Mechi za NBC Premier League Jumapili hii
Mechi za NBC Premier League Jumapili hii Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL #SisiNiSoka #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
Mechi za NBC Premier League Jumapili hii Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL #SisiNiSoka #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
SERIE A leo Ijumaa Saa 4:45 usiku, Sassuolo watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Verona. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. @seriea (Feed generated with…
Mechi za wikiendi hii katika Bundesliga Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hizi #Bundesliga #azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
Kariakoo Derby haikwepekei Lipia sasa kifurushi chako cha shilingi 28,000 ili usipitwe na mchezo huu. #Kariakooderby #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
AZAM FC: Je unafahamu ni mchezaji gani katika kikosi cha Azam ana hekaheka linapokuja suala la 'menu'? Mzikilize mpishi mkuu wa klabu ya Azam akielezea uzoefu wake wakati wa chakula…
Saudi Pro League inaendelea leo Alhamis Saa 4:00 usiku, Al Ahli watakuwa uwanja wa nyumbani wakikipiga na Al Najmah Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
#CRDBBankFederationCup N mapumziko na hattrick moja… HT: JKT Tanzania 4-0 Pan African LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup #CRDBBank #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #JKTTanzania #PanAfrican #JKTPanAfrican (Feed generated with FetchRSS)
35’ | #CRDBBankFederationCup JKT Tanzania 4-0 Pan African LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup #CRDBBank #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #JKTTanzania #PanAfrican #JKTPanAfrican (Feed generated with FetchRSS)
CRDB FEDERATION CUP: Mchambuzi wa soka, Andrew Kingamkono, amesema anatarajia kocha wa Azam SC, Florent Ibenge, kufanya mzunguko wa wachezaji na kuwapa nafasi zaidi vijana katika mashindano ya CRDB Federation…
ZILIZOBAMBA: Ramadhan Star League msimu wa pili kuanza rasmi siku ya Alhamisi 20/02/2026 katika viwanja vya Donbosco Ostabey. Mtangazaji @ikthehost anafafanua zaidi kuhusu uhondo huo wa mpira wa kikapu. #Viwanjani…
Wachambuzi wa soka @akingamkono na @rashidy_hamis wameunga mkono kauli ya Kocha wa Coastal Union, Mohamed Muya, aliyesema bado hajaridhishwa na ufanisi wa safu ya ushambuliaji ya timu yake licha ya…
MAPUMZIKO | #CRDBBankFederationCupFinal: HT: KMC FC 2-1 Bandari Iko LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup #CRDBBank #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #KMCFC #BandariFC #KMCBandari (Feed generated with FetchRSS)
Mechi za wiki hii ligi ya mabingwa kwa Wanawake. Michezo hii kuruka mbashara kupitia chaneli ya ESPN. Chaneli hii ya ESPN inapatikana katika kifurushi cha shilingi 35,000. #UEFAWOMENSCHAMPIONSLEAGUE #ESPN #Azamtvsports…
NANAUKA CUP YAANZA KUWAKUTANISHA VIJANA MTWARA Mbunge wa Mtwara Mjini ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel nanauka ameanzisha mashindano ya michezo yanayojulikana kama Joel…
#CAFCLDraw Ligi ya Mabingwa Afrika Robo fainali:- RS Berkane vs Al Hilal Esperance vs Al Ahly Mamelodi vs Stade Malien AS FAR vs Pyramids Nusu fainali:- Esperance/Al Ahly vs Mamelodi/Stade…
#CAFCCDraw Kombe la Shirikisho Afrika. Robo fainali:- Al Masry vs Belouizdad, Olympic Club De Safi vs Wydad AC, AS Otoho vs Zamalek SC, AS Maniema Union vs ASM Alger. Nusu…
Machi Mosi patakuwa hapatoshi dimba la New Amaan Complex kwani itapigwa Kariakoo Derby, Yanga SC dhidi ya Simba SC. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka mbashara kupitia…
GAMONDI KUINOA STARS | Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi amesema anajisikia fahari kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na kuahidi kushirikiana vema na taasisi zote za soka Tanzania, kuhakikisha…
GAMONDI KUINOA STARS | Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Kocha Miguel Gamondi amepewa uwanda mpana wa kuita vijana wote wa Kitanzania wenye vipaji wanaoishi mataifa…
Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Akizungumza katika hafla fupi ya utiaji saini wa mkataba huo,…
UCHAMBUZI MECHI ZA CAF: Uchambuzi unaendelea ndani ya studio za #AzamTV ukiangazia mechi za leo za Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa. Saa 11:00 jioni ni Wydad AC…
KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Azam FC, kikiondoka hotelini kwenda uwanja wa Mohamed V, jijini Casablanca, nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la…
MAKALA YA MBEYA CITY: “Kambi ilikuwa ni kambi nzuri” Unaikumbuka ile Mbeya City ya motooooo….ya msimu wa 2012/13, 2013/14….? Ni ile Mbeya City iliyokuwa chini ya Kocha Juma Mwambusi. Kocha…
SERIE A leo Jumapili Big Game, saa 4:45 usiku, Napoli watakuwa nyumbani wakiwakaribisha AS Roma. Katika msimamo wa Serie A, Napoli yupo nafasi ya tatu na alama 49 huku Roma…
YANGA vs JS KABYLIE: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Shaban Kamwe anasema katika orodha ya timu saba ambazo tayari zimefuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
#NBCPL: Milango ya pande zote bado migumu…. 15’: Tanzania Prisons 0-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #TanzaniaPrisonsNamungo #TanzaniaPrisons #Namungo (Feed generated with FetchRSS)
CAFCL: Mtangazaji @kenedymosestz na jopo lake la wachambuzi, tayari wapo studio wakizichambua mechi za leo za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Saa 10:00 jioni kuna mechi mbili ikiwemo Mamelodi Sundowns…
KURASA ZA MWISHO | Mchambuzi wa soka @charlesabel24, ambaye pia ni mwandishi wa habari za michezo amebainisha namna idadi kubwa waandishi ilivyowakosha wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya chombo hicho…
NBA All Star 2026 Intuit Dome pale Los Angeles patakuwa hapatoshi ni 2026 NBA All Star Ni Team East wakiongozwa na Giannis Antetokounmpo na Jaylen Brown dhidi ya team West…
Mechi za leo Jumamosi katika Laliga Big Game, Saa 5:00 usiku, Los Blancos, Real Madrid watakuwa nyumbani Bernabeu wakiwakaribisha Real Sociedad. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama laliga mwezi mzima…
MKUTANO CAF: “Tutazitatua changamoto hizo” Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe amesema kutakuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari miezi michache ijayo kwamba viwanja havipo tayari, hoteli hazipo tayari, nyasi…
Mechi za mwisho hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Afrika. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #CAFCL #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Msikie Katibu wa Singida Black Stars Omari kaya akieleza namna mazingira yalivyo mazuri kwa timu baada ya yeye kuwasili mapema jijini Cape Town, akigusia pia ushirikiano walioupata…
JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “kuwatengenezea hamu ya mechi siku ya kesho…”. Kocha wa Coastal Union Mohamed Muya, amesema kuelekea mchezo wa wao dhidi ya JKT Tanzania watajilinda dhidi ya…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @lilianmukulu_ anasema kama wachezaji wapya wa TRA United watakuwa wamepata vibali vyote na kujumuishwa katika kikosi kitakachocheza leo mchezo wao wa NBC Premier League dhidi ya…
JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “…Maandalizi yalikuwa kwenye vitengo hivyo viwili”. Kocha wa JKT Tanzania Ahmad Ally, amesema maandalizi kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union yameenda vizuri…
Mkurugenzi wa Akili Education, Felician Chizelema, amesema kuwa wapo katika maandalizi ya mbio ndefu za Akili Alumni Marathon 2026 yanalenga kuweka rekodi ya dunia kwa kukusanya washiriki kutoka mataifa mengi…
NBC Premier League leo Alhamis Saa 1:00 usiku,Dodoma Jiji watakuwa uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakiwakaribisha TRA United. Je, ni walima Zabibu ama wakusanya mapato nani kuondoka na alama tatu? Mchezo…
DODOMA JIJI vs TRA UNITED: “Hakuna atakayekosekana…” Kocha wa TRA United Etienne Ndayiragije, amesema wachezaji wa timu hiyo wapo katika utimamu mzuri hivyo wapo tayari kwa mchezo wa kesho. Naye…
DODOMA JIJI vs TRA UNITED: “Lakini katika uwanja wetu wa Jamhuri tunatakiwa tuutumie vizuri…” Kocha wa Dodoma Jiji Amani Josiah, anasema kuelekea mchezo wao wa NBC Premier League dhidi ya…
VITASA: Msikie mchambuzi wa #Vitasa @aidanmlimila akizungumzia tukio lililoushangaza ulimwengu siku kama ya leo mwaka 1990. #Vitasa #Viwanjani (Feed generated with FetchRSS)
NBC PREMIER LEAGUE: Nyota wa Dodoma Jiji, William Edgar amefichua siri ya ‘moto’ wake msimu huu ambapo mpaka sasa tayari amefunga magoli manne kwenye NBC Premier League. Nyota huyo anasema…
Hatua ya robo fainali Kombe la DFB Pokal inakamilika kuchezwa leo saa 4:45 usiku. FC Bayern Munich watakuwa nyumbani Allianz Arena wakicheza na RB Leipzig Je, ni Bayern ama RB…
#NBCPL: Bakari Msimu anaitanguliza coastal Union kufuatia goli la dakika za mapema zaidi za mchezo. Prisons 0-1 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #TanzaniaPrisonsVsCoastalUnion #TanzaniaPrisons #CoastalUnion
🚗✨ IST Festival Tanzania inakuja kuunganisha vijana wa rika zote, kufungua milango ya biashara, kujenga mitandao (networking) na kusherehekea utamaduni wa magari kwa kiwango cha kitaifa. Tembelea ukurasa wa @ist_festival2026…
AFC Champions League TWO leo Jumanne. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #SisiNiSoka #Azamtvsports
SINGIDA BS vs FOUNTAIN GATE: Kocha wa Fountain Gate FC, Mohamed Lazer anasema mechi dhidi ya Singida BS, mara zote huwa sio nyepesi na ikumbukwe kuwa walima alizeti hao wametoka…
Hatua ya robo fainali ya DFB Pokal kuendelea wiki hii Je, timu gani kuungana na Leverkusen na VFB Stuttgart katika hatua ya nusu fainali? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama…
SINGIDA BS vs FOUNTAIN GATE: Kocha wa Singida BS, David Ouma anasema wapo wachezaji ambao hawakuwatumia kwenye michuano ya CAF, lakini wanaweza kuwatumia kwenye NBC Premier League. Ouma anasema wameamua…
KMC vs SIMBA: “Presha haiwezi kuondoka” Kocha wa KMC, Mohamed Abdallah ‘Bares’ anasema kukosekana kwa matokeo mazuri kwenye mechi zao zilizopita katika NBC Premier League kunaifanya timu hiyo iwe na…