NIKWAMBIE MAMA: G-Z wanaelewana kwa lugha yao
Mwanamuziki Perer Tosh aliimba kuhusu haki sawa na amani. Alisema kila mtu analilia amani...
Wanajeshi wa Mali watuhimiwa kutekeleza mauaji ya raia
Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch linawatuhumu wanajeshi wa Mali na wanamgambo washirika kuua raia 31 na kuchoma moto nyumba zao katika mashambulio mawili tofauti kwenye vijiji…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wanaoapa hadharani kutumikia nchi kwa uadilifu na uaminifu katika nafasi walizoteuliwa
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wanaoapa hadharani kutumikia nchi kwa uadilifu na uaminifu katika nafasi walizoteuliwa. Je, wanaishi viapo vyao?
TotalEnergies yatuhumiwa kuhusika na vitendo vya uhalifu wa kivita Msumbiji
Shirika la kimataifa la Human Rights Watch, limechapisha taarifa inayoituhumu kampuni ya mafuta ya Ufaransa, TotalEnergies kuhusika na vitendo vya uhalifu wa kivita kwa kushirikiana na askari wanaotoa ulinzi kwenye…
Baadhi ya wananchi wa Wanging’ombe, Njombe wameiomba serikali kupunguza gharama za miundombinu na vifaa vya nishati safi ya kupi…
Baadhi ya wananchi wa Wanging'ombe, Njombe wameiomba serikali kupunguza gharama za miundombinu na vifaa vya nishati safi ya kupikia, wakisema bado hawawezi kumudu licha ya elimu kutolewa. Anitha Kihombo amezungumza…
🔴#MAGAZETI:SAMIA: HATUNA FEDHA KUTOKA NJE / PANTEV AANZA NA WATATU
🔴#MAGAZETI:SAMIA: HATUNA FEDHA KUTOKA NJE / PANTEV AANZA NA WATATU
Dk Kijaji: Tutajali utu wa kila mtu
DODOMA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuzingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma kwa wananchi.…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 19, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 19, 2025
Bin Salman: Tunajaribu kupatanisha baina ya Iran na Marekani
Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia ambaye kimsingi ndiye kiongozi nambari moja wa nchi hiyo amesema: "Tutafanya kila tunavyoweza kuhakikisha kunafikiwa makubaliano kati ya Iran na Marekani; (ninaamini…
Rasimu ya kwanza ya makubaliano ya Cop30 inawasilishwa
Mwenyeji wa mkutano wa COP30, Brazil imewasilisha rasimu ya kwanza ya makubaliano baada ya mazungumzo ya kimazingira ya Umoja wa Mataifa kuendelea hadi usiku,
Iran yapendekeza mfumo wa malipo wa kidijitali katika Jumuiya ya Shanghai
Mohammad Reza Aref Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amependekeza kuanzisha mfumo wa pamoja wa malipo ya kidijitali ili kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi 10 wanachama wa…
Onyo la Afrika Kusini kuhusu njama ya kuwahamisha Wapalestina kwa nguvu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Ronald Lamola, amesema kuwasili Johannesburg wiki iliyopita kwa ndege iliyobeba wakimbizi wa Kipalestina ni “operesheni iliyopangwa waziwazi” ya kuwahamisha Wapalestina.
Mkuu wa jeshi la Nigeria aagiza kutafutwa usiku na mchana mabinti wa shule waliotekwa nyara
Jenerali wa ngazi ya juu wa jeshi la Nigeria ameviagiza vikosi vya jeshi hilo kuendesha msako wa "usiku na mchana" ili kuwanusuru mabinti 25 wa shule waliotekwa nyara kaskazini-magharibi mwa…
Trump asema huenda akaishambulia kijeshi Mexico
Rais wa Marekani Donald Trump ametaja uwezekano wa kuanzisha mashambulizi ya kijeshi nchini Mexico kwa madai ya eti kukabiliana na magenge ya dawa za kulevya.
Mahakama yatoa idhini ya kufutwa kesi ya Trump dhidi ya CNN
Mahakama ya Rufaa ya Marekani imeidhinisha kufutwa kwa kesi ambayo Donald Trump aliwasilisha dhidi ya Kituo cha Televisheni cha CNN kwa kuieleza madai yake kwamba uchaguzi wa urais wa 2020…
Kwa nini Afrika Kusini imedhamiria kufuatilia kesi ya mauaji ya halaiki huko Gaza
Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa, itaendelea kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa tuhuma za kutenda mauaji ya kimbari katika Ukanda…
Jumatano, Novemba 19, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 28 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Novemba 2025 Milaadia.
Jumatano, 19 Novemba, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 28 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Novemba 2025 Milaadia.
WHO kupoteza robo ya wafanyakazi wake ifikapo katikati 2026
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema idadi ya wafanyakazi wake itapungua kwa takriban robo zaidi ya ajira 2,000 kufikia katikati ya mwaka ujao.
Merz na Macron kupigania “uhuru wa kidijitali” wa Ulaya
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wameapa kusaidia Ulaya kujiimarisha katika kasi ya Akili Mnemba na kuliondoa bara hilo kwenye utegemezi wa makampuni makuu ya…
Mahakama ya Argentina yazuia mali za rais wa zamani Kirchner
Mahakama ya Argentina imeamuru kukamatwa kwa mali 20 zinazomilikiwa na Rais wa zamani Cristina Fernandez de Kirchner na familia yake.
Trump: Bin Salman hajui lolote kuhusu mauwaji ya Khashoggi
Rais wa Marekani Donald Trump alimtetea Mwana Mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi mwaka 2018.
19.11.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wadau, wanazuoni na vyama vya siasa Tanzania, wameibua maswali kuhoji ubora na tija ya tume iliyoundwa na Rais Samia, kuchunguza vurugu wakati wa uchaguzi wa…
19.11.2025 Matangazo ya Asubuhi
Marekani na Saudi Arabia ziliidhinisha makubaliano ya nyuklia kwa matumizi ya kiraia na mauzo ya ndege za kivita aina ya F-35, huku Trump akijaribu kufunika suala la mauaji ya mwandishi…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 19, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
NEW CABINET: Samia demands results
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has urged the newly sworn-in Cabinet Ministers and Deputy Ministers to take full responsibility for delivering on the government’s 100-day commitments to Tanzanians. The Head…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 18 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 18 NOVEMBA 2025
CAF yatangaza wasimamizi maarufu wa sherehe ya Tuzo za CAF 2025
CAF imesema itawaleta pamoja mwimbaji aliyeshinda tuzo za Grammy Angélique Kidjo na mcheshi wa Morocco Tahar Lazrak ili kuakisi kikamilifu utofauti wa kisanii na ufikiaji wa kitamaduni wa bara.
Wananchi wa kijiji cha Kiriba, mkoani Mara wamejitolea kuchimba msingi wa ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho ikiwa ni sehemu ya …
Wananchi wa kijiji cha Kiriba, mkoani Mara wamejitolea kuchimba msingi wa ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kumaliza adha ya utembeaji wa zaidi ya…
Jeshi la polisi limeanza uchunguzi wa kubaini chanzo cha vifo vya watoto pacha waliokuwa na miaka 12 kisiwani Pemba
Jeshi la polisi limeanza uchunguzi wa kubaini chanzo cha vifo vya watoto pacha waliokuwa na miaka 12 kisiwani Pemba. Aisha Haji ana maelezo kwa kina. #AzamTVUpdates Mhariri | @moseskwindi
Baada ya jeshi la polisi kusema kuwa mwili wa marehemu Emmanuel Mathias “MC Pilipili” umekutwa na majeraha yanayoashiria alipigw…
Baada ya jeshi la polisi kusema kuwa mwili wa marehemu Emmanuel Mathias “MC Pilipili” umekutwa na majeraha yanayoashiria alipigwa familia ya msanii huyo imesema inaviachia vyombo vyenye mamlaka kuwabaini wahusika…
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Mnazi Mmoja, Manispaa ya Lindi wameikumbusha serikali kutimiza ahadi ya kuwalipa fidia ya shilingi m…
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Mnazi Mmoja, Manispaa ya Lindi wameikumbusha serikali kutimiza ahadi ya kuwalipa fidia ya shilingi milioni 296 iliyotolewa mwaka 2021 baada ya kupisha mradi wa…
Jeshi la Somalia limewauwa magaidi 11 wa Al Shabab na kuzuia shambulio la kujitoa muhanga
Jeshi la Somalia pamoja na wanajeshi washirika wamewaua magaidi 11 wa Al Shabab katika operesheni tofauti katika mikoa ya Mudug na Bakool, na pia kuzuia shambulio la kujitoa muhanga, kwa…
#HABARI: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe
#HABARI: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema wizara hiyo ina mchango katika msingi wa umoja na mshikamano wa Taifa unaosaidia kuleta maendeleo ya kijamii…
ACT-Wazalendo wapinga uteuzi wajumbe tume ya uchunguzi
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuikataa Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya...
UDSM yamtunuku Dk Maria Kamm shahada ya heshima
DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimemtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi Mwasisi na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Clementina, Dk Maria Josephine Kamm.…
#HABARI: Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe
#HABARI: Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa…
#HABARI: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimemtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi, Mwenyekiti na Mkurugenzi wa T…
#HABARI: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimemtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi, Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mama Clementina, Dkt. Maria Josephine Kamm, maarufu kama…
Wachumi: Kauli Samia sawa na kufunga mkanda
Tanzania huenda ikaingia katika kipindi kipya cha ukata wa kifedha na Rais Samia Suluhu Hassan...
Sababu zatajwa tovuti, aplikesheni kushindwa kufanya kazi duniani
Baadhi ya tovuti duniani (website), pamoja na aplikesheni kama X, PayPal na ChatGPT leo...
Mawaziri wataja uzalendo, ubunifu kukabiliana na ukosefu fedha
Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Serikali kujitegemea katika miradi kutokana na hofu ya...
Tanzania names Independent Commission of Inquiry for Oct 29 Elections
DODOMA: THE President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, has established an independent Commission of Inquiry following incidents of unrest that occurred during and after the General…
#HABARI: Wakili maarufu Andrew Chacha Mwita ameshtakiwa kwa makosa manne yanayohusiana na kufadhili na kuwezesha vitendo vya kun…
#HABARI: Wakili maarufu Andrew Chacha Mwita ameshtakiwa kwa makosa manne yanayohusiana na kufadhili na kuwezesha vitendo vya kundi la Kigaidi la Islamic State nchini Kenya. Wakili Mwita alikamatwa Ijumaa iliyopita…
TPDC connects cooking gas to over 3,000 Tanzanians
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) has continued to support the National Clean Cooking Energy Strategy, with more than 3,000 Tanzanians now connected to affordable natural gas…
Wadau waichambua tume ya Rais Samia kuchunguza matukio ya Oktoba 29
Wadau wa kada mbalimbali nchini Tanzania wamekuwa na maoni mbalimbali juu ya tume iliyoundwa na...
Tanzania affirms its commitment to control tobacco use, support global actions
GENEVA: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to strengthening strategies for controlling tobacco use, combating related diseases, and supporting global collaborative actions aimed at safeguarding public health. This was…
#HABARI: Waziri wa Afya, Mhe
#HABARI: Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara ya Afya kufanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu na kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuleta tija na…
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini unasisitizwa kupata ushauri wa daktari na vipimo kabla ya kutumia dawa
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini unasisitizwa kupata ushauri wa daktari na vipimo kabla ya kutumia dawa Licha ya dawa kuwa tiba dhidi ya maradhi lakini pia ikitumika vibaya hugeuka na kuwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 18, 2025 -RAIS SAMIA ALITWISHA MAJUKUMU BARAZA LA MAWAIRI BAADA YA KIAPO
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 18, 2025 -RAIS SAMIA ALITWISHA MAJUKUMU BARAZA LA MAWAIRI BAADA YA KIAPO
Ujumbe wa Burundi watua Dar kujifunza PPP-CENTRE
Dar es Salaam: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP-CENTRE) kimepokea ujumbe kutoka Wakala wa Usimamizi wa Mikataba ya PPP nchini Burundi (ARCP) kwa ziara ya…