Zaidi ya watu 40 wamefariki katika mkasa wa moto Hong Kong
Watu 44 wamepoteza maisha jijini Hong Kong huku wengine zaidi ya mia mbili wakiwa hawajulikani walipo,kufuatia mkasa wa moto ulioteketeza jumba lenye orofa 31. Imechapishwa: 27/11/2025 – 04:31Imehaririwa: 27/11/2025 –…
Guinea Bissau: Jeshi lachukua udhibiti wa nchi, Rais ondolewa madarakani
Nchini Guinea-Bissau jeshi limechukua udhibiti wa nchi hiyo ambayo imekuwa ikikabiliwa na mvutano wa kisiasa baada ya rais na mpinzani wake kwenye uchaguzi wa Jumapili kujitangaza washindi katika uchaguzi huo.Aidha…
Rais Embalo wa Guinea-Bissau apinduliwa na jeshi
Jeshi la Guinea-Bissau limeipindua serikali ya rais Umaro Sissoco Embaló Jumatano jioni na kutangaza kuchukua madaraka.
Madereva wa Serikali wanaoendelea kukiuka Sheria za barabarani kwa makusudi
Madereva wa Serikali wanaoendelea kukiuka Sheria za barabarani kwa makusudi. Je, wako juu ya Sheria za nchi.? #swalilakipimajoto. #27Novemba 2025
Wabunge wa Republican waukosoa mpango wa amani wa Trump
Wabunge kadhaa wa chama cha Republican nchini Marekani, wameukosoa vikali mpango wa amani uliopendekezwa na Rais Donald Trump ili kumaliza vita vya Ukraine, wakisema mpango huo unaipendelea Urusi.
Watu 44 wafariki Hong Kong kufuatia ajali kubwa ya moto
Watu 44 wamefariki na wengine zaidi ya 270 haijulikani walipo huko Hong Kong, kufuatia ajali mbaya ya moto iliyotokea kwenye majengo kadhaa ya ghorofa.
Hamas yatitaka Israel kuwaruhusu wapiganaji wake kuondoka
Kundi la Hamas limetoa wito kwa nchi wapatanishi katika mzozo huo wa Mashariki ya Kati, kuishinikiza Israel kuruhusu wapiganaji wake waliojificha kwenye mahandaki kusini mwa Gaza kuondoka eneo hilo kwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 27, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 27, 2025
Guterres: UN inafuatilia hali ya Guinea-Bissau ‘kwa wasiwasi mkubwa’ baada ya jeshi kufanya mapinduzi
Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa anafuatilia matukio ya Guinea Bissau kwa wasiwasi mkubwa baada ya baada ya jeshi la nchi hiyo jana Jumatano kumuondoa madarakani…
OXFAM: Nusu ya raia Sudan Kusini wanakabiliwa na njaa kali
Shirika la OXFAM limetangaza kuwa, takriban watu milioni sita wanakabiliwa na baa la njaa kali Sudan Kusini, idadi ambayo ni sawa na nusu ya raia wote nchini humo.
Mkutano wa Luanda: Ulaya na Afrika zakubaliana kushirikiana zaidi
Mataifa ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika yamesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili katika mji mkuu wa Angola, Luanda.
Rais wa China: Jamii ya kimataifa ichukue hatua kufikia usitishaji vita wa kudumu Gaza
Rais Xi Jinping wa China ameitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua kufikia usitishaji vita wa kudumu katika Ukanda wa Gaza
UNAIDS: Kupunguzwa misaada ya kigeni kumeua watu na kuwaacha mamilioni bila dawa
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, juhudi za kimataifa za kupambana na ukimwi zimepitia hali ngumu kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili kimataifa.
Je, Marekani ni nchi ya demokrasia au Jamhuri ya Mabilionea
Ingawa karne moja iliyopita, ni asilimia 0.25 tu ya fedha za uchaguzi wa Marekani ndizo zilizotoka mifukoni mwa watu 100 matajiri zaidi wa nchi hiyo, lakini leo, dola moja kati…
Alkhamisi, Novemba 27, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 27 Novemba 2025.
27.11.2025
Urusi imesema kuwa majeshi yake yamefanya mashambulizi yaliyolenga miundombinu ya nishati na uchukuzi nchini Ukraine+++Mamlaka ya kupambana na ufisadi nchini Hong Kong imesema imeanzisha uchunguzi kuhusu ukarabati uliokuwa ukiendelea katika…
27.11.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Jeshi nchini Guinea-Bissau latangaza kuipindua serikali ya rais Embalo. Wabunge wa Republican waukosoa mpango wa amani wa Trump unaolenga kuumaliza mzozo wa Ukraine. Watu 44 wafariki Hong Kong kufuatia ajali…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 27, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania unatajwa kuwa miongoni mwa nguzo muhimu za ukuaji wa uchumi wa taifa na pato la wajasi…
Ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania unatajwa kuwa miongoni mwa nguzo muhimu za ukuaji wa uchumi wa taifa na pato la wajasiriamali wengi waliopo kwenye mnyoroor wa thamani wa…
Upinzani Guinea-Bissau wamshutumu rais kwa mapinduzi
Maafisa kadhaa wa kijeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza Jumatano jioni kuipindua serikali ya rais Umaro Sissoco Embaló na kumtia mbaroni wakati matokeo ya uchaguzi wa rais yakisubiriwa kutangazwa Alhamisi.
Wanajeshi waipindua serikali Guinea-Bissau
Maafisa kadhaa wa kijeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza Jumatano jioni kuipindua serikali ya rais Umaro Sissoco Embaló na kumtia mbaroni wakati matokeo ya uchaguzi wa rais yakisubiriwa kutangazwa Alhamisi.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26 NOVEMBA 2025
Rais wa Nigeria atangaza hali ya dharura kufuatia utekaji uliokithiri
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama nchini kote kufuatia msururu wa mauaji na utekaji wa watu.
#HABARI: Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limetangaza mafanikio makubwa katika msimu wa minada ya Korosho baada ya kuuza jumla ya t…
#HABARI: Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limetangaza mafanikio makubwa katika msimu wa minada ya Korosho baada ya kuuza jumla ya tani 273,000 za Korosho ghafi kupitia minada 17, ambapo thamani…
Tanzania imeendelea kufanya utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia teknolojia ya ndege nyuki (drone) katika Kata ya Basotu, w…
Tanzania imeendelea kufanya utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia teknolojia ya ndege nyuki (drone) katika Kata ya Basotu, wilayani Hanang, mkoani Manyara ili kubaini maeneo yenye hifadhi madini kwa…
Israel lazima isitishe mara moja kukiuka makubaliano ya usitishaji vita Gaza: Uturuki
Uturuki pia imesema kuwa Ankara itaendelea kutoa msaada wa amani, ustawi, na usalama kwa matabaka yote ya wananchi wa Syria.
Erdogan atunukiwa Tuzo ya ‘WHO Europe’ kwa juhudi za kibanadamu za Uturuki nchini Palestina
Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) barani Ulaya, Hans Kluge, amemkabidhi Rais Recep Tayyip Erdogan tuzo hiyo katika Mkutano wa 11 wa Kimataifa wa Tiba wa Uturuki…
Vita ya Pacome, Feisal, Ahoua yaahirishwa
DAR ES SALAAM; TUZO za TFF msimu wa mwaka 2024/25 zilizokuwa zifanyike Desemba 5, mwaka huu zimeahirishwa. Taarifa iliyosainiwa na Ofisa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu…
Kiongozi wa jeshi la Sudan atoa wito kwa Trump asaidie kusitisha vita nchini humo
Kamanda wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ambaye anapigana dhidi ya kikosi hasimu cha wapiganaji wa RSF tangu Aprili 2023, amemwomba Rais wa Marekani, Donald Trump, kusaidia kuleta amani.
Tanzania yang’ara futsal Ufilipino
UFILIPINO; TIMU ya taifa ya wanawake ya mchezo wa futsal leo Novemba 26, 2025 imepata ushindi wake wa kwanza kwenye michuano ya kombe la kunia kwa kuifunga New Zealand mabao…
Wakulima kutoka vijiji vya Kitandililo na Mlowa, Halmashauri ya Mji wa Makambako, wamekuwa na uelewa tofauti kuhusu elimu ya upi…
Wakulima kutoka vijiji vya Kitandililo na Mlowa, Halmashauri ya Mji wa Makambako, wamekuwa na uelewa tofauti kuhusu elimu ya upimaji wa afya ya udongo. Hali hiyo imesababisha kuwepo kwa makundi…
Wakili kesi ya uhaini Mwanza azikwa, Padri adokeza ndoa aliyopanga kufunga mwakani
Wakili wa kujitegemea, Beatus Linda amezikwa leo Jumatano Novemba 26, 2025 nyumbani kwao Mtaa...
Wanafunzi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi hapa nchini wamebuni mashine ya kidijitali inayowawezesha wateja kujihudumia bi…
Wanafunzi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi hapa nchini wamebuni mashine ya kidijitali inayowawezesha wateja kujihudumia bila kumtegemea mhudumu, ikiwemo kuona orodha ya vyakula, kuagiza na kulipia moja kwa moja…
Theodora John steps in as Oasis CEO
DAR ES SALAAM: Oasis Financial Services Limited has named Ms Theodora Joseph John as its new Chief Executive Officer, with her appointment set to take effect on January 2, 2026.…
Huenda mwarobaini wa kukabiliana na ajali za barabarani ukapatikana hivi karibuni, baada ya Waziri Mkuu, Dkt
Huenda mwarobaini wa kukabiliana na ajali za barabarani ukapatikana hivi karibuni, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kumuagiza Waziri wa Uchukuzi kukaa na wadau wa usafirishaji, ikiwemo Wizara ya…
Matumizi ya gesi asilia yanavyokuza mapato
Ukuaji wa matumizi ya gesi asilia maeneo mbalimbali nchini, umetajwa kuwa sababu ya kukua kwa...
Jeshi lasitisha mchakato wa uchaguzi nchini Guinea-Bissau, latangaza kuchukua udhibiti
Maafisa wa jeshi wanaojiita “Uongozi wa Juu wa Kijeshi kwa Marejesho ya Utulivu” wamesitisha uchaguzi, vipindi vya vyombo vya habari, huku wakilitaka taifa “liwe na utulivu,” kwa mujibu wa chombo…
#HABARI: Jeshi la Polisi katika mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji mkoani humo, limeendesha msako maalum kweny…
#HABARI: Jeshi la Polisi katika mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji mkoani humo, limeendesha msako maalum kwenye maeneo ya barabara Kuu ya kutoka Nyakahula hadi Nyakanazi iliyoko…
Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na China umetajwa kuongeza fursa kwa wanafunzi kujifunza lugha ya Kichin…
Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na China umetajwa kuongeza fursa kwa wanafunzi kujifunza lugha ya Kichina, hatua inayosaidia kuimarisha tamaduni, ujuzi na upatikanaji wa fursa…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya imeanza kutoa mafunzo ya magonjwa ya dharura na mahututi kwa watoa huduma za afya na wanafunzi…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya imeanza kutoa mafunzo ya magonjwa ya dharura na mahututi kwa watoa huduma za afya na wanafunzi wa kada za afya kwa lengo la kuokoa…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 26 NOVEMBA 2025-WANAOVUNJA SHERIA BARABARANI WAWEKWA MTEGONI
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 26 NOVEMBA 2025-WANAOVUNJA SHERIA BARABARANI WAWEKWA MTEGONI
Mwanachuo anayedaiwa kujeruhi adai video iliyosambaa mtandaoni imetengenezwa
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mary Matogolo (22), anayekabiliwa na kesi ya...
Madaraja yanayounganisha mikoa ya kusini kukamilika Desemba 24
Wakati ujenzi wa madaraja ya Somanga, Mtama, Kitapwa, Mikereng’ende na Matandu, yaliyoharibiwa...
‘Kubeti’ kwatajwa chanzo kifo cha mwanafunzi UDOM
Wakati Jeshi la Polisi, likiendelea kuchunguza kifo cha Said Kabuga, mwanafunzi wa Chuo Kikuu...
Danadana uzinduzi Soko la Kariakoo zaendelea
Wakati wafanyabiashara wakilalamikia danadana za uzinduzi wa Soko la Kariakoo, uongozi umekuja...
Jeshi ladai kufanya mapinduzi Guinea Bissau
Kundi la maafisa wa jeshi nchini Guinea Bissau wamesema wanashikilia Madaraka baada ya kufanya mapinduzi. Taarifa iliyosomwa kupitia televisheni ya taifa maafisa hao wamesema wamemwondoa mamlakani Rais Embalo.
Ridhiwani ataka sekretarieti ya maadili kuanzisha programu za utafiti
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imetakiwa kutumia mbinu za kisasa kufanya uchunguzi...
Uhusiano wa Iran na Pakistan; kiungo cha kimkakati cha amani na utulivu katika eneo
Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amewasili Islamabad na kukutana na kushauriana na maafisa wa Pakistan katika ziara rasmi ya…