Sebo aendeleza rekodi mbovu kwa Singida Black Stars
BEKI wa kati wa Singida Black Stars, Abdallah Kheri 'Sebo', amekuwa mchezaji wa pili wa timu hiyo msimu huu kujifunga dhidi ya TRA United, akiendeleza rekodi mbovu kwa kikosi hicho…
BEKI wa kati wa Singida Black Stars, Abdallah Kheri 'Sebo', amekuwa mchezaji wa pili wa timu hiyo msimu huu kujifunga dhidi ya TRA United, akiendeleza rekodi mbovu kwa kikosi hicho…
WAKATI New Stone Town ikiwa na hali mbaya katika msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), hivi sasa hatma yao ya kusalia katika ligi hiyo imeshikiliwa na Chipukizi.
KIUNGO mshambuliaji wa Pamba Jiji, Peter Lwasa ambaye msimu uliopita alimaliza na mabao manane akiwa Kagera Sugar, amesema hajawa na mwendelezo mzuri wa kufumania nyavu msimu huu kutokana na kutocheza…
FOUNTAIN Gate imesema tatizo la timu hiyo kutokuwa na matokeo mazuri ni kutokana na ufinyu wa kikosi chake na mechi nne zijazo ikiwamo dhidi ya Simba itakazocheza nyumbani ndizo zitaamua…
Kabla ya mchezo huo, itacheza na TRA United uwanjani hapo Aprili 9, 2026 na Aprili 15, 2026 itakuwa na mechi nyingine hapo dhidi ya Fointain Gate.
Katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam ndiko ulikopigwa mchezo wa dabi ya Mzizima iliozikutanisha Azam FC na Simba katika kampeni ya kusaka taji la Ubingwa wa…
MUDA mchache baada ya leo Aprili 5, 2026 Singida Black Stars kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Walima Alizeti hao wamevunja…
PAMOJA na Tanzania Prisons kushika nafasi ya pili kutoka mkiani katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 13, nyota wa timu hiyo, bado wana imani ya kusalia msimu…
ALICHOKIFANYA kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' msimu wa 2023-2024 na 2024-2025 na muendelezo wake msimu huu, kimewaibua baadhi ya mastaa wa zamani kuona anaweza akaandika rekodi…
ACHANA na matokeo ya ushindi wa 3-2 waliopupata Mbeya City dhidi ya KMC, uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya umesema timu hiyo itarejesha makali yake licha ya kutoanza vyema…
BAADA ya kufanya kweli katika mchezo uliopita, Dodoma Jiji imesema kwa sasa inafikiria jinsi ya kuvuka mtego dhidi ya Simba ili kujitabiria makubwa na historia mpya katika Kombe la Shirikisho…
ZAIDI ya wanamichezo 5000 wanatarajia kukutana jijini Mbeya kwa ajili ya kushiriki michuamo ya Shirikisho la Michezo kwa Serikali za Mitaa Tanzania (Shimisemita) itakayoanza Agosti 15 hadi 29 mwaka huu,…
KUANZIA sasa, Black Sailors inahitaji pointi tisa tu ili msimu ujao ishiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) baada ya msimu huu kuwa na mwendo mzuri katika Ligi Daraja la Kwanza Kanda…
CHIPUKIZI, Mwenge, Wawi Stars, Azimio, Machomane na Chakechake, zimefuzu robo fainali ya Kombe la FA Kanda ya Pemba, baada ya kufanya vizuri hatua ya 16 bora.
KINARA wa mabao Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, kutoka Black Sailors, Mansour Omar Kombo 'Vardy' amesema presha ya mashabiki ndiyo sababu kubwa inayomfanya ashindwe kutupia mabao kwenye mechi…
LICHA ya timu ya Taifa ya Kabaddi Wanawake Zanzibar kushiriki mashindano ya kimataifa yaliyofanyika Bangladesh na India kutwaa taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo, lakini bado wanawake kisiwani hapa…
SERIKALI ya Tanzania imeipongeza timu ya Dar City kwa kuweka historia ya kufuzu hatua ya nane bora (mtoano) ya mashindano ya mpira wa kikapu ya Africa (Basketball Africa League).
TAUSI FC imemtambulisha Baraka Kilasi kama moja ya makocha watakaounda benchi la ufundi akiungana na makocha wengine Wajerumani wawili ambao ni Paul Gomez na Martin.
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Queens umetokana na mabadiliko makubwa ya kiufundi na kisaikolojia kwa wachezaji wake.
HADI raundi ya 12 mshambuliaji wa Yanga Princess, Jeaninne Mukandayisenga anaongoza kwenye msimamo wa wafungaji akiwa na mabao 18, huku akiacha maswali kama ataivunja rekodi ya Aisha Masaka
KIUNGO wa Simba Queens, Vivian Corazone amesema hakuna mechi rahisi kwenye ligi hiyo kwani kila timu inapambana zaidi inapokutana nayo.
BAADA ya kutoka sare tatu mfululizo, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya maafande wa Tanzania Prisons, katika mechi iliyopigwa Kwenye Uwanja…
WAKATI leo Jumapili Wakristo wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka inayoendana na kumbukumbu ya tukio la kufufuka kwa Bwana Yesu, Jiji la Dar es Salaam sherehe hizo zitanogeshwa na mechi kali ya…
UONGOZI wa KMC FC umefikia makubaliano ya kuachana na Abdallah Mohamed ‘Baresi’, kwa maku-baliano ya amani ya pande zote mbili, huku kocha huyo akidumu kwa siku 94, sawa na miezi…
KICHAPO cha mabao 3-0 ilichokipata Fountain Gate dhidi ya Dodoma Jiji katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Aprili 3, 2026 kwenye Uwanja wa Airtel Singida, kimemtisha Kocha Mohamed Ismail ‘Laizer’…
MZUNGUKO wa 21 wa Ligi Kuu Zanzibar umemalizika kwa kuacha furaha na majeraha kwa baadhi ya timu huku zingine zikiwa na vilio kwa kunyimwa haki zao.
KATIKA hali ya kushanga lililokuwa tukio la “kupeperusha bendera” ya Klabu ya Alianza Lima kabla ya mechi ya dabi ya Peru dhidi ya Universitario de Deportes lilimalizika kwa kifo cha…
KATIKA dakika 630 alizocheza mshambuliaji wa Mbeya City, Matheo Antony amefunga mabao mawili, lakini pamoja na hilo amesema haujawa msimu mzuri kwake kutokana na kukosa nafasi ya kucheza mara kwa…
KWA miaka mingi, Tanzania imekuwa uwanjani, lakini si kwenye mbio za fedha kubwa za riadha duniani.
WAKATI matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, walipotangaza kumsajili kipa Issa Fofana, raia wa Ivory Coast, katika dirisha kubwa la usajili la msimu huu, baadhi ya mashabiki…
NDANI ya klabu kubwa kama Yanga, maisha ya mchezaji yanazunguka zaidi ya dakika 90 za uwanjani. Ni maisha yanayohitaji nidhamu, uvumilivu, ushindani wa hali ya juu na uwezo wa kukabiliana…
MAAFANDE wa Mashujaa wameshindwa kutamba Kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini, Kigoma, baada ya kulazimishwa suluhu (0-0), dhidi ya kikosi cha Pamba Jiji, 'TP Lindanda' au 'Wanakawekamo', katika mechi kali…
MSHIKE MSHIKE wa Ligi Kuu unaendelea tena leo Jumamosi kwa kushuhudiwa mechi tatu zikipigwa kwenye viwanja mbalimbali, huku mabingwa watetezi Yanga wakiwa na kibarua cha kupambana na maafande wa Tanzania…
BAADA ya kipa wa Dodoma Jiji, Ally Salim kukaa nje kwa takribani mwezi mmoja alipoumia mechi dhidi ya Mbeya City, iliyokuwa imepigwa Uwanja wa Sokoine, Machi 02, 2024 na kumalizika…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kwa nafasi nne za juu, moto unawaka baada ya mechi za raundi ya 21 kuchezwa na kuleta picha mpya tofauti na ilivyokuwa awali.
KOCHA Msaidizi wa Chipukizi inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutokea kisiwani Pemba, Mzee Ali Abdallah amesema kwa usajili waliofanya dirisha dogo mismu huu wameanza vizuri mzunguko wa pili na matarajio…
MKUU wa Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ), Said Shamhuna amesema baada ya kuona timu ya wanawake inafanya vizuri kwa kuchukua ubingwa mara kwa mara, wamevutiwa na kuhitaji kutoa fursa hiyo…
LICHA ya Raskazone inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Sharpboys, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Haji Kombo Haji amelia na baadhi ya…
MAKAMU Mwenyekiti mpya wa Barberian FC, Robert Munis amesema baada ya kukabidhiwa wadhifa huo muhimu kikosini humo, kwa sasa kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha anainusuru timu hiyo isishuke daraja…
WAKATI Gunners FC ikijiandaa na mechi ya Ligi ya Championship dhidi ya Mbuni FC ya Arusha itakayopigwa Kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini, Dodoma, Aprili 18, 2026, kocha wa timu hiyo,…
BEKI wa kushoto wa Bigman FC, Adeyum Saleh amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho msimu huu, bado wana fursa ya kumaliza nafasi tano za juu katika msimamo wa…
KIPIGO cha mabao 2-1, ilichokipata Singida Black Stars juzi katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, kimemfanya kocha wa kikosi…