada kwa waathirika wa mafuriko Ifakara
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imeanza kutoa msaada wa kibinadamu kwa wananchi...
Serikali yasisitiza ukaguzi migodini kukabili hatari
Watendaji wa sekta ya madini, hususan maofisa madini wakazi wa mikoa, wametakiwa kufanya...
Tope soko la Mabibo kero sugu, bila mabuti hutoboi
Ikiwa imepita miaka mitatu tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kuchukua soko la Mabibo...
Stamico, Planet One wasaini mkataba uchimbaji madini ya kinywe
Naibu Waziri wa Madini, Dk Stephen Kiruswa amesimamia utiaji saini wa mkataba wa utafiti...
Gavana apigilia msumari usawa wa kijinsia sekta ya benki
Waraka huo wa mwaka jana 2025 unataka hadi ifikapo Juni mwaka 2028 kuwe na asilimia 30 ya...
Mwalimu auawa mgogoro wa shamba watajwa
Simanzi, hofu na maswali mengi yamegubika Kijiji cha Mdenga, kata ya Nangoo wilayani Masasi...
Hasara yazidi kuziandama ATCL, TRC
Mashirika mawili ya kimkakati kwenye usafirishaji – Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Shirika...
Wananchi Maswa waomba ushirikiano utunzaji mazingira
Wananchi wa mji wa Maswa mkoani Simiyu wametoa wito kwa jamii kushiriki kikamilifu katika...
Rais Samia aagiza kuchukuliwa hatua taasisi zilizopata hati chafu
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itasimamia kikamilifu mapendekezo yaliyotolewa na Mdhibiti...
Dk Mwinyi: Mfumo huduma za afya kidijitali umeanza kuleta matokeo Zanzibar
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya...
Serikali kuipa ‘meno’ NEMC, wachafuzi mazingira…
Serikali imetoa onyo kali kwa wanaochafua mazingira wakiwemo wazalishaji wa mifuko ya plastiki...
CAG ataja sababu baadhi hoja zake kutotekelezwa
Amesema mwenendo huo ni ishara kwamba mfumo wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya...
Bwege afariki dunia
Familia inaendelea na kikao cha ndani kupanga taratibu za mazishi, na taarifa rasmi zitatolewa...
Serikali yaingilia kati mgogoro wakulima, wafugaji Korogwe
Mvutano kati ya wakulima na wafugaji katika vijiji vya Magungacheki na Mkokola wilayani Korogwe...
Teknolojia mpya kukabili wahalifu wa misitu
Tanzania ikiwa na zaidi ya hekta milioni 48.1 za misitu, sawa na asilimia 55 ya eneo lote la...
CRDB yapata tuzo benki bora ya uwezeshaji wa biashara Afrika Mashariki
Benki ya CRDB imetunukiwa na Shirika la Fedha Duniani (IFC), tuzo ya kimataifa ya ‘Benki Bora...
TLS kujadili utekelezaji Dira 2050, lishe bora na maisha nje ya mahakama
Wakati Tanzania ikijiandaa kwa mabadiliko ya kimaendeleo kufikia dira ya Taifa 2050, wanasheria...