Hasheem Thabeet kuanza na haya kikapu
RAIS mpya wa TBF, Hasheem Thabeet amesema mambo mazuri yanakuja baada ya kuchaguliwa kuliongoza shirikisho hilo la mpira wa kikapu nchini akigusia ligi ya kikapu kupigwa mikoa yote.
RAIS mpya wa TBF, Hasheem Thabeet amesema mambo mazuri yanakuja baada ya kuchaguliwa kuliongoza shirikisho hilo la mpira wa kikapu nchini akigusia ligi ya kikapu kupigwa mikoa yote.
MBEYA City imeendelea kuwa na matokeo ya kusuasua kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuchapwa bao 1-0 na Fountain Gate kwenye mechi kali ya kufunga mzunguko wa kwanza kwa timu…
YANGA inaendelea na mikakati ya kuhakikisha mpira wa miguu hapa nchini unakua na kutengeneza vijana waliopitia njia sahihi za kulelewa katika misingi inayotakiwa ili kuzitimiza ndoto zao.
WAKATI hali ya taharuki ikiendelea kuripotiwa katika baadhi ya maeneo ya Mashariki ya Kati kufuatia mshambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, imeripotiwa wachezaji watatu wa Kitanzania wanaokipiga katika…

TAASISI ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imesema iko tayari kwa ajili kutoa huduma kwa wanamichezo watakaopatwa na madhira kwenye mashindano ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.
ILI kukuza na kuendeleza vipaji na kufungua fursa za uchumi na ajira kwa wasomi, Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) kimesema kinatarajia kufungua kituo maalumu cha michezo ‘Academy’ mahsusi kwa wahitimu…
SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya…
SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya…
WAKATI Mbeya City ikitamba kuendeleza ubabe Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameonyesha hofu ya kukaa muda mrefu bila kucheza akidai inaweza kuwaathiri kesho watakapoikabili Fountain…
BEKI wa kushoto wa Bigman, Adeyum Saleh, amesema siri ya kufunga mabao zaidi kwa sasa katika kikosi hicho ni kutokana na umakini mkubwa aliokuwa nao wa kumalizia nafasi, hususani anapokuwa…
TIMU ya Barberian, inanyemelea rekodi mbovu msimu huu katika Ligi ya Championship, baada ya kikosi hicho ambazo zamani kilikuwa kinafahamika kwa jina la Kiluvya United, kushinda mechi moja tu hadi…
KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya amesema kufanya vizuri kwa washindani wao wakubwa msimu huu, ni jambo linalowaongezea morali ya kupambana zaidi, ili kwa pamoja wafikie malengo ya kuirejesha…
ALIYEKUWA Kocha wa Stand United ‘Chama la Wana’, Juma Masoud, amejiunga na Songea United ya Songea, mkoani Ruvuma, baada ya kuondoka kwa makubaliano ya pande mbili, Meja Mstaafu, Abdul Mingange,…
KOCHA mpya wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema ataendelea kusimamia malengo ya timu hiyo ya kuhakikisha inapanda Ligi Kuu Bara msimu huu, licha ya ushindani mkubwa uliopo katika Ligi ya…
KOCHA mpya wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema ataendelea kusimamia malengo ya timu hiyo ya kuhakikisha inapanda Ligi Kuu Bara msimu huu, licha ya ushindani mkubwa uliopo katika Ligi ya…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…

Ni sahihi kusema hakuna unyonge! Simba imemaliza uteja wa kupoteza michezo mitano dhidi ya Yanga baada ya kulazimisha suluhu kwenye mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo uliopigwa kwenye Uwanja wa…
Kikosi cha Simba kimewasili Uwanja wa New Amaan Complex saa 12:37 jioni tayari kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa kuanzia saa 2:15 Usiku.
BAADA ya hekaheka za Dabi ya Kariakoo iliyopigwa jana usiku kwenye Uwanja wa New Amaan visiwani Zanzibar, uhondo wa Ligi Kuu Bara umehamia katika miji ya Mwanza na Singida wakati…
KOCHA mpya wa maafande wa TZ Prisons, Shadrack Nsajigwa 'Fuso' amesema malengo makubwa aliyonayo kwa timu hiyo ni kuhakikisha timu hiyo inajinasua na janga la kushuka daraja, licha ya ushindani…
BAADA ya mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa, Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail 'Laizer' amesema kazi kubwa aliyonayo katika kikosi hicho ni kutengeneza saikolojia ya…
Mamadou Gaye awatuliza mashabiki Nigeria, aitaka FIFA kuamua MTAALAMU wa soka barani Afrika, Mamadou Gaye, amewaomba wadau wa soka kuendelea kuwa wavumilivu wakati Nigeria ikisubiri uamuzi kutoka FIFA katika kesi…
Iran hatarini kushiriki Kombe la Dunia 2026, FIFA yatoa tamko NCHI ya Iran huenda ikajiondoa kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani yaliyomuua kiongozi…
Mamadou Gaye awatuliza mashabiki Nigeria, aitaka FIFA kuamua MTAALAMU wa soka barani Afrika, Mamadou Gaye, amewaomba wadau wa soka kuendelea kuwa wavumilivu wakati Nigeria ikisubiri uamuzi kutoka FIFA katika kesi…
ALIYEKUWA mkurugenzi wa Fedha wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Cornel Barnabas, ameteuliwa kuwa ofisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB).
ZIKIWA zimesalia saa chache ipigwe mechi ya Dabi ya Kariakoo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja, kikosi cha Yanga leo Februari 28, 2026 kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea…
TIMU ya Fountain Gate imeingia makubaliano ya miaka miwili yenye lengo la kuhakikisha kwamba wachezaji na benchi la ufundi wanakuwa katika mazingira bora ya kiutendaji wanapokuwa katika majukumu yao uwanjani.
MBUNGE wa Makete na Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Festo Sanga amewataka wananchi kujumuika na wabunge katika mbio za marathoni za Bunge zinazotarajiwa kufanyika Julai 18, mwaka huu.
KIUNGO mshambuliaji wa Singida Black Stars, Offen Chikola amesema msimu huu upande wake ni wa kujifunza vitu vingi, huku akiwa amecheza kwa dakika 50 pekee dhidi ya Fountain Gate tangu…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
UJUMBE wa kiungo raia wa Uganda, Khalid Aucho, aliouchapisha katika ukurasa wake wa Instagram kupinga tuhuma za utovu wa nidhamu na kupewa adhabu ya kusimamishwa kwa miezi mitatu, umeibua hisia…
BAADA ya uongozi wa Singida Black Stars kutangaza kumsimamisha kwa miezi mitatu Khalid Aucho kwa tuhuma za utovu wa nidhamu na kuchelewa kazini, kiungo huyo raia wa Uganda, ameonekana kujibu…
USHINDI mtamu nyie. Baada ya TRA United kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Fountain Gate, kocha mkuu wa timu hiyo, Etienne Ndayiragije amesema matokeo hayo yametoa majibu ya kile…
Obasogie anasimamishwa ikiwa ni takribani miezi 10 tangu kipa mwingine kutoka Nigeria, John Noble kuvunjiwa mkataba na Fountain Gate kwa makosa ya kucheza chini ya kiwango na kufanya makosa ya…
AWAMU hii Namungo imekataa uteja mbele ya Singida Black Stars, baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa leo Februari 26, 2026 kwenye Uwanja…
TRA United imeizamisha Fountain Gate kwa kuitandika mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, iliyopigwa leo Februari 26, 2026 kwenye Uwanja wa Black Rhino uliopo Karatu jijini Arusha.
WANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay, Emmanuel Dinday na Benard Geay, wamerejea nchini wakitokea Korea Kusini walikoshiriki mashindano ya Daegu Marathon yaliyofanyika Februari 22,2026 na kubeba heshima ya taifa.…