Azam FC kuifuata AS Maniema kiakili
KIKOSI cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka nchini keshokutwa Jumatano kwenda DR Congo kuiwahi mechi ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Maniema Union, huku kocha…
Singida Black Stars yafunguka ishu ya Lyanga, Mpepo
UONGOZI wa Singida Black Stars umesema nyota wawili wa timu hiyo, Ayoub Lyanga na Eliuter Mpepo, bado wana mikataba ya kuendelea kukitumikia kikosi hicho msimu huu, licha ya kudaiwa kutokuwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA….16 NOVEMBA, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA....16 NOVEMBA, 2025
Maniche afichua siri ya Mnigeria Mtibwa Sugar
KOCHA Msaidizi wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma ‘Maniche’, amesema beki wa timu hiyo, Mnigeria Victor Chukwuemeka Collins, ameanza taratibu katika kikosi hicho kwa sababu kuu mbili, ambapo ya kwanza ni…
Maximo, KMC lolote litatokea
KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu wa KMC (CEO), Daniel Madenyeka, amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika Ligi Kuu Bara, suala la kuachana na kocha wa timu hiyo, Mbrazil…
Alliance Girls akili ipo kwenye ubingwa
KOCHA Mkuu wa Alliance Girls ya Mwanza, Sultan Juma amesema kikosi chake kiko vizuri na kimefanya maandalizi ya kutosha jambo linakompa imani watafanya vyema katika Ligi Kuu ya Wanawake Bara…
Kipigo Stars chamchefua Gamondi
TAIFA Stars chini ya Kocha Miguel Gamondi, juzi usiku ilikumbana na kipigo cha mabao 4-3 kutoka kwa Kuwait, huku kikimchefua kocha huyo akiwatupia lawama wachezaji kwa kushindwa kulinda ushindi wa…
George Mpole anasikilizia simu tu
NYOTA wa zamani wa Geita Gold na Pamba Jiji aliyewahi kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, George Mpole amezungumzia ukimya wa muda mrefu alionao kwa kufichua alikuwa akifanya majaribio…
Clara ajipanga kuvunja rekosi yake Saudia
NYOTA wa Kitanzania, Clara Luvanga amesema anapambana kuhakikisha kila msimu anavunja rekodi zake mwenyewe za misimu iliyopita.
Clara ajipanga kuvunja rekodi yake Saudia
NYOTA wa Kitanzania, Clara Luvanga amesema anapambana kuhakikisha kila msimu anavunja rekodi zake mwenyewe za misimu iliyopita.
Dakika 540 za Msuva Iraq
WINGA wa Kitanzania, Simon Msuva hajaanza vyema Ligi Kuu Iraq akiwa na kikosi cha Al Talaba SC baada ya kucheza dakika 540 na kufunga bao moja.
Watanzania waandika rekodi CAF
KWA mara nyingine Wabongo wawili wanaokipiga FC Masar ya Misri, Hasnath Ubamba na Violeth Nickolaus, wameandika rekodi ya kutinga nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya…
Mourice Sichone mambo magumu Zambia
MSHAMBULIAJI kinda wa Trident FC ya Zambia, Mourice Sichone amesema anataka kutafuta changamoto nje ya nchi hiyo baada ya kuitumikia ligi Daraja la Kwanza kwa takribani misimu miwili sasa.
“Baraza halitosita kukifuta kituo cha mitahani endapo litajiridhisha pasipo shaka kuwa uwepo wake unahatarisha usalama wa mitih…
“Baraza halitosita kukifuta kituo cha mitahani endapo litajiridhisha pasipo shaka kuwa uwepo wake unahatarisha usalama wa mitihani wa Taifa, wakuu wa shule wanaaswa kuzingatia miongozo usimamizi uliotolewa na baraza,”- Katibu…
“Baraza linatoa wito kwa wasimamizi walioteuliwa kufanya kazi yao kwa umakini, uweledi, uadilifu na kwa kuzingatia kanuni za mit…
“Baraza linatoa wito kwa wasimamizi walioteuliwa kufanya kazi yao kwa umakini, uweledi, uadilifu na kwa kuzingatia kanuni za mitihani na miongozo ya baraza ili kila mwanafunzi apate haki yake”- Katibu…
NM-AIST yaunga mkono mafunzo AI, sayansi data
ARUSHA: TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imekabidhi vitendea kazi vya kompyuta 50 kwa wanafunzi 50 wa kambi maalumu ya Samia Scholarship katika Programu juu…
Wataalamu wanaeleza kuwa, usipoweza kuzuia mkojo ndani ya saa mbili hadi tano, hiyo ni ishara kuwa una shida ya afya ya kibofu c…
Wataalamu wanaeleza kuwa, usipoweza kuzuia mkojo ndani ya saa mbili hadi tano, hiyo ni ishara kuwa una shida ya afya ya kibofu chako. Msikilize Daktari wa Binadamu, Abilius Fidel akielezea…
Kama ukikaa mda mrefu au pale unaposimama unapatwa na maumivu ya miguu pamoja na kukata nyama za tumbo fanya mazoezi haya
Kama ukikaa mda mrefu au pale unaposimama unapatwa na maumivu ya miguu pamoja na kukata nyama za tumbo fanya mazoezi haya. @mcjojo__ ✍Juliana James Mhariri | @claud_jm #AzamTVUpdates
DC Mwaipaya awahamasisha wananchi kushiriki michezo
MTWARA: MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya amewataka wananchi wilayani humo kuendelea kushiriki michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu ili kuimarisha afya na kuleta mshikamano. Hayo yamejiri wakati wa…
#HABARI: Mkutano wa Maaskofu Wakatoliki wa Marekani umelaani msako mkali uliotekelezwa na Idara ya Uhamiaji nchini ambao Rais wa…
#HABARI: Mkutano wa Maaskofu Wakatoliki wa Marekani umelaani msako mkali uliotekelezwa na Idara ya Uhamiaji nchini ambao Rais wa Marekani Donald Trump anatetea kwa kile alichokiita "mageuzi ya msingi ya…
Kapilima, B19 kuna jambo linaendelea
ALIYEKUWA Kocha wa KenGold, Omary Kapilima, yupo katika mazungumzo ya kukiongoza kikosi cha B19 zamani kikifahamika kwa jina la Tanesco, baada ya timu hiyo iliyopanda daraja msimu huu kutokuwa na…
Mmesikia huko? Kapera ameanza tizi Polisi Tanzania
MSHAMBULIAJI wa maafande wa Polisi Tanzania, Ramadhan Kapera ameanza mazoezi ya kujiweka fiti na kikosi hicho, baada ya kukosekana tangu msimu huu umeanza, kutokana na kusumbuliwa na jeraha la goti…
Challe ana namba 8 wanane KenGold
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe amesema licha ya mwenendo mzuri hadi sasa, ila anakabiliwa na changamoto kubwa ya kubadilisha wachezaji nafasi zao wanazocheza, kwa sababu kikosi hicho kina nyota…
Kitasa Kagera Sugar chapiga mkwara
BEKI wa kulia wa Kagera Sugar, Yusuph Iddy 'Kiba', amesema licha ya kucheza kwa mara ya kwanza na timu hiyo msimu huu, ila amefurahia mwanzo mzuri na ushirikiano anaoupata kutoka…
Mzazi au wazazi wana haki ya kuuza mali zao bila kupata ridhaa wala kuwashirikisha watoto wao
Mzazi au wazazi wana haki ya kuuza mali zao bila kupata ridhaa wala kuwashirikisha watoto wao. Msikilize mwanasheria wetu akifafanua zaidi hili. #SheriaUpdates
Kocha Barberian ana kazi ya kufanya Championship
BAADA ya Barberian kuchapwa mechi nne mfulilizo za Ligi ya Championship msimu huu, kocha wa kikosi hicho, Moris Katumbo 'Kamongo', amesema tatizo kubwa linaloikabili timu hiyo ni kukosa balansi katika…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga, Novemba 14, 2025, imetoa hukumu dhidi ya watuhumiwa Idd Hamis Mohamed (55)…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga, Novemba 14, 2025, imetoa hukumu dhidi ya watuhumiwa Idd Hamis Mohamed (55) na Huruma Mlengule Hosia (35), wote wakazi wa Kijiji cha…
Othman asisitiza wananchi kudumisha amani
ZANZIBAR: MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) Taifa, Othman Masoud Othman amewataka wananchi kuwa watulivu na kuendelea kudumisha amani ya nchi, licha ya chama hicho…
UNICEF yatoa mamilioni kukabili mabadiliko ya tabianchi
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetoa Sh milioni 185.429 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kulinda na kuhifadhi vyanzo vya maji, kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.…
Unajua chakula ni salama kikikaa siku tatu tu kwenye jokofu?
DAR ES SALAAM: KUHIFADHI chakula kwenye jokofu ni njia bora ya kukilinda dhidi ya kuharibika na magonjwa yanayosababishwa na bakteria. Hata hivyo, usalama wa chakula haupatikani tu kwa kukiweka kwenye…
Nyara za serikali zawapeleka jela miaka 25
TANGA: WAKAZI wa Kijiji cha Mseko, Idd Mohamed (55) na Huruma Mlengule (35) wamehukumiwa kwenda jela miaka 25 kwa hatia ya kupatikana na nyara za serikali na kumiliki silaha, kinyume…
Tanzania kupata bil 49/- kukabili athari mabadiliko tabianchi
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazotarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 20 (sawa na Sh bilioni 48.9) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko…
Hatua ya Rais Samia kusamehe vijana ni funzo la busara
DODOMA: UAMUZI wa Rais Samia Suluhu Hassan kusamehe vijana waliofuata mkumbo na kushiriki vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu ni hatua inayostahili pongezi za dhati. Akizungumza…
CCM yampongeza Rais Samia kusamehe vijana
DODOMA: MWENYEKITI wa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Maganya Rajab amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta maridhiano na kusamehe vijana walioshiriki vurugu na kusisitiza kuwa, hatua hiyo si…
Kishindo cha Mwigulu
DODOMA:WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezielekeza hospitali zote nchini kuhakikisha wajawazito wanaofika hospitalini kuhudumiwa kwanza na hatua za kiutawala zifuatwe baadaye ili kuokoa maisha ya mama na mtoto. Pia, aliagiza…
Tanzania kuunga mkono amani Ukanda wa Maziwa Makuu
CONGO: TANZANIA imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa…
Wabunge wasema hotuba imesheheni maono ya Tanzania bora
WABUNGE wamepongeza hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuzindua bunge, kwamba imeonesha matumaini mapya ya Tanzania ijayo tajiri na bora Afrika. Tanzania itafikia ubora huo kama Watanzania kwa umoja…
🔴#MAGAZETI: – TEC YATAKA UWAJIBIKAJI—-16 NOVEMBA 2025
🔴#MAGAZETI: - TEC YATAKA UWAJIBIKAJI----16 NOVEMBA 2025
Ziara ya kushtukiza ya Waziri Mkuu katika hospitali ya Rufaa wa Dodoma.Je iwe endelevu katika maeneo mbalimbali ili kubaini utol…
Ziara ya kushtukiza ya Waziri Mkuu katika hospitali ya Rufaa wa Dodoma.Je iwe endelevu katika maeneo mbalimbali ili kubaini utolewaji wa huduma kwa wananchi ?
JKT yatupwa nje CAFWCL
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens wametupwa nje kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-1 na TP Mazembe.
Vijana watano wajasiriamali waishio katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba, mkoani Mtwara, wameonesha mabadiliko makubwa ya kiuch…
Vijana watano wajasiriamali waishio katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba, mkoani Mtwara, wameonesha mabadiliko makubwa ya kiuchumi baada ya kufikiwa na mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Vijana…
Jaa hilo, ambalo lilianza kama eneo la kawaida la kutupia taka mwaka 2003, sasa limegeuka kuwa kitovu cha uchakataji na uzalisha…
Jaa hilo, ambalo lilianza kama eneo la kawaida la kutupia taka mwaka 2003, sasa limegeuka kuwa kitovu cha uchakataji na uzalishaji wa malighafi muhimu kwa uchumi wa jiji. #AzamTVUpdates Mhariri…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 15, 2025 – WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 15, 2025 - WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, wamempongeza diwani wao Selemani Kaniki, kwa jitihada mbalimbali anazoz…
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, wamempongeza diwani wao Selemani Kaniki, kwa jitihada mbalimbali anazozifanya hasa kwa upande wa kusaidia ujenzi wa Vivuko, ambavyo vilikuwa kero kubwa…