Mkuu wa mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, amewataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Eid Al-Adha kwa amani, huku wakizingati…
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, amewataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Eid Al-Adha kwa amani, huku wakizingatia ulinzi wa watoto. Akizungumza baada ya sala ya Eid iliyofanyika katika…
Magazeti ya Wakenya, Mei 27: Spika Wetang’ula akosoa kanisa Katoliki asema lina upendeleo mwingi
Moses Wetang'ula alikosoa ukosoaji wa Kanisa Katoliki katika siasa, akihimiza kutoegemea upande wowote katika siasa na mambo mengine muhimu ya kitaifa.
Moto wateketeza mtoto, mwili wakutwa chini ya kitanda
Simanzi na majonzi vimetawala katika Kitongoji cha Mwitini, Kijiji cha Mwasi Kusini, Wilaya ya...
PPP imeleta mapinduzi safari za kwenda Makka 🌙
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC ) David Kafulila amesema Leo ni sikukuu muhimu sana kwa Waislamu wote duniani wakati…
Gachie: Mtoto mchanga aokolewa baada ya kupatikana amezikwa akiwa hai karibu na Bwawa la Ngabubu
Kulikuwa na uokoaji wa kusikitisha huko Gachie baada ya mtoto mchanga aliyezikwa akiwa hai kuokolewa na Wasahamaria Wema na kupelekwa haraka Hospitalini
Video: Ndindi Nyoro atunisha msuli bungeni, awatwanga ngoto Kimani Ichungw’ah na Junet Mohamed
Mzozo ulizuka wakati Nyoro alipohoji ni kwa nini Hazina iliongeza bajeti hadi KSh trilioni 4.8, lakini mgao wa mapato kwa kaunti ulibaki vile vile.
Jenna, binti mfalme aliyegeukia kwenye muziki, ugizaji
Akiwa mmoja wa watoto wa kifalme wanaofuatiliwa zaidi barani Asia. Princess Norodom Jenna...
Kutoka @officialbakhresagroup, #EidAlAdha 🕌 njema
Kutoka @officialbakhresagroup, #EidAlAdha 🕌 njema. (Feed generated with FetchRSS)
Mwisho wa ukiritimba wa KPLC: KenGen yatafuta leseni kuuza umeme moja kwa moja kwa wateja
KenGen imetangaza mipango ya kutafuta leseni ya usafirishaji na usambazaji wa umeme ambayo itairuhusu kuuza moja kwa moja kwa wateja na kumaliza ukiritimba wa KPLC
Sudan: UAE yatuhumiwa kuwasajili mamluki wa Colombia kuisaidia RSF
Shirika la kmataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, limeituhumu nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE, kwa kuwezesha usajili na mafunzo ya mamluki wa Colombia…
Uganda: Juhudi za kutafuta chanjo dhidi ya Ebola (Bundibugyo) zaimarishwa
Wanasayansi nchini Uganda, wameongeza kasi ya kutafuta chanjo ya virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo vilivyoripotiwa nchini DRC, wakati huu wizara ya afya nchini humo ikisema mgonjwa mmoja kati ya…
Zaidi ya watu 30 wameuawa katika mashambulio ya Israel Lebanon
Watu zaidi ya 30 wameuawa kufuatia mashambulizi mapya ya jeshi la Israeli, Kusini na Mashariki mwa nchi ya Lebanon, baada ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuagiza operesheni ya kijeshi dhidi…
IRGC yaitungua ndege ya kivita ya Marekani katika Ghuba ya Uajemi, yatoa onyo kali
Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa vitengo vyake vya ulinzi wa anga vimetungua ndege ya kivita ya Marekani isiyo na rubani, aina ya MQ-9…
Ndege za kivita za Marekani zaonekana karibu na Cuba, vita vinanukia
Les données de suivi montrent plusieurs vols effectués par des avions de reconnaissance et des drones de l'US Navy au cours de la semaine dernière.
Iran yaonya kuwa, ikishambuliwa tena jibu la litakuwa ‘kali zaidi’ kuliko vita vilivyopita
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa onyo kali kuhusu mashambulizi ya kulipiza kisasi yatakayokuwa “mazito na makali zaidi” iwapo tawala za Marekani na Israel zitafanya uchokozi mpya.
Pakistan yakataa wito wa Marekani wa kuanzisha uhusiano na ‘Israel’
Pakistan imekataa wito wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kuitaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Waziri wa Ulinzi wa Pakistan, Khawaja Asif, amesema pendekezo hilo…
Russia yaunga mkono msukumo wa Afrika wa kudai fidia kutoka kwa madola ya kikoloni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, amesema nchi yake inaunga mkono msukumo wa Afrika wa kutaka fidia kutoka kwa madola ya kikoloni. Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha…
Waziri Mkuu wa Senegal aliyefutwa kazi achaguliwa kuwa Spika wa Bunge
Waziri Mkuu wa zamani wa Senegal Ousmane Sonko jana alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge la nchi hiyo akimrithi El Malick Ndiaye, aliyejiuzulu siku ya Jumapili.
WARIDI WA BBC: ‘Nilitokwa na haja ndogo bila kukoma kwa miaka minne’
Shirika la afya ya uzazi la Umoja wa Mataifa - UNFPA na Wakfu wa Fistula wanakadiria kuwa visa vipya vya fistula 1,000 hadi 3,000 hutokea nchini Kenya kila mwaka.
Jumatano, 27 Mei, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 10 Dhilhija 1447 Hijria sawa na 27 Mei 2026 ambayo ni sikukuu ya Idul Adh'ha, moja ya sikukuu kubwa za Kiislamu.
Rare Earth: Je, madini haya yataleta maajabu Tanzania
Madini muhimu ya Rare Earth Elements, yanaundwa na kundi la kemikali 17 zenye sifa za kipekee, na ni muhimu katika teknolojia mbalimbali za kisasa.
Heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha.
Heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. (Feed generated with FetchRSS)
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 26, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 26, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Historic China-Tanzania ties inspire modern cultural, economic cooperation
DAR ES SALAAM: Tanzania is continuing to strengthen its position as a centre of cultural diplomacy, international cooperation and sports development through strategic partnerships that promote peace, dialogue and shared…
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu,Safari Field Challenge Msimu wa 11 inarudi!
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu,Safari Field Challenge Msimu wa 11 inarudi! Tarehe 06 Juni 2026, saa tatu usiku moja kwa moja Azam Sports 3. Mchuano wa kuwania ubingwa unaanza.…
#HABARI: Ukosefu wa kipato katika baadhi ya familia umeendelea kuathiri elimu ya watoto wa kike katika shule za Jiji la Dar es S…
#HABARI: Ukosefu wa kipato katika baadhi ya familia umeendelea kuathiri elimu ya watoto wa kike katika shule za Jiji la Dar es Salaam, ambapo baadhi ya wanafunzi hushindwa kumudu gharama…
Kuelekea mashindano ya UMISSETA kwa shule za sekondari, Mkoa wa Manyara umepokea vifaa vya michezo vitakavyotumika kuimarisha us…
Kuelekea mashindano ya UMISSETA kwa shule za sekondari, Mkoa wa Manyara umepokea vifaa vya michezo vitakavyotumika kuimarisha ushiriki wa wanafunzi katika mashindano hayo na kusaidia kukuza vipaji vya michezo mashuleni.…
WCF KUWAFIKIA WAFANYAKAZI SEKTA ISIYO RASMI
WCF KUWAFIKIA WAFANYAKAZI SEKTA ISIYO RASMI #HABARI: Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeeleza kuwa uko katika mchakato wa kuandaa mpango na mazingira wezeshi yatakayowezesha Watanzania wanaojiajiri katika sekta isiyo…
Waihiga Mwaura Apakia Picha ya Mwanawe Mchanga Akipiga Hatua Muhimu Katika Ndoa: “Wema wa Mungu!”
Mtangazaji Waihiga Mwaura alipakia picha akijivunia baraka ya mwanawe na kufichua kuwa yeye na Joyce Omondi walimkaribisha mtoto mwaka jana, jambo lililozua hisia.
Bondia maarufu raia wa Marekani, Terence Crawford ameendelea na ziara yake hapa nchini kwa kutembelea na kutangaza vivutio mbali…
Bondia maarufu raia wa Marekani, Terence Crawford ameendelea na ziara yake hapa nchini kwa kutembelea na kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii sambamba na kuhamasisha maendeleo ya mchezo wa ngumi nchini.…
TFF | Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameliambia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa milango ipo wazi kwa shi…
TFF | Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameliambia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa milango ipo wazi kwa shirikisho hilo kumuona kwa usaidizi wowote wakati huu…
TFF | Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki ya katika kalenda ya FIFA dhid…
TFF | Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki ya katika kalenda ya FIFA dhidi ya Uganda na Rwanda, kinatarajiwa kuingia kambini Mei…
NBCPL | Walima alizeti kutoka mkoani Singida, timu ya Singida Black Stars imeitandika kipigo kizito cha mabao 4-1 Mbeya City FC …
NBCPL | Walima alizeti kutoka mkoani Singida, timu ya Singida Black Stars imeitandika kipigo kizito cha mabao 4-1 Mbeya City FC kwenye Uwanja wa Airtel mkoani Singida. Kwa matokeo hayo…
Yas yaingia kwenye orodha ya chapa 50 zenye nguvu Afrika
Kampuni ya mawasiliano ya Yas inayomilikiwa na AXIAN Telecom, imeendelea kupata mafanikio...
Jeridah Andayi asema maisha Marekani si rahisi kwa wazazi singo: “Asikudanganye mtu”
Jeridah Andayi amejadili changamoto za malezi ya wazazi singo nchini Marekani, akifunguka kuhusu gharama kubwa za kuwa na yaya na uwajibikaji kamili kwa watoto.
CCTV yaonesha msichana wa Kirinyaga aliyetoweka akiwa na mtu asiyejulikana baada ya kutoka shuleni
Shantel Nekesa wa miaka sita alitoweka huko Sagana. Alinaswa kwenye CCTV akiwa na mwanamume asiyejulikana. Anatafutwa huku visa vya watoto kutoweka vikitikisa taifa.
Onyonka asimulia jinsi alivyokutana na Roselyn Akombe akamtosea ndoano ya uchumba: “Mwanamke mjanja”
Seneta Richard Onyonka amefichua safari yake ya mapenzi na kamishna wa zamani wa IEBC Roselyn Akombe, akiangazia uhusiano wao na maisha ya kifamilia.
Mgodi wazindua kliniki kutatua changamoto za wanakijiji
Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara umezindua kliniki maalumu ya kusikiliza na kutatua...
IEBC yawashikia nyaunyo kali wanasiasa wa UDA wanaopanga njama kuiba kura 2027
EBC imeonya wanasiasa dhidi ya madai ya kuiba kura 2027, ikisema matamshi kama hayo yanadhoofisha demokrasia ya Kenya na imani ya umma katika mchakato wa uchaguzi.
Mataifa 30 ya Kiafrika Ambayo Raia Wake Lazima Walipe Hadi KSh1.9m Amana ya Visa ya Marekani
Marekani inahitaji bondi za viza za $5,000 hadi $15,000 kutoka kwa raia wa nchi 30 za Afrika wanaoomba visa B1/B2, na kuathiri itifaki za kuingia mwaka wa 2026.
Jumuiya ya maridhiano Tanzania yajibu muswada wa maseneta wa Marekani
Imesema, kauli ya maseneta hao ni uzushi, uchochezi wa wazi ambao hauwezi kukubalika kwa namna...
Mkomi aagiza ushiriki mkutano bila uwakilishi
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi ameagiza...