Skip to content
  • Tue. Jun 30th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15 Shangwe la ubingwa Yanga Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi Hii hapa sababu Chaumma kumkataa Mwalimu
MWANANCHI

Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Shangwe la ubingwa Yanga

June 30, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi

June 30, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Hii hapa sababu Chaumma kumkataa Mwalimu

June 30, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
MWANANCHI
Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
HABARILEO
TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
Shangwe la ubingwa Yanga
HABARILEO
Shangwe la ubingwa Yanga
Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
MWANANCHI
Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
MWANANCHI
Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
HABARILEO
TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
Shangwe la ubingwa Yanga
HABARILEO
Shangwe la ubingwa Yanga
Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
MWANANCHI
Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
HABARI ZA KIPEKEE

Muungano wa Oxford: Israel ni tishio kubwa zaidi kwa amani Asia Magharibi

November 18, 2025 mjombazecoder

Muungano wa Oxford umeutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa eneo la Asia Magharibi.

LTV ENGLISH NEWS

145,000 for certificate, diploma programmes

November 18, 2025 mjombazecoder

DODOMA: THE National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) has announced selection of 145,575 applicants to join various certificate and diploma programmes for the 2025/2026 academic year.…

Uncategorized

🔴KUMEKUCHA KISHINDO: USINDIKAJI WA VIUNGO |NOVEMBA 18, 2025

November 18, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA KISHINDO: USINDIKAJI WA VIUNGO |NOVEMBA 18, 2025

LTV ENGLISH NEWS

Tour operators, TANAPA reassure visitors of safety

November 18, 2025 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: TANZANIA’S leading tourism institutions have moved to quell safety concerns among prospective international travellers, affirming that the country remains secure and fully operational despite brief, isolated skirmishes…

Uncategorized

🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 18, 2025

November 18, 2025 mjombazecoder

🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 18, 2025

TRT SWAHILI

Maoni yanaongezeka huku mpango wa Marekani wa Gaza ukiidhinishwa na baraza la usalama la UN

November 18, 2025 mjombazecoder

Viongozi wa dunia wanakaribisha hatua hiyo kama "njia ya amani," huku wengine wakieleza wasiwasi wao, wakisema azimio hilo halina uwazi.

HABARI ZA KIPEKEE

Baraza la Usalama la UN laidhinisha mpango wa Marekani kuhusu Gaza, Hamas yapinga azimio la UNSC

November 18, 2025 mjombazecoder

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio lililoandaliwa na Marekani la kuanzisha Kikosi cha Kimataifa cha Kurejesha Utulivu (ISF) katika Ukanda wa Gaza.

MWANANCHI

Wadau wanavyosubiri ahadi uboreshaji wa miundombinu shuleni

November 18, 2025 mjombazecoder

Rais Samia Suluhu Hassan alisisitiza umuhimu wa kuboresha miundombinu ya shule,lengo likiwa...

Uncategorized

#HABARI: Jeshi la polisi Mkoa wa Tabora, linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Tabora mjini Hadija Jimmy na wenzake wawili, kwa …

November 18, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Jeshi la polisi Mkoa wa Tabora, linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Tabora mjini Hadija Jimmy na wenzake wawili, kwa tuhuma za kutengeneza mazingira ya kujiteka kwa muda wa siku…

Uncategorized

Samia ataka nidhamu kidato cha 4

November 18, 2025 mjombazecoder

RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne waliotarajiwa kuanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari katika shule za sekondari 5,868 nchini Novemba 17, 2025. Kupitia…

Uncategorized

Mke ajiteka kumtapeli mume

November 18, 2025 mjombazecoder

JESHI la Polisi Mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutengeneza taarifa za uongo kuhusu kutekwa kwa mwanamke aitwaye Adijaji Jimmy (39), mkazi wa Mkoa wa Tabora, kwa lengo…

TRT SWAHILI

Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh Sheikh Hasina ahukumiwa kifo kufuatia maandamano mabaya

November 18, 2025 mjombazecoder

Mahakama ya Bangladesh ilisema vipengele vyote vya uhalifu dhidi ya ubinadamu vilitimizwa huku ikimhukumu kifo Sheikh Hasina katikati ya machafuko ya nchi nzima.

Uncategorized

Mapitio ya #MAGAZZETI leo Novemba 18,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108

November 18, 2025 mjombazecoder

Mapitio ya #MAGAZZETI leo Novemba 18,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates

Uncategorized

TAKUKURU, Comoro kushirikiana mambo matano

November 18, 2025 mjombazecoder

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema Tanzania na Comoro zitaendelea kushirikiana katika maeneo matano ikiwemo utawala bora. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Chrispin Chalamila amesema hayo alipotembelewa na…

Uncategorized

🔴KUMEKUCHA MICHEZO : – NOVEMBA 18, 2025

November 18, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA MICHEZO : - NOVEMBA 18, 2025

TRT SWAHILI

Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao kutoka Al Fasher ya Sudan tangu kutwaliwa na RSF

November 18, 2025 mjombazecoder

Zaidi ya raia 100,000 wamefurushwa kutoka kwa Al Fasher magharibi mwa Sudan tangu kuchukuliwa kwa mji huo na Wanajeshi wa Msaada wa Haraka (RSF) mwezi uliopita, IOM imesema.

COP30: Majadiliano kuhusu uhifadhi wa misitu yaangaziwa

November 18, 2025 mjombazecoder

Majadiliano kuhusu uhifadhi wa misitu imekuwa moja kati ya ajenda kuu za mkutano wa tabianchi wa COP30. Imechapishwa: 18/11/2025 – 05:56 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…

Uncategorized

Rais atangaza Baraza la Mawaziri la kimkakati

November 18, 2025 mjombazecoder

RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri la kimkakati lenye wizara 27 huku kukiwa na mabadiliko kadhaa ikilinganishwa na lililomaliza muda wake. Ameanzisha Wizara ya Maendeleo ya Vijana ambayo…

MWANANCHI

Siri za kuijenga Tanzania ya teknolojia

November 18, 2025 mjombazecoder

Katika ulimwengu wa sasa unaotawaliwa na teknolojia na ubunifu, vijana wengi duniani wanazidi...

HABARI ZA KIPEKEE

Jumanne, 18 Novemba, 2025

November 18, 2025 mjombazecoder

Leo ni Jumanne tarehe 27 Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na tarehe 18 Novemba 2025.

Tanzania: Rais Samia ateuwa baraza lake la mawaziri 27

November 18, 2025 mjombazecoder

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hapo jana alitangaza baraza lake la mawaziri 27, akiwaacha nje mawaziri 7 waliohudumu katika serikali iliyopita. Imechapishwa: 18/11/2025 – 05:14Imehaririwa: 18/11/2025 – 05:21 Dakika…

Uncategorized

Mwanamke Ilham Yazido mkazi wa Bukumbi wilayani Misungwi mkoani Mwanza anayedaiwa kutelekezwa na mumewe ambaye anatajwa kuwa ni…

November 18, 2025 mjombazecoder

Mwanamke Ilham Yazido mkazi wa Bukumbi wilayani Misungwi mkoani Mwanza anayedaiwa kutelekezwa na mumewe ambaye anatajwa kuwa ni raia wa Kongo ameomba msaada wa mtaji kwa ajili ya kuendesha shughuli…

MWANANCHI

Shule zipike wanafunzi wa kushindana kimataifa

November 18, 2025 mjombazecoder

Tuvunje minyororo ya mtazamo wa ndani na kufungua milango ya ulimwengu kwa vijana wetu.

Uncategorized

🔴KUMEKUCHA: MKAKATI WA KITAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA — NOVEMBA 18, 2025

November 18, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA: MKAKATI WA KITAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA -- NOVEMBA 18, 2025

Mali: Upinzani waituhumu serikali ya kijeshi kwa kushindwa kulinda nchi

November 18, 2025 mjombazecoder

Mrengo wa upinzani nchini Mali, umeituhumu utawala wa kijeshi kwa kushindwa kuilinda nchi hiyo dhidi mashambulio ya wanajihadi ambao umesababisha uhaba wa mafuta. Imechapishwa: 18/11/2025 – 04:54Imehaririwa: 18/11/2025 – 05:00…

Uncategorized

🔴#MAGAZETI: BARAZA LA MAWAZIRI KIMKAKATI / PEDRO, PANTEV NGOMA NZITO

November 18, 2025 mjombazecoder

🔴#MAGAZETI: BARAZA LA MAWAZIRI KIMKAKATI / PEDRO, PANTEV NGOMA NZITO....

Uncategorized

#KIPIMAJOTO: Baraza Jipya la Mawaziri

November 18, 2025 mjombazecoder

#KIPIMAJOTO: Baraza Jipya la Mawaziri. Je, limekidhi matarajio ya wengi?

Uncategorized

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 18, 2025

November 18, 2025 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 18, 2025

HABARI ZA KIPEKEE

Iran: Lazima IAEA idumishe uadilifu wa kiufundi na kutoegemea upande wowote kisiasa

November 18, 2025 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) lazima litimize maagizo liliyokabidhiwa ya kiufundi, lijiepushe na mielekeo ya…

LTV ENGLISH NEWS

Samia unveils new cabinet

November 18, 2025 mjombazecoder

DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced a 27-member cabinet formed after the restructuring of several ministries to enhance efficiency. Announcing her cabinet at Chamwino State House in Dodoma on…

HABARI ZA KIPEKEE

Ukata na umaskini wa Wazayuni umeongezeka kwa theluthi nzima baada ya Oktoba 7

November 18, 2025 mjombazecoder

Mfumuko wa bei na gharama ya maisha zinazidi kupanda huko Israel. Huku hali ikiwa hivyo ripoti rasmi ya Taasisi ya Bima ya Israel inaoneesha kwamba umaskini umeongezeka kwa zaidi ya…

HABARI ZA KIPEKEE

Nchi za Maziwa Makuu zaitangaza RSF kuwa ni kundi la kigaidi

November 18, 2025 mjombazecoder

Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza kwamba Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Maziwa Makuu uliofanyika Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeidhinisha pendekezo la…

HABARI ZA KIPEKEE

Russia: Hatutaki vita wala mzozo wa kijeshi na NATO

November 18, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa serikali ya Russia amepinga taarifa za kuchochea vita zinazoenezwa katika nchi za Ulaya na kwa mara nyingine amesisitiza kwamba Moscow inachukua hatua zinazohitajika kulinda usalama wake lakini haitaki…

HABARI ZA KIPEKEE

Kiongozi wa Kijeshi wa Madagascar alihutubia taifa kwa mara ya kwanza

November 18, 2025 mjombazecoder

Karibu mwezi mmoja baada ya kuapishwa kuwa "rais wa mpito" wa Madagascar, Michael Randrianirina kwa mara ya kwanza amelihutubia taifa akiwa na shauku na hamasa kubwa na kutoa ahadi nyingi…

HABARI ZA KIPEKEE

Kushadidi ushindani wa silaha za nyuklia kati ya Marekani na Russia na mustakbali wa mkataba wa New START

November 18, 2025 mjombazecoder

Mvutano wa nyuklia kati ya Russia na Marekani umeongezeka kadiri muda wa mkataba wa nyuklia wa New START unavyokaribia kumalizika, na hivyo kuuweka mkataba huo katika mustakbali usiojulikana.

DW SWAHILI

Trump aisifu UN kuunga mkono mpango wake kwa Gaza

November 18, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amesifu uidhinishaji wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa azimio la Marekani linalounga mkono mpango wake wa amani kwa Gaza, akisema ni kama…

DW SWAHILI

Nigeria imeripoti utekaji mwingine wa wanafunzi

November 18, 2025 mjombazecoder

Nigeria imeripoti utekaji mwingine wa wanafunzi katika jimbo la Kebbi, tukio linaloendeleza hali ya ukosefu wa usalama kaskazini mwa nchi. Haijulikani ni nani hasa aliyehusika.

DW SWAHILI

Mwanamfalme wa Saudia ziaranii Marekani

November 18, 2025 mjombazecoder

Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameondoka Riyadh kuelekea Marekani kwa ziara yake ya kwanza tangu mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi mwaka 2018, ambayo yalileta ukosoaji mkubwa…

DW SWAHILI

Merz, Macron, Starmer kukutana Berlin leo hii

November 18, 2025 mjombazecoder

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atakutana na viongozi wa Ufaransa na Uingereza mjini Berlin jioni ya leo. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa msemaji wa serikali.

DW SWAHILI

Utafiti: kupungua kwa misaada kutasababisha vifo milioni 22

November 18, 2025 mjombazecoder

Zaidi ya watu milioni 22, wengi wao watoto, wako hatarini kufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika ifikapo 2030 kwa sababu ya kupunguzwa kwa misaada ya Marekani na Ulaya.

DW SWAHILI

Baraza la Usalama laidhinisha mpango wa Marekani kwa Gaza

November 18, 2025 mjombazecoder

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mpango wa Marekani kwa Gaza unaoruhusu kuundwa kwa jeshi la kimataifa la uthabiti ili kutoa usalama katika eneo na pia kuonyesha njia…

DW SWAHILI

18.11.2025 Matangazo ya Mchana

November 18, 2025 mjombazecoder

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nigeria imeanza mazungumzo na Marekani kufuatia vitisho vya Rais Donald Trump vya kuingilia kati kijeshi kutokana na mauaji ya Wakristo yanayofanywa na wapiganaji wa itikadi…

DW SWAHILI

18.11.2025 Matangazo ya Asubuhi

November 18, 2025 mjombazecoder

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mpango wa Marekani kwa Gaza +++Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameondoka Riyadh kuelekea Marekani kwa ziara yake ya kwanza +++Kansela…

TRT SWAHILI

Uturuki yaendeleza misaada kwa Gaza licha ya vizuizi vya Israel: Erdogan

November 17, 2025 mjombazecoder

Licha ya vizuizi mbalimbali vinavyowekwa na Israel katika juhudi za misaada ya kibinadamu, tunatumia rasilimali zote tulizonazo kufikisha msaada Gaza,” amesema Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan.

Uncategorized

#HABARI: Kampuni ya Mawasiliano na Huduma za kifedha kwa njia ya simu, Airtel Africa, imeendelea kuandika historia katika ukuaji…

November 17, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Kampuni ya Mawasiliano na Huduma za kifedha kwa njia ya simu, Airtel Africa, imeendelea kuandika historia katika ukuaji wa sekta ya mawasiliano barani Afrika, baada ya kutangaza matokeo mazuri…

Uncategorized

🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 17 NOVEMBA 2025

November 17, 2025 mjombazecoder

🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 17 NOVEMBA 2025

Uncategorized

Bil 146/- kujenga barabara za lami Ilala

November 17, 2025 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema wilaya hiyo inatekeleza ujenzi wa barabara za lami zenye jumla ya kilomita 146 kwa thamani ya Sh bilioni 140.…

MWANANCHI

MC Pilipili kuzikwa Novemba 20, Dodoma

November 17, 2025 mjombazecoder

Mwili wa Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili utazikwa Novemba 20, 2025 jijini Dodoma familia...

Uncategorized

#HABARI: Mwanaume ambaye jina lake halijafahamika amegongwa na gari ambalo halijajulikana na kufariki papo hapo, katika Barabara…

November 17, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mwanaume ambaye jina lake halijafahamika amegongwa na gari ambalo halijajulikana na kufariki papo hapo, katika Barabara ya Morogoro -Dar es Salaam, eneo la Msamvu Mzambarauni Manispaa ya Morogoro, kisha…

MWANANCHI

Walichokisema Bashe, Bashungwa, Ndumbaro baada kuwekwa kando

November 17, 2025 mjombazecoder

Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza baraza jipya la mawaziri, baadhi ya...

Posts pagination

1 … 768 769 770 … 1,022

Recent Posts

  • Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
  • TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
  • Shangwe la ubingwa Yanga
  • Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
  • Hii hapa sababu Chaumma kumkataa Mwalimu

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

MWANANCHI

Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Shangwe la ubingwa Yanga

June 30, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi

June 30, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS