Kenya: Wanadiplomasia wana wasiwasi kuhusu vijana wanaolazimishwa kuajiriwa kwa jeshi la Urusi
Nchini Kenya, watu wanaodaiwa kupatiwa kazi nchini Urusi wanaendelea kuajiriwa kwa nguvu kupigana kwa upande wa Urusi katika vita nchini Ukraine. Hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Daily Nation,…