Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan , akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongoz…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan , akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali wateule. Miongoni mwa viongozi walioapishwa ni pamoja na Dkt Fabian Madele…
Azam TV’s video
Katika kuhakikisha kunakuwepo suluhu ya kudumu ya utatuzi wa changamoto ya vituo vya kujazia gesi, Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kupitia ubia kati…
Pedro hashikiki Ligi Kuu, atwaa tena tuzo
Tuzo hiyo ni ya pili mfululizo kwa Pedro kwani ndiye aliibuka mshindi kwa tuzo za mwezi Desemba.
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA AHUHURI – 9/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA AHUHURI - 9/02/2026
Wachuuzi wavamia vizimba Soko Kuu la Kariakoo
Soko hilo lilifunguliwa jana na Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwa imetimia miaka mitano baada ya...
Prof Mkenda kukimbia na waliosoma vyuo vikuu nje ya nchi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika...
Ukosefu wa miundombinu rafiki kwaajili ya mazoezi kwa timu ya Fountain Gate kumetajwa kuwa ni sababu zilizochangia timu hiyo kuo…
Ukosefu wa miundombinu rafiki kwaajili ya mazoezi kwa timu ya Fountain Gate kumetajwa kuwa ni sababu zilizochangia timu hiyo kuondoka mkoani Manyara na kuhamishia Makazi yako mkoani Arusha. (Feed generated…
Walemavu 110 kukutanishwa Kilimanjaro usiku wa ‘Night to shine’
Wakati jamii ikitakiwa kuwaibua na kutowaonea aibu watu wenye ulemavu nchini, Shirika la New...
Serikali yataka nguvu ya pamoja kuimarisha huduma za kifafa
Dk Samizi amewahimiza wadau kuongeza juhudi za kupambana na unyanyapaa dhidi ya watu wanaoishi...
DC Simanjiro ahimiza wanafunzi wote wapelekwe shule bila visingizio
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Fakii Lulandana, amewaagiza wakuu wa shule za...
Je, akili unde (AI) ni fursa au tishio?
Je, akili unde (AI) ni fursa au tishio? Usikose kufuatilia Morning Trumpet kwa mjadala wa kina kuhusu faida na hasara ya teknolojia hii. Jiunge nasi kesho kuanzia saa 12:00 asubuhi…
#NBPL: Ilitokea piga nikupige flani hivi kabla ya Laurian Makame kuukwamisha mpira nyavuni akiiandikia JKT goli lenye hadhi ya a…
#NBPL: Ilitokea piga nikupige flani hivi kabla ya Laurian Makame kuukwamisha mpira nyavuni akiiandikia JKT goli lenye hadhi ya alama tatu. FT: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD…
Madereva wataka Polisi iweke wazi kituo anachoshikiliwa kiongozi wao
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga, alisema Materu anashikiliwa kwa mahojiano...
MSHIKEMSHIKE: Yanga baada ya kupoteza dhidi ya AS FAR ugenini, matumaini pekee ni ushindi kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya JS Ka…
MSHIKEMSHIKE: Yanga baada ya kupoteza dhidi ya AS FAR ugenini, matumaini pekee ni ushindi kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya JS Kabylie, unaionaje nafasi ya wananchi kufuzu robo fainali ya…
Tetesi za soka nchini England zinasema Kiungo wa kati wa klabu ya Newcastle ya Uingereza na timu ya taifa ya Italia Sandro Tonal…
Tetesi za soka nchini England zinasema Kiungo wa kati wa klabu ya Newcastle ya Uingereza na timu ya taifa ya Italia Sandro Tonali, 25, yuko juu kwenye orodha fupi ya…
AZAM FC: Afisa Habari wa Azam FC, @hasheem_ibwe ataja ratiba ya timu hiyo kuelekea nchini Morocco kuifuata Wydad AC
AZAM FC: Afisa Habari wa Azam FC, @hasheem_ibwe ataja ratiba ya timu hiyo kuelekea nchini Morocco kuifuata Wydad AC. Ibwe amesema timu ya utangulizi itaondoka Februari 10 na wengine wataondoka…
Vigogo Bara wapewa mchekea Shirikisho
DROO ya mechi za hatua ya 64-Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) imefanyika jana na vigogo va Ligi Kuu Bara ikiwamo, Simba, Yanga, Azam FC na Singida Black…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amewataka watendaji wote aliowateuwa na kuwaapisha, kuhakikisha wanaifanya Tanzania iendelee na wa…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amewataka watendaji wote aliowateuwa na kuwaapisha, kuhakikisha wanaifanya Tanzania iendelee na wasimamie utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Dkt Samia ametoa…
Makapu, Bahanuzi waukubali mziki wa Bacca
MWENDELEZO wa kiwango anachokionyesha beki wa Yanga, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ kimemuibua kiungo wa Bigman FC iliyopo Ligi ya Championship, Said Juma ‘Makapu’ anayeamini kinatokana na uvumilivu na nidhamu, huku straika…
Usipange kukosa kuitazama Grey’s Anatomy kuaniza saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli yako pendwa ya filamu na tamthilia kal…
Usipange kukosa kuitazama Grey's Anatomy kuaniza saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli yako pendwa ya filamu na tamthilia kali... (Feed generated with FetchRSS)
Majeraha yamtibulia Salim Dodoma Jiji
KIPA wa Dodoma Jiji, Ally Salim amepata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa takribani mwezi mmoja.
Serikali kuweka nguvu utumishi wenye uadilifu
MOROGORO: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimanti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kutimiza dhamira yake ya kuujenga utumishi…
KMC yaongoza ‘ligi’ ya kujiweka
KIKOSI cha KMC kinajindaa kushuka uwanjani jioni ya kesho Jumatano ikiwa wenyeji wa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku ikiwa ni kama imekumbwa na mdudu mbaya, kwani licha…
Sehemu ya vipindi vya watoto vitakavyoruka wiki hii ndani ya Kisimbuzi chako cha AzamTV
Sehemu ya vipindi vya watoto vitakavyoruka wiki hii ndani ya Kisimbuzi chako cha AzamTV. Chaneli hizi za watoto zinapatikana katika kifurushi cha shilingi 35,000. #Kids #AzamTV (Feed generated with FetchRSS)
Shirikisho la mpira wa miguu barani afrika kupitia kamati tendaji inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wake mnamo tarehe 13 mwezi hu…
Shirikisho la mpira wa miguu barani afrika kupitia kamati tendaji inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wake mnamo tarehe 13 mwezi huu, jijini Dar Es Saalam ambao utajadili masuala mbalimbali ya Maendeleo…
Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma mbashara kesho Februari 10, 2026 kwenye #MorningTrumpet ya #UTV
Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma mbashara kesho Februari 10, 2026 kwenye #MorningTrumpet ya #UTV
Tanzania begins educational reforms to suit global labour demands
DAR ES SALAAM: TANZANIAN Vice President, Dr Emmanuel Nchimbi, has launched an educational reform programme aimed at strengthening cooperation between employers, vocational training institutions and universities to ensure graduates acquire…
John Mbadi Atangaza Mipango ya Kumtimua Edwin Sifuna Kutoka ODM
Waziri John Mbadi alimtaka katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna kuondolewa madarakani huku mvutano ukiongezeka ndani ya chama kabla ya uchaguzi wa 2027.
MSIMAMO: JKT Tanzania wanahitaji makoti ya kuwazuia na barafu…kileleni ni zaidi ya jokofu
MSIMAMO: JKT Tanzania wanahitaji makoti ya kuwazuia na barafu…kileleni ni zaidi ya jokofu. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi
Mawinga, madalali wanakuza au kuzorotesha biashara…
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamikia huduma zinazotolewa na madalali na mawinga, wakidai...
#NBPL: JKT Tanzania wamechukua alama tatu
#NBPL: JKT Tanzania wamechukua alama tatu. FT: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #JKTTanzaniavsMashujaa #JKTanzania #Mashujaa
#NBPL: Bado JKT Tanzania wapo mbele kwa goli moja
#NBPL: Bado JKT Tanzania wapo mbele kwa goli moja. 90’: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #JKTTanzaniavsMashujaa #JKTanzania #Mashujaa
Lissu aibua mapya mahakamani ya viongozi Chadema
Kesi hiyo, inayosikilizwa na jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama...
Wanachotamani wenye viwanda kutoka kwa wahitimu vyuoni
Baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu wahitimu kukosa ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la...
Peter Salasya Azindua Shule ya Uongozi Kufunza Wawaniaji Katika Uchaguzi Mkuu wa 2027
Mbunge Peter Salasya alifichua mipango ya kufungua shule ya bure ya uongozi mtandaoni kwa wanasiasa wanaotaka kuwa wanasiasa kabla ya uchaguzi wa 2027.
mtengeneza maudhui ya mitandao ya kijamii wa Kenya na mchambuzi wa masuala ya kisiasa anayefahamika kwa kuunga mkono viongozi mb…
mtengeneza maudhui ya mitandao ya kijamii wa Kenya na mchambuzi wa masuala ya kisiasa anayefahamika kwa kuunga mkono viongozi mbalimbali wa Afrika Mashariki @cassypoolcapon amesema hawezi kubadili mawazo wala mtazamo…
Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika, AzamFC na Singida BS, Jumapili hii wanamaliza hatua ya makundi ya mic…
Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika, AzamFC na Singida BS, Jumapili hii wanamaliza hatua ya makundi ya michuano hii wakiwa viwanja vya ugenini. Matajiri wa jiji AzamFC watakuwa…
Tanzania seeks impart human rights knowledge to women in the fishing sector
MOROGORO: WOMEN engaged in small-scale fishing in Tanzania are being equipped with human rights knowledge to help them better understand their position, protect themselves from abuse, and confidently claim their…
#NBPL: ‘Boli’ inaendelea katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo
#NBPL: ‘Boli’ inaendelea katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo. 65’: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #JKT TanzaniavsMashujaa #JK Tanzania #Mashujaa
AZAM FC: “Calculator (kikokoto) haituhusu”
AZAM FC: “Calculator (kikokoto) haituhusu” Afisa Habari wa Azam FC, @hasheem_ibwe anasema njia ya kutinga hatua ya robo fainali sio nyepesi kutokana na mazingira ya kundi yalivyo ambapo mpaka sasa…
Award honors NBC commitment to construction projects
ZANZIBAR: The National Bank of Commerce (NBC) has been recognized as the Best Bank in Financing Construction Projects in Zanzibar at the Zanzibar International Construction Awards (ZICA Awards), reinforcing its…
Sindano za kuondoa mikunjo ya uso: Tiba ya kisasa ya kukabiliana na kipandauso
Kwa waathiriwa wengi, ugonjwa huu hujitokeza kama kichwa kuuma na dalili nyingine nyingi kama kizunguzungu na kutoona mwanga vizuri.
Ambassador Matinyi leads strategic investment talks with Sweden
SWEDEN: The Embassy of Tanzania in Sweden, under the leadership of Mobhare Matinyi, hosted a high-level strategic meeting with Swedish business leaders and investors convened by the Sweden Africa Chamber…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema atachukua hatua za kumuondoa mtendaji yeyote kati ya wateule wake atakayeshindwa kuendana …
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema atachukua hatua za kumuondoa mtendaji yeyote kati ya wateule wake atakayeshindwa kuendana na kasi ya utendaji wake. Dkt Samia ameeleza hayo leo, Jumatatu Februari…
Somalia yatangaza makubaliano ya kijeshi na Saudi Arabia
Somalia imetangaza mnamo Februari 9, 2026, kusainiwa kwa makubaliano ya kijeshi na Saudi Arabia, wakati ambapo Pembe ya Afrika inakuwa eneo la vita kati ya mataifa ya Ghuba ya Uajemi.…