Gamondi amrejesha Kelvin John Taifa Stars
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrejesha nyota wa Aalborg BK ya Denmark katika kikosi cha timu hiyo kitakachoingia kambini kwa mechi ya kirafiki kalenda…
Kocha Uhamiaji afichua siri Ligi Kuu Zanzibar
KOCHA Mkuu wa Uhamiaji, Abdul Saleh Mohammed, amesema timu hiyo imefanya mabadiliko makubwa msimu huu wa 2025-2026 na ndio siri ya kupata matokeo mazuri katika mechi zinazoendelea za Ligi Kuu…
Azam FC yanogewa mapema CAF, Bosi atoa kauli ya kibabe
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC wameanza kunogewa mapema baada ya timu hiyo kufuzu makundi kwa mara ya kwanza hatua ya makundina mmoja wa…
JKT Queens yaenda Misri kwa mafungu
WAWAKILISHI pekee wa Cecafa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake, JKT Queens wameanza safari kwenda Misri inakofanyika michuano hiyo huku kundi la kwanza limeondoka leo Jumatano Novemba…
TRA yamrudisha Ndayiragije Bara
MABOSI wa TRA United wanadaiwa kumalizana na aliyekuwa Kocha wa Polisi Kenya, Etienne Ndayiragije muda mfupi baada ya kuachana na maafande hao aliofanya nao kazi kwa miezi 11 na kuwapa…
CAF yaongeza timu za WAFCON
KAMATI Kuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imeidhinisha kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) kutoka timu 12 hadi…
Singida BS kuifuata Pamba Jiji kesho
KIKOSI cha Singida Black Stars kinaondoka jijini Dar es Salaam kesho Alhamisi ili kuwahi pambano lijalo la Ligi Kuu Bara dhidi ya Pamba Jiji, huku kocha msaidizi wa timu hiyo,…
Ijumaa ya Novemba 14, timu ta Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanja wa Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kirafiki…
Ijumaa ya Novemba 14, timu ta Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanja wa Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kirafiki na Kuwait. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 3:00…
NBC Premier League inaendelea wikiendi hii
NBC Premier League inaendelea wikiendi hii Jumamosi Novemba 8, Saa 10:00 jioni Pamba Jiji watakuwa uwanja wa nyumbani CCM Kirumba wakiwakarobisha Singida BS. Saa 1:00 usiku, JKT Tanzania watakuwa dimba…
Yanga yahamishia mechi zake za CAF Zanzibar
KLABU ya Yanga imetangaza kuwa, mechi zake za nyumbani katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu itatumia Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Zanzibar.
Mzize apasuliwa goti, kuwakosa Simba, Waarabu
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amefanyiwa upasuaji wa goti na anatarajia kuwa nje ya uwanja kwa wiki nane hadi kumi.
Ahmad Ally msaidizi wa Gamondi Taifa Stars
Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally ndiye atamsaidia Miguel Gamondi katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.
Yanga yapewa Waarabu watatu, Simba yatupwa Kundi D Ligi ya Mabingwa
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, leo Novemba 3, 2025 limechezesha droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Yanga imepangwa Kundi B wakati Simba ikiwa Kundi…
CAF yamkutanisha Aziz Ki na Fei Toto, ikimrudisha Ramovic Bongo
DROO ya Kombe la Shirikisho la Afrika iliyochezeshwa Jumatatu Novemba 3, 2025 imekuwa na mambo mawili katika soka la Tanzania.
Ligi Kuu Bara, Championship kurejea Novemba 8
Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni, huku wadau mbalimbali wakichekelea.
Morocco haendi Morocco, ni zamu ya Gamondi
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Kocha Miguel Gamondi kuwa kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa (Taifa Stars), akichukua nafasi ya Hemed Suleiman ‘Morocco’.
Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu: Ujumbe kwa wasomaji wetu
Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu…
Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu
Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega amepiga kura yake, katika Kituo cha kupiga kura cha Ofisi ya Kijiji cha…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega amepiga kura yake, katika Kituo cha kupiga kura cha Ofisi ya Kijiji cha Mwanambaya na kuwataka wananchi kujitokeza kutimiza haki yao ya…
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameshiriki zoezi la kupiga kura kumchagua diwani, mbunge na Rais wa Tanzania kwenye Kituo…
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameshiriki zoezi la kupiga kura kumchagua diwani, mbunge na Rais wa Tanzania kwenye Kituo kilichopo Shule ya Sekondari Kwaraa, Babati mjini. Mara baada…
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amepiga kura yake ya kuchagua rais, wabunge na madiwani Mtumba, Dodoma. #AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025
#UchaguziMkuu2025 | Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kigamboni, Selemani Kateti akizungumzia maandalizi na zoezi zima la upigaji …
#UchaguziMkuu2025 | Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kigamboni, Selemani Kateti akizungumzia maandalizi na zoezi zima la upigaji kura linavyoendelea katika wilaya hiyo. #AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais,mbunge na diwani katika mtaa wake, eneo la…
#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla mapema leo amepiga kura katika kituo chake cha AICC Hospitali, Jijini A…
#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla mapema leo amepiga kura katika kituo chake cha AICC Hospitali, Jijini Arusha. Baada ya kupiga kura, Makalla amewahakikishia wananchi kuwa hali…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha UPDP Mhe
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha UPDP Mhe. Twalib Kadege, ametafuta jina lake kwenye vituo 13 vya kupigia kura, japo hakutoa ushirikiano kwa kuzungumza…
#HABARI: Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#HABARI: Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Tulia Ackson, amezungumza na wanahabari mara baada ya kupiga kura mapema hii leo Oktoba 29,…
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea urais wa Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele amefika na kupiga kura katika kituo cha kupigia k…
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea urais wa Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele amefika na kupiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Makuti, Mbezi Malamba mawili katika Wilaya ya Kibamba, Dar…
#UchaguziMkuu2025 | Makamu wa Rais Dkt
#UchaguziMkuu2025 | Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameshiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, mbunge na diwani akiwa katika Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma. #AzamTVUpdates…
#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa wat…
#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa. ✍…
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Ada Tadea, Georges Busungu mapema leo amepiga kura katika Kiji…
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Ada Tadea, Georges Busungu mapema leo amepiga kura katika Kijiji cha Ngodama, Wilaya ya Misungwi. #AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Kariakoo , Jimbo la…
#HABARI: Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt
#HABARI: Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi wamepiga kura katika eneo la Kariakoo Visiwani Zanzibar, kuwachagua viongozi wanaowataka. Powered…
#UchaguziMkuu2025 | Hivi ndivyo hali ilivyo mapema asubuhi hii katika eneo la Kariakoo, hali ni tulivu na hakuna pilikapilika ka…
#UchaguziMkuu2025 | Hivi ndivyo hali ilivyo mapema asubuhi hii katika eneo la Kariakoo, hali ni tulivu na hakuna pilikapilika kama ilivyozoeleka katika eneo hilo. ✍ Upendo Michael #AzamTVUpdates #UchguziMkuu2025
#UchaguziMkuu2025 | Spika wa Bunge ambaye ni mgombea wa Jimbo la Uyole, Dkt
#UchaguziMkuu2025 | Spika wa Bunge ambaye ni mgombea wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson alivyopiga kura yake katika kituo cha Shule ya Msingi Tambukareli. Ametoa wito kwa wananchi kujitokeza…
#UchaguziMkuu2025 | Mwandishi wetu kutoka Zanzibar, Mtumwa Said akitujuza hali ilivyokuwa mapema leo katika kituo cha Kariakoo k…
#UchaguziMkuu2025 | Mwandishi wetu kutoka Zanzibar, Mtumwa Said akitujuza hali ilivyokuwa mapema leo katika kituo cha Kariakoo katika Jimbo la Kwahani. #UchaguziMkuu2025 #AzamTVUpdates
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea urais wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU) ,Majalio Kyara, akikamilisha haki yake ya kikatiba ya kupiga …
#UchaguziMkuu2025 | Mgombea urais wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU) ,Majalio Kyara, akikamilisha haki yake ya kikatiba ya kupiga kura kwenye kituo cha Mbuyuni Changanyikeni wilaya ya Ubungo Dar…
Mwandishi Wetu kutoka Mbeya, Kakuru Msimu amepita katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya na anaripoti kuwa hali ya usalama ni…
Mwandishi Wetu kutoka Mbeya, Kakuru Msimu amepita katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya na anaripoti kuwa hali ya usalama ni shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao na hapa…
#UchaguziMkuu2025 | Zoezi la kupiga kura linaendelea hapa katika kituo cha Buyuni, kilichopo Changanyikeni, Wilaya ya Ubungo, ji…
#UchaguziMkuu2025 | Zoezi la kupiga kura linaendelea hapa katika kituo cha Buyuni, kilichopo Changanyikeni, Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo limeanza mapema saa 1.00 asubuhi kwa amani…
#UchaguziMkuu2025 |Mwandishi wetu Jaafar Mponda yupo eneo la Buguruni Dar es Salaam na hii ndio hali halisi kama anavyoripoti
#UchaguziMkuu2025 |Mwandishi wetu Jaafar Mponda yupo eneo la Buguruni Dar es Salaam na hii ndio hali halisi kama anavyoripoti. #AzamTVUpdates
UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ….OKTOBA 29, 2025
UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ....OKTOBA 29, 2025
#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala akieleza hali ilivyo wakati zoezi la upigaji kura limeanza asu…
#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala akieleza hali ilivyo wakati zoezi la upigaji kura limeanza asubuhi hii, amehamasisha watu kujitokeza kupiga kura na kusisitiza kuwa hali…
#HABARI: Kampuni ya ndege ya Mombasa Air Safaris, imethibitisha kuwa raia kumi wa kigeni kutoka Hungary na Ujerumani na Mkenya m…
#HABARI: Kampuni ya ndege ya Mombasa Air Safaris, imethibitisha kuwa raia kumi wa kigeni kutoka Hungary na Ujerumani na Mkenya mmoja ambaye alikuwa Rubani, wamefariki dunia katika ajali ya ndege…
Fuatilia matangazo mbashara ya uchaguzi muda huu kupitia chaneli namba 108 #UTV, inayopatikana pia kwenye #AzamTVMaxApp, pia un…
Fuatilia matangazo mbashara ya uchaguzi muda huu kupitia chaneli namba 108 #UTV, inayopatikana pia kwenye #AzamTVMaxApp, pia unaweza kutazama matangazo haya kwenye chaneli yetu ya #UTVTanzania Tuandikie maoni yako nasi…
🔴#MAGAZETI: SIKU YA UAMUZI / CAMARA AIINGIZA SIMBA SOKONI — 29 OKTOBA 2025
🔴#MAGAZETI: SIKU YA UAMUZI / CAMARA AIINGIZA SIMBA SOKONI -- 29 OKTOBA 2025
MATANGAZO MBASHARA UCHAGUZI MKUU 2025 – 29/10/2025
https://www.youtube.com/live/7ZDVx3gNkvU?si=l0k0u0OFYGtr_roe #AzamTV #UTV108 #AzamTVMaxApp
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 29, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 29, 2025