#HABARI: Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa na Mashariki, imewakataka wafugaji na wauzaji wa dawa zikiwemo za mi…
#HABARI: Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa na Mashariki, imewakataka wafugaji na wauzaji wa dawa zikiwemo za mifugo, kuheshimu sheria na tararibu za uuzaji na matumizi…
Wataalamu waeleza mitandao ya kijamii ‘inavyowatesa’ watu
Wataalamu wa mawasiliano, afya ya akili na uchumi wameonya kuwa, utegemezi wa Watanzania katika...
Mashambulizi ya Israel yawaua 21 Gaza City
Mamlaka ya ulinzi wa raia katika Ukanda wa Gaza, imesema watu 21 wameuwawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulizi kadhaa ya angani kutoka Israel,
Wanane wakiwemo wa familia moja watupwa jela kwa mauaji
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dodoma, imewahukumu watu wanane, wakiwamo ndugu wa familia moja...
Carney na Merz wazungumza pembezoni mwa mkutano wa G20
Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney na Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz wamefanya mazungumzo kuhusu vita vinavyoendelea nchini Ukraine, hali katika Ukanda wa Gaza,
Serikali Nigeria inawatafuta wanafunzi na walimu waliotekwa
Zaidi ya wanafunzi 300 na waalimu 12 wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha, katika shule ya Kikatoliki ya Mtakatifu Mary iliyopo kwenye jimbo la katikati mwa Nigeria la Niger.
Raia wa Guinea Bissau wapiga kura kumchagua rais mpya
Raia katika taifa dogo la Afrika Magharibi la Guinea Bissau ambalo limeshuhudia mapinduzi mengi ya kijeshi, wanapiga kura hii leo kumchagua rais mpya.
Wajerumani hawaridhishwi na serikali ya Kansela Merz
Ripoti iliyotolewa na taasisi ya utafiti wa maoni ya INSA kwa niaba ya gazeti mashuhuri la Bild la hapa Ujerumani, imeonyesha kuwa wajerumani hawaridhishwi na serikali iliyoko madarakani.
Mamia ya watu waandamana nchini Uswidi kupinga ukiukaji wa Israel wa mpango wa amani huko Gaza
Waandamanaji wanatoa wito kwa serikali kuweka vikwazo vya silaha kwa Israel, wakisema kuwa hali haijabadilika licha ya kusitishwa kwa mapigano.
Simba, Azam mechi za kimtego makundi CAF
Wawakilishi wawili wa Tanzania kwenye Mashindano ya Klabu Afrika, Simba na Azam leo wanaanza...
Watunza taarifa watakiwa kuwekeza mifumo ya teknolojia kama Cloud Storage
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia hasa katika uhifahdi wa taarifa (data), imeshauriwa...
Tanesco yazidi kufanya mageuzi maboresho ya umeme
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeendelea...
Baadhi ya watu wanakabiliwa na changamoto ya kukos aujasiri au utayari wa kuanza kufanya shughuli mbalimbali za kuwapatia kipato…
Baadhi ya watu wanakabiliwa na changamoto ya kukos aujasiri au utayari wa kuanza kufanya shughuli mbalimbali za kuwapatia kipato, iwe ni biashara, kujiajiri au kazi nyinginezo, -Mshauri Mwelekezi wa Stadi…
Mshauri Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe amesema wanaume wengi wanapenda kuwa na wanawake wapambanaji ili kuweza kusai…
Mshauri Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe amesema wanaume wengi wanapenda kuwa na wanawake wapambanaji ili kuweza kusaidiana mwanaume anaposhindwa. Amesema hayo alipokuwa akichangia mada katika kipindi cha #HelloWikiendi…
Prince Dube alivyoisimamisha New Amaan Complex baada ya kuwanyoa Far Rabat CAFCL
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Alichokifanya kocha Yanga baada ya kumpasua Mwarabu Zanzibar
Pamba Jiji hiyoo kileleni, yaizima Fountain Gate BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi kileleni…
Africa presses for robust adaptation funds at COP30
BRAZIL: AFRICA has intensified its call for adequate financing for climate adaptation, warning that without real support for implementation, global decisions will remain elegant words on paper with little impact…
Dabi ya wakubwa wa London
Aston Villa ina pointi 18 na ushindi wa leo ugenini utaiweka katika mazingira mazuri katika...
#HABARI: Mnyama Simba SC, leo anainza safari yake ya Makundi ya Klabu Bingwa dhidi ya Petro De Luanda ya Angola ndani ya Simba l…
#HABARI: Mnyama Simba SC, leo anainza safari yake ya Makundi ya Klabu Bingwa dhidi ya Petro De Luanda ya Angola ndani ya Simba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.…
DRC yawaweka jenerali wa jeshi kifungo cha nyumbani kwa ‘kudhoofisha usalama wa nchi’
Msemaji wa jeshi anasema kifungo cha nyumbani kwa washukiwa hao kiliongezwa kwa ombi la upande wa mashtaka huku uchunguzi ukiendelea.
Hasira na chimbuko lake kwenye ndoa
Takwimu zinaonyesha kuwa hasira ni sababu ya pili kwa ukubwa inayosababisha ajali nyingi katika...
Simba, Azam set for CAF interclub debuts
DAR ES SALAAM: SIMBA SC and Azam FC are set to begin their CAF interclub campaigns with high hopes in their respective group-stage openers. At the Benjamin Mkapa Stadium in…
Mungu akupe neema ya kuondoa uchungu moyoni mwako
Mtu wa Mungu tumsifu Yesu Kristu, nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai.
Hatari kwa watoto wenza kuishi mbalimbali
Ingawa hali ya maisha inaweza kuwalazimisha wanandoa kuishi mbali, swali la kujiuliza ni kama...
Azimio la mkutano wa G20 limepitishwa: Msemaji wa rais wa Afrika Kusini
Tamko la mkutano huo lilihamishwa kwa mpangilio wa kwanza wa siku, ambao kawaida hupitishwa mwishoni.
#HABARI: Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Njombe, wametakiwa kutumia Mitandao ya Kijamii vizuri katika Mawasiliano ili kutunza amani…
#HABARI: Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Njombe, wametakiwa kutumia Mitandao ya Kijamii vizuri katika Mawasiliano ili kutunza amani ya nchi na sio uchochezi au uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa na…
The meteoric rise of Dr Kedmon Mapana
DAR ES SALAAM: THERE are weeks when the universe wakes up, stretches in that leisurely cosmic manner, points directly at you and proclaims with suspicious excitement, “Yes, you. Today, you…
FZS Tanzania Launches a New Community Grievance and Redress Mechanism in Serengeti
In November, the Frankfurt Zoological Society Tanzania (FZS) launched the second phase of a new Grievance and Redress Mechanism designed to receive, address, and resolve community concerns arising from conservation…
Baada ya Israel kuwaua Wapalestina wengine 24 Ghaza, HAMAS yataka wapatanishi, hasa US iingilie kati
Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi makali ya anga katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 24, wakiwemo watoto, katika mwendelezo wa…
Marekani yabatilisha viza ya waziri wa zamani wa Afrika Kusini aliyefanikisha kesi ya ICJ dhidi ya Israel
Marekani imefuta viza ya waziri wa zamani wa Mahusiano ya Kimataifa wa Afrika Kusini Naledi Pandor mapema wiki hii, katika kile kinachoonekana kama hatua za hivi karibuni za Washington kuiadhibu…
Hekaya za Mlevi: Wizara ya Vijana “Chama la Wana”
Niliposikia vijana wanapewa wizara yao nimewaza mengi sana. Kwanza nimefurahi kwa sababu vijana...
Wanafunzi 303, walimu 12 watekwa nyara na watu wenye silaha katika skuli ya jimbo la Niger, Nigeria
Jumuiya ya Wakristo ya Nigeria (CAN) imetangaza kuwa, jumla ya wanafunzi 303 na walimu 12 wametekwa nyara na watu wenye silaha wasiojulikana siku likiwa ni tukio la pili kubwa kutokea…
Rais Macron wa Ufaransa atoa indhari: G20 inakaribia kusambaratika
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ameeleza katika hotuba isiyo ya kawaida aliyotoa katika mkutano wa nchi zinazounda G20 mjini Johannesburg, Afrika Kusini kwamba kundi hilo limepoteza uwezo wake wa kuwa…
Katika mkutano na Trump, Mamdani azungumzia US inavyofadhili mauaji ya kimbari Ghaza
Zohran Mamdani, Meya mpya mteule wa Jiji la New York, amezungumzia suala la ufadhili wa Marekani kwa vita vya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi…
BoT yatoa hakikisho usalama mifumo ya malipo
DODOMA: Benki Kuu ya Tanzania imekanusha taarifa kuhusu usalama mdogo wa mifumo ya malipo na akaunti za amana katika benki na taasisi za fedha. Taarifa iliyotolewa na benki hiyo jana…
Usiache kujipenda hata usipopendwa
Usisubiri kupendwa na wengine ndipo ujione wa thamani. Anza leo kujipenda, kwa sababu wewe...
Let parents heed President Samia’s call
DAR ES SALAAM: YESTERDAY President Samia Suluhu Hassan was quoted urging parents and community leaders to a more active role in in guiding and mentoring young people. Speaking after arriving…
Vita ya malezi ya sasa na zamani
Katika jamii za Kiafrika za kitamaduni, malezi yalizingatia misingi ya heshima, utiifu...
Anko Kitime: Bendi zetu na muziki wa kuiga
‘Cover bands’ ni bendi ambazo hurudia nyimbo za bendi nyingine. Duniani kote kuna ‘cover bands’.
ONGEA NA ANTI BETIE: Mke wangu hanikati kiu hata akijitutumua
Wanaume wengi hukosa kueleza karibu kile wanachokipenda, kile kinachowasha hisia zao, au namna...
🔴KUMEKUCHA: USIMAMIZI WA FEDHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU – NOVEMBA 23, 2025
🔴KUMEKUCHA: USIMAMIZI WA FEDHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU - NOVEMBA 23, 2025
#SwaliLaKipimaJoto:Wahamiaji haramu kuendelea kuingia nchini.Je, serikali za mitaa ziwezeshwe mbinu za kuwabaini na utoaji harak…
#SwaliLaKipimaJoto:Wahamiaji haramu kuendelea kuingia nchini.Je, serikali za mitaa ziwezeshwe mbinu za kuwabaini na utoaji haraka wa taarifa ili wakamatwe kwa wakati?
🔴MAGAZETI:RAIS SAMIA ASIFIA WELEDI WA JWTZ / DUBE AIPAISHA YANGA…23 NOVEMBA 2025
🔴MAGAZETI:RAIS SAMIA ASIFIA WELEDI WA JWTZ / DUBE AIPAISHA YANGA...23 NOVEMBA 2025
Kamanda: Jeshi la Iran liko tayari kukabiliana na tishio lolote
Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Iran, akizungumza mbele ya makamanda wenzake, amesisitiza kuwa kwa kuzingatia maelekezo ya Kiongozi Muadhamu na kwa kutumia tajiriba ya vita vya zamani, hususan…
Uozo ndani ya jamii ya Israel, wanawake 3,000 wadhalilishwa kijinsia jeshini
Jumuiya ya Vituo vya Mgogoro wa Ubakaji ndani ya utawala wa Kizayuni imefichua katika ripoti yake ya kila mwaka kuweko ongezeko kubwa la ukatili wa kijinsia na jinsi serikali ya…
Mkutano wa viongozi wa G20 wafunguliwa Afrika Kusini kwa hotuba ya Rais Ramaphosa
Mkutano wa viongozi wa G20 umefunguliwa Jumamosi mjini Johannesburg, Afrika Kusini, ambapo Rais Cyril Ramaphosa alitoa hotuba ya kwanza wakati wajumbe walipokusanyika kwa mazungumzo ya siku mbili.
Madini ya risasi na zinki yaimarisha hadhi ya Iran kama ngome ya madini Asia Magharibi
Tarehe 22 Novemba, huadhimishwa kitaifa nchini Iran kama Siku ya Madini ya Risasi na Zinki ikiwa ni kuashiria nafasi kuu ya sekta hii na uhusiano wake wa karibu na malengo…
Jeshi la Sudan linasonga mbele Kordofan katika mapambano na waasi wa RSF
Jeshi la Sudan limeendelea kusonga mbele katika maeneo ya Kordofan Kaskazini na Kordofan Magharibi mwishoni mwa wiki, kufuatia mapigano makali na waasi wa Rapid Support Forces (RSF), kwa mujibu wa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 23, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 23, 2025