#KIPIMAJOTO: Hamasa ya kuliombea Taifa Amani
#KIPIMAJOTO: Hamasa ya kuliombea Taifa Amani. Je, iendelezwe hata baada ya Uchaguzi Mkuu?
#KIPIMAJOTO: Hamasa ya kuliombea Taifa Amani. Je, iendelezwe hata baada ya Uchaguzi Mkuu?
#HABARI: Baadhi ya Wananchi jijini Dar es Salaam, wamewahiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la upigaji wa kura kwani lina faida kubwa kwa taifa kwa kutumia demokrasia kuchagua…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 28, OKTOBA 2025
#HABARI: Wafugaji wilayani Monduli mkoani Arusha wameweka msimamo wao juu ya baadhi ya watu wanaohamasisha watu kuandamana, huku viongozi wakiendelea kutoa tahadhari hasa kwa vijana. Akiwasilisha msimamo wa wananchi hao…
#HABARI: Wasimazi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mtama, Bw. Boniface Fungo, pamoja wa Jimbo la Mchinga na Jimbo la Lindi Mjini, mkoani Lindi, Bw. Saidi Farahani, wamewataka wasimamizi wakuu na…
MTIBWA Sugar ina takribani siku 28 kutoka leo Oktoba 28, 2025 hadi Novemba 25, 2025 kujitetea ili kuepuka kushushwa daraja kwa mujibu wa Kanuni ya 47:19 za Ligi Kuu Bara…
#HABARI: Wakati wagombea mbalimbali wakihitimisha kampeni za lala salama kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29,2025, mgombea ubunge Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, kupitia CCM, Dkt. Juma Zuberi Homera, amekerwa…
#HABARI: Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025 limeanza huko Zanzibar kwa upigaji wa kura ya mapema, ambayo kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar kura hiyo ya…
Wamiliki wa shule nchini wamehimizwa kuwekeza mapema katika mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), ili kujenga kizazi chenye uelewa wa teknolojia tangu utotoni. Wito huo umetolewa na Meneja…
#HABARI: Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Ndg. Kunje Ngombare Mwiru, amefunga kampeni zake katika Kijiji cha Mkenge, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani, akiwataka Watanzania, kudumisha upendo, amani…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Chemba ya Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC), Dkt. Mwajuma Hamza, amewataka wasichana wanaotafuta ajira nchini kutojiridhisha na vyeti vya kitaaluma pekee, bali wawe na mtazamo wa kidunia,…
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema huduma za usafiri kesho zitapatikana kama kawaida, na kwamba kilichotokea ni baadhi ya kampuni za mabasi kupunguza idadi ya mabasi kutokana na mwitiko…
Ulinzi na usalama umeimarishwa karibu kila eneo nchini, huku Jeshi la Polisi likiwa linaendelea kuwahakikishia wananchi usalama wa kutosha kuelekea siku ya kesho ya kupiga kura. Jeshi la Polisi limedai…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka huu ni halali na unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Johari alitoa…
Maandalizi ya kituo cha kupokea, kujumuisha na kutangaza matokeo ya kura za Urais yamekamilika. Kituo hicho kiko makao makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) eneo la Njedengwa…
Kesho, Watanzania waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kumchagua rais, wabunge, madiwani na wawakilishi. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…
Kamati za ulinzi na usalama za mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba zimewahakikishia wananchi kuwa hali ya amani na utulivu itaendelea kudumishwa katika kipindi chote cha uchaguzi na hata baada…
Shughuli ya upigaji kura ya mapema Zanzibar imefanyika leo huku malalamiko kadhaa yakiibuka, likiwemo la mgombea uwakilishi wa chama cha ACT-Wazalendo, Omar Saidi Shaabani, aliyedai kuwa mchakato huo ulikuwa na…
#HABARI: Serikali mkoani Kigoma imeanza mpango wa ujenzi wa soko la kimkakati litakalokuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara wapatao 500 kwa wakati mmoja, lakini pia kuhudumia nchi jirani kama Burundi…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 28, 2025 - ZANZIBAR WAPIGA KURA YA MAPEMA KWA MUJIBU WA KATIBA YA ZANZIBAR
#HABARI: Wakazi wa Kijiji cha Upendo, Kata ya Upendo, Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, wameondokana na adha ya kutumia maji yasiyo safi na salama, ambayo pia yalikuwa yakitumiwa na mifugo…
#MICHEZO: Mwanariadha wa Kimataifa wa Mbio Ndefu na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania, Alphonce Simbu, ameendelea kung’ara Kimataifa baada ya kutajwa kuwania Tuzo ya Mwanamichezo Bora…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Bw.Patrick Mwalunenge, amefunga kampeni zake kwa kuzungumza na wafanyabiashara…
#HABARI: Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025 unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba ni halali kwa kuwa…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma, Bi.Ngollo Malenya, amesema hakuna tishio lolote la uvunjifu wa amani katika wilaya hiyo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, huku akiwahakikishia wananchi kwamba…
UONGOZI wa TRA United upo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kupata kocha mkuu wa kuinoa timu hiyo ambapo kwenye mchujo yamebaki majina mawili tu.
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi aliyewahi kufanya kazi bora na klabu za Simba na…
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi aliyewahi kufanya kazi bora na klabu za Simba na…
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi aliyewahi kufanya kazi bora na klabu za Simba na…
Baada ya miaka ya mapambano na uraibu wa dawa za kulevya, Talik Azizi Mkawa wa Arusha ameamua kufungua ukurasa mpya wa maisha. Akiguswa na wito wa Rais Dkt. Samia Suluhu…
BAADA ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mashujaa, kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema anaamini kikosi chake kitafanya vizuri dhidi ya Azam kwenye mechi itakayochezwa Novemba 5,…
TIMU ya Taifa ya Soka ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imefuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 baada ya kuiondosha Ethiopia kwa jumla ya mabao 3-0.
#HABARI: Taasisi ya Mwanamke na Nguvu ya Kijani Tanzania, imewaasa wanawake na vijana kuwa makini katika kulinda amani, huku ikiwataka kuwa mabalozi wa amani ili kusaidia kujenga kizazi chenye utu…
#HABARI: Mhandisi Godfrey Kasekenya, mgombea Ubunge wa jimbo la Ileje mkoani Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amehitimisha kampeni zake katika kata ya Itale huku akiahidi kufanya maboresho makubwa ya…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Emanuel Nuwas, amehitimisha rasmi kampeni zake leo, akiahidi kuimarisha sekta muhimu za maendeleo ikiwemo afya, barabara, maji na kilimo. Amesema atatoa kipaumbele kwa…
Jamii imeaswa kutosita kutoa au kufichua taarifa za kihalifu kwa mamlaka mbalimbali nchini, kwani ipo Sheria ya Watoa Taarifa na Mashahidi Sura ya 446 ambayo imeundwa mahsusi kuwalinda watoa taarifa…
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 27, 2025, imefikia uamuzi wa kuipa Pamba Jiji pointi tatu na…
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 27, 2025, imefikia uamuzi wa kuipa Pamba Jiji pointi tatu na…
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akiagana na makundi mbalimbali ya wanahabari, wapigapicha, wananchi na vikundi vya…
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kuwa amekutana na makundi mbalimbali ya waangalizi wa kimataifa waliofika nchini kufuatilia…
KLABU ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro, imetozwa faini ya jumla ya Sh20 milioni kwa kosa la kuanza msimu wa Ligi Kuu Bara na kucheza mechi nne bila kuwa na…
#HABARI: Zoezi la uthamini maeneo yatakayopitiwa na ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha 6 kutoka Tabora hadi Kigoma linaendelea kwa kasi katika wilaya sita za mikoa…
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameahidi kuwa msaidizi mwaminifu na mchapakazi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan endapo watapewa ridhaa ya kuunda…
Mbunge wa zamani wa viti maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Munde Tambwe amempigia kampeni mgombea ubunge wa chama hicho katika jimbo la Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga katika kampeni za…
#HABARI: Naibu Katibu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) Issa Nkya, amewatoa hofu wananchi na abiria kuwa hakijatoa tamko la usitishaji huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani na…
#HABARI: Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime, ametahadharisha juu ya uwepo wa kikundi cha watu ambao wanaandaa picha mjongeo na matukio ya nyuma, ambayo yameshashughulikiwa na mengine ni…
Mkuu wa mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi amewahimiza wananchi wa mkoa huo kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu kesho Oktoba 29, 2025 na kusema kuwa tayari vifaa vyote vinavyohitajika vimeshafika.…