WFP yasitisha msaada Sudan Kusini kufuatia mashambulizi dhidi ya misafara ya chakula
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) leo Februari 4, 2026 limetangaza kusitisha shughuli zake zote katika kaunti ya Baliet, jimbo la Upper Nile, nchini Sudan…
Serikali yaonya makondakta daladala wanaotesa wanafunzi vituoni
Makondakta wamekuwa wakigoma kuwabeba wanafuzni kwa kisingizio cha kibiashara wakidai wanafunzi...
WHO: Asilimia 40 ya magonjwa ya saratani duniani yanaweza kuzuilika
Kuelekea Siku ya Saratani Duniani inayoadhimishwa Februari 4 kila mwaka, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani (WHO) na Shirika la Kimataifa la Utafiti Kuhusu Saratani (IARC) wamebainisha kuwa…
Morocco kuikatia rufaa adhabu waliyopewa Senegal
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) lilitoa adhabu kali kwa Senegal na Morocco kufuatia vurugu wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 (AFCON 2025).
VIWANJANI: “Fedha katika mpira wetu zipo ligi kuu sana…”
VIWANJANI: “Fedha katika mpira wetu zipo ligi kuu sana...” Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), anayewakilisha Mkoa wa Mara Augustine Mgendi, amesema changamoto kubwa…
Baada ya miaka mingi ya ukame, Arsenal inakaribia kuukana ‘utoto?
Arsenal inakaribia kutwaa taji lao la kwanza tangu mwaka 2020 baada ya kuichapa Chelsea mabao 4-2 kw aujumla katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Carabao.
Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA), kimewataka vijana kuchangamkia mikopo inayotolewa na Serikali…
Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA), kimewataka vijana kuchangamkia mikopo inayotolewa na Serikali kwa ajili ya kuwawezesha kupata mitaji. Mwenyekiti wa TAMISA, Peter Kumalilwa amesena katika…
Jeshi la Sudan lauvunja mzingiro katika mji wa Kadugli
Jeshi la Sudan limesema limeuvunja mzingiro wa miaka mingi katika mji wa Kadugli. Hatua hii ya sasa nchini Sudan inaashiria mabadiliko katika muelekeo wa vita vinavyoikumba nchi hiyo.
HRW: Mfumo wa haki za binadamu duniani upo hatarini
Ripoti ya kila mwaka iliyotolewa leo na Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW), inaonyesha kuwa mfumo wa kimataifa wa haki za binadamu uko hatarini.
Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua watu 9 huko Gaza
Shirika la ulinzi wa raia la Gaza limesema mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu tisa katika eneo la Wapalestina, ikiwemo watoto watatu.
Jalali: Madai ya Trump kwamba anawaunga mkono Wairani hayana msingi
Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali amepuuzilia mbali matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani Donald Trump akidai kuwa analiunga mkono na kulisaidia taifa la Iran, akisisitiza kuwa…
Jeshi la Sudan lavunja mzingiro na kudhibiti mji wa Kadugli
Jeshi la Sudan limesema limeuvunja mzingiro wa miaka mingi katika mji wa Kadugli na kutoa matumaini kwa maelfu ya watu wanaokabaliwa na kitisho cha baa la njaa.
Kansela Merz kuanza ziara ya kwanza kanda ya Ghuba
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, leo anaanza ziara yake ya kwanza katika eneo muhimu lenye utajiri na la kimkakati la Ghuba.
Wajumbe wa Ukraine, Urusi na Marekani kukutana Abu Dhabi
Wasuluhishi kutoka Ukraine, Urusi na Marekani wanatarajiwa kukutana leo mjini Abu Dhabi, wakitafuta kuendeleza mazungumzo tete ya namna ya kumaliza vita vya karibu miaka minne.
Wahamiaji 15 wafa kisiwani Ugiriki kufuatia ajali ya majini
Watu wasiopungua 15 wamefariki baada ya boti ya doria ya walinzi wa pwani ya Ugiriki kugongana na boti iliyowabeba wahamiaji nje ya pwani ya kisiwa cha Chios Jumanne usiku.
HRW yasema mfumo wa haki za kidinadamu duniani uko hatarini
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema haki za binadamu zadorora. Marekani, Urusi, Iran na Afghanistan zatuhumihiwa, huku dhidi ya mashoga ikiongezeka.
Vifo 4 kati ya 10 vya Saratani barani Afrika vinaweza kuzuiwa kutokana na ugunduzi wa mapema: WHO
Afrika inakabiliwa na changamoto za kipekee zinazoathiri wagonjwa wa Saratani ikiwemo ugunguzi wa kuchelewa na ukosefu wa vifaa vya kutosha vya matibabu
Sifuna aunga mkono uongozi mpya Azimio, asisitiza ODM kingali katika muungano: “Sisi ni wanachama”
Edwin Sifuna amethibitisha ODM kingali mwanachama katika Azimio, pia alipuuza madai eti chama hicho kilitoka huku mabadiliko ya uongozi yakifanyika.
Maneno ya Khadija Kopa kuhusu kifo cha Ally Star
Mkurugenzi wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Khadija Kopa amesema mwimbaji na mtunzi wa...
Sababu kifo cha mwanamuziki Ally Star
Msanii wa muziki wa taarabu na Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Abdul Misambano...
Seneta wa Nigeria: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, nembo ya uhuru duniani
Seneta Shehu Sani wa Nigeria ambaye pia ni mkuu wa Jukwaa la Haki za Kiraia la Nigeria (CRCN), amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979 ni vuguvugu la…
FOUNTAIN GATE vs NAMUNGO: “Wao kwa sababu wapo nyumbani naona wanaweza kupata matokeo mazuri…”
FOUNTAIN GATE vs NAMUNGO: “Wao kwa sababu wapo nyumbani naona wanaweza kupata matokeo mazuri…” Mchambuzi wa soka @akingamkono amesema faida ya kuwa nyumbani kwa timu ya Fountain Gate FC pamoja…
Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina, yaua 20 Gaza
Mashambulizi mapya ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel yamewaua shahidi watu wasiopungua 20, wakiwemo watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
ANC yamkosoa Mfalme wa Afrika Kusini kwa kuwaalika maafisa wa Israel
Chama tawala cha African National Congress (ANC) kimemkosoa vikali Mfalme wa Afrika Kusini, Buyelekhaya Dalindyebo kufuatia uamuzi wake tata wa kuwaalika maafisa kutoka Ubalozi wa Israel kutembelea hospitali za umma…
Mashambulizi ya droni yaua watu 15 Kadugli, kusini mwa Sudan
Raia wasiopungua 15, wakiwemo watoto saba, wameuawa katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani katika mji wa Kadugli kusini mwa Sudan. Hayo yamesemwa na kundi la kujitolea la wenyeji na…
Mwamba wa Apocalypto umeanguka
Mwigizaji wa Apocalypto Gerardo Taracena amefariki dunia. Mkali huyu alikuwa mmoja wa wachezaji...
Robo Fainali DFB Pokal kuendelea leo Jumatano
Robo Fainali DFB Pokal kuendelea leo Jumatano Je, timu gani kuifata Leverkusen kwenye hatua ya nusu fainali? Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD. #DFBPokal #Azamtvsports
Wapatanishi wa mzozo wa Kongo wakutana na Museveni
Jopo maalumu la upatinishi la Umoja wa Afrika limesisitiza kuwa bara hilo linatakiwa kuhusika moja kwa moja katika kuutatua mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Trump aurefusha mkataba wa AGOA
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini sheria inayorefusha mkataba wa biashara kati ya Marekani na Afrika, AGOA, hadi Desemba 31 mwaka huu wa 2026.
Saif al-Islam Gaddafi: Mwana wa kiongozi wa zamani aliyeuawa Libya ni nani?
Kifo chake kimetokea wakati ambapo Libya bado inakabiliwa na msukosuko unaotokana na makundi yenye silaha, mamlaka zinazopingana kisiasa, na utawala dhaifu wa serikali kuu unaendelea kuchochea ghasia.
Kithure Kindiki amjibu Fred Matiang’i, atishia kuanika tambara lake bovu: “Nitakuaibisha”
Naibu Rais Kithure Kindiki alimkemea Fred Matiang'i, akidai kushindwa kwake katika elimu na kutishia kumfichua kuhusu uuzaji wa ardhi wenye utata.
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema KMC FC inatakiwa kushinda michezo yake miwili iliyosalia kwenye mzunguko wa …
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema KMC FC inatakiwa kushinda michezo yake miwili iliyosalia kwenye mzunguko wa kwanza wa NBC Premier League ili kufufua matumaini ya kusogea nafasi za juu.…
VIWANJANI: “Unajua kuna changamoto ya muunganiko vilevile….”
VIWANJANI: “Unajua kuna changamoto ya muunganiko vilevile....” Meneja wa klabu ya Simba Patrick Rweyemamu, amesema wanaelekea Angola wakiwa na kikosi cha wachezaji 23 huku wakiwa na maingizo ya wachezaji wapya…
Mkasa Njoro Girls: Upasuaji wa maiti wathibitisha chanzo cha kifo cha ghafla cha mwanafunzi
Uchunguzi wa maiti uliofanyiwa Brenda Akinyi ulionyesha kwamba alifariki baada ya ubongo wake kuvimba, hali aliyoipata alipokuwa shule ya Njoro Girls.
Ni kiungo gani katika mwili wa binadamu ambacho hakipati saratani?
Ni kiungo gani katika mwili wa binadamu ambacho hakipati saratani? A. Moyo ❤️ B. Koo 🗣️ C. Mapafu 🌬️ Chagua jibu sahihi na utuandikie kwenye coment #AzamTVUpdates
Sifuna adai njia ya hakika ya ODM kuendelea kukaa katika upinzani ni kumuunga mkono Ruto
Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna Alionya kwamba kujihusisha kwa chama hicho na Rais William Ruto kunaweza kuingia katika upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Katika jitihada za kuhakikisha vyanzo vya maji vinaendelea kuwa salama, Bodi ya Maji Bonde la Wami-Ruvu imewawezesha wananchi wa…
Katika jitihada za kuhakikisha vyanzo vya maji vinaendelea kuwa salama, Bodi ya Maji Bonde la Wami-Ruvu imewawezesha wananchi wa Kijiji cha Msonge, mkoani Morogoro, kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki.…
Mtoto wa Gaddafi auawa nyumbani kwake Libya
Mazingira ya kifo chake hayajatangazwa rasmi, lakini vyombo vya habari vya Libya vimeripoti...
Wanafunzi wa masomo ya amali wanaongezeka, ufaulu wapungua
Tanzania imeendelea kushuhudia ongezeko la wanafunzi wanaodahiliwa katika mtalaa wa amali kila...
Simu mpya zazinduliwa kukuza huduma za kidijitali
Katika hatua muhimu ya kukuza ujumuishaji wa huduma za kidijitali nchini, Yas imeungana na...
Afisa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Richard Shabani amewashauri watoa huduma katika vituo vya masaji pamoja na saluni kuchukua …
Afisa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Richard Shabani amewashauri watoa huduma katika vituo vya masaji pamoja na saluni kuchukua tahadhari za kiafya kwa kujikinga wakati wa kutoa huduma…
Kampuni ya Jera ya Japani yatia saini mkataba wa miaka 27 wa kununua LNG kutoka Qatar
Kampuni kubwa zaidi ya kuzalisha umeme ya Japani ya Jera, imetia saini mkataba wa muda mrefu wa kununua gesi asilia ya kimiminika, LNG kutoka Qatar, kuanzia mwaka 2028. Jera inasema…
Uhispania yapitisha azimio la kupigwa marufuku kwa mitandao ya kijamii kwa watoto baada ya Ufaransa na Denmark
Uhispania imekuwa nchi ya hivi karibuni barani Ulaya kuzingatia upigaji marufuku wa mitandao ya kijamii kwa watoto.
Chama cha Kikomunisti cha China na Kuomintang cha Taiwan chafanya kongamano la kwanza baada ya miaka 9
Kongamano la wanataaluma lililohudhuriwa na maafisa kutoka Chama cha Kikomunisti cha China na chama kikubwa zaidi cha upinzani cha Kuomintang cha Taiwan lilifanyika China Februari 3. Vyombo vya habari vya…
Rais wa Iran amwambia Waziri wake wa Mambo ya Nje aendelee na mazungumzo na Marekani
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian anasema amemwagiza Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuendelea na mazungumzo na Marekani.
Zelenskyy alaani shambulio la Urusi dhidi ya miundombinu ya nishati ya Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameilaani Urusi kwa kushambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine.
Mama wa Mjapani aliyetekwa nyara atimiza umri wa miaka 90, arudia matumaini yake ya kuungana tena (Sauti ya AI kwa Kiswahili)
Mama wa mwanamke Mjapani aliyetekwa nyara na Korea Kaskazini ameelezea matumaini ya kuungana tena na binti yake baada ya karibu miaka 50 ya kutengana.