Chaichaka ameanza mawindo…hehehe kumbe hajabadilika kabisa…Bora Kachio kaokoa jahazi
Chaichaka ameanza mawindo...hehehe kumbe hajabadilika kabisa...Bora Kachio kaokoa jahazi. Huu ni mtihani mwingine kwa Sheiza kuhakikisha Chaichaka anakuwa mbali maana mipango yake ameielekeza kwa Radhia... Tuendelee na hadithi tamu ya…
#HABARI: Wananchi wa Jiji la Mbeya wameelezea kutoridhishwa kwao na kitendo cha kubambikiwa ankara kubwa za maji ambazo haziend…
#HABARI: Wananchi wa Jiji la Mbeya wameelezea kutoridhishwa kwao na kitendo cha kubambikiwa ankara kubwa za maji ambazo haziendani na matumizi yao halisi, hali inayotajwa kusababishwa na makosa ya kitaalamu…
Tuambie jinsi unavyozihifadhi takataka zako!!
Tuambie jinsi unavyozihifadhi takataka zako!! #SentroYaCloudstv #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Ni sahihi mzazi kumchagulia mtoto mchumba wa kuwa naye?
Ni sahihi mzazi kumchagulia mtoto mchumba wa kuwa naye? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU – 17/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 17/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 17, 2025 -MAJI BADO CHANGAMOTO DAR ES SALAAM
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 17, 2025 -MAJI BADO CHANGAMOTO DAR ES SALAAM
Kwa nini kuzuiwa kwa bandari kunazua taharuki Afrika Mashariki
Nchi ambazo hazina bandari kama Ethiopia na Uganda zinaongeza juhudi za kufikia bandari huku suala la uchumi likipewa kipaumbele na subira ya kidiplomasia ikififia.
Mwanahabari Arusha afariki dunia
Baba mzazi wa marehemu, Profesa Peter Mhando akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake eneo la...
Taka ni Taka haijalishi imetoka kwenye mitindo, fashion au urembo, ikishakuwa taka, basi ni taka tu Cha muhimu ni kataa taka
Taka ni Taka haijalishi imetoka kwenye mitindo, fashion au urembo, ikishakuwa taka, basi ni taka tu Cha muhimu ni kataa taka. Tunashona, tunadarizi, tunanunua, tunaagiza, tunavaa na tunapendeza yote ni…
Serikali ya Tanzania imewataka Watanzania wote wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia kikamilifu masharti ya viza zao, kufuatia …
Serikali ya Tanzania imewataka Watanzania wote wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia kikamilifu masharti ya viza zao, kufuatia uamuzi wa Marekani kuiweka Tanzania kwenye orodha ya nchi zenye vikwazo visivyokamilika (partial restrictions)…
Taasisi 137 yaiwezesha Nida kutwaa tuzo
Wakati Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ikitwaa Tuzo ya Ubunifu katika Utawala wa Umma...
#HABARI: Wananchi zaidi ya 1062 wa Kijiji cha Makunda, wilayani Iramba, mkoani Singida, walioomba kupatiwa hati miliki za kimil…
#HABARI: Wananchi zaidi ya 1062 wa Kijiji cha Makunda, wilayani Iramba, mkoani Singida, walioomba kupatiwa hati miliki za kimila zaidi ya miaka mitatu iliyopita, hatimaye wamepatiwa hati hizo kupitia mpango…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Ndg
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Ndg. Juma Hokororo, amesema Serikali imetoa jumla ya shilingi milioni 137 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya elimu katika…
Mahakama Kuu yakataa shauri la kufutwa sherehe za Uhuru
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, imetupilia mbali shauri la maombi ya kibali cha kupinga uamuzi...
#HABARI: Mwanamke mmoja Mzee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Mbirani, Kata ya Kidongo Chekundu, Manisp…
#HABARI: Mwanamke mmoja Mzee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Mbirani, Kata ya Kidongo Chekundu, Manispaa ya Tabora, amenusurika kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali,…
Wataalam sekta ya ardhi waoneshwa fursa Dira 2050
Washauri wabobezi, wanataaluma na walimu wastaafu katika sekta ya nyumba, ardhi na makazi...
Wakulima ‘wang’atwa sikio’ uzingatiaji kilimo cha kisasa
Imeelezwa kuwa uzingatiaji wa matumizi ya sayansi na teknolojia za kisasa katika kilimo...
Urusi yasema itaendelea kujiimarisha Ukraine
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kuwa nchi yake itaendelea kujiimarisha katika ardhi ya Ukraine, iwapo Kiev na washirika wake wa Magharibi watayakataa masharti ya Kremlin katika mazungumzo ya amani…
Unamjua Jully Taxi?
Unamjua Jully Taxi? Huyu hapa staa kutoka Mwanza ambaye alitamba kwa sauti na kipaji adhwimu cha uigizaji. Alama zake ni nyingi pengine SARADINI unaikumbuka zaidi. Tuko naye usiku wa leo…
Burundi: M23 inaihadaa dunia kwa kutangaza kuondoka Uvira
Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Edouard Bizimana, amesema tangazo la waasi wa M23 la kujiondoa mjini Uvira, katika jimbo la Kivu Kusini ni la uongo na linaipotosha Jumuiya…
Ujerumani yasema inaitazama hali Venezuela kwa makini
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani, amesema Ujerumani inafuatilia kwa karibu amri ya Rais wa Marekani Donald Trump, ya kuzuwia meli za mafuta zilizowekewa vikwazo zinazoingia na…
Wakunga, wauguzi waonywa udanganyifu wa mtihani
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limeonya vikali dhidi ya udanganyifu wa aina yoyote wakati...
Israel yazuwia ujumbe wa Canada kuingia Ukingo wa Magharibi
Israel imeuzuwia ujumbe binafsi wa Canada uliowajumuisha wabunge sita, kuingia katika eneo linalokaliwa kimabavu la Ukingo wa Magharibi.
Profesa Shemdoe aitwisha zigo Tahosa udhibiti matukio shuleni
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amewaagiza...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewataka Watanzania wote wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia kikamilifu masharti…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewataka Watanzania wote wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia kikamilifu masharti ya viza walizopewa, ikieleza kuwa kutofuata masharti hayo ndicho chanzo kikuu cha Tanzania kuwekwa…
150 wakamatwa Kigoma wakikimbia machafuko DRC
Hata hivyo, idadi ya raia wanaovuka mpaka na kuingia Tanzania kutafuta hifadhi na usalama...
Wanafunzi 686 wakatisha masomo CUoM sababu zatajwa
Imeelezwa kuwa jumla ya wanafunzi 686 wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mbeya (CUoM)...
Watoto wawili wateketea moto, wazazi walazwa
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi...
Serikali yaijibu Marekani zuio kuingia nchini humo
Serikali imesisitiza kuwa zuio hilo si kamili, na kwamba Watanzania watakaokidhi vigezo...
Putin: Urusi itafanikisha malengo yake huko Ukraine
Urusi imesema itafanikisha malengo yake nchini Ukraine, na kusema inatoa kipaumbele kwa diplomasia kuutatua mzozo huo lakini kwamba hilo linaweza pia kufanikiwa kwa kutumia nguvu za kijeshi.
Kocha wa Azam FC kuibukia Rayon Sports
KOCHA wa zamani wa Azam FC aliyekuwa akiinoa Wiliete Banguela ya Angola kabla ya kuondolewa hivi karibuni, Mfaransa Bruno Ferry yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na Rayon Sports…
JKT Tanzania yajitosa dili la Nkane
MAAFANDE wa JKT Tanzania wameingilia kati dili la kumpata kwa mkopo nyota wa Yanga, Denis Nkane, baada ya mchezaji huyo anayecheza nafasi mbalimbali uwanjani kushindwa kupenya katika kikosi cha kwanza…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA – DESEMBA 17, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA - DESEMBA 17, 2025 -
Pogba wa Zenji, Mtibwa kuna kitu!
UONGOZI wa Mtibwa Sugar upo kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa Mlandege, Juma Kidawa ‘Pogba’ kwa ajili ya kuongeza nguvu kikosini dirisha dogo.
Baada ya Kulandana, ni zamu ya Lyanga City
BAADA ya kumalizana na Abdallah Kulandana, uongozi wa Mbeya City uko kwenye hatua za mwisho kumalizana na aliyekuwa mshambuliaji wa Singida Black Stars, Azam FC, Ayubu Lyanga kwa ajili ya…
Afrika Kusini yawafukuza Wakenya wanaofanya kazi bila vibali
Serikali ya Afrika Kusini imewakamata na kuwafukuza raia saba wa Kenya wanaotuhumiwa kufanya kazi nchini humo kinyume na sheria, bila ya kuwa na nyaraka sahihi.
‘Tuisaidie Serikali kujenga, kurejesha umoja’
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Nelson Kisare amewaomba viongozi wa dini nchini...
Sehemu ya tamthilia zkitakazoruka wiki hii kupitia kisimbuzi chako cha AzamTV
Sehemu ya tamthilia zkitakazoruka wiki hii kupitia kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 19,000 unatazama tamthilia hizi. #AzamTVBurudaniKwaWote
Wasaliti hawajui wamesogelewa na moto mkali
Wasaliti hawajui wamesogelewa na moto mkali. Binti Tekfur, iwe ndoto jamani. Usikose kutazama #OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Mikopo kwa wanawake yatafutiwa suluhisho
Wakati baadhi ya wanawake wakilalamikia kukumbwa na vikwazo katika upataji mikopo kupitia...
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kakonko kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Alan Mvano amesema atapambania huduma za elimu, afya, ma…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kakonko kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Alan Mvano amesema atapambania huduma za elimu, afya, maji na miundombinu ya Barabara ili ziweze kupatikana katika vijiji vyote…
Kenya: Ajali zaongezeka msimu wa sherehe za mwisho wa mwaka
Wakenya wengi wanakabiliwa na changamoto za usafiri msimu huu wa sikukuu ya Krismasi, huku magari yakiwa machache na wasafiri wakiwa wengi kwenye vituo vya usafiri.
6 OF US leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO, chaneli namba 102 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTWO
6 OF US leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO, chaneli namba 102 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTWO
Usipange kukosa uhondo wa UMMY leo kuanzia saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO Stori kuhusu BASMA kupotea au kutekwa bado inaendele…
Usipange kukosa uhondo wa UMMY leo kuanzia saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO Stori kuhusu BASMA kupotea au kutekwa bado inaendelea.
#HABARI: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umesababisha vifo vya watoto wawili wa familia moja pamoja na majeruhi wawili w…
#HABARI: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umesababisha vifo vya watoto wawili wa familia moja pamoja na majeruhi wawili waliokuwa ndani ya nyumba ya makazi Mtaaa wa Katanini, Kata ya Karanga,…
Usikose kutazama THE PRICE leo saa 3:00 USIKU
Usikose kutazama THE PRICE leo saa 3:00 USIKU. Saraha anamwambia Ibrahim amechelewa kuhusu matibabu ya mtoto. Huu msiba ni wa nani? 🥹
#MEZAHURU “…kama wewe upo kwenye chanzo na hicho chanzo kinatumika kinahudumia watu una jukumu la kukitunza, kwa hiyo ushauri …
#MEZAHURU "...kama wewe upo kwenye chanzo na hicho chanzo kinatumika kinahudumia watu una jukumu la kukitunza, kwa hiyo ushauri wangu ni wananchi waweze kushirikiana na bodi zetu za maji za…