Mtoto wa Mjini – 10
Linnie aliendelea kumdodosa kuhusu safari yake na maisha yake ya Tanzania naye alijitahidi kumuelezea kila kitu kuhusu maisha yake. Mwanamke huyo wa Kizungu alijikuta akivutiwa na maelezo yake na aligundua…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025
Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ilizinduliwa rasmi mkoani Manyara Oktoba 11,2025 ambapo uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usala…
Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ilizinduliwa rasmi mkoani Manyara Oktoba 11,2025 ambapo uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama iliambatana na uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa ukaguzi…
Iran yagundua maficho ya televisheni ya Israel inayoeneza uadui dhidi yake
Operesheni ya kiintelijensia ya Iran iliyofanyika kwa mafanikio, imefichua waliko watu wanaohusika na shirika la kijasusi la Israel Mossad, ambao waliwatumikia maadui hasa Israel na Marekani wakati wa vita vya…
Mahakama yaitahadharisha TFF kesi ya kumfungia maisha kocha
Kutokana na msimamo huo wa TFF mahakama hiyo imelazimika kusimama kuendelea na usikilizwaji wa...
Yemen nchi ya kwanza ya Kiarabu kujizalishia yenyewe silaha za maana
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: Kwa taufiki ya Mwenyezi Mungu Yemen imefanikiwa kuwa nchi ya kwanza kati ya nchi zote za Kiarabu katika uzalishaji wa silaha na…
Larijani: Marekani haitaki Iraq iwe huru/ Baghdad: Usalama wetu na wa Iran ni kitu kimoja
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: Ni lazima tufanye juhudi za kuzuia njama zozote zinazofanywa na watu baki wenye nia mbaya ya kuyaletea madhara mataifa…
DR Congo yaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wanaoshambulia kambi zake za kijeshi
Wanajeshi wawili wa Rwanda wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuwaunga mkono waasi wa Machi 23 (M23) waliofanya mashambulizi mapema juzi Jumatatu dhidi ya kambi za kijeshi za serikali huko kaskazini…
Guardian: Chuki dhidi ya Trump imekuwa nembo ya mshikamano mpya Marekani
Chuki dhidi ya rais wa hivi sasa wa Marekani imekuwa jambo la kawaida kwa waandamanaji wanaomiminika mitaani kumpinga Trump katika majimbo mbalimbali na hivi sasa imegeuka kuwa nembo ya mshikamano…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: MIFUMO YA ULINZI KIDIJITALI…..OKTOBA 22, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: MIFUMO YA ULINZI KIDIJITALI.....OKTOBA 22, 2025
Mahakama Kuu leo kuamua video ya Lissu
Uamuzi huo unatarajia kutolewa leo Jumatano Oktoba 22, 2025 na Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar...
Maseneta wa Marekani wanamtaka Trump kuchukua msimamo thabiti dhidi ya unyakuzi wa West Bank
Barua ya maseneta zaidi ya 40 wa chama cha Democratic inaonya kwamba hatua yoyote ya Israel ya kunyakua ardhi inayokaliwa kwa mabavu itadhoofisha uwezekano wa kupatikana kwa suluhu ya mataifa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025
Waziri Mkuu wa Israel amfuta kazi msaidizi wake mkuu wa usalama kwa mtafaruku juu ya Gaza
Hanegbi aliliambia Baraza la Mawaziri kuwa anapinga msukumo wa Netanyahu kuchukua udhibiti wa Gaza City, akisema ungehatarisha maisha ya mateka wa Israel.
NBC Premier League, raundi ya tano kuendelea kushika kasi leo kwa michezo mitatu
NBC Premier League, raundi ya tano kuendelea kushika kasi leo kwa michezo mitatu. Nani kuondoka na alama tatu?…..usikose kutazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama…
#HABARI:Mkutano uliokuwa ukisuburiwa kufanyika kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko Budape…
#HABARI:Mkutano uliokuwa ukisuburiwa kufanyika kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko Budapest Hungary, umesitishwa kwa muda baada ya Urusi kutupilia mbali suala la…
Barcelona, Arsenal, PSG zagawa dozi Ligi ya Mabingwa Ulaya
Barcelona imeendelea kutisha kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Olympiacos mabao...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 22,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 22,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Kauli za wadau na ripoti za waangalizi wa uchaguzi mkuu
Wataalamu wa siasa na utawala bora wamezitaka mamlaka za uchaguzi nchini kuzingatia kwa umakini...
Fyatu anapomkumbuka Fyatu Nchonga kifyatu
Mpendwa Fyatu na mzee mwenzangu mwana wa Mzee Burito uliyelala kishujaa pale Mwitongo, kwanza...
Mgombea urais wa chama cha NCCR Mageuzi, Ambari Haji Khamis ameahidi kufuta ushuru na kodi kwa wakulima na wafanyabiashara wadog…
Mgombea urais wa chama cha NCCR Mageuzi, Ambari Haji Khamis ameahidi kufuta ushuru na kodi kwa wakulima na wafanyabiashara wadogo wadogo ili kuyapa ahueni makundi hayo sambamba na kuchochea ukuaji…
NIKWAMBIE MAMA: Tuwapate kina Raila wengine
Wiki ijayo tunakwenda kupiga kura kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa nchi yetu. Tumeshuhudia kampeni...
Tuwapate kina Raila wengine
Wiki ijayo tunakwenda kupiga kura kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa nchi yetu. Tumeshuhudia kampeni...
🔴KUMEKUCHA:UTALII, TEKNOLOJIA NA AJIRA …OKTOBA 22, 2025
🔴KUMEKUCHA:UTALII, TEKNOLOJIA NA AJIRA ...OKTOBA 22, 2025
#SwaliLaKipimaJoto:Wanaonadi sera kushawishi kuchaguliwa.Je, wanaonesha kuguswa na kero za wananchi maeneo husika
#SwaliLaKipimaJoto:Wanaonadi sera kushawishi kuchaguliwa.Je, wanaonesha kuguswa na kero za wananchi maeneo husika
Meja Jenerali Pakpour: Jahanamu itashuhdiwa iwapo Iran itashambuliwa
Iran iko tayari kutoa jibu kali kwa uchokozi wowote endapo utafanywa dhidi yake katika siku zijazo. Ameyasema hayo Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambaye…
IOM: Licha hali ya tete ya usalama, zaidi ya watu milioni moja wamerejea mji mkuu wa Sudan, Khartoum
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, watu zaidi ya milioni moja wamerejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, katika kipindi cha miezi 10 iliyopita licha ya kukosekana usalama…
Mkutano kati ya Trump na Putin wasitishwa
Mkutano uliokuwa ukitarajiwa kufanyika kati ya marais Donald Trump wa Marekani na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin huko Budapest umesimamishwa kwa muda baada ya Moscow kushindwa kuafiki suala la kusitisha…
Mkutano uliotarajiwa kati ya Trump na Putin wasitishwa
Mkutano uliokuwa ukitarajiwa kufanyika kati ya marais Donald Trump wa Marekani na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin huko Budapest Hungary, umesitishwa kwa muda baada ya Urusi kutupilia mbali suala la…
Marekani: Mpango wa amani Gaza utaendelea kutekelezwa
Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance amesema ana matumaini makubwa kuwa makubaliano ya amani huko Gaza yataendelea kutekelezwa.
Waasi wa M23 wapora dhahabu zenye thamani ya dola milioni 70
Kampuni moja ya uchimbaji madini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema waasi wa M23 wamepora takriban kilo 500 za dhahabu ambazo thamani yake inakadiriwa kufikia dola milioni 70.
Korea Kaskazini yafyetua makombora kabla ya mkutano wa APEC
Jeshi la Korea Kusini limesema Korea Kaskazini imefyetua makombora kadhaa ya masafa marefu kuelekea baharini bila hata hivyo kutoa maelezo zaidi. Hii ni kabla ya mkutano wa kilele wa APEC…
Amnesty: Uganda ishinikizwe kufuta sheria dhidi ya ushoga
Shirika la Kimataifa la Amnesty limeitaka Benki ya Dunia kuishinikiza serikali ya Uganda kufuta sheria kali dhidi ya watu wanashiriki mapenzi ya jinsia moja kabla ya kurejeshwa tena kwa ufadhili…
Mkude: Kifo cha Modest kimenifunza kumjali mtu akiwa hai
KIUNGO wa zamami wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Jonas Mkude amesikitishwa na kifo cha mchezaji wa zamani wa timu hizo, Alphonce Modest aliyefariki dubnia jioni ya Oktoba 21, 2025.…
Mkude amlilia Modest
KIUNGO wa zamami wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Jonas Mkude amesikitishwa na kifo cha mchezaji wa zamani wa timu hizo, Alphonce Modest aliyefariki dubnia jioni ya Oktoba 21, 2025.…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 22, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 22, 2025
Msemaji wa serikali ya Iran: Azimio nambari 2231 limekwisha muda wake
Fatemeh Mohajerani Msemaji wa serikali ya Iran amesema kuwa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililoidhinisha makubaliano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 limekwisha…
Teknolojia ya Nyuklia Yazaa Masuluhisho Mapya kwa Mustakabali wa Uchumi wa Iran
Iran imezindua kituo cha kwanza cha mionzi ya kilimo katika eneo la kaskazini-magharibi, kilichopo Ardabil, hatua inayoonesha dhamira ya taifa kutumia teknolojia ya nyuklia kwa madhumuni ya amani ili kuimarisha…
Chuo Kikuu cha Arizona; Taasisi ya saba Marekani kukataa matakwa ya sera mpya ya Trump
Vyuo Vikuu saba vya juu nchini Marekani vimepinga mpango tata wa "kielimu" wa Ikulu ya White House, ambao unashutumiwa kuwa ni mkakati wa kisiasa unaolenga kuwanyamazisha wapinzani na kuwaadhibu wanaoiunga…
Kwa nini Afrika ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa Iran?
Mkuu wa Jumuiya ya Biashara ya Pamoja ya Iran na Afrika amesema: "bara la Afrika ni hazina iliyofichika ya uchumi wa dunia na fursa kubwa kwa Iran."
22.10.2025
Viongozi wa Ulaya wanaunga mkono juhudi za Rais wa Marekani Donald Trump za kuleta amani nchini Ukraine+++Wakati Tanzania ikitarajia kufanya uchaguzi mkuu tarehe 29 mwezi huu wa Oktoba, baadhi ya…
22.10.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mkutano uliokuwa ukitarajiwa huko Budapest kati ya Trump na Putin wasitishwa. Marekani imesema ina matumaini mpango wa amani Gaza utaendelea kutekelezwa. Waasi wa M23 wapora dhahabu zenye thamani ya dola…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 22, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 21, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 21, OKTOBA 2025
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha TLP, Bw
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha TLP, Bw. Rwamugira Yustas, ameahidi kutoa huduma ya Elimu bure kuanzia ngazi ya chekechea hadi chuo kikuu, kwa…