Pamba Jiji hiyoo kileleni, yaizima Fountain Gate

BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo ikifikisha pointi 12 kupitia mechi saba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *