Balozi wa AzamTV @mkwere_original ndani ya Miono
Balozi wa AzamTV @mkwere_original ndani ya Miono
Mfaransa wa Azam aponzwa na kibali Angola
MAMBO si mazuri kwa kocha wa zamani Azam FC, Bruno Ferry baada ya kuondolewa nchini Angola kwa hati ya dharura kutokana na kukosa kibali cha kuishi.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO….15 NOVEMBA, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO....15 NOVEMBA, 2025
Mwanuke azitaja Simba, Singida BS
KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Jimmyson Mwanuke amezitaja Simba na Singida Black Stars kuwa ndizo timu ambazo zimemuongezea ubora wa kiwango licha ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara…
Muguna aiota Ligi Kuu Bara
NYOTA wa zamani wa Azam, Mkenya Kenneth Muguna amesema licha ya kucheza Ligi mbalimbali katika fani yake ya soka hadi sasa, ila hajaona Ligi bora na yenye kuvutia sana zaidi…
Mgunda: Msihofu Namungo itatisha
LICHA ya kuanza msimu kwa kusuasua katika Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema timu ina mabadiliko, tofauti na msimu uliopita kutokana na wachezaji walioongezwa kikosini kuonyesha…
#HABARI: Nyumba 27 zenye Kaya 58 katika Vitongoji vya Misufini na Chang’ombe vilivyopo Kijiji cha Mbwade Kata ya Bwakila, chini …
#HABARI: Nyumba 27 zenye Kaya 58 katika Vitongoji vya Misufini na Chang’ombe vilivyopo Kijiji cha Mbwade Kata ya Bwakila, chini Wilaya ya Morogoro mkoani Mmorogoro, zimeezuliwa mapaa na nyingine kubomoka,…
Bodaboda Tanga hawataki maandamano
TANGA: CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9. Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa…
Mil 584/- kukamilisha shule mpya ya sekondari Chato
SERIKALI imepanga kutumia sh milioni 584 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari Butengolumasa wilayani Chato mkoa wa Geita ili kusogeza huduma ya elimu. Mradi wa ujenzi wa…
#HABARI: Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya misitu na ufugaji nyuki ili kuboresha uhifad…
#HABARI: Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya misitu na ufugaji nyuki ili kuboresha uhifadhi na uendelezaji wa rasilimali za misitu na nyuki, pamoja na…
Hersi: Yanga inakwenda kutimiza ndoto ya watoto Bongo
RAIS wa Yanga, Mhandisi Hersi Said amesema gharama za ada kwa Yanga Soccer School itategemea na maeneo ili kuhakikisha ndoto ya kila mtoto kuwa mchezaji inatimia.
Zaidi ya Bil 33/-zatekeleza miradi ya jamii Mara
MKOA wa Mara umeendelea kunufaika na uwekezaji wa Sekta ya Madini baada ya kutekeleza zaidi ya miradi 398 ya maendeleo yenye thamani ya Sh Bilioni 33.81 katika wilaya zote ndani…
Mabondia wajiandae kwa ndondi za Dubai
TIMU ya Taifa ya Ngumi za Ridhaa inatarajia kushiriki mashindano ya ngumi ya dunia yatakayofanyika Dubai, Falme za Kiarabu mwezi ujao. Mashindano hayo makubwa yanaandaliwa na Chama cha Kimataifa cha…
Lengo ifikapo 2030 watalii mil 8
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuelekea mwaka 2030 mpango wa serikali ni kukuza sekta ya utalii lengo likiwa kufikisha watalii wa ndani na nje milioni 8. Amesema hayo wakati akifungua…
Katika kupanua soko la bidhaa mbalimbali za wajasiriamali wa Tanzania, halmahsauri ya jiji la Dar es Salaam imefanikiwa kuwaweze…
Katika kupanua soko la bidhaa mbalimbali za wajasiriamali wa Tanzania, halmahsauri ya jiji la Dar es Salaam imefanikiwa kuwawezesha baadhi ya wajasiriamali wa jiji hilo kushiriki maonesho makubwa ya bidhaa…
Je, mwili wako umekuwa mzito?
Je, mwili wako umekuwa mzito? Fanya mazoezi haya ili kuondoa hali hiyo. #AzamTVUpdates #UTV108 #hellowikiendi
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump amesema atachukua hatua za kisheria dhidi ya BBC kufuatia jinsi hotuba yake ilivyohaririw…
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump amesema atachukua hatua za kisheria dhidi ya BBC kufuatia jinsi hotuba yake ilivyohaririwa na kipindi cha Panorama, baada ya shirika hilo kuomba msamaha lakini…
Liverpool yamtafakari Olise kuwa mbadala wa Salah
TETESI za usajili zinadai klabu ya Liverpool inamtafakari nyota wa Bayern Munich, Michael Olise (23), kama mbadala wa Mohamed Salah wa Misri (33), na ipo tayari kutumia kiasi kikubwa cha…
Wadau wajadili uendelezaji sekta ya misitu, nyuki
DODOMA: WIZARA ya Maliasili na Utalii inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya misitu na ufugaji nyuki ili kuboresha uhifadhi na uendelezaji wa rasilimali za misitu na nyuki. Pia wanalengo…
🔴#MAGAZETI: SAMIA ASIKIA VILIO, ASAMEHE / PANTEV ATOA MSIMAMO…..NOVEMBA 15, 2025
🔴#MAGAZETI: SAMIA ASIKIA VILIO, ASAMEHE / PANTEV ATOA MSIMAMO.....NOVEMBA 15, 2025
#KIPIMAJOTO: Hotuba ya Rais ya kulizindua Bunge la 13
#KIPIMAJOTO: Hotuba ya Rais ya kulizindua Bunge la 13. Je, imeongeza imani na matumaini ya Watanzania kwa Taifa lao?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 15, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 15, 2025
“Hiyo Katiba ambayo tunatakiwa tuipate inatakiwa iwe ni yawananchi, isiwe Katiba ambayo ipo kwenye Mbawa za Wanasiasa, mahitaji …
"Hiyo Katiba ambayo tunatakiwa tuipate inatakiwa iwe ni yawananchi, isiwe Katiba ambayo ipo kwenye Mbawa za Wanasiasa, mahitaji ya Katiba kwa sasa ni Muhimu"Wakili Emmanuel Ukashu - Mchambuzi wa Masuala…
“Cha kwanza nashauri Taifa kwa sasa hivi kutumia Mawasiliano ambayo yanakwenda kuponya watu, tulete taifa Pamoja tuzungumze”Mak…
"Cha kwanza nashauri Taifa kwa sasa hivi kutumia Mawasiliano ambayo yanakwenda kuponya watu, tulete taifa Pamoja tuzungumze"Makura Ndege - Mchambuzi wa Masuala ya Jamii Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 14 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 14 NOVEMBA 2025
“Unajua kilichotokea ni matokeo lakini tayari huko nyuma haya mambo yalikuwa yanaonywa, kwa sababu tumepitia nyakati ngumu kama …
"Unajua kilichotokea ni matokeo lakini tayari huko nyuma haya mambo yalikuwa yanaonywa, kwa sababu tumepitia nyakati ngumu kama Taifa nchi imevimba, na nchi ili iweze kuwa na muafaka lazima watu…
Kutana na Meshaki Mathias mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa kijiji cha Ntoija wilayani Bukoba aliyeamua kugeukia kilimo na kuanz…
Kutana na Meshaki Mathias mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa kijiji cha Ntoija wilayani Bukoba aliyeamua kugeukia kilimo na kuanzisha shamba la migomba. Kwa sasa ana uwezo wa kuvuna…
Gharama kubwa za matibabu na unyanyapaa ni miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watu wenye jinsi tata nchini
Gharama kubwa za matibabu na unyanyapaa ni miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watu wenye jinsi tata nchini. Hali hiyo imeelezwa kuwa kikwazo kikubwa kwa kundi hilo, ambalo sasa limeiomba Serikali…
🔴MAMBO GANI YA KIPAUMBELE YAZINGATIWE KUPONYA TAIFA NA MAKOVU YA UCHAGUZI MKUU 2025 ?”
🔴MAMBO GANI YA KIPAUMBELE YAZINGATIWE KUPONYA TAIFA NA MAKOVU YA UCHAGUZI MKUU 2025 ?”
#HABARI: Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wapongezwa kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafan…
#HABARI: Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wapongezwa kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo ikiwamo kufikisha umeme katika Vijiji vyote vya…
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari, #AzamNews imezungumza na Lezeli Jackson, Mkazi wa Dodoma aliyegundulika k…
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari, #AzamNews imezungumza na Lezeli Jackson, Mkazi wa Dodoma aliyegundulika kuishi na kisukari baada ya kufika hospitalini kwa ajili ya matibabu ya mgongo.…
#HABARI: Wakulima wa Korosho katika maeneo yanayohudumiwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU LTD, wameelezea furaha na kurid…
#HABARI: Wakulima wa Korosho katika maeneo yanayohudumiwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU LTD, wameelezea furaha na kuridhishwa kwao baada ya chama hicho kufanya malipo ya awali kwa haraka…
Baadhi ya vijana wanatamani kuwa na elimu ya sekondari kama moja ya hatua muhimu ya kupevusha ndoto zao katika maisha, lakini sa…
Baadhi ya vijana wanatamani kuwa na elimu ya sekondari kama moja ya hatua muhimu ya kupevusha ndoto zao katika maisha, lakini sababu mbalimbali ikiwemo umaskini, mimba za utotoni na nyinginezo…
Jumla ya vijiji 20 vilivyopo katika wilaya nne za mkoa wa Tanga vimenufaika na mradi wa utunzaji wa mazingira ya bahari kupitia …
Jumla ya vijiji 20 vilivyopo katika wilaya nne za mkoa wa Tanga vimenufaika na mradi wa utunzaji wa mazingira ya bahari kupitia vikundi vya Mfuko wa Kutunza Bahari (MKUBA), unaotekelezwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 14, 2025 -RAIS SAMIA ATOA POLE KWA WALIOPOTEZA NDUGU OKTOBA 29
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 14, 2025 -RAIS SAMIA ATOA POLE KWA WALIOPOTEZA NDUGU OKTOBA 29
Serikali kuongeza ukuaji kilimo hadi 10%
SERIKALI katika miaka mitano ijayo, inakusudia kufanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta za uzalishaji, ikianza kilimo lengo llikiwa kuongeza kasi ya ukuaji wa sekta hiyo kutoka asilimia 4 ya sasa hadi…
#KIPIMAJOTO: “MAMBO GANI YA KIPAUMBELE YAZINGATIWE KUPONYA TAIFA NA MAKOVU YA UCHAGUZI MKUU 2025 ?”
#KIPIMAJOTO: “MAMBO GANI YA KIPAUMBELE YAZINGATIWE KUPONYA TAIFA NA MAKOVU YA UCHAGUZI MKUU 2025 ?”
Azam FC yashusha vichwa viwili matata
BODI ya Azam Football Club imemtangaza rasmi Octavi Anoro (42), raia wa Hispania, kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu hiyo, kwa mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2027.
Rais Samia afungua Bunge 13
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14 amefungua rasmi Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Kwanza. The post Rais Samia afungua…
“Nimeshaielekeza Wizara ya Afya kusimamia maelekezo ya kutozuia maiti kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wakati familia zi…
"Nimeshaielekeza Wizara ya Afya kusimamia maelekezo ya kutozuia maiti kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wakati familia zikiendelea na taratibu za kulipa deni la matibabu kwa njia zinazolinda utu…
Serikali kuongeza bajeti ya TARURA
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaongeza bajeti na uwezo wa Wakala ya Barabara za Mijini (TARURA) kuboresha Barabara za ndani na vijijini ili kuhakikisha barabara za vijijini zinapitika mwaka…
Wizara ya Vijana inakuja!
DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita imepanga kuanzisha Wizara ya Vijana itakayoshughulikia kwa ukaribu mambo yote yanayowahusu vijana…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kuanzisha wizara kamili itakayoshughulikia masuala ya vijana, pamoja na ku…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kuanzisha wizara kamili itakayoshughulikia masuala ya vijana, pamoja na kuwa na washauri wa Rais watakaomshauri kuhusu mambo ya vijana, ikiwemo changamoto zao. #AzamTVUpdates…