Utafiti: Watu bilioni 3.8 kukumbana na joto kali ifikapo 2050
Wanasayansi wanaonya kwamba dunia haijajiandaa kwa ongezeko la joto kali ifikapo mwaka wa 2050. Ingawa nchi za kitropiki ndizo zitakazoathiriwa zaidi, maeneo yenye baridi kali pia yatahitaji kuzoea, wanasayansi wamesema…