Sudan: RSF yatangaza kuzinduliwa kwa benki ili kushughulikia ukosefu wa taasisi za fedha
Nchini Sudan, Benki Kuu inaonya dhidi ya kutumia huduma za kibenki zinazotolewa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika maeneo wanayodhibiti. Wiki chache zilizopita, utawala wa kiraia unaoungwa mkono…