Picha za marais 13 wa Afrika, Waziri Mkuu mmoja ambao wamevaa sare za jeshi karibuni
Viongozi wa Afrika wasiopungua 14 wamekuwa wakivaa sare za jeshi hadharani katika miaka ya hivi karibuni, magwanda ambayo hufanya watu kuwaangalia kwa makini.
EU yataka mamlaka za Tanzania kujizuia kutumia nguvu, yatoa wito wa mazungumzo
Umoja wa Ulaya Jumapili sasa unazitaka mamlaka nchini Tanzania kujiepusha kuchochea vurugu Pamoja na kutumia nguvu kukabiliana na waandamanaji waliojitokeza siku ya Jumatano kupinga uchaguzi wa nchi hiyo, ambapo rais…
Papa Leo alaani vurugu za Sudan na kugusia hali Tanzania
Papa Leo ameitolea mwito jamii ya kimataifa kuchukua hatua na maamuzi ya kusaidia juhudi za uokozi kwa watu wa Sudan. Siku ya Ijumaa, Umoja wa Mataifa ulisema kwamba mamia ya…
RSF iliwaua wanawake 300, kubaka 25 katika saa 48 za kwanza Al Fasher: waziri wa Sudan
Wanawake ''wamedhalilishwa kingono, vurugu, na mateso" na RSF, ikiwemo waandishi wa habari wa kike, waziri wa nchi masuala ya jamii amesema.
RSF iliwaua wanawake 300, kubaka 25 katika saa 48 za kwanza Al Fasher: waziri wa Sudan
Wanawake ''wamedhalilishwa kingono, vurugu, na mateso" na RSF, ikiwemo waandishi wa habari wa kike, waziri wa nchi masuala ya jamii amesema.
Tanzania: Upinzani wafutilia mbali uchaguzi, Rais Hassan atoa wito wa umoja
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, siku ya Jumapili kimefutilia mbali ushindi mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi uliosababisha maandamano makubwa kote nchini kutokana na kutengwa kwa…
Ukraine: Mashambulizi ya anga ya Urusi yaua raia wengi na kusababisha maelfu kukosa umeme
Urusi imeendelea na mashambulizi yake ya anga na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kote Ukraine, na kuua watu wengi usiku wa Jumamosi, Novemba 1 kuamkia Jumapili, Novemba 2. Mashambulizi…
Papa Leo atowa mwito kwa Tanzania kuepusha vurugu
Kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki duniani, ametowa mwito wa kuanzishwa mazungumzo badala ya machafuko.
Kimbunga Melissa: UN yaonesha mshikamano, dola milioni 4 zatolewa kusaidia Jamaica
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonesha mshikamano wake na Serikali pamoja na wananchi wa Jamaica kufuatia maafa makubwa yaliyosababishwa na Kimbunga Melissa, ambacho kimeleta uharibifu mkubwa katika…
Umoja wa Mataifa watoa wito wa kuwalinda wanaoripoti ukweli
Katika harakati zao za kutafuta ukweli, waandishi wa habari duniani kote wanakabiliwa na hatari zinazoongezeka, ikiwemo matusi, vitisho vya kisheria, mashambulizi ya kimwili, kufungwa gerezani, kuteswa na hata kuuawa, ameonya…
Rais Pezeshkian: Sekta ya nyuklia ya Iran inalenga ustawi wa umma, si silaha za nyuklia
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza kwamba ustawi wa sekta yake ya nyuklia ya amani nchini Iran unalenga kuimarisha ustawi wa taifa, si kupata silaha.
Kuna taathira gani za kufukuzwa Mwanamfalme Andrew katika mfumo wa ufalme wa Uingereza
Mapema usiku wa Ijumaa, Kasri ya Buckingham ilitoa taarifa rasmi ikitangaza kwamba Mwanamfalme Andrew amevuliwa vyeo vyote vya kifalme, majukumu rasmi na fursa za heshima, uamuzi ambao Mfalme Charles III…
Umoja wa Afrika wampongeza Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuiongoza Tanzania
Umoja wa Afrika umempongeza Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuingoza Tanazania kwa muhula mwigine baada ya kuibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 mwezi uliopita wa Oktoba.
Obama: Nyakati za giza zinatawala Marekani
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amemkosoa vikali Donald Trump, akiutaja utawala wake kuwa ni "kielelezo cha uasi na mparaganyiko" na kuwashutumu Warepublican kwa kukaa kimya mbele ya mienendo…
Rais Pezeshkian aipongeza Algeria kwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa pongezi za dhati kwa Rais na watu wa Algeria kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 71 ya kuanza Mapinduzi ya Ukombozi na…
Nigeria yapinga vikali vitisho vya Trump, yasema mamlaka yake ya kujitawala hayajadiliwi
Serikali ya Nigeria imepinga vikali uingiliaji wowote wa kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo ikisisitiza kwamba "mamlaka ya kitaifa hayawezi kujadiliwa," na kwamba inachunguza matukio ya hivi karibuni…
Israel yaendelea kuwatesa kwa njaa Wapalestina kwa kuruhusu 24% tu ya misaada kuingizwa Ghaza
Mamlaka za Palestina katika Ukanda wa Ghaza zimetangaza kuwa utawala wa kizayuni wa Israel umeruhusu kuingizwa katika eneo hilo sehemu ndogo tu ya misaada ya kibinadamu kinyume na ilivyoafikiwa katika…
Mauaji ya halaiki ya El-Fasher yachochea tena miito ya kutaka UAE isusiwe kwa kuiunga mkono RSF
Wito wa kuususia Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) pamoja na makampuni yenye mfungamano na nchi hiyo ya kifalme unazidi kuongezeka kwenye mitandao ya kijamii, ukichochewa na hasira zinazotokana na…
Israel yaendelea kukiuka makubaliano na Lebanon, yashambulia na kuua watu 4 na kujeruhi 3
Shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesababisha vifo vya watu wanne na kuwajeruhi wengine watatu kusini mwa Lebanon ukiwa ni mwendelezo wa mashambulizi ya…
Israel yaendelea kukiuka makubaliano na Lebanon, shambulio lake la anga laua wanne na kujeruhi watatu
Shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesababisha vifo vya watu wanne na kuwajeruhi wengine watatu kusini mwa Lebanon ukiwa ni mwendelezo wa mashambulizi ya…
Trump atishia kuishambulia kijeshi Nigeria kwa tuhuma za alichokiita ‘kuuliwa raia Wakristo wapendwa’
Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kufanya mashambulizi ya kijeshi ndani ya ardhi ya Nigeria kutoa mjibizo kwa alichodai kuwa ni ukatili wanaofanyiwa Wakristo, akisema ameiagiza Wizara yake ya Vita…
UNSC yapitisha azimio la US la kuunga mkono mpango wa Morocco kuhusu Sahara Magharibi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kurefusha kwa mwaka mmoja muda wa kazi za ujumbe wake ulioko Sahara Magharibi (MINURSO), sambamba na kuidhinisha rasmi mpango wa…
Baraza la Usalama lapitisha azimio la US la kuunga mkono mpango wa Morocco kuhusu Sahara Magharibi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kurefusha kwa mwaka mmoja muda wa kazi za ujumbe wake ulioko Sahara Magharibi (MINURSO), sambamba na kuidhinisha rasmi mpango wa…
DRC: Serikali yaomba Baraza la usalama wa kitaifa kufuta vyama kadhaa vya upinzani
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), utawala wa Rais Félix Tshisekedi unavichukulia hatua kali vyama 12 vya upinzani. Naibu Waziri Mkuu anayehusika na Mambo ya Ndani na Usalama ametangaza…
Sudan: Mauaji yanaendelea katika jiji la Sudan la El-Fasher
Picha mpya za setilaiti na ushuhuda kutoka kwa shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) zinaonyesha Jumamosi, Novemba 1, kwamba mauaji yanaendelea katika jiji la Sudan la El-Fasher, magharibi mwa…
Kwa nini UN inayataja mashambulizi ya Marekani katika Bahari ya Karibi kuwa ni kinyume na sheria za kimataifa
Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa mashambulizi ya Marekani katika eneo la Caribbean yanakiuka sheria za kimataifa.
Ufaransa: Waziri wa Mambo ya Ndani Laurent Nuñez atetea mazungumzo yenye tija na Algeria
Serikali ya Lecornu haitaingia katika mvutano na Algeria, ambayo bado inawashikilia raia wawili wa Ufaransa katika magereza yake (mwandishi Boualem Sansal na mwandishi wa habari Christophe Gleize) na inakataa kuwachukua…
Tanzania: Umoja wa Afrika wampongeza rais Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wake
Umoja wa Afrika umepongeza rais anayemaliza mda wake nchini Tanzania, Samia Suluhu Hassanambaye alishaguliwa tena hivi karibu kwa muhula mwigine kwa ushindi wake. Imechapishwa: 02/11/2025 – 05:18 Dakika 1 Wakati…
DRC: Kinshasa yalaani upinzani wa M23 dhidi ya kufunguliwa tena kwa uwanja wa ndege wa Goma
Serikali ya Kongo imelaani siku ya Jumamosi, Novemba 1, upinzani wa kundi la M23 dhidi ya tangazo la rais wa Ufaransa la kufunguliwa tena kwa uwanja wa ndege wa Goma,…
Mkuu wa IAEA akiri Iran haifuatilii mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Nishati ya Nyuklia (IAEA) amethibitisha tena kuwa, kwa mujibu wa ukaguzi wa moja kwa moja, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina mpango…
Iran yapaa kama nguzo ya kimataifa katika sekta ya shaba
Iran inaendelea kujiboresha kama mchezaji muhimu katika soko la kimataifa la shaba, huku rasilimali zake tajiri na miradi ya maendeleo inayoendelea ikiweka taifa hilo katika nafasi ya juu zaidi ndani…
UN: Gaza ni eneo hatari zaidi kwa waandishi wa habari duniani
Msemaji wa Umoja wa Mataifa ameangazia hatari zinazowakumba waandishi wa habari duniani kote, akielekeza macho hasa kwa Ukanda wa Gaza, ambapo ametaja eneo hilo la Palestina lililozingirwa na utawala wa…
Watu 21 wameaga dunia na 30 hawajulikani walipo kufuatia maporomoko ya udongo yaliyoikumba Kenya
Maporomoko ya udongo yaliyoathiri maeneo ya magharibi mwa Kenya yameuwa watu wasiopungua 21 na kujeruhiwa makumi ya wengine. Watu wengine zaidi ya 30 hawajulikani walipo kufuatia maafa hayo.
Komoro kujiunga na kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel katika Mahakama ya ICJ
Komoro imewasilisha tamko rasmi la kujiunga na kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel iliyofunguliwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
Kwanini China inalenga makanisa yasiyosajiliwa
China imewakamata wachungaji kadhaa wa Kikristo katika msako dhidi ya makanisa yasiosajiliwa, huku waumini wa madhehebu ya Kikristo wanaoabudu nje ya mfumo wa makanisa yaliyoidhinishwa na serikali wakisakwa na dola.
ElBaradei akosoa kimya cha serikali za Kiarabu kuhusu jinai za Wazayuni huko Gaza
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki amekosoa kwenye ukurasa wake wa kibinafsi kwenye Jukwaa la X (zamani Twitter) misimamo ya serikali za Kiarabu kuhusu…
Jinsi himaya isiyo na masharti ya Ujerumani kwa Israel inavyoakisi unafiki wa vigezo vya Magharibi vya haki za binadamu
Msemaji wa harakati ya Hamas amekosoa kauli za Kansela wa Ujerumani Friedrich Mertz za kujaribu kutetea uhalifu na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
Dunia ikizidi kumegukameguka, viongozi waelekea Doha kuchechemua mkataba wa kijamii
Je, inamaanisha nini kujenga jamii ambayo kila mtu anahisi kweli kuwa sehemu yake? Katika dunia inayozidi kugawanyika kwa mgawanyiko wa kidijitali, mabadiliko ya kidemografia, na misukosuko ya tabianchi, ahadi ya…
Araqchi: Hatuwezi kusimamisha urutubishaji urani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, hatuwezi kusimamisha urutubishaji urani na kwamba kile ambacho maadui hawakukipata kupitia vita hakiwezi kupatikana kwa njia ya kisiasa.
RSF yawatia mbaroni wanamgambo wake wanaotuhumiwa kufanya jinai el Fasher Sudan
Vikosi vya Msaa wa Haraka RSF nchini Sudan vimetangaza kuwa vimewatia mbaroni wapiganaji wanaoshutumiwa kukiuka haki za binadamu na kufanya mauaji ya umati kwenye mji wa El-Fasher uliotekwa na kundi…
Mwito wa kiongozi wa upinzani wa mgomo wa nchi nzima Cameroon waitikiwa vizuri
Mji wa Maroua ambao ni makao makuu ya jimbo la Kaskazini la Cameroon limesimamisha shughuli zote za kibiashara ikiwa ni kuitikia mwito wa kiongozi wa upinzani aliyetangaza mgomo wa biashara…
Mshindi wa Tunzo ya Amani ya Nobel ataka Wamarekani wawashambulie raia wa Venezuela
Chini ya mwezi mmoja baada ya kupokea Tunzo ya Amani ya Nobel ya mwaka huu, kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Maria Corina Machado ambaye ni kibaraka wa Magharibi na muungaji…
Afrika Kusini yalaani mpango wa wakimbizi wa Marekani kwa mapungufu yake mengi
Serikali ya Afrika Kusini imelezea kusikitishwa na mpango wa wakimbizi wa Marekani, ikiuelezea kuwa si sahihi ni upotoshaji na una mapungufu mengi.
Katibu Mkuu wa UN aeleza wasiwasi wake kuhusu Tanzania
Machafuko yalizuka katika sehemu tofauti nchini humo tangu 29 Oktoba 2025 huku waandamanaji wakipinga uchaguzi huo na kutaka mabadiliko.
Katibu Mkuu wa UN aeleza wasiwasi wake kuhusu Tanzania
Machafuko yalizuka katika sehemu tofauti nchini humo tangu 29 Oktoba 2025 huku waandamanaji wakipinga uchaguzi huo na kutaka mabadiliko.
Iran yatangaza uungaji mkono wake kwa mamlaka ya kujitawala Sudan
Iran imesisitiza udharura wa kuendelea kuunga mkono uhuru, umoja wa ardhi na mamlaka ya kujitawala nchi ya Sudan huku vurugu kubwa zikiendelea kulitikisa taifa hilo la Afrika.
Jeshi la Guinea-Bissau lasema limetibua jaribio la mapinduzi lilohusisha maafisa kadhaa
Maafisa waliokamatwa kwa madai ya kuhusiska na jaribio hilo, wanahojiwa kwa sawa, naibu mkuu wa majeshi amesema
Jeshi la Guinea-Bissau lasema limetibua jaribio la mapinduzi lilohusisha maafisa kadhaa
Maafisa waliokamatwa kwa madai ya kuhusiska na jaribio hilo, wanahojiwa kwa sawa, naibu mkuu wa majeshi amesema
Machafuko Tanzania yaathiri biashara Rwanda
Maandamano katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo yameathiri baadhi ya huduma, ikiwemo usafiri wa malori yanayopeleka bidhaa nje ya nchini na bidhaa kutoka nje kukwama.
Machafuko Tanzania yaathiri biashara Rwanda
Maandamano katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo yameathiri baadhi ya huduma, ikiwemo usafiri wa malori yanayopeleka bidhaa nje ya nchini na bidhaa kutoka nje kukwama.