Dk.Kijaji aitaka TTB kuongeza nguvu katika utafiti,masoko
SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeitaka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kuongeza nguvu katika utafiti na masoko ya bidhaa za utalii ili kufikia lengo la kuileta Tanzania kwenye…
Makamba atoa maagizo ukataji wa umeme
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeagizwa kuwa makini katika kupanga ratiba za ukarabati...
EU yataka bajeti ya jeshi la Urusi idhibitiwe
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas amesema bajeti ya jeshi la Urusi inapaswa kudhibitiwa ili kuhakikisha mzozo unaoendelea nchini Ukraine unamalizika.
Israel yataka Lebanon iihakikishie Usalama
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz ameonya kuwa hakutakuwa na utulivu Lebanon kama Israel haitahakikishiwa usalama wake. Katz ameongeza pia kuwa Israel haitoruhusu vitisho dhidi ya wakaazi wake upande…
Rais Mwinyi aongoza mazishi ya Ali Ameir
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza Viongozi na Wananchi katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe, Marehemu Ali Ameir Muhammed, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia…
Tanzania envisions sports tourism in the 2027 AFCON
DAR ES SALAAM: TO ensure the number of tourists visiting the country increases and reaches eight million within five years, the Tanzania Tourist Board (TTB) has been urged to take…
Wataalamu waendelea kufanya matengenezo ya mizani Mikese
MIKESE: TIMU ya maalumu ya wahandisi na wataalamu wa mizani imeanza kufanya matengenezo ya mifumo yote ikiwemo mfumo wa kupima magari yakiwa kwenye mwendo (Weigh in Motion) eneo la Mikese…
Israel: Hakutakuwa na utulivu Lebanon bila usalama Israel
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz ameonya kuwa hakutakuwa na utulivu Lebanon kama Israel haitahakikishiwa usalama wake.
Yanayoendelea katika vita vya Urusi na Ukraine
Urusi imepokea vyema marekebisho kwenye vipengele vya mpango wa Marekani wa kukomesha vita vya Ukraine huku jumbe maalum wa Rais Donald Trump akitarajiwa kwenda Moscow kukutana na Rais Vladimir Putin…
Mahakama yatupilia mbali maombi ya makada watatu wa TLP
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Arusha, imetupilia mbali maombi ya makada watatu wa Chama cha...
Veta yaagizwa kurejesha kozi za kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Serikali imeitaka Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) kurejesha kozi mbalimbali...
Al-Burhan amtolea wito Trump kuvimaliza vita Sudan
Mkuu wa jeshi la Sudan Abdel Fattah al-Burhan, ametoa wito kwa Rais wa Marekani Donald Trump kusaidia kuvimaliza vita vinavyoendelea kupamba moto nchini mwake.
Technical team in Moro to fix faulty weighbridge
DODOMA: A special team of engineers and weighbridge experts has begun repairing all systems at the Mikese weighbridge in Morogoro to repair the facility’s systems including the crucial Weigh-in-Motion (WIM)…
Waliokufa kwa virusi vya Marburg wafikia 6 Ethiopia
Ethiopia imetangaza kuwa wagonjwa 6 kati ya 11 waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Marburg wamefariki dunia. Shirika la habari la taifa limesema watu wengine watano wanaendelea na matibabu.
Tanzania-Korea investment partnership reaches new heights
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government and the Republic of Korea have opened a new chapter of economic cooperation through the Tanzania–Korea Business Forum, which brought together government and private-sector…
Kampuni za Uturuki zasaini mikataba ya dola bilioni 6.5 kuimarisha mfumo wa ulinzi wa Steel Dome
Mradi huo unajumuisha vipengele 47, vikiwemo rada, makombora, vitambuzi vya kielektroniki vya macho, vituo vya uongozi na udhibiti, pamoja na mifumo ya ulinzi wa anga yenye masafa tofauti.
Mwanasiasa mkongwe Ali Ameir Mohamed afariki dunia
Kifo cha Ali Ameir Mohamed kimeacha kumbukumbu kuwa alipokuwa Naibu Katibu Mkuu wa kwanza wa...
‘TTB tumieni AFCON 2027 kuongeza watalii’
DAR ES SALAAM: ILI kuhakikisha idadi ya watalii inaongezeka nchini na kufikia milioni nane kwa miaka mitano, Bodi ya Utalii Tanzania imetakiwa kutumia fursa ya Tanzania kuwa mwenyeji wa michuano…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amepokea Kompyuta 10 kutoka kwa wadau wa elimu, ikiwa ni sehemu ya Kompyuta…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amepokea Kompyuta 10 kutoka kwa wadau wa elimu, ikiwa ni sehemu ya Kompyuta 50 alizoomba kwa ajili ya kufadhili Chuo cha…
Wanawake 137 duniani huuawa kwa siku
Mauaji ya wanawake duniani yameendelea kuwa tishio kwa usalama wa kundi hilo, huku takwimu...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA- 25 NOVEMBA 2025- WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KILIMO
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA- 25 NOVEMBA 2025- WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KILIMO
Soko la halal lenye thamani ya dola trilioni 7 laimarisha mustakabali wa sekta hio: Rais wa Uturuki
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kuwa sekta ya halal duniani imekua hadi kufikia thamani ya dola trilioni 7, na kwamba watu wengi ulimwenguni sasa wanapendelea bidhaa za halal.
AU na EU zaahidi kuendeleza ushirikiano na fursa zaidi
Katika mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika uliofanyika Luanda, Angola, viongozi wa pande zote mbili wamesisitiza mshikamano wa karibu ili kuimarisha ushirikiano wa kimkakati.…
Mwigulu aonya madereva wa Serikali wanaokiuka sheria
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa onyo kwa watumishi wa Serikali na wasimamizi wa sera...
Kesi ya mradi mkubwa wa TotalEnergies yatupiliwa mbali
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, EACJ, imetupilia mbali kesi inayopinga mradi mkubwa wa mafuta wa kampuni ya mafuta ya TotalEnergies nchini Uganda na Tanzania.
Strong ties with China lure Tanzanians to learn the Chinese language
DAR ES SALAAM: THE District Commissioner of Kinondoni, Saad Mtambule, has encouraged citizens to take advantage of the opportunity to learn the Chinese language, noting that it currently has a…
Vijana Tunduma wamtwisha Nanauka zigo la mikopo
Baadhi ya Vijana katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe wamesema...
Manula avunja ukimya Azam FC
BAADA ya kukosekana uwanjani kwa muda mrefu, kipa wa Azam FC, Aishi Manula amesema anapambana kwa nguvu kumshawishi kocha Florent Ibenge ampe nafasi kwani yupo tayari kuitumikia timu hiyo.
Wahariri, wataalamu wataka Serikali itengue vikwazo uhuru wa vyombo vya habari
Wakati swali la uhuru na nafasi ya vyombo vya habari vya ndani nchini Tanzania likishamiri...
Riadha Wanawake kurindima siku tatu Dar
MSIMU wa saba wa mashindano ya Riadha ya Wanawake utafanyika kuanzia Novemba 28, 2025 hadi 30, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
TFF yaufungia Mkwakwani, Coastal, African Sports kusaka chimbo jipya
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeufungia Uwanja wa Mkwakwani uliopo Tanga kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
Uchaguzi wa mbunge Siha kufanyika Desemba 30
Ikiwa zimebaki siku 33 kabla ya kufanyika uchaguzi wa mbunge Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro...
Mbeya Jiji yaanza kuchukua hatua kukabiliana na kipindupindu
Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa kushirikiana na wadau wa afya wameanza mkakati wa kutokomeza...
Kijana wa kimasai avunja rekodi chuo cha Mkwawa
IRINGA: Kijana wa kimasai, Lekishon Koipa, ameandika historia nyingine katika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) baada ya kuibuka kinara wa ufaulu kwa kupata GPA ya juu kuliko wote chuoni…
Maabad aibuka shujaa Coastal ikitamba nyumbani
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maulid Maabad, ameibuka shujaa wa kikosi hicho kufuatia kufunga mabao mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City.
Tanzania, Korea kushirikiana kiuchumi
DAR ES SALAAM: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi kupitia Jukwaa la Biashara la Tanzania Korea (Tanzania–Korea Business Forum) lililowakutanisha…
Rais wa Sierra Leone: Julius Maada Bio
Unafahamu taifa la Sierra Leone lenye idadi ya watu milioni 9? Nchi hiyo iko Afrika Magharibi na Rais wake ni Julius Maada Bio.
Kapinga ataka utekelezaji mipango kazi SIDO
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amewataka watumishi wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) kutekeleza mipango kazi yenye tija ili kuchochea ajira nyingi nchini…
Tanzanian colleges see fortune in innovative face-to-face technology
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government continues to improve the environment in all higher learning institutions and increase the numbers in all regions to enable the country’s citizens to acquire…
Mkude anahesabu siku tu Singida BS
BAADA ya kukaa nje ya uwanja karibu nusu msimu, kiungo wa zamani wa Simba na Yanga, Jonas Mkude anahesabu siku tu kwa sasa kwani anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha…
Ratiba Ligi Bara yapanguliwa tena
IWAPO ulikuwa unadhani panga pangua ya ratiba ya Ligi Kuu Bara imemalizika baada ya wiki iliyopitwa kutangazwa mpya, basi pole yako, kwani Bodi ya Ligi (TPLB) imetangaza mabadiliko mengine kwa…
Daktari aliyeweka historia ya upandikizaji moyo afariki dunia
Daktari bingwa aliyefanikisha upandikizaji wa kwanza wa moyo uliodumu nchini Uingereza...
Sauti ya Mitindo: Mikakati, fursa zaja Miriam afunguka
DAR ES SALAAM: JUKWAA la Sauti ya Mitindo Tanzania limejipanga kufanya makubwa kwa mwaka 2026, ikiwemo kuchagua wanamitindo wenye vigezo ambapo kati yao watatu watapewa kazi mataifa ya nje, lengo…
Una maoni gani juu ya tabia ya baadhi ya wazazi waliotengana kuzuia watoto wao kuwa na mawasiliano na mmoja wao (mzazi asiyeishi…
Una maoni gani juu ya tabia ya baadhi ya wazazi waliotengana kuzuia watoto wao kuwa na mawasiliano na mmoja wao (mzazi asiyeishi na watoto/mtoto)? Hii ina madhara gani kwa makuzi…
Haaretz: Netanyahu amepelekea Israel kushindwa katika pande zote, hususan dhidi ya Iran
"Sera za waziri mkuu Benjamin Netanyahu zimepelekea kushindwa Israel katika pande zote za kidiplomasia, kijeshi, na kimkakati, hususan dhidi ya Iran". Hayo ni kwa mujibu wa Haaretz, gazeti la Israel…
Watu 34 wafariki dunia kwa mafuriko Thailand
Makumi kwa maelfu ya watu nchini Thailand na jirani yake Malaysia wameachwa bila makao kutokana na mafuriko makubwa.
UNRWA: 90% ya Wapalestina Ghaza wanategemea msaada, wanapitisha siku kwa mlo mmoja
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kutoa Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limesema, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza ingali ni ya majanga licha ya kusitishwa…
Paul Peter ataka rekodi mpya Bara
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Paul Peter amesema anataka kuvunja rekodi binafsi alizonazo Ligi Kuu Bara kila nafasi atakayopewa.
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Madaba, iliyopo katika Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma, wameungana kuchangia ujenz…
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Madaba, iliyopo katika Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma, wameungana kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana ili kupunguza hatari na changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi…