Mkunga ajizalisha Gaza, asema “sikuwa na budi kujifungua mwenyewe.”
Hali ya kutisha na ukosefu wa huduma muhimu za afya sasa vimefurutu ada katika Ukanda wa Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli, huku wahudumu wa afya wakijikuta katika…