URA wana jambo lao, kocha asimulia mateso waliyopitia
URA FC ya Uganda imeanza vizuri michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mlandege, lakini kuna kitu kocha wa kikosi hicho amekisimulia.
URA FC ya Uganda imeanza vizuri michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mlandege, lakini kuna kitu kocha wa kikosi hicho amekisimulia.
OFISA Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza, amesema moto alioanza nao mshambuliaji wa timu hiyo, Joseph Guede, unamkumbusha alivyokuwa Jonathan Sowah.
KIUNGO wa Azam FC, Himid Mao ametoboa siri ya ubora wake akisema unachangiwa na namna ambavyo anayapokea majukumu kutoka kwa kocha na kuyatimiza inavyotakiwa.
MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Mlandege FC, hesabu zinaonyesha wameumaliza mwendo katika michuano hiyo baada ya kupoteza mechi mbili za kwanza hatua ya makundi.
KIKOSI cha Pamba Jiji kimerejea kambini kujifua tayari kwa ngwe iliyosalia na Ligi Kuu Bara pamoja na michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyosimamishwa tangu mapema Desemba mwaka jana kupisha…
MLANDEGE FC ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi, lakini ilichofanya mechi mbili za hatua ya makundi, yenyewe imeshindwa kujitetea. Inabondwa tu.
WAKATI duru la kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar likimalizika, mambo mbalimbali yamejitokeza ikiwamo kufungiwa kwa waamuzi, wachezaji, viongozi na hata mashabiki walioonekana kwenda kinyume cha utaratibu.
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) lina msemo wake maarufu ‘Play Fair, Be Positive’ ukiwa na maana kwamba ‘Cheza kwa Haki, Kuwa Chanya’.
MBONI Steven Kibamba amepania kufanya vizuri katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja.
MABINGWA mara moja wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA wameanika mikakati yao katika mashindano hayo yaliyoanza Desemba 28, 2025 yakichezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja.
BEKI wa kati wa Simba aliyepo katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 akiwa na timu ya taifa, Taifa Stars, Wilson Nangu amesema kuna utofauti kubwa ya…
MABOSI wa Dodoma Jiji wameanza maboresho ya kikosi hicho kimya kimya katika dirisha hili dogo linalofunguliwa rasmi leo Januari 1, 2026, ambapo kwa sasa wanakaribia kupata saini ya mshambuliaji nyota…
BEKI wa kati wa raia wa Ivory Coast anayekipiga Singida Black Stars, Anthony Tra Bi Tra yupo katika hatua za mwisho za kuachana na kikosi hicho dirisha hili dogo la…
UONGOZI wa Singida Black Stars una mpango wa kumtoa kwa mkopo nahodha wa timu hiyo, Kennedy Juma kwenda Mashujaa ambako umemng’oa Abdulmalik Zakaria.
TRA United imetuma ofa Singida Black Stars ya kumtaka beki wa kulia, Kelvin Kijili, ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya raundi ya pili msimu huu.
TAIFA Stars imekaza msuli na kutoka sare ya bao 1-1 na Tunisia katika mchezo wa Kundi C la mashindano ya Kombe la Matiafa ya Afrika (Afcon) na hivyo timu hizo…
Uhondo wa mechi za leo unatokana na wapinzani wanaokwenda kukutana, huku kila mmoja akihitaji kushinda na kusaka rekodi.
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa kuanzia Januari Mosi, 2026, uongozi wa Mbeya City uko katika mazungumzo ya kuipata saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Zawadi Mauya, ikiwa ni…
KIUNGO wa JKT Tanzania, Saleh Karabaka amesema japo msimu huu anataka kufunga mabao mengi ikiwezekana 20, lakini bado haamini kilichomtokea hadi sasa kwani tangu aanze kucheza Ligi Kuu ndiyo mara…
DODOMA Jiji iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Mghana Dennis Modzaka baada ya kikosi hicho na nyota husika kufikia makubaliano.
MABINGWA mara nne wa Kombe la Mapinduzi, Simba SC, imeambiwa ije kwa tahadhari kushiriki mashindano hayo kwani ratiba ya mechi zao mbili hatua ya makundi hazitakuwa rahisi.
HEBU fikiria. Wewe ni mchezaji, inatoka listi ya wanaoanza kikosi cha kwanza katika mechi, jina lako lipo, lakini baada ya dakika 28 tangu kipute kuanza, unaitwa benchi. Nafasi yako anachukua…
TIMU za KVZ na TRA United zilizopo Kundi C la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 ambalo pia linaijumuisha Yanga, zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1.
KOCHA Msaidizi wa Fufuni, Sueliman Abbas na Sheha Khamis Rashid wa Muembe Makumbi City, kila mmoja kwa waakati wake ameitaja presha ndiyo iliyoamua matokeo ya mechi baina yao.
MCHAKATO wa mabadiliko ya Katiba Mpya ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) umeingia ‘mdudu’ baada ya Chama cha Mapromota wa mchezo huo (TAPBPA) kusema hakijafurahishwa na kilichofanyika na…
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wamefungua mazungumzo na klabu ya Ghazl El Mahalla ya Misri ili kuipata saini ya beki wa kushoto wa kikosi hicho, Mtanzania…
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa TRA United (zamani Tabora United), Emmanuel Mwanengo ameanza mazoezi na Yanga tayari kwa kushiriki michuano ya Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar.
HAKUNA namna. Taifa Stars ina dakika 90 ngumu usiku wa leo mbele ya Tunisia. Ni ushindi pekee ndio unaweza kuifanya timu hiyo isalie Morocco ama ifungashe virago kurudi nyumbani kama…
JANA Jumatatu kuanzia saa 10:15 jioni, vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, Fufuni walikuwa uwanjani kucheza dhidi ya Muembe Makumbi City katika Kombe la Mapinduzi 2026, lakini kocha wa kikosi hicho,…
MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA kutoka Uganda, wameambiwa wajiandae kupokea kipigo kutoka kwa watetezi wa michuano hiyo, Mlandege ya Unguja.
WINGA wa zamani wa Simba, Rashid Juma Mtabigwa, ameonekana akiichezea Mlandege katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, huku kocha msaidizi wa…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge hajakaa kinyonge kwani baada ya mechi yao ya kwanza katika Kombe la Mapinduzi iliyopangwa kuchezwa Desemba 28, 2025 dhidi ya URA kusogezwa mbele,…
BAADA ya kurejea kuitumikia Singida Black Stars, mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guede ameonekana kupandisha mzuka kikosini hapo.
BAADA ya kurejea ndani ya kikosi cha Singida Black Stars, mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guede, ameanza na mguu mzuri kwa kufunga bao lililoihakikishia pointi tatu timu hiyo katika ushindi wa…
SARE ya bao 1-1, iliyoipata Taifa Stars juzi katika Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), dhidi ya Uganda ‘The Cranes’, imeiweka timu hiyo katika mtego wa kufuzu hatua ya 16…