Wananchi Dar walia bili kubwa za maji bila maji
Katikati ya kilio cha ukosefu wa huduma ya maji safi na salama katika baadhi ya maeneo jijini...
Tanzania, Malawi kuendeleza uhusiano wa biashara ya mahindi
Tanzania na Malawi zimeendelea kuimarisha uhusiano wa kibiashara katika zao la mahindi na...
Je, makubakiano kati ya Israel na Lebanon mashakani?
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya tarehe ya mwisho ya utekelezaji wa usitishaji vita kati ya Israel na Lebanon, wasiwasi unaendelea kuongezeka nchini Lebanon kuhusu hatma ya makubaliano hayo.
Vyanzo: Wapiganaji wa M23 bado wapo katika mji wa Uvira
Waasi wa M23 na maafisa wao wa kijasusi waliovalia nguo za kiraia bado wanaendelea kuwepo katika mji wa mashariki mwa Kongo wa Uvira.
Tume yafanya mahojiano RC Chalamila
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 imefanya mahojiano na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila,…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameagiza Mgogoro wa Ardhi katika Kijiji cha Mpeta kilichoko wilayani Uvinza…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameagiza Mgogoro wa Ardhi katika Kijiji cha Mpeta kilichoko wilayani Uvinza mkoani Kigoma katika eneo lenye ukubwa wa zaidi ya hekta…
AU yakosolewa kwa kutotilia maanani vita vya Sudan
Wajumbe wa Kongamano la Wazalendo wa Afrika Kanda ya mashariki mwa bara hilo wameukosoa Umoja wa Afrika pamoja na Umoja wa Mataifa kwa kutokufanya juhudi za kutosha kukomesha vita nchini…
Dk Mwigulu akomaa na watendaji wasiotatua kero za wananchi
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza watendaji wa Serikali kuzishughulikia kwa...
Wakuu wa EU kuufanyia kazi mpango wa kutumia mali za Urusi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana Alhamisi katika mkutano wao wa kilele mjini Brussels kuufanyia kazi mpango wa kuifadhili Ukraine katika mwaka wa 2026 na 2027 kwa kutumia mali za…
Trump: Nimefanikiwa kumaliza vita vingi duniani
Rais wa Marekani Donald Trump anadai amefanikiwa kumaliza vita vinane duniani tangu aliporejea madarakani. Alitangaza makubaliano ya amani kati ya Rwanda na DR Kongo, ni moja ya mafanikio yake makubwa.
Wahitimu UBA wahimizwa kuimarisha ujuzi wa kidijitali
Wahitimu na wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini wanaosoma fani ya uandishi wa habari...
Waziri Mbarawa ahimiza miradi ya usafirishaji yenye mazingira salama
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amewataka wataalamu wanaotekeleza miradi ya...
Christian Bella apewa Uraia wa Tanzania
MSANII maarufu wa muziki wa dansi wa Bongo, Christian Bella, amepewa uraia wa Tanzania baada ya kuishi na kufanya shughuli zake za muziki nchini kwa takribani miaka 20. Uamuzi wa…
Ruksa Tume kuchunguza matukio ya Oktoba 29 kupingwa mahakamani
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeridhia kufunguliwa kwa shauri la mapitio ya...
Latra: Nauli ya Sh1,000 za mwendokasi ni za mpito
Wakati wananchi wakilalamika upandaji wa nauli ya usafiri wa mwendokasi kutoka Sh750 hadi...
RSF yafanya shambulizi kubwa la droni mashariki mwa Sudan
Wanamgambo wa RSF wanaopambana na jeshi nchini Sudan, wamefanya Alhamisi shambulizi kubwa la droni mashariki mwa nchi hiyo na kuulenga mtambo muhimu wa kuzalisha umeme.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, amesema kuwa huu ni wakati wa vijana wasomi kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050,…
Kariakoo ‘imechangamka’
Haijalishi ni asubuhi, mchana au jioni, Kariakoo kwa misemo ya mtaani ‘imechangamka.’
#MALUMBANOYAHOJA: MGAMBO WANAONYANG’ANYA WAFANYABIASHARA BIDHAA ZAO
#MALUMBANOYAHOJA: MGAMBO WANAONYANG'ANYA WAFANYABIASHARA BIDHAA ZAO. JE, WAADHIBIWE KAMA WEZI NA WACHOCHEZI?
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, linawashikilia watu 21 wakiwemo wanaoshiriki na kufanya shughuli za matambiko maarufu Ka…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, linawashikilia watu 21 wakiwemo wanaoshiriki na kufanya shughuli za matambiko maarufu Kamchape, kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu,…
Ujerumani kuwapokea WaAfghani 535 kutoka Pakistan
Ujerumani imetangaza Alhamisi kuwa itawapokea raia wa Afghanistan wapatao 535 waliokuwa wameahidiwa kupewa hifadhi nchini Ujerumani lakini hadi sasa wakiwa wamekwama katika hali ya sintofahamu nchini Pakistan.
#HABARI: Katika kuelekea kwenye Sikukuu za mwisho wa mwaka, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, kutoka Makao Makuu y…
#HABARI: Katika kuelekea kwenye Sikukuu za mwisho wa mwaka, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, kutoka Makao Makuu ya Nchi, kwa muda wa siku tano kwenye mikoa mitano, kimefanya…
Ukosefu wa vyoo watesa makanisa, ofisi za vijiji Maswa
Baadhi ya makanisa pamoja na ofisi za watendaji wa vijiji katika Wilaya ya Maswa, mkoani...
Trump aahidi kuboresha uchumi 2026
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amelihutubia taifa leo Alhamisi, akieleza mipango yake ya kuifanya Marekani kuwa imara zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali. The post Trump aahidi kuboresha uchumi 2026 first…
Burudani tamu na muziki Mzuri wa jioni hadi Usiku hapa kitivoni vitasimamiwa na #WamojaBand kwenye alhamisi tulivu
Burudani tamu na muziki Mzuri wa jioni hadi Usiku hapa kitivoni vitasimamiwa na #WamojaBand kwenye alhamisi tulivu. Ni muda ambao makachero wa #SentroCloudsTv watakuwa wakinyoosha Taarifa zote kubwa za Usiku…
Mkakati kuwezesha biashara mitandaoni waja
Serikali iko kwenye mkakati wa usimamiaji wa biashara mtandaoni ikiwa ni moja ya njia...
Mwamba amerudi Msimbazi
MSHAMBULIAJI na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, John Bocco ‘Adebayor’ ametajwa kurudishwa tena Msimbazi kwa lengo la kuongeza nguvu benchi la ufundi la timu…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA – DESEMBA 18, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA - DESEMBA 18, 2025 -
Wimbi kubwa la wakimbizi kutoka DRC laingia Burundi
Wimbi jipya la wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linaendelea kuingia nchini Burundi kupitia Ziwa Tanganyika, wakitokea maeneo ya Baraka na Fizi, kusini mwa jimbo la Kivu Kusini, Mashariki…
Sebo, Abdulmalik wanukia Singida Black Stars
WAKATI uongozi wa Singida Black Stars ukitafuta beki mwingine wa kati, majina ya nyota wawili yamewekwa mezani, ambayo ni Abdallah Kheri ‘Sebo’, anayeichezea kwa sasa Pamba Jiji kwa mkopo akitokea…
Baraka Majogoro sasa mambo freshi KMC
BAADA ya kukosekana nusu msimu kiungo mkabaji wa KMC, Baraka Majogoro anatarajia kuanza kuitumikia timu hiyo mapema mwezi ujao baada ya ITC yake kupatikana ikitokea klabu ya Chippa United ya…
Coastal Union waitana mapema Tanga
KIKOSI cha Coastal Union kinatarajia kurudi kambini Desemba 27 mwaka huu tayari kwa ajili ya kujiweka fiti na michezo iliyo mbele yake huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mohammed Muya…
Chama la Wana laanza kujipata Ligi ya Championship
STAND United ‘Chama la Wana’ imeanza kunyanyuka taratibu na kupanda juu katika msimamo wa Ligi ya Championship baada ya kupitia changamoto mbalimbali ikiwamo ukata na kupokwa pointi na Bodi ya…
Daktari jela kuwaua wagonjwa
DAKTARI mmoja wa Ufaransa, Frédéric Péchier (53), amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwadunga sindano za sumu wagonjwa 30 kwa makusudi, ambapo wagonjwa 12 walifariki…
MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Dkt
MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, amewaomba wananchi wa Kisarawe na watanzania kwa ujumla kumuombea Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa ana maono makubwa ya kuwatumikia…
Watatu kuifuata Taifa Stars leo
TIMU ya taifa, Taifa Stars jana Alhamisi imeondoka kambini jijini Cairo, Misri kwenda Morocco kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, huku mastaa watatu wa…
Mahakama TZ, imekubali ombi la kupinga Tume ya Samia
Mahakama Kuu ya Tanzania, imeyakubali maombi yaliyoletwa na walalamikaji kupinga uhalali wa Tume iliyoundwa na Rais wa Tanzania, kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania,…
Mahakama TZ, imekubali ombil la kupinga Tume ya Samia
Mahakama Kuu ya Tanzania, imeyakubali maombi yaliyoletwa na walalamikaji kupinga uhalali wa Tume iliyoundwa na Rais wa Tanzania, kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania,…
Usikose kuangalia kipindi cha Kivuko Ijumaa hii ambapo Baraza la Sanaa la Taifa BASATA limeshauri Wasanii na Jamii kusameheana i…
Usikose kuangalia kipindi cha Kivuko Ijumaa hii ambapo Baraza la Sanaa la Taifa BASATA limeshauri Wasanii na Jamii kusameheana ili kukuza sanaa nchini #StarTvUpdate
Morocco ina jukumu kubwa wakati ikibeba matarajio ya uwenyeji AFCON 2025
Kuwa mwenyeji wa mashindano kunawapa Morocco hamasa na nafasi nzuri, lakini pia kunaibua kumbukumbu za kushindwa kufanikiwa hapo awali na wamekuwa na hamu ya muda mrefu ya kupata ushindi.
Victor Mwandike afariki dunia akiacha historia Kariakoo Derby
Refa mstaafu wa kimataifa wa Tanzania, Victor Mwandike, amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 18, 2025 jijini Dar es Salaam.
Msanii Christian Bella apewa uraia wa Tanzania
Msanii maarufu wa muziki wa Bongofleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop, Christian Bella...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo…
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao wamekutana…
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), imeibuka mshindi wa Tuzo ya Uwezesahaji Vijana na Ukuzaji Ujuzi (Youth Empor…
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), imeibuka mshindi wa Tuzo ya Uwezesahaji Vijana na Ukuzaji Ujuzi (Youth Emporment and Skills Development) katika Tuzo za Ubunifu wa Sekta…
CAG aanza mkakati wa kitaifa kuwanoa madiwani wamo waandishi wa habari
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeanza utekelezaji wa mkakati...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Ashatu Kijaji amewahamasisha watanzania kutumia mapumziko ya mwisho wa mwaka kwa kufanya utali…
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Ashatu Kijaji amewahamasisha watanzania kutumia mapumziko ya mwisho wa mwaka kwa kufanya utalii katika hifadhi ya Taifa Kitulo, Mpanga Kipengere na kwenye vivutio vingine vya…
Papa Leo akemea viongozi wanaotumia dini kugombanisha Taifa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini...
#HABARI: Baadhi ya wafanyabiashara wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamesema uboreshaji wa miundombinu ya viwanja vya ndeg…
#HABARI: Baadhi ya wafanyabiashara wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamesema uboreshaji wa miundombinu ya viwanja vya ndege, ikiwemo Uwanja wa Ndege wa Kahama uliofanywa na Serikali, umechangia kwa kiasi…