Tanzania uses the TANFORD platform to promote its status as a hub for regional trade, logistics
DUBAI: THE Deputy Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, James Kinyasi Millya, participated in the Tanzania Freight Forwarders Association (TANFORD) Conference held on 13-14 February 2026 in Dubai,…
Samia ateta na Naibu Katibu Mkuu UN
Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Amina...
Sheikh Maher Hammoud: Uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran utawasha moto Asia Magharibi
Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema kuwa, uchokozi wowote mpya dhidi ya Iran utapelekea kuwaka moto katika eneo lote la Asia Magharibi.
EAKC celebrates a decade of promoting Kiswahili for regional integration
ZANZIBAR: THE East African Kiswahili Commission (EAKC) celebrated its 10th anniversary in a grand event held at its headquarters in Zanzibar, marking a decade of significant strides in promoting Kiswahili…
Katika Kusuma mbele agenda ya serikali ya kuhakikisha ifikapo 2034 asilimia 80 ya watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupi…
Katika Kusuma mbele agenda ya serikali ya kuhakikisha ifikapo 2034 asilimia 80 ya watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia wadau wameendelea kuunga mkono kwa kubuni mbinu mbalimbali za kuwahamasisha…
Mvutano waongezeka kati ya Netanyahu na Herzog baada ya Trump kumtusi Rais wa Israel
Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kumtusi Rais wa utawala wa kizayuni wa Israel akimuunga mkono waziri mkuu wa utawala huo yameongeza mvutano kati ya Netanyahu na Isaac…
Baadhi ya wafanyabiashara na madereva wanaofanya shughuli zao katika kituo kipya cha mabasi Nangulukulu kilichopo Kilwa, mkoani …
Baadhi ya wafanyabiashara na madereva wanaofanya shughuli zao katika kituo kipya cha mabasi Nangulukulu kilichopo Kilwa, mkoani Lindi, wameziomba mamlaka husika kuhakikisha mabasi na magari ya usafiri wa abiria yanaingia…
Kiwanda cha nguzo za zege Tabora kuongeza ufanisi wa Tanesco
Ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza nguzo za zege, kinachojengwa katika kata ya Mapambano...
🔴TAMASHALAMICHEZO: …..FEBRUARI 15, 2025
🔴TAMASHALAMICHEZO: .....FEBRUARI 15, 2025
Katibu Mkuu wa Hizbollah: Iran daima imekuwa ikiunga mkono Palestina na wanyonge duniani
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbollah ya Lebanon amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikiunga mkono Palestina na watu wanaokandamizwa duniani.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Iran: Mpira uko kwenye uwanja wa Marekani kuthibitisha azma ya kufikia makubaliano ya nyuklia
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema ni zamu ya Marekani kuonyesha azma ya kufikia makubaliano yanayolenga kutatua suala la nyuklia la Tehran.
Tanzania insists on close ties with the UN in implementing development priorities
ADDIS ABABA: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to deepen its close ties with the global organisations in implementing national development priorities aligned with the Sustainable Development Goals (SDGs).…
“Hatuui tu, tunabaka”: Mwanajeshi wa Israel aliyeua watu Gaza akiri kufanya uhalifu
Mwanajeshi mmoja katika jeshi la Israel ametoa kauli ya kushtua katika mahojiaano ya moja kwa moja na YouTuber wa Marekani, akizungumzia vitendo vinavyofanywa na wanajeshi wa utawala huo dhidi ya…
TADB sees global partnership in Qatar’s Agricultural Exhibition
DOHA: THE Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) seeks to expand global partnerships, attract investment, and strengthen Tanzania’s agricultural sector using the International Agricultural Exhibition in Qatar as part of its…
How digital transformation is shaping customer expectations
DAR ES SALAAM: THE advancement of science and technology has been earmarked as a crucial intervention in the quest to accelerate proper service delivery in order to go along with…
TADB yaendelea diplomasia ya uchumi kupitia kilimo
QATAR: Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo yanayofanyika nchini Qatar ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kupanua wigo wa ushirikiano wa…
DRC: Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa lakumbwa na kipindupindu
Ugonjwa wa kipindupindu unaenea ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kufikia gereza kubwa zaidi nchini humo la Makala, jijini Kinshasa. Vifo vimeripotiwa katika gereza hilo. Wagonjwa kadhaa wamethibitishwa miongoni…
China kufutia ushuru karibu nchi zote za Afrika mwezi Mei
China itafuta ushuru kwa nchi zote za Afrika, isipokuwa Eswatini, kuanzia Mei 1, Rais wa China Xi Jinping ametangaza siku ya Jumamosi, kulingana na vyombo vya habari vya serikali. Imechapishwa:…
Mafuta: Libya yafungua milango yake kwa makampuni ya kigeni
Kwa mara ya kwanza katika miaka 17, Libya ilitoa vitalu vya mafuta kwa makampuni ya kigeni Jumatano, Februari 11, 2026. Kampuni ya Marekani Chevron, kampuni ya Uingereza BP, kampuni ya…
Jamii imetakiwa kuongeza uelewa na kubadili mtazamo kuhusu watu wenye ulemavu, kufuatia kuendelea kuwepo kwa vitendo vya unyanya…
Jamii imetakiwa kuongeza uelewa na kubadili mtazamo kuhusu watu wenye ulemavu, kufuatia kuendelea kuwepo kwa vitendo vya unyanyapaa na ubaguzi vinavyotokana na elimu duni ya kuwajali na kuwaheshimu kama sehemu…
Madhehebu ya Dini ya Kiislamu yanayofanya kazi chini ya taasisi mbalimbali yameaswa kuendelea kuishi kwa kuzingatia misingi na m…
Madhehebu ya Dini ya Kiislamu yanayofanya kazi chini ya taasisi mbalimbali yameaswa kuendelea kuishi kwa kuzingatia misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, sambamba na kudumisha umoja na mshikamano ili kulinda…
Niger: Jenerali Abdourahamane Tiani azidisha mashambulozi yake ya maneneo kwa Ufaransa
Kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Niger, Jenerali Abdourahamane Tiani, amehutubia taifa kwa zaidi ya saa tatu katika ujumbe uliofuatwa na mahojiano marefu yaliyorushwa kwenye RTN – redio na televisheni…
Nsajigwa akwepa mtego wa uwanja
KOCHA wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa, amesema matokeo mabaya ya timu hiyo raundi ya pili hayatokani na kuhamishia mechi za nyumbani kwenye Uwanja wa Filbert Bayi, Kibaha mkoani Pwani, tofauti…
Mwenyekiti wa Kamati ya AU: ‘Kuangamizwa’ kwa watu wa Palestina ‘lazima kukome’
Mkutano wa 39 wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika (AU) umefunguliwa Jumamosi, Februari 14, huko Addis Ababa, Ethiopia. Katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Tume ya AU, Mahamoud Ali Youssouf,…
Tanzanite down Kenya, advance to last round
DAR ES SALAAM: TANZANIA ’ S U-20 girls’ team yesterday advanced to the fourth and final round of the FIFA World Cup qualifiers after defeating Kenya 3–1 on penalties at…
#HABARI: Kupitia mitandao ya kijamii kulisambazwa picha mjongeo akionekana mtoto mdogo wa kiume na zikisikika sauti zikimhamasis…
#HABARI: Kupitia mitandao ya kijamii kulisambazwa picha mjongeo akionekana mtoto mdogo wa kiume na zikisikika sauti zikimhamasisha kuvuta sigara, Jeshi la Polisi limesema, kitendo hicho ni kinyume cha sheria, kanuni…
SERIE A leo Jumapili
SERIE A leo Jumapili Big Game, saa 4:45 usiku, Napoli watakuwa nyumbani wakiwakaribisha AS Roma. Katika msimamo wa Serie A, Napoli yupo nafasi ya tatu na alama 49 huku Roma…
Straika Mbeya Kwanza ajipanga upya
MSHAMBULIAJI mpya wa Mbeya Kwanza, Lucas Sendama, amesema kwa sasa ameamua kujipanga upya ili kurejesha kiwango chake, baada ya kukosa nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza mara kwa mara akiwa…
Jamii, hususan wazazi, imehimizwa kuwa na utaratibu wa kuwachunguza watoto wao mara kwa mara ili kubaini mapema viashiria vya sa…
Jamii, hususan wazazi, imehimizwa kuwa na utaratibu wa kuwachunguza watoto wao mara kwa mara ili kubaini mapema viashiria vya saratani, ugonjwa ambao si wa watu wazima pekee bali huweza hata…
Beki Bigman matumaini kibao Championship
BEKI wa kati wa Bigman FC, Better Abdallah Mnyamisi, amesema licha ya kukitumikia kikosi hicho kwa muda wa mwezi mmoja tangu ajiunge nacho akitokea, IAA ya jijini Arusha inayoshiriki Ligi…
Mavitu ya Japhet Makarai yamkosha Tico Tico
KAIMU Kocha Mkuu wa TMA ya jijini Arusha, Omary Matwiko 'Tico Tico', amesema tangu winga mpya, Japhet Vedastus Makarai, ajiunge na kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ameleta…
YANGA vs JS KABYLIE: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Shaban Kamwe anasema katika orodha ya timu saba ambazo tayar…
YANGA vs JS KABYLIE: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Shaban Kamwe anasema katika orodha ya timu saba ambazo tayari zimefuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
Mido Barberian aona mwanga Championship
KIUNGO wa Barberian FC, Muhsin Mlaga, amesema licha ya mwenendo usioridhisha kwa timu hiyo katika Ligi ya Championship hadi sasa msimu huu, ila bado wana nafasi ya kurekebisha changamoto mbalimbali,…
Rais Samia ataja mbinu za kutokomeza Malaria Afrika
ETHIOPIA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mapambano dhidi ya malaria barani Afrika yanahitaji uongozi na usimamizi thabiti wa Waafrika wenyewe, umiliki wa kweli wa programu zake na dhamira ya kisiasa…
Tanzania clubs CAF fate on edge
DAR ES SALAAM: CAF Champions League and CAF Confederation Cup group stages draw to a close, as Tanzania’s representatives Young Africans SC, Simba SC, Azam FC and Singida Black Stars…
Ronaldo arejea uwanjani, akitupia
Cristiano Ronaldo jana alifunga bao dakika ya 18 tu katika mechi yake ya kurejea akiwa na...
Iran kujadili maafikiano ili kufikia makubaliano ya nyuklia, waziri aiambia BBC mjini Tehran
Iran iko tayari kufikiria maafikiano ili kufikia makubaliano ya nyuklia na Marekani ikiwa Wamarekani watakuwa tayari kujadili kuondoa vikwazo, waziri wa Iran ameiambia BBC.
Mafundi kunufaika teknolojia, fursa kidigitali
Chama Cha Mafundi Tanzania (CMT), Joseph Kusaga Foundation na Unicx AI Data Limited zimeingia ubia mpya wa kimkakati unaolenga kubadilisha sekta ya mafundi Tanzania kupitia teknolojia, huduma za kifedha na…
Kutoka Kongamano la Usalama hadi “Sarakasi ya Munich”; Msimamo wa Iran Kuhusu Matukio ya Ulaya
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba Kongamano la Usalama la Munich ambalo kwa kawaida huzingatiwa kuwa tukio…
Why Miracle Experience Balloon Safaris got great recognition
ARUSHA: MIRACLE Experience Balloon Safaris has been recognised as Tanzania’s Best Hot Air Balloon Tour Operator at the Serengeti Awards, in a ceremony that highlighted operators shaping the country’s tourism…
Araqchi: Sarakasi ya Munich dhidi ya Iran imedhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Mkutano wa Usalama wa Munich uliokua na mtazamo dhidi ya Iran umegeuka na kuwa kongamano la sakarakasi na hivyo…
Baqaei: Mashinikizo ya kisiasa hayawezi kudhoofisha haki ya Iran ya kurutubisha urani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa haki "isiyoweza kubatilishwa" ya Iran ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kudhoofishwa na mashinikizo ya kisiasa.
Baqaei: Mashinikizo ya kisiasa hayawezi kudhoofisha haki isiyoweza kubatilishwa ya Iran ya kurutubisha urani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa haki "isiyoweza kubatilishwa" ya Iran ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kudhoofishwa na mashinikizo ya kisiasa.
Waasi wenye silaha wauwa watu wasiopungua 32 kaskazini mwa Nigeria
Watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki wamevamia vijiji vitatu kaskazini mwa Nigeria, na kuua takriban watu 32 na kuwateka nyara wengine kadhaa.
Watu wenye silaha wauwa watu wasiopungua 32 kaskazini mwa Nigeria
Watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki wamevamia vijiji vitatu kaskazini mwa Nigeria, na kuua takriban watu 32 na kuwateka nyara wengine kadhaa.
Madagascar yatangaza kimbunga Gezani janga la kitaifa
Serikali ya Madagascar jana ilitangaza kwa kimbunga cha Gezani kilichoiathiri nchi hiyo ni janga la kitaifa. Kimbunga hicho cha kitropiki kmesasabisha vifo vya 43, majeruhi kadhaa, uharibifu wa miundombinu na…
Waziri Mkuu wa Ethiopia ahimiza kuwepo uhusiano wa heshima kati ya Afrika na Italia
Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa Ethiopia amehimiza kuhusu ushirikiano mpya kati ya Afrika na Ulaya unaozingatia utu na ustawi wa pamoja. Waziri Mkuu wa Ethiopia ameeleza haya alipokuwa mwenyeji wa…
Tofauti ya wenza kuishi pamoja na kwa pamoja
Kuna ndoa nyingi ambapo wanandoa wanaishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja lakini hawaishi...
DRC: Wanamgambo wa Erik Prince wapelekwa Uvira kusaidia jeshi katika kulinda mji
Erik Prince, mfuasi wa Rais wa Marekani Donald Trump, amewatuma wanamgambo wa kampuni yake binafsi ya kijeshi kusaidia kulinda mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),…