Nahodha Twiga Stars agusia kundi WAFCON
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kupangwa kundi B ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), Nahodha wa kikosi hicho, Anastazia Katunzi amesema wanafahamu ugumu na wanakwenda…
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kupangwa kundi B ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), Nahodha wa kikosi hicho, Anastazia Katunzi amesema wanafahamu ugumu na wanakwenda…
KMC inaendelea na maboresho katika dirisha hili dogo la usajili ambapo kikosi hicho cha Kinondoni jijini Dar es Salaam kiko kwenye hatua za mwisho za kumsajili kiungo Omary Chibada.
BEKI wa kulia wa Pamba Jiji ya Mwanza, Yunus Lema ameshindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kumrejesha kikosini katika dirisha dogo licha ya kuwa na takwimu nzuri katika…
SIKU chache tu tangu winga wa Simba, Edwin Balua kuondoka Enosis Neon Paralimniou inayoshiriki Ligi Kuu Cyprus ikiwa na maskani katika Jiji la Paralimni aliyoitumikia kwa mkopo, kwa nyota huyo…
KINARA wa mabao wa Geita Gold, Maulid Shaaban amesema lengo alilonalo msimu huu ni kufunga mabao mengi katika mechi za timu hiyo ili mwisho wa msimu awe mfungaji bora katika…
DURU la kwanza wa Ligi ya Championship, unahitimishwa rasmi wikiendi hii na baada ya jana kuchezwa mechi mbili, nyingine tatu zitachezwa leo Jumamosi na kesho Jumapili, huku vita kali ya…
BAADA ya siku 40 za kupisha Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 na Kombe la Mapinduzi 2026, Ligi Kuu Bara inarejea tena leo kwa mechi moja kupigwa na…
KIKOSI cha Mashujaa FC tayari kimeshatua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara dhidi ya watetezi ikiwa na akili nyingine kabisa na kocha…
TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imepangwa Kundi B katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, droo iliyofanyika leo mjini Rabat, Morocco.
KIPA wa zamani wa Simba, Ahmed Feruz amerejea katika Ligi Kuu Bara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuidakia Namungo akitokea Stand United inayoshiriki Ligi ya Championship.
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema wachezaji wa timu hiyo wapo tayari kuendeleza vita na ushindani mechi za Ligi Kuu Bara baada ya kurejea tena huku akitamba keshokutwa…
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania na Jeshi la Polisi, Transfora Mussa Ngimbudzi ameondoka nchini leo kwenda Uholanzi kushiriki mashindano ya Montferland Run Half Marathon yatakayofanyika Januari 18, 2026, ikiwa ni…
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema mechi mbili za Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji na JKT Tanzania watazitumia kama njia ya kujiweka tayari kwa ajili…
MSHAMBULIAJI nyota wa Singida Black Stars, Mzambia Andrew Phiri amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Hard Rock FC inayoshiriki Ligi Kuu Zimbabwe, baada ya dili lake kwenda Ureno kufanya majaribio kukwama.
BAADA ya kufunga mabao matano katika mechi ya jana dhidi ya Fountain Gate Princess, mshambuliaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga amevunja rekodi ya msimu uliopita ya kufunga mabao 13.
LIGI Kuu Bara iliyosimama tangu Desemba 7, mwaka jana kupisha michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 2025) na Kombe la Mapinduzi 2026, inarejea kesho Ijumaa kwa mechi mbili za…
TAMATI ya Kombe la Mapinduzi 2026 ilikuwa jana Jumanne Januari 2026 ilipopigwa mechi ya fainali kati ya Azam dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba kuanzia saa 10:30 jioni.
MAREKEBISHO yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gombani uliopo Pemba, yameipa jeuri Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kutokana na sasa kuwa na viwanja viwili vyenye hadhi ya kimataifa baada ya…
MAREKEBISHO yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gombani uliopo Pemba, yameipa jeuri Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kutokana na sasa kuwa na viwanja viwili vyenye hadhi ya kimataifa baada ya…
WAKATI Jumanne ya Januari 13, 2026 ikipigwa fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kati ya Azam dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba, kilio kimeendelea kusikika kutokana na…
Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kati ya Azam dhidi ya Yanga iliyochezwa Jumanne ya Januari 13, 2026, haijawa nyepesi kwani kipute kimepigwa hadi dakika 120 ndipo mshindi akaja kupatikana,…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi Zanzibar, leo Januari 13, 2026 amezindua rasmi viwanja vya michezo vya Gombani vilivyopo Wilaya ya Chake Chake…
NDOTO ya kiungo mkabaji Ahmed Bakari ‘Pipino’, kutamani kucheza timu moja na supastaa raia wa Uganda, Khalid Aucho inakwenda kutimia baada ya kusajiliwa na Singida Black Stars.
KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba, Azam FC na TP Mazembe, Ramadhan Singano ‘Messi’ amezungumzia kilichokuwa nyuma ya ukimya wake na utayari wa kurejea tena uwanjani ili kuweza kuendeleza kipaji…
BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limedai halitaki kufanya makosa yatakayowagharimu katika mechi zilizobaki za Ligi ya Championship na kukwamishwa kurejea Ligi Kuu Bara.
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Oscar Evalisto amejiunga na Port Fouad inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea Makadi FC.
Mashabiki wa Simba wameifutia aibu timu yao na kuipatia kombe baada ya muda mrefu kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa kirafiki kuadhimisha…
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea leo kwa mechi nne ngumu zitakazopigwa kwenye viwanja tofauti ikiwa ni raundi ya nane.
KUNA vita nyingi zinakwenda kushuhudiwa leo Jumanne katika fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Dimba la Gombani kisiwani Pemba na Azam itacheza dhidi ya Yanga.
MBEYA City inaendelea na maboresho dirisha hili dogo la usajili na kikosi hicho kutoka jijini Mbeya kiko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kulia wa…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Queens, Magnifique Umutesiwase amerejea nchini kwao Rwanda kujiunga na Indahangarwa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake huko.
WAKATI Klabu ya Mbeya City ikiwa katika mazungumzo ya kupata saini ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Awesu Ally Awesu, uongozi wa Kenya Police ya Kenya, umeingilia kati dili hilo kwa…
KOCHA wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kikosi hicho kimeweka mikakati ya kuhakikisha kinabakiza pointi tatu katika michezo yote ya nyumbani watakaocheza Uwanja wa Nyamagana, Mwanza ikiwa ni sehemu ya…
KESHO Jumanne, ile safari ya takribani siku 17 katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inakwenda kuhitimishwa kwa kupigwa mechi ya fainali.