🔴HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA, UVUNJIFU WA SHERIA WATAKIWA KUDHIBITIWA – APRIL 13, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA, UVUNJIFU WA SHERIA WATAKIWA KUDHIBITIWA - APRIL 13, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Dr Nchimbi urges Tanzanian envoys to prioritize their country’s interests
DODOMA: VICE President Emmanuel Nchimbi has urged Ambassadors-elect who are going to represent Tanzania in various countries to prioritize the country’s economic, political and diplomatic interests. Dr Nchimbi said this…
Ujumuishaji wa wanawake na vijana katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi umewezesha wanakijiji wa Nyamwage ,Kitapi n…
Ujumuishaji wa wanawake na vijana katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi umewezesha wanakijiji wa Nyamwage ,Kitapi na Mbwala Halmashauri ya wilayani Rufiji Mkoani Pwani kupanda miti zaidi ya…
#HABARI: Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Lazaro, amesema kuwa vita vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali duniani vinaendelea kuathiri uzalishaji wa bidhaa, usafirishaji hali inayochangiwa na kupanda kwa bei…
Mufti wa Tanzania Dkt.Abubakar Zuber Bin Ally amesema kuwa Tume ya uchunguzi wa vurugu za wakati na baada ya uchaguzi mkuu Ana u…
Mufti wa Tanzania Dkt.Abubakar Zuber Bin Ally amesema kuwa Tume ya uchunguzi wa vurugu za wakati na baada ya uchaguzi mkuu Ana uhakika kuwa Tume hiyo inaweza kufanya kazi nzuri…
Kocha JKU: Kila mechi kwetu ni fainali, ubingwa ni lazima
JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar imesema hivi sasa kila mechi kwao ni mapambano ya kusaka pointi tatu, huku ikikolezwa na ongezeko la bonasi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga…
Familia Yaomboleza Muuza Mayai Anayedaiwa Kuuawa na Baunsa, Yasema Alilala Njiani kwa Saa Kadhaa
Brian Muendo, mchuuzi wa mayai, alidaiwa kupoteza maisha yake mikononi mwa kilabuni Nairobi baada ya kuzuka kwa mzozo. Familia yake inashinikiza kutendewa haki.
BASATA promotes the creative economy through the students painting competition
DAR ES SALAAM: THE National Arts Council (BASATA) has intensified efforts to boost the creative economy by organizing a painting competition involving students from various higher learning institutions across the…
Sare ya New King yaishtua Kipanga
KOCHA wa Kipanga, Khamis Makame ‘Kocha Meki’ amesema bado timu hiyo ina kazi ya kurekebisha upungufu uliojitokeza kwenye mechi dhidi ya New King iliyomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Call for Court brokers to uphold professionalism in safeguarding citizens’ rights
DAR ES SALAAM: THE High Court Judge in charge of the Corruption and Economic Crimes Division, Ephery Kisanya, has urged court brokers and process servers to uphold professionalism, legal standards…
Nyota Man United atia mkono Dodoma Jiji
TANZANIA inatarajiwa kupokea ugeni mzito siku chache zijazo baada ya kuthibitishwa ujio wa zaidi ya maskauti 10 kutoka Ulaya wakiwemo wawili kutoka Sweden huku nyota wa zamani wa Manchester United,…
Vigezo ‘Vijana Uchumi Challenge’ vyawekwa hadharani, mshindi kulamba Sh30 milioni
Wakati pazia la shindano la wazo bora la kiuchumi lililopewa jina la ‘Vijana Uchumi Challenge’...
Mbunge ataka tozo mpya za simu kujenga barabara
Pendekezo hilo la Kakoso ni kama ambalo limewahi kutolewa mwaka 2021 na Mbunge wa Ilala (CCM)...
Dk Gwajima akemea uzushi kupotea kwa nyeti
DAR ES SALAAM: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima, amekemea vikali uzushi unaosambaa kuwa mwanaume akishikwa begani hupoteza sehemu zake za siri, akieleza…
MCT appoints TSN’s Dachi, Giliard as judges for the 16th EJAT Awards gala
DAR ES SALAAM: TWO employees of the Tanzania Standard Newspaper (TSN) have been appointed by the Media Council of Tanzania (MCT) as judges for the 16th Edition of the Excellence…
MCT yaibua vigezo vipya EJAT 2026, matokeo ya stori kuwa kipimo kikuu
Katika kusisitiza mwelekeo mpya wa ushindani, Sungura amesema majaji hawataangalia ubora wa...
TSN yatoa majaji wawili kati ya 12 Tuzo za EJAT
WATUMISHI wawili wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wameteuliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuwa majaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) makala ya…
Ecological reasons halt the use of part of the Loasi Forest for economic activities
DODOMA: THE Tanzanian government has announced that it will not allocate part of the Loasi Forest Reserve for community social and economic activities, stating that the decision is based on…
Serikali yaeleza dhamira yake kusukuma mtangamano wa EAC
Amesema Waziri wa Mambo Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Balozi Thabit Kombo...
From hospital bed to a hit song: Dayoo channels pain into purpose
DAR ES SALAAM: AS fans across Tanzania continue to embrace Siku ya Mwisho as an anthem of resilience, for Bongo Flava sensation Dayoo, the song carries a deeply personal story,…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania katika Mataifa mbalimbali kutanguliza mbele maslahi ya Taifa ya kiuchumi, kisiasa…
Kinda Ghana auliwa kwa risasi na majambazi baada ya mechi
Mchezaji wa soka kutoka Ghana, Dominic Frimpong, ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya majambazi...
Wanawake vyombo vya ulinzi Manyara watakiwa kujiweka sawa kiuchumi
MANYARA: WANAWAKE wa vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Manyara wamejengewa uwezo katika kusimamia vizuri malezi na makuzi ya familia zao na kujiimarisha kiuchumi. Mrakibu Mwandamizi wa Polisi…
Taasisi za rushwa Afrika zakutana kujadili mikakati mipya
Viongozi wakuu wa taasisi za kupambana na rushwa kutoka nchi za Afrika wamekutana jijini Arusha...
Taasisi za rushwa Afrika zakutana Akujadili mikakati mipya
Viongozi wakuu wa taasisi za kupambana na rushwa kutoka nchi za Afrika wamekutana jijini Arusha...
Tarura Ileje yapewa siku 14 kukamilisha ujenzi wa daraja kurejesha mawasiliano
Serikali imetoa siku 14 kwa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini (Tarura) Wilaya ya Ileje...
Corporate training helps Tanzanian CEOs navigate their businesses to prosperity
DAR ES SALAAM: MANAGEMENT staff, mid- level managers, and Chief Executive Officers (CEOs) from Public and Private institutions have benefited from Proper Leadership and Corporate training in held in Dar…
TRITA launches training on immigration for institutions serving foreign nationals
MOSHI: THE Regional Immigration Training Academy (TRITA) has officially launched a five-day specialized training program on immigration management, bringing together stakeholders from both public and private institutions that provide services…
Wimbi la mirungi lashtua, basi la abiria lakutwa na kilo 101
Sambamba na hilo, watuhumiwa 77 walikamatwa, na vyombo vya usafiri vilivyotumika katika uhalifu...
Pope Leo: I am not afraid of Trump administration
VATCAN: The pontiff stressed that his increasingly strong anti-war statements are not attacks on any one person. “The things I say are not meant as attacks on anyone,” Pope Leo…
Onana kurejea Man United mshahara wake ukiongezeka
Kipa huyo anaripotiwa kurejea Old Trafford baada ya msimu kumalizika akitokea Trabzonspor...
Mahakama yatupilia mbali rufaa ya kifo wauaji wa dereva bodaboda
Ripoti ya daktari ilithibitisha kuwa chanzo cha kifo kilikuwa ni kukosa hewa, hali...
Polisi Z’bar yazungumzia kifo cha Mmarekani kilivyokuwa
Polisi visiwani Zanzibar limezungumzia kifo cha mwanaharakati wa mitandao ya kijamii kutoka Miami, nchini Marekani, Ashly Robinson (31), maarufu mtandaoni Ashlee Jenae.
Tanzania instructs financial institutions to develop services for economic sectors
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government, through the Ministry of Finance, has directed financial institutions and service providers in the country to design and develop financial products and services that…
World’s oldest gorilla celebrates birthday at Berlin Zoo
BERLIN: Lady Fatou, known as the “grand dame” of the Berlin Zoo, was certified last year by Guiness as the oldest living gorilla in the world. At 69 years old,…
Pope Leo opens Africa trip in Algeria
ALGERIA: Pope Leo XIV arrived in Algeria on Monday at the start of an 11-day tour of four African countries. The visit also includes stops in Cameroon, Angola and Equatorial…
Tingatinga, Mpingo carvings parade Tanzanian excellence in visual arts
NAIROBI: VISUAL and applied arts are among the few sectors in Tanzania and globally that significantly contribute to the success of unique cultural heritage while promoting the country on the…
Tanzania thanks Canada for supporting its major development projects
DAR ES SALAAM: TANZANIA has expressed gratitude to the Canadian government for supporting Tanzania’s social and economic development in the health, education, agriculture, and community development sectors. The Deputy Minister…
Relief as Tanzanians are firmly united under a peace and harmony umbrella
DAR ES SALAAM: TANZANIA, is peaceful and firmly united, heading to the celebration of the 62nd anniversary of the glorious union of Tanganyika and Zanzibar on April 26, 2026. The…
Makali bei ya mafuta kuendelea, Marekani ikilenga kuweka kizuizi Hormuz
Jeshi la Marekani limetangaza kuwa litaweka kizuizi baharini dhidi ya usafiri wote wa majini...
Tanzanian legislators receive special training on laws governing the mining sector
DODOMA: THE Parliamentary Standing Committee on Energy and Minerals has received specialized training on laws, regulations, and guidelines governing the mining sector, aimed at enhancing legislators’ understanding, particularly the distinction…
Mwanamke wa Nyeri, 21, Adai Nguvu za Giza Zilimsukuma Amtupe Binamuye Mdogo Mtoni
Msiba umezuka kule Nyeri baada ya Mary Wanjiru mwenye umri wa mwaka mwaka mmoja na miezi minane kudaiwa kuuawa na binamuye Linet Wangechi kutokana na mzozo wa miwa.
Tanzania sees good progress in the construction of vocational schools nationwide
DAR ES SALAAM: THE Deputy Minister in the President’s Office for Regional Administration and Local Government (TAMISEMI), Festo Dugange, has stated that the construction of vocational secondary schools across the…
Tanzania allocates 5.1bn/- for 1,730 residents affected by the Masasi power project
DODOMA: THE Tanzanian government has allocated 5.1bn/- in the 2025/2026 financial year to compensate 1,730 residents affected by the construction of a 220-kilovolt electricity transmission line from Masasi to Mahumbika.…
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka: Hali ya maisha huko Gaza ni ya kutisha
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetoa onyo kuhusu kuendelea na kuongezeka kwa mashambulizi ya kikatili na udhibiti wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa…
Tanzanians cautioned against unverified information on the Oct 29 violence
DAR ES SALAAM: Political and diplomatic analyst Dennis Muchunguzi has called on Tanzanians to remain calm and patient as they await the report of the commission investigating incidents of unrest…