CCM picks candidates for city mayors, district council chairs
DAR ES SALAAM: RULING CCM councillors across the country yesterday elected candidates for city and municipal mayoral positions, as well as chairpersons of town and district councils. Following the intra-party…
Marais wa DRC na Rwanda kusaini mkataba wa amani jijini Washington
Rais wa Marekani Donald Trump Alhamisi hii atawakutanisha viongozi wa Rwanda na DRC mjini Washington, ambapo watatia saini makubaliano ya amani, ikiwa ni miezi kadhaa kupita tangu makubaliano ya awali…
Ni wajibu wa kila Mtanzania kulinda amani kupata maendeleo
TANZANIA ni nchi iliyojaliwa uzuri wa kila namna. Ina vivutio vingi vya utalii, madini, ardhi yenye rutuba inayokubali kila aina ya mazao na hali ya hewa nzuri inayomvutia mwanadamu yeyote…
TZ secures 1.6tri/- landmark cassava investment deal
LINDI: THE government has secured a major agricultural investment worth 640 million US dollars (about 1.6tri/-) for large-scale cassava production, a project expected to create more than 100,000 jobs over…
LGA leaders stress resident ID safety
DAR ES SALAAM: LOCAL Government Authority (LGA) leaders have underscored the importance of community mapping through proper identification and registration of residents at village and street levels, saying it is…
PRESIDENTIAL INQUIRY COMMISSION: ‘We’ll leave no stone unturned’
DAR ES SALAAM: THE Independent Commission of Inquiry established to investigate the unrest during and after the October 29th General Election has unveiled a road map for implementing its 90-day…
Askari Magereza mbaroni akituhumiwa kuua mpenzi
ASKARI wa Jeshi la Magereza (31) jina limehifadhiwa anatuhumiwa kumuua mpenzi wake ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi, Bitie Chacha (25). Mwalimu huyo mkazi wa Bugweto A, Kata ya…
Colombia imewafukuza wanachama wa madhehebu ya Kiyahudi wanaotuhumiwa kwa unyanyasaji wa watoto
Wanachama tisa wa kundi la kihafidhina la Kiyahudi walitimuliwa siku chache baada ya mamlaka ya Colombia kuwaokoa watoto 17 huku uchunguzi wa kimataifa kuhusu dhehebu hilo ukiendelea.
FCC yahimiza akili unde kukuza uwekezaji
TUME ya Ushindani (FCC) imesema akili unde ikitumika ipasavyo italeta tija ikiwa ni pamoja na kuongeza uwekezaji. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Khadija Ngasongwa alisema hayo alipozungumza na waandishi wa…
Polisi wa Hong Kong wawakamata watu 13 kwa mauaji bila kukusudia ya watu 146 kufuatia moto wa jengo
Maafisa walitangaza kwamba baadhi ya nyavu za nje zinazotumika kwenye kiunzi kwenye jengo la makazi hazikidhi viwango vya kustahimili moto.
Kuzaa tunaweza, tunashindwaje kusomesha
Leo hii ukiingia shuleni, mwalimu ndiye anayeonekana kubeba mzigo mzima wa malezi ya watoto.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 2, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 2, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon afariki akiwa kizuizini
Wakili Emmanuel Simh aliwaambia waandishi wa habari kuwa Ekane amekuwa akezuiliwa katika makao ya gendarmarie tangu alipokamatwa tarehe 24 Oktoba kwa mashtaka ya uasi.
Matarajio ya wadau ujio chuo cha teknolojia ya kidijitali
Wadau wa elimu wamepongeza mpango wa Serikali wa kujenga Chuo cha Teknolojia ya Kidijitali...
Rais Samia kuhutubia taifa leo
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kulihutubia taifa wakati akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkutano huo…
Erdogan ataja mashambulizi ya Bahari Nyeusi dhidi ya meli za wafanyabiashara ‘kuongeza wasiwasi’
"Mzozo kati ya Urusi na Ukraine umefikia kiwango kichachotishia usalama wa urambazaji katika Bahari Nyeusi," Rais wa Uturuki Erdogan anasema.
Room to Read lataja suluhu ya vikwazo vya kielimu kwa wasichana
Wengi hukumbana na vikwazo kama kukosa vifaa vya kujisitiri wanapofika usichana, kukosa uhuru...
Uchumi wa Uturuki unakua kwa asilimia 3.7 katika robo ya tatu
Pato la Taifa kwa kipindi cha Julai-Septemba ni $409.6B, data ya TurkStat inaonyesha.
DRC inasema mlipuko wa hivi punde wa Ebola umemalizika
Mamlaka ya afya nchini DRC Jumatatu ilitangaza kumalizika kwa mlipuko wa hivi punde wa ugonjwa wa Ebola, ambao umesababisha vifo vya watu 34 tangu Agosti.
Trump aondoa alama zote za Afrika Kusini kwenye tovuti ya G20 huku Marekani ikichukua urais
Rais Donald Trump Jumatatu alizindua urais wa Marekani wa Kundi la 20 kwa kufuta tovuti ya mwenyeji anayeondoka Afrika Kusini.
Mataifa ya Kiafrika yaanza kwa mara ya kwanza kutoa kwa umma chanjo za kuzuia VVU
Lenacapavir, inayochukuliwa mara mbili kwa mwaka, imeonyeshwa kupunguza hatari ya maambukizi ya VVU kwa zaidi ya asilimia 99.9, na kuifanya kiutendaji kuwa sawa na chanjo yenye nguvu.
Afisa wa jeshi la Uingereza: Tuliua makumi ya Waafghani, maafisa walificha uhalifu huo
Afisa wa zamani wa jeshi la Uingereza amefichua mauaji yaliyofanywa na askari wa kikosi maalumu cha Uingereza nchini Afghanistan na jinsi makamanda wa kikosi hicho walivyonyamazia kimya na kuficha uhalifu…
Araghchi: Ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo.
UN yatahadharisha kuhusu janga la njaa linalotishia wakimbizi nchini Ethiopia
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limeonya kwamba wakimbizi nchini Ethiopia wako katika hatari ya kufa njaa kutokana na uhaba mkubwa wa fedha unaolilazimisha shirika…
Ma’ariv: Jeshi la Israel limechoka baada ya miaka miwili ya vita
Chombo cha habari cha Kizayuni kimefichua katika ripoti yake kwamba baada ya miaka miwili na miezi miwili ya vita vikali katika pande saba, jeshi la Israel limechakaa, maafisa wake wamechoka,…
Kwa nini umma unapaza sauti zaidi katika mitaa ya Paris kupinga migongano ya sera za Ulaya
Makumi ya maelfu ya watu huko Paris, mji mkuu wa Ufaransa, wametoa kauli mbiu "Muqawama; kutoka Paris hadi Palestina; wakiunga mkono Wapalestina.
Jumanne, tarehe Pili Disemba, 2025
Leo ni Jumanne tarehe 11 Jumadithani 1447 Hijria sawa na tarehe Pili Disemba 2025.
02.12.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa viongozi wa Mashariki ya Kati kusikiliza kilio cha amani cha wananchi wao na kuweka…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 2, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Watu 37 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama kusini mwa DRC
Boti hiyo iliyokuwa na abiria 42, ilizama Mto Luangatshimo.
‘Tunazingatia wanachotaka Watanzania’
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi...
Msamaha kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuzua mjadala
Toka kuanza kwa kesi yake, Netanyahu ameshindwa kukiri kosa lake, huku sheria za Israel zikimpa mamlaka rais kutoa msamaha iwapo mkosaji atakiri kosa lake.
Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 yaitwa mahakamani
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imewataka mwenyekiti na wajumbe wa Tume ya kuchunguza...
Vigogo CCM waanguka kura za maoni umeya, sura mpya zachomoza
Wakati jiji la Dar es Salaam likipata wagombea wapya wanne wa nafasi ya umeya kupitia Chama cha...
Ritha Erasto (29) anaendelea kuvunja ukuta wa vikwazo vilivyomzuia kitaaluma miaka iliyopita, huku safari yake sasa ikifungua mj…
Ritha Erasto (29) anaendelea kuvunja ukuta wa vikwazo vilivyomzuia kitaaluma miaka iliyopita, huku safari yake sasa ikifungua mjadala mpana juu ya nafasi ya mifumo mbadala ya elimu na namna mifumo…
Baadhi ya wazee katika kijiji cha Nyijundu, Wilaya ya Nyang’hwale, mkoani Geita wamejitokeza leo Disemba mosi 2025 kupima maambu…
Baadhi ya wazee katika kijiji cha Nyijundu, Wilaya ya Nyang’hwale, mkoani Geita wamejitokeza leo Disemba mosi 2025 kupima maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya…
Serikali imesema itawafutia hadhi ya ukimbizi, wakimbizi 238,956 wanaoishi nchini baada ya nchi zao kurejea kwenye hali ya amani…
Serikali imesema itawafutia hadhi ya ukimbizi, wakimbizi 238,956 wanaoishi nchini baada ya nchi zao kurejea kwenye hali ya amani, ambapo awali zilikumbwa na machafuko. Kauli hiyo ya serikali imetajwa leo…
Mass cardiac screening and treatment camp starts in Singida
SINGIDA: A special medical camp for the screening and treatment of heart diseases in children and adults has commenced in Singida Region, attracting a large number of residents seeking services.…
Mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyozikumba nchi nne za bara la Asia yamesababisha vifo vya takriban watu 1150, huku idadi hiy…
Mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyozikumba nchi nne za bara la Asia yamesababisha vifo vya takriban watu 1150, huku idadi hiyo ikiendelea kuongezeka kadri siku zinavyosonga tangu mvua kubwa zianze…
Tanzania sees success in the fight as it marks World AIDS Day
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has made significant progress in strengthening services related to HIV and AIDS countrywide, as new statistics reveal the state of infections and access to…
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Anicet Ekane afia kizuizini
Anicet Ekane alikamatwa mwezi Oktoba kwa kosa kwa la ‘uasi’.
Mgombea pekee CCM apigiwa kura nyingi za hapana
Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu...
3D printing tech unveiled for RITM-200 reactor plant
Rosatom’s Experimental Design Bureau of Mechanical Engineering has received a permission to manufacture elements for the RITM-200 reactor plant using 3D printing technology. The RITM-200 reactor unit was created taking…
DStv kunogesha AFCON kwa Kiswahili
DAR ES SALAAM:MSIMU wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) utatangazwa kwa lugha mbalimbali ikiwemo Kiswahili, hatua inayolenga kuikuza lugha hiyo na kuiweka Afrika Mashariki katika ramani…
Kilichojiri kesi ya mgawanyo rasilimali Chadema, Lissu akiomba kujiunga
Hatima ya uhalali wa kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara...
Zaidi ya wagonjwa 560 waliotapika damu kwa kichocho watibiwa Ukerewe
Zaidi ya watu 560 waliokuwa wakitapika damu kutokana na ugonjwa wa kichocho cha tumbo...
Bacca, Diarra waipa jeuri Yanga CAF
Yanga imemaliza mechi mbili za kwanza za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa...
Simba, Yanga zarudi mzigoni Ligi Kuu Bara
VIGOGO wa soka nchini, Simba na Yanga waliokuwa katika majukumu ya mechi za kimataifa wakishiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, wanatarajiwa kurejea tena mzigoni kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kucheza…
Zaidi ya watu 800 hawajulikani waliko baada ya mafuriko Asia
Zaidi ya watu 800 bado hawajulikani waliko baada ya mafuriko makubwa kusababisha mauaji ya zaidi ya watu 1000 wiki iliyopita nchini Indonesia, Sri Lanka na Thailand.