Kifo cha Saif al-Islam Gaddafi: Libya wanamzungumziaje, alikuwa nani katika kisiasa za Libya
Saif al-Islam Gaddafi, mtotoa mdogo wa Muammar al-Gaddafi na mgombea katika uchaguzi wa rais wa 2021, ambao hatimaye haukufanyika, ameuawa nyumbani kwake Zintan, jiji lililoko kaskazini magharibi mwa Libya, siku…
Magazeti ya Kenya: ODM kimya kimya yamkabidhi Oburu Oginga nafasi ya hayati Raila bila kura ya NDC
ODM kilichukua hatua ya kubadilisha uongozi wake mkuu, na kuzua wasiwasi wa ndani kuhusu utaratibu, uhalali na umoja wa chama kabla ya maamuzi muhimu ya kisiasa.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 4, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 4, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Libya: Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, amefariki
Saif al-Islam Gaddafi, mmoja wa watoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, ambaye kwa muda mrefu alichukuliwa kuwa mrithi wake na alikuwa akitafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya…
Pakua Programu
NHK WORLD-JAPAN ni huduma ya kimataifa ya shirika la umma la utangazaji la Japani, NHK. Linatoa taarifa za hivi karibuni kuhusu Japani na bara la Asia kupitia televisheni, redio na…
Roku
Watch NHK WORLD-JAPAN on your Roku. NHK WORLD-JAPAN is the English-language international broadcasting service of NHK, Japan's only public broadcaster. This app provides you with news and a variety of…
NHK WORLD-JAPAN – Programu zilizo kwenye Google Play
Habari na huduma za mahitajiko kutoka nchini Japani.
NHK WORLD-JAPAN App
Download NHK WORLD-JAPAN by NHK (Japan Broadcasting Corporation) on the App Store. See screenshots, ratings and reviews, user tips, and more games like NHKโฆ
Arteta: Fainali ya EFL tumeisubiri kwa miaka
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema kufuzu kwa timu yake kwenye fainali ya Kombe la EFL...
FYATU MFYATUZI: Kama miwaya inakula umeme kwa nini umeme usiile miwaya
Juzi, nilishangaa nusura nife. Si kuna eti utafiti uliofanywa kubaini kwanini umeme unatumika...
Waislamu waadhimisha siku ya kuzaliwa Mwokozi wa Akheri Zamani
Waislamu wa madhehebu ya Shia katiika maeneo mbalimbali ya dunia Leo Jumatano mwezi 15 Shaaban wanaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam wa Zama, Imam Mahdi AS, Imam wa 12…
NIKWAMBIE MAMA: Wabunge wapya waielewe Serikali
Binadamu wanavutiwa sana na vitu vilivyo tofauti. Kama nguo nzima ikiwa nyeupe lakini ikapata...
Je, usingizi unaweza kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye?
Utafiti mmoja uliofanyika katika hospitali moja nchini Marekani mwaka 2023 ulibaini kuwa watu waliolala kwa dakika 90 za ziada kwa siku, kwa siku tatu kabla ya kuanza zamu za usiku…
Mawaziri, ma-RC wanavyoibeba ahadi ya uwajibikaji kidigitali
Kwenye mfumo wa uendeshaji wa Serikali, uwajibikaji ni muhimu kwa sababu unalenga kuleta...
Maisha mapya kwa Watanzania waliohamia Marekani
Mashaka, wasiwasi na woga ndio mtindo mpya wa maisha ya Watanzania wanaoishi nchini Marekani...
Marekani, Iran zaelekea kwenye mazungumzo
Iran na Marekani zimethibitisha rasmi kwenda kwenye mazungumzo yanayolenga kuepusha makabiliano ya moja kwa moja kati yao, lakini bado Rais Donald Trump hajaondosha uwezekano wa hatua za kijeshi dhidi ya…
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Liverpool na Man United zapigana vikumbo kwa Wharton
Liverpool yaungana na Manchester United na Real Madrid kumfukuzia Adam Wharton, Manchester United huenda ikawasajili Jean-Philippe Mateta na Sandro Tonali, na je, mlinda lango wa Leeds Illan Meslier analekea Uturuki?
Marekani yasema imerejesha $500m kwa Venezuela
Marekani imerejesha fedha za mauzo ya mwanzo ya mafuta ya Venezuela, ikiwa ni sehemu ya makubaliano baina ya Caracas na Washington yaliyofikiwa mwezi uliopita, baada ya kupinduliwa na kutekwa Rais…
Wahamiaji 15 wafa baada ya ajali ya mashua Ugiriki
Mamlaka nchini Ugiriki zinasema watu 15 wamekufa kufuatia ajali ya kugongana kwa mashua ya walinzi wa pwani ya Ugiriki na ile ya wahamiaji kando ya ufukwe wa Kisiwa cha Chios…
Saif al-Islam Gaddafi auawa
Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, ameuawa kupitia kile ofisi yake ilichosema ni "tendo la kihalifu na la woga" katika mji wa magharibi…
Marekani yaongeza muda wa AGOA kwa mwaka mmoja
Rais Donald Trump wa Marekani amesaini sheria ya kuongeza muda wa programu ya biashara yenye masharti nafuu kati ya nchi yake na Afrika hadi tarehe 31 Disemba mwaka huu.
Makomando 4 walizima kamera na kumpiga risasi… Maelezo mapya yaibuka kuhusu mauaji ya Saif al-Islam Gaddafi
Timu ya kisiasa ya Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, imefichua kwamba mauaji yake yamefanywa na watu wanne wasiojulikana waliokuwa na silaha,…
Iran yazindua miradi mitatu ya kimkakati ya teknolojia ya anga za mbali
Iran imezindua rasmi mafanikio matatu ya kimkakati ya ndani ya nchi katika sekta za miundombinu ya anga, mawasiliano na picha za satelaiti katika kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya…
Iran yawaita mabalozi wa Umoja wa Ulaya kulalamikia tuhuma dhidi ya IRGC
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya azimio la hivi karibuni la EU linalolenga Jeshi…
Brazil yapima uwezekano wa kumvua Bolsonaro hadhi ya kijeshi
Katika hatua isiyo ya kawaida, mahakama ya kijeshi nchini Brazil imetangaza azma ya kuanzisha uchunguzi utakaomua endapo itapaswa kumvua hadhi ya kijeshi rais wa zamani wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro.
Ethiopia yakanusha madai ya Trump kuwa Marekani ilifadhili mradi wa Bwawa la Renaissance
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, amesema kuwa nchi hiyo haikupokea โhata senti mojaโ kutoka kwa serikali yoyote ya kigeni kwa ajili ya kufadhili ujenzi wa Bwawa Kuu la Renaissance…
Jeshi la Sudan lapata mafanikio katika vita dhidi ya waasi wa RSF
Jeshi la Sudan limevunja mzingiro uliowekwa na waasi dhidi ya mji muhimu wa Kusini, Kadugli, Jumanne. Hayo yametangazwa na Rais wa mpito na Mkuu wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel…
Iran ina nguvu kiasi gani?
Mwanzoni mwa karne ya 20, umuhimu wa Iran uliongezeka kwa kugunduliwa kwa mafuta. Na bila shaka, hapo ndipo matatizo pia yalipoanza.
Marekani yadungua ndege isiyo na rubani ya Iran
Ndege ya kivita ya F-35C imedungua ndege isiyo na rubani ya Iran "ili kujilinda" na kulinda meli ya kubeba ndege na wafanyakazi wake.
Ni kwa sababu gani utawala wa kizayuni unakwamisha utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishaji vita Ghaza
Maelezo yaliyotolewa na maafisa wa Palestina na wa Umoja wa Mataifa yanaonyesha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unakataa kutekeleza awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Ghaza.
Jumatano, 04 Februari, 2026
Leo ni Jumatano tarehe 15 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 04 Februari 2026.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 4, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
#SerieA Wameua ugenini…!!!
#SerieA Wameua ugenini...!!! FT: Bologna 0-3 Milan (Loftus-Cheek 20', Nkunku 39'p, Rabiot 48') #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #BolognaMilan
#DFBPokal Leverkusen wanatangulia nusu fainali kwa kishindo
#DFBPokal Leverkusen wanatangulia nusu fainali kwa kishindo.... FT: Leverkusen 3-0 St. Pauli Robo fainali nyingine ni kesho Feb 4, LIVE #AzamSports2HD #GermanyCup #BayerLeverkusen #StPauli
70′ | #CarabaoCup
70' | #CarabaoCup Arsenal 0-0 Chelsea (Agg: 3-2). Iko LIVE #AzamSports1HD #EFL #ArsenalChelsea
80′ | #DFBPokal
80' | #DFBPokal Leverkusen 2-0 St. Pauli LIVE #AzamSports2HD #GermanyCup #BayerLeverkusen #StPauli
Saif al-Islam Gaddafi, mtota wa aliyekuwa rais wa Libya, ameripotiwa kuuawa
Hakuna maelezo zaidi kuhusu kifo cha Gaddafi hadi sasa.
Neno ni moja tu leo, USALITI ๐ฅ
Neno ni moja tu leo, USALITI ๐ฅ (Feed generated with FetchRSS)
Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Kabongo Mkiramweni ambaye siku za karibuni alipewa usafiri na jeshi ilo ku…
Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Kabongo Mkiramweni ambaye siku za karibuni alipewa usafiri na jeshi ilo kufuatia kupata ulemavu wa kudumu akiwa kazini kutokana na kupata…
#CarabaoCup KICK-OFF
#CarabaoCup KICK-OFF.. Goma limeanza, na hawa ndiyo waamuzi wanaoisimamia... Arsenal 0-0 Chelsea (Agg: 3-2). Iko LIVE #AzamSports1HD #EFL #ArsenalChelsea
Umesikia hii ya @laughs_on_leonardo baba harusi mtarajiwa anakuambia mtu mwenye hela nyingi na hofu ya mungu ni watu wawili tofa…
Umesikia hii ya @laughs_on_leonardo baba harusi mtarajiwa anakuambia mtu mwenye hela nyingi na hofu ya mungu ni watu wawili tofauti ๐ ๐ ๐ (Feed generated with FetchRSS)
Matumizi ya zana duni za kilimo imetajwa kuwa miongoni sababu zinazowaweka mbali vijana kujihusisha na kilimo katika mataifa men…
Matumizi ya zana duni za kilimo imetajwa kuwa miongoni sababu zinazowaweka mbali vijana kujihusisha na kilimo katika mataifa mengi ya Afrika ikiwemo Tanzania. Hayo yamebainishwa katika Mkutano wa Kikanda wa…
Huyu hapa @laughs_on_leonardo na alichokifanya kwenye usiku wa tuzo za utalii za Serengeti wikiendi iliyopita jijini Arusha ๐ ๐ ๐
Huyu hapa @laughs_on_leonardo na alichokifanya kwenye usiku wa tuzo za utalii za Serengeti wikiendi iliyopita jijini Arusha ๐ ๐ ๐ (Feed generated with FetchRSS)
Wafanyabiashara wa soko la Mkuyuni lililopo wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wamelalamikia ugumu wa biashara katika soko hilo k…
Wafanyabiashara wa soko la Mkuyuni lililopo wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wamelalamikia ugumu wa biashara katika soko hilo kufuatia kufungwa kwa barabara ya Mwanza - Shinyanga kwa zaidi ya mwaka…
Wameanza kunoga ๐
Wameanza kunoga ๐ (Feed generated with FetchRSS)
CAFCL: Nyota wa zamani wa Simba SC, Duwa Said anasema vijana hao wa Msimbazi hawatocheza kama walivyocheza kwenye mchezo wa kwan…
CAFCL: Nyota wa zamani wa Simba SC, Duwa Said anasema vijana hao wa Msimbazi hawatocheza kama walivyocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Petro Atletico katika dimba la Benjamin Mkapa.…
CAFCC: โTunarudi Zanzibar kwenda kukabiliana na CR Belouizdadโ
CAFCC: โTunarudi Zanzibar kwenda kukabiliana na CR Belouizdadโ Afisa Habari wa Singida BS, Hussein Massanza anasema mechi yao dhidi ya CR Belouizdad ni mchezo wa kisasi kutokana na matokeo waliyoyapata…
Marjan Hussein Marjan: Afisa Mkuu Mtendaji wa IEBC ajiuzulu kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027
IEBC ilithibitisha kuondoka kwa Afisa Mkuu Mtendaji wake Marjan Hussein Marjan kwa ridhaa ya pande zote, na baadaye ikatangaza mipango ya muda kuhusu 2027.
CAFCL: Mashabiki Yanga wauchambua mchezo wao Jumamosi dhidi ya AS FAR kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)
CAFCL: Mashabiki Yanga wauchambua mchezo wao Jumamosi dhidi ya AS FAR kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Mechi itakuwa saa 4:00 kwa saa za Tanzania. #Yanga #CAFCL