Venezuela: Maria Corina Machado, apokelewa katika Ikulu ya White House
Donald Trump amekutana na kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Maria Corina Machado, katika Ikulu ya White House siku ya Alhamisi, Januari 15. Mkutano huu unaweza kuathiri maono ya rais wa…