Von der Leyen atangaza kuahirishwa kwa kusainiwa makubaliano ya EU-Mercosur
Karibu wakulima 7,300 wa Ulaya wameandamana kupinga makubaliano ya EU-Mercosur huko Brussels siku ya Alhamisi, Desemba 18. Maandamano hayo yaliandaliwa siku ambayo wakuu wa nchi na serikali wa nchi 27…
Rais wa zamani wa Iraq awa mkuu mpya wa UNHCR
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Alhamisi lilimuidhinisha Rais wa zamani wa Iraq Barham Salih kuwa mkuu ajaye wa shirika la wakimbizi, UNHCR, akiwa ni kwanza kutoka Mashariki ya…
🔴#MAGAZETI: ASKOFU AONYA: BILA HAKI, AMANI HAIWEZI KUDUMU- 19 DESEMBA 2025
🔴#MAGAZETI: ASKOFU AONYA: BILA HAKI, AMANI HAIWEZI KUDUMU- 19 DESEMBA 2025
Umoja wa Ulaya wakubaliana kuipatia Ukraine yuro bilioni 90
Viongozi wa Umoja wa Ulaya hatimaye wamefikia makubaliano mapema leo ya kuipatia Ukraine kiasi cha yuro bilioni 90 katika kipindi cha miaka miwili ijayo, hii ikiwa ni kulingana na Rais…
Hizbullah ya Lebanon yalaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu nchini Marekani
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani kwa maneno makali uhalifu na kitendo kiovu kilichofanywa na Mmarekani cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu, ikielezea tukio hilo kuwa la kichochezi linalotoa harufu mbaya…
Leo ni Ijumaa tarehe 19 Disemba 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 28 Jamadithani 1447 Hijria sawa na 19 Disemba 2025.
UN: Usafirishaji bidhaa duniani kote karibuni hivi utakuwa wa kasi na wa gharama nafuu zaidi
Usafirishaji wa bidhaa kote duniani unatazamiwa kuwa wa gharama nafuu zaidi, unaofanyika kwa kasi zaidi na kwa urahisi mkubwa, kufuatia kupitishwa makubaliano mapya yanayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa ambayo…
Katika kuitajirisha sekta ya silaha ya US, Qatar nayo yaomba kuuziwa ndege za F-35
Vyombo vya habari vya Israel vimetangaza kuwa, Qatar imefanya mazungumzo na Marekani kuhusu kununua nchi hiyo ya Kiarabu ndege za kisasa za kivita za Marekani aina ya F-35.
Netanyahu atangaza kuidhinisha mauzo ya ‘kihistoria’ ya gesi ya dola bilioni 35 kwa Misri
Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ametangaza kuwa, serikali yake imeidhinisha makubaliano makubwa ya uuzaji wa gesi asilia kwa Misri yenye thamani ya karibu dola bilioni…
Kitendo cha Waziri Kiongozi wa India kumvua Hijabu mwanamke hadharani chalaaniwa vikali
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International tawi la India, vyama vya siasa vya upinzani na wanaharakati mbali mbali wa ndani na nje ya nchi hiyo…
#MEZAHURU: Siku tatu kabla ya michuano ya AFCON
#MEZAHURU: Siku tatu kabla ya michuano ya AFCON. Je, watanzania wanahamasishwa ipasavyo kuyafuatilia mashindano hayo ambayo Taifa Stars inashiriki?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DESEMBA 19, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 19, 2025
Itifaki ya kimataifa kuhusu haki ya Wapalestina ya kujiainishia hatima yao
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limeunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiainishia hatima na mustakabali wao.
19.12.2025
Rais wa Marekani Donald Trump anadai kuwa amefanikiwa kumaliza vita vinane duniani tangu aliporejea madarakani+++Kukamatwa kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani cha PPRD, Emmanuel Ramazani Shadary, kumezua mjadala na…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 19, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Serikali, wadau kushirikiana kuboresha miundombinu utalii
IRINGA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuboresha miundombinu katika hifadhi za taifa na vivutio vya utalii nchini, hatua inayolenga kuongeza…
Mtoto wa Bey yuko wapi jamani mambo yanaenda huku
Mtoto wa Bey yuko wapi jamani mambo yanaenda huku
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 18 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 18 DESEMBA 2025
Zaidi ya raia 50,000 wameondoka katika makazi yao eneo la Kordofan, Sudan sababu ya usalama: UN
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu uhamiaji limerekodi matukio 39 ambayo yamesababisha watu kuondoka kwenya makazi yao kutoka eneo la Kordofan tangu Oktoba 25
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..18 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..18 DESEMBA 2025
#HABARI: Hali ya uwepo wa Ukame katika maeneo mbalimbali nchini, imeendelea kuwa changamoto kwa wafugaji wa Ng’ombe na kusababis…
#HABARI: Hali ya uwepo wa Ukame katika maeneo mbalimbali nchini, imeendelea kuwa changamoto kwa wafugaji wa Ng'ombe na kusababisha upungufu mkubwa wa nyama katika Jiji la Dar es Salaam na…
#MALUMBANOYAHOJA: “Sheria iko wazi wakimkamata mtu na bidhaa yake, kama wamekukamata saizi wanatakiwa wakupeleke kituo cha polis…
#MALUMBANOYAHOJA: "Sheria iko wazi wakimkamata mtu na bidhaa yake, kama wamekukamata saizi wanatakiwa wakupeleke kituo cha polisi, ili upelekwe Mahakama ya Jiji, wakikupeleka pale wanatakiwa wakupeleke na bidhaa yako" Msafiri…
#MALUMBANOYAHOJA: “Amuoneaye masikini anamchokoza Mungu, ni kwamba hatupaswi kuwalaumu Mgambo wala Machinga, kwa sababu sheria z…
#MALUMBANOYAHOJA: "Amuoneaye masikini anamchokoza Mungu, ni kwamba hatupaswi kuwalaumu Mgambo wala Machinga, kwa sababu sheria zinazotungwa na Majiji haziendani na mazingira yalivyo"Friday Kalulu - Mshiriki. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
#MALUMBANOYAHOJA: “Niondoe dhana kwamba wananchi tuna hasira na viongozi, hapana wananchi hatuna hasira na viongozi, tunataka wa…
#MALUMBANOYAHOJA: "Niondoe dhana kwamba wananchi tuna hasira na viongozi, hapana wananchi hatuna hasira na viongozi, tunataka wafanye kile tunachokitaka kinachotupendeza' na wao kinachowapendeza" Msafiri Mwajuma Mariam - Mshiriki. Powered by…
#MALUMBANOYAHOJA: “Kuna kutokuelewana baina a Machinga na Mgambo, sikuona Mgambo anachukua kitu cha mtu akiwa dukani kwake, ila …
#MALUMBANOYAHOJA: "Kuna kutokuelewana baina a Machinga na Mgambo, sikuona Mgambo anachukua kitu cha mtu akiwa dukani kwake, ila inakuwaga sehemu ambayo sio rasimi ndio intokeaga hivi" Ally Hoza - Mwakilishi…
@naytrueboytz baada ya ukimya ameamua kurudi na tupo busy akiwa ameamua kukaa upande wa Mashabiki kama street president kwakile …
@naytrueboytz baada ya ukimya ameamua kurudi na tupo busy akiwa ameamua kukaa upande wa Mashabiki kama street president kwakile ambacho kinachojadiliwa sana Juu ya mashabiki kuwakataa Wasanii wa Tanzania baada…
Bodi ya klabu ya Simba imekutana leo Desemba 18 katika kikao kilichoendeshwa na mwenyekiti wake Cresentius Magori hata hivyo bad…
Bodi ya klabu ya Simba imekutana leo Desemba 18 katika kikao kilichoendeshwa na mwenyekiti wake Cresentius Magori hata hivyo bado klabu hiyo haijatoa taarifa ya mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho…
Muziki kwa sasa kuna namna unazungumzwa wengine chanya na wengine hasi,Baada ya kipindi cha uchaguzi kupitia
Muziki kwa sasa kuna namna unazungumzwa wengine chanya na wengine hasi,Baada ya kipindi cha uchaguzi kupitia. Mwanamuziki @rascosembo Amewajia Juu kupitia michano yake katika wimbo mpya wa Bongo Hiphop session…
Mashindano ya pooltable yajulikanayo kama Wakali wa Pooltable Msimu wa Pili yameanza rasmi leo tarehe 18 Disemba 2025, katika Uk…
Mashindano ya pooltable yajulikanayo kama Wakali wa Pooltable Msimu wa Pili yameanza rasmi leo tarehe 18 Disemba 2025, katika Ukumbi wa Skylight HQ Arena, uliopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es…
Sina ubaya na wewe acha maisha yaendelee: hawa hapa #WamojaBand kwenye Sentro ya Clouds TV
Sina ubaya na wewe acha maisha yaendelee: hawa hapa #WamojaBand kwenye Sentro ya Clouds TV.
Burudani hii kutoka #WamojaBand unaipa asilimia ngapi?
Burudani hii kutoka #WamojaBand unaipa asilimia ngapi? #SentroYaCloudstv #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
#WamojaBand wakiangusha moja moja kuhakikisha wana Kitivo wanapata burudani ya nguvu hapa Sentro Clouds TV
#WamojaBand wakiangusha moja moja kuhakikisha wana Kitivo wanapata burudani ya nguvu hapa Sentro Clouds TV. #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Diwani wa Kata ya Chanika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga , Dkt
Diwani wa Kata ya Chanika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga , Dkt. Habibu Mbota amefanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule Shikizi iliyopo Chanika, mtaa wa Azimio,…
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo tarehe 18 Desemba 2025 limekutana na uongozi wa Shirikisho la Michezo kwa Watu Wenye Ulemav…
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo tarehe 18 Desemba 2025 limekutana na uongozi wa Shirikisho la Michezo kwa Watu Wenye Ulemavu (Paralympic Tanzania) katika kikao cha pamoja kilicholenga kujadili…
#HABAI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi.Mboni Mhita, ameagiza Wahandisi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wasimamishwe ka…
#HABAI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi.Mboni Mhita, ameagiza Wahandisi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wasimamishwe kazi kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utumishi wa Umma na kuisababishia…
Burkina Faso, Mali, Niger yaanzisha benki ya uwekezaji kufadhili miradi ya miundombinu
Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES), yanayojumuisha Mali, Burkina Faso na Niger, yameanzisha benki ya uwekezaji siku ya Jumatano kufadhili miradi mikubwa ya miundombinu na kiuchumi kote katika kanda.
😅 Khee Mzee Maega katulia tuli
😅 Khee Mzee Maega katulia tuli Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
Uturuki itaendelea kusema ukweli kuhusu kinachofanyika Gaza: Erdogan
Uturuki inasimama kikamilifu na watu wa Palestina na haitoteteleka katika jitihada zake kuona haki inapatikana, anasema rais wa Uturuki.
#HABARI: Siku moja baada ya Serikali kuainisha mpango mkakati wa kutatua kero kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na sal…
#HABARI: Siku moja baada ya Serikali kuainisha mpango mkakati wa kutatua kero kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, baadhi ya Wananchi wa Jiji la Dar es…
Mwandishi wa habari mkongwe na mjumbe wa bodi ya chuo cha uandishi wa habari cha Ujiji Broadcatsing Academy (UBA), Hassan Mhelel…
Mwandishi wa habari mkongwe na mjumbe wa bodi ya chuo cha uandishi wa habari cha Ujiji Broadcatsing Academy (UBA), Hassan Mhelela amewataka waandishi wa habari na wanafunzi wa fani hiyo…
Kisa vyeti, Kocha Zambia azuiwa AFCON 2025
Siku tatu kabla ya kuanza kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 huko Morocco, Zambia...
Coop Bank yazindua huduma ya CooPesa ikiashiria zama mpya za benki kidijitali
Benki ya Ushirika (Coop Bank) imezindua rasmi CooPesa, suluhisho la kwanza la benki la...
Wakati wakulima wengi wa Tanzania wakilima mara moja kwa msimu kutokana na kutegemea mvua hali hiyo inatarajiwa kuwa historia kw…
Wakati wakulima wengi wa Tanzania wakilima mara moja kwa msimu kutokana na kutegemea mvua hali hiyo inatarajiwa kuwa historia kwa wanakijiji zaidi ya 20,000 kutoka vijiji 28 vilivyopo katika kata…
Hatima ya mabilioni ya euro za Urusi zilizozuiwa barani Ulaya sasa iko mezani wakati viongozi wa Umoja wa Ulaya EU wakikutana mj…
Hatima ya mabilioni ya euro za Urusi zilizozuiwa barani Ulaya sasa iko mezani wakati viongozi wa Umoja wa Ulaya EU wakikutana mjini Brussels katika mkutano unaoweza kubadili mwelekeo wa vita…
Unamkumbuka panya Magawa aliyeweka historia ya kutegua zaidi ya mabomu 100 nchini Cambodia
Unamkumbuka panya Magawa aliyeweka historia ya kutegua zaidi ya mabomu 100 nchini Cambodia Kwa taarifa yako, ujuzi na umahiri wake umetokana na mafunzo aliyopewa na Mtanzania Pendo Msegu. Mtaalamu huyo…
Mahitaji soko la nyumba na makazi, ARU kuongeza kozi mpya 21
Kutokana na kuongezeka na kukua kwa soko katika sekta ya ardhi, nyumba na makazi, Chuo Kikuu...
Katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa ‘Bima ya Afya kwa Wote’ serikali imeshauriwa kutumia utaratibu ulioboreshwa ili kuwa…
Katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa 'Bima ya Afya kwa Wote' serikali imeshauriwa kutumia utaratibu ulioboreshwa ili kuwafikia wananchi wasio na uwezo wa kumudu gharama za matibabu badala ya kutumia…