Sichone aanza kufunga UAE
WINGA Mbongo Morice Sichone anayeitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ya Falme za Kiarabu ameanza vizuri akifunga mabao mawili licha ya hali ya taharuki inayosababishwa na machafuko ya…
WINGA Mbongo Morice Sichone anayeitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ya Falme za Kiarabu ameanza vizuri akifunga mabao mawili licha ya hali ya taharuki inayosababishwa na machafuko ya…
MSHAMBULIAJI Said Hamis Said Jr anayekipiga Imigresen, anaendelea kuonyesha makali yake katika Ligi Kuu ya Malaysia baada ya kuwa miongoni mwa wachezaji wanaoibeba timu hiyo.
WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ameendelea kuonyesha kiwango bora katika Ligi Kuu ya Iraq baada ya kufunga bao muhimu na kisha kulitoa zawadi kwa taifa la Iran…
WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ameendelea kuonyesha kiwango bora katika Ligi Kuu ya Iraq baada ya kufunga bao muhimu na kisha kulitoa zawadi kwa taifa la Iran…
WAKATI kesho Machi 8 ni Siku ya Wanawake Duniani, waasisi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), wamekutana na kukumbushia safari ya mafanikio ya chama hicho na kuhamasisha…
MUDA mfupi baada ya Singida Black Stars kutangaza kumuondolea adhabu ya kumsimamisha kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na tuhuma za upangaji matokeo kipa wa kikosi hicho, Amas Obasogie, mwenyewe…
WINGA wa Coastal Union, James Msuva amesema bado anahitaji muda kuzoea mazingira ya timu mpya akieleza kuwa kujiunga na kikosi hicho katikati ya msimu kimempa shida kidogo.
LICHA ya kipa namba moja wa Dodoma Jiji, Ally Salim kukosekana uwanjani kutokana na majeraha ya bega, lakini kocha Amani Josiah amesema hatakuwa na haraka ya kumtumia, kwani lengo ni…
AZAM FC baada ya kucheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara ugenini na kutoka sare zote, leo Jumapili itakuwa nyumbani ikiikaribisha Mbeya Kwanza katika hatua ya 32 Bora ya Kombe…
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Twiga Stars, kinarejea leo kutokea Falme za Kiarabu kilipokita kambi kwa ajili ya kujiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa…
ZIKIWA zimepita siku mbili baada ya Singida Black Stars kumfutia adhabu kiungo Khalid Aucho ya kumsimamisha kwa miezi mitatu kutokana na utovu wa nidhamu na utoro kazini, pia imefanya hivyo…
MCHEZAJI kinda wa Kitanzania, Barka Seif, ameula katika kikosi bora cha vijana wenye umri chini ya miaka 12 kilichochaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Catalonia (FCF).
BAADA ya kuanza na pointi moja dhidi ya Azam FC, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa amesema hesabu zinahamia kwa Yanga kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la…
BAADA ya mabingwa mara tatu wa Kombe la Shirikisho la FA, Simba kutoka suluhu (0-0), dhidi ya watani zao wa jadi, Yanga katika mechi ya Ligi Kuu, iliyopigwa Machi 1,…
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imetoa adhabu kwa klabu, wachezaji na waamuzi kufuatia matukio yaliyojitokeza katika michezo mbalimbali ikiwemo Dabi ya Kariakoo iliyopigwa wikiendi iliyopita, Zanzibar.
TIKETI ya kuisaka michuano ya kimataifa msimu ujao, inaanza leo Ijumaa kwa mechi za raundi ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, huku JKT Tanzania, Dodoma Jiji na…
Wakati Azam FC ikinung'unika na sare ya pili mfululizo, Tanzania Prisons ni kicheko kwa kupata pointi moja dhidi ya wapinzani wao hao katika mechi ya Ligi Kuu Bara.
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeendeleza rekodi bora ya kutopoteza, baada ya kikosi hicho kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi kali…
UONGOZI wa Namungo FC, uko katika mazungumzo ya kumwongezea mkataba mpya mshambuliaji wa kikosi hicho, Mkongomani, Fabrice Ngoy, baada ya mabosi wa timu hiyo kuridhishwa na kiwango chake.
NAHODHA wa Stein Warriors, Mwalimu Herry amekiri kuna mabadiliko makubwa katika mchezo huo, yakichangiwa na udhamini pamoja na bonasi zinazotolewa kwa wachezaji.
FAINALI ya kwanza ya Dunda Swish Basketball Tournament, inatarajia kufanyika keshokutwa (Jumapili) ikizikutanisha Bugando Planet na Bandari Mwanza, kwenye Uwanja wa Mirongo, Mwanza.
USHINDI wa bao 1-0, ilioupata Fountain Gate dhidi ya Mbeya City katika mechi ya Ligi Kuu Bara, iliyopigwa Machi 3, 2026, kwenye Uwanja wa Sokoine jijini, Mbeya, umemfanya kocha wa…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Baraka Mwangosi ametajwa kama mchezaji atakayefanya makubwa baadaye, huku akitakiwa hivi sasa kujifunza vitu vingi kiufundi na ushindani vitakavyomjengea kujiamini na kutegemewa katika timu hiyo na Taifa…
MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Edgar William amesema licha ya kiwango kizuri anachoendelea kukionyesha kwa sasa akiwa na kikosi hicho cha 'Walima Zabibu', lakini malengo yake makubwa ni kufunga mabao mengi…
UONGOZI wa Singida Black Stars, umetangaza kumsamehe kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho na kumrejesha kazini kuanzia leo Machi 5, 2026 baada ya kufanyika kwa majadiliano na tathmini ya kina…
WIKIENDI hii hatua ya 32 Bora katika Kombe la Shirikisho (FA) inakwenda kuchezwa baada ya ile ya 64 kumalizika huku tukishuhudia timu moja kati ya 16 za Ligi Kuu Bara…
KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Nassor Saadun amewekwa chini ya uangalizi wa madaktari wa kikosi hicho baada ya kutoonekana uwanjani kutokana na majeraha ya nyama za paja.
MWENENDO usioridhisha wa Mbeya City kwa sasa katika mechi za Ligi Kuu msimu huu, zimemweka kwenye wakati mgumu kocha wa timu hiyo, Mecky Maxime, huku presha ikizidi zaidi baada ya…
KOCHA wa KMC, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, amesema mechi tano zijazo za Ligi Kuu Bara kwa kikosi hicho zitakuwa za uamuzi mgumu wa kuamua hatima yao, japo jambo nzuri kwao kama…
KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Maimuna Hamis ‘Mynaco’ amesema kusimamishwa kwa mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) yana faida na hasara kwa upande wa…
WAKATI mashabiki wa Mbeya City wakilia na matokeo yasiyoridhisha, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime amesema tatizo ni upepo kikosini na ubutu wa straika wake katika kutumia nafasi wanazopata.
BEKI wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ anayeichezea Transit Camp inayoshiriki Championship, alisema anajifunza vitu vingi kutoka ligi hiyo anayocheza kwa mara ya kwanza, huku akifichua huko zaidi nguvu…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amethibitisha kwamba, nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Dickson Job, hatakuwa sehemu ya mechi ya kesho Alhamisi dhidi ya Singida Black Stars kufuatia kuumia enka.
BAADA ya kutambulishwa kuwa kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Shedrack Nsajigwa amesema yuko tayari kuikabili Azam FC, akieleza jinsi alivyoibadili timu hiyo ndani ya uwanja kurejesha ushindi kikosini.
KOCHA Mkuu wa Azam, Florent Ibenge, amesema licha ya matokeo mazuri waliyonayo lakini hafurahii sana kwani pointi walizozidiwa na Yanga na Simba zinampa uchungu kufikia malengo yao ya ubingwa msimu…
WAKATI kumekuwa na mijadala kuanzia mtaani hadi mitandaoni kuhusu kanuni za Ligi Kuu Bara msimu huu ambao zimeonekana kuuma kwelikweli, baadhi yaa mastaa na manahodha wa klabu za ligi hiyo…
MAJIBU ya maswali kuhusu wapi Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu itachezwa yamepatikana baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa kupisha…
MENEJA Mkuu wa Singida Black Stars, Othmen Najjar amesema kikosi kipo tayari kwa mtihani wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga itakayochezwa Alhamisi hii Machi 5, 2026, akiweka wazi maandalizi…