Amnesty International – Tanzania yazidi kukandamiza mawazo tofauti kabla ya uchaguzi
NAIROBI – Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limeeleza wasiwasi wake kuhusu kile linachotaja kuwa “wimbi la hofu na ukandamizaji” nchini Tanzania, wiki chache kabla ya…
Ulimwengu wa Spoti, Okt 20
Hujambo msikilizaji mpenzi, nina wingi wa matumaini kwamba u mzima wa afya. Karibu tuangazie japo kwa ufupi, baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri viwanjani katika muda wa siku zilizopita, kitaifa, kieneo…
Ukiachana na sakata la Folz, kuna hili Yanga
Kuna ‘thank you’ nne zimetembea pale Yanga kwa makocha wake ndani ya kipindi cha takribani siku...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
Meja Jenerali Pakpour: Iran iko tayari kikamilifu kuimarisha uhusiano wa kistratejia na Yemen
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limesema kuwa limejiandaa kikamilifu kukuza ushirikiano wa kimkakati na vikosi vya ulinzi vya Yemen katika mapambano dhidi ya mabeberu wa…
Iran yalaani kitendo cha Israel cha kumtesa mwanaharakati Greta Thunberg
Esmail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumtesa mwanaharakti wa haki za binadamu aliyedhihirisha mshikamano na…
WHO: Mgonjwa wa mwisho wa Ebola Kongo aruhusiwa kutoka katika kituo cha matibabu
Shirika la Afya Duniani (WHO) jana liliripoti kuwa mgonjwa wa mwisho wa Ebola aliruhusiwa jana kutoka kwenye kituo cha matibabu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais, atah…
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais, atahakikisha anasimamisha huduma za mikopo umiza maarufu kama "Kausha damu"…
‘Jukwaa la kufyatulia risasi’ lanaswa katika eneo linalotazamana na ndege ya Trump
Idara ya Huduma ya Siri ya Marekani imethibitisha kuwa imegundua jukwaa linalotiliwa shaka la kufyatulia risasi karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Palm Beach likiwa na uwezo wa…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anjellah Kairuki ameendelea na kampeni zake katika K…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anjellah Kairuki ameendelea na kampeni zake katika Kata ya Msigani na kubainisha vipaumbele vyake kumi ikiwemo kusimamia suala la…
Idara ya Vyombo vya Habari vya Serikali Gaza yasajili ukiukaji 80 wa Israel tangu kusitishwa mapigano
Idara ya Vyombo vya Habari ya Serikali katika Ukanda wa Gaza imesema ukiukaji wa Israeli wa mapatano ya kusitisha vita unaakisi hamu ya utawaka huo vamizi ya kuzidisha machafuko na…
Trump anamtishia Rais wa Colombia, Petro ajibu mapigo: Soma kwa makini kuhusu nchi yetu
Rais wa Marekani, Donald Trump amemshutumu Rais wa Colombia Gustavo Petro kwa kuhusika katika kuongezeka biashara ya dawa za kulevya, na kutishia kuingilia moja kwa moja Marekani nchini Colombia.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema akipewa ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema akipewa ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jukumu lake la kwanza ni kuhakikisha…
Jamhuri kumjibu Lissu pingamizi video ya hotuba yake
Katika kesi hiyo Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini akidaiwa kutoa maneno ya kuitishia...
Mgombea Urais Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania atahakikis…
Mgombea Urais Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anapambana dhidi ya ufisadi hatua ambayo itasaidia kuleta maendeleo kwa wananchi.…
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Kisabya Almas, ameahidi kuwafutia kodi wafa…
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Kisabya Almas, ameahidi kuwafutia kodi wafanyabiashara wenye mtaji chini ya milioni 20 na kuwezesha mfumo mmoja unaosomana na…
Uturuki inakaribisha usutishwaji vita wa Afghanistan na Pakistan
Uturuki ilieleza kuunga mkono kwa dhati usitishaji vita uliofikiwa mjini Doha kati ya Kabul na Islamabad na kuipongeza Qatar kwa kuwezesha mazungumzo hayo.
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UANDAAJI WA FILAMU…..OKTOBA 20, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UANDAAJI WA FILAMU.....OKTOBA 20, 2025
Erdogan ampongeza Erhurman kwa ushindi katika uchaguzi wa urais wa TRNC
Erhurman aliahidi kwamba hakuna maamuzi ya sera ya kigeni kuhusu TRNC yangefanywa bila kushauriana kwanza na Uturuki.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
Morocco yaitwanga Argentina na kutwaa ubingwa wa Dunia kwa U-20
Yassir Zabiri afunga mara mbili huku Atlas Cubs ikitwaa ushindi wa kihistoria wa 2-0 nchini Chile
Mashambulizi mapya ya Israel yawauwa takriban Wapalestina 21 huko Gaza licha ya kusitishwa kwa vita
Israel ilifanya mashambulizi makali huko Gaza, ikidai kuwa ni kujibu mashambulizi ya Hamas, huku usitishaji vita uliodumu kwa siku tisa katika eneo la Wapalestina ukiwa katika hali ngumu.
DRC yaanza hesabu ya siku 42 bila Ebola baada ya mgonjwa wa mwisho kwenda nyumbani
Katika video iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, wafanyakazi wa afya walionekana wakisherehekea wakati mgonjwa wa mwisho alipotoka kituo cha matibabu.
Carragher: Wakati wa kumpumzisha Mo Salah
Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher, amemwambia kocha wa sasa Arne Slot kwamba...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 20,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 20,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Bolivia: Seneta wa mrengo wa kati-kulia Rodrigo Paz achaguliwa kuwa rais
Baada ya kuhesabu zaidi ya asilimia 97 ya kura, mgombea urais wa Bolivia wa mrengo wa kati-kulia ameshinda duru ya pili ya uchaguzi uliyofanyika siku ya Jumapili, Oktoba 19. Rodrigo…
#HABARI: Watu wawili wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu hospitalini baada ya ndege ya mi…
#HABARI: Watu wawili wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu hospitalini baada ya ndege ya mizigo kuteleza kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa Hong…
Kiongozi wa upinzani Moïse Katumbi anathibitisha kujitolea kwake kwa mazungumzo jumuishi DRC
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Ensemble pour la République, Moïse Katumbi, anathibitisha kujitolea kwake kwa mazungumzo jumuishi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ametoa ujumbe huu katika taarifa iliyochapishwa…
#SwaliLaKipimaJoto:Siku kumi kabla ya Uchaguzi Mkuu.Je, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iweke hadharani muonekano wa karatasi za …
#SwaliLaKipimaJoto:Siku kumi kabla ya Uchaguzi Mkuu.Je, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iweke hadharani muonekano wa karatasi za kupigia kura utakavyokuwa
🔴KUMEKUCHA:TUZO ZA UTALII DUNIANI..OKTOBA 20, 2025
🔴KUMEKUCHA:TUZO ZA UTALII DUNIANI..OKTOBA 20, 2025
Mgonjwa wa mwisho wa Ebola aondoka katika kituo cha matibabu cha Bulape
Mgonjwa wa mwisho wa Ebola aliyelazwa katika kituo cha matibabu cha Bulape katika Mkoa wa Kasai, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ametangazwa kuwa amepona na kuruhusiwa kuondoka kituoni hapo…
🔴#MAGAZETI: ….OKTOBA 20, 2025
🔴#MAGAZETI: KAULI ZA AMANI , UKWELI ZATIKISA / NABI ATIA MKONO KOCHA MPYA YANGA ....OKTOBA 20, 2025
Ripoti: Asilimia 97 ya shule za Gaza zimeharibiwa kwa mashambulizi ya Israel
Ripoti rasmi zinasema, mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel yameharibu asilimia 97 ya shule za Ukanda wa Gaza na hivyo kuhatarisha mustakbali wa kielimu wa wanafunzi laki tatu wa Kipalestina.
Israel yatangaza kusitisha mashambulizi yake Gaza
Israel imetangaza Jumapili kusitisha mashambulizi yake ya anga katika Ukanda wa Gaza ambayo kulingana na mamlaka za afya yamesababisha vifo vya watu 45.
Wahouthi wawashikilia wafanyakazi 20 wa Umoja wa Mataifa
Waasi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wanawashikilia wafanyakazi wapatao 20 wa Umoja wa Mataifa, baada ya kuvamia kituo kingine cha taasisi hiyo ya kimataifa katika mji mkuu wa Yemen…
Marekani yatangaza kusitisha msaada kwa Colombia
Marekani imetangaza siku ya Jumapili kusitisha ufadhili wake kwa Colombia ikitaja kuwa rais wa nchi hiyo Gustavo Petro hachukui hatua za kukabiliana na shughuli za madawa ya kulevya.
Majambazi waiba vito vya thamani jumba “Le Louvre”, Paris
Kundi la majambazi wanne limefanikiwa siku ya Jumapili kuiba vito vya thamani isiyokadiriwa katika Jumba la Makumbusho Le Louvre jijini Paris, Ufaransa.
Mashujaa Dei kufanyika kama kawaida Kenya licha ya maombolezo ya kifo cha Raila Odinga
Serikali ya Kenya imetangaza kuwa Siku ya Mashujaa itaadhimishwa leo kama kawaida licha ya hofu iliyokuwepo kwamba ingeahirishwa baada ya kifo cha waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Raila…
Trump amtaka Zelensky kuafiki masharti ya Urusi
Rais wa Marekani Donald Trump amemtaka mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukubaliana na masharti ya Urusi ili kumaliza vita.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 20, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 20, 2025
Newsom akosoa vikali maonyesho ya kijeshi ya Trump, asema: Kiburi kimefadhilishwa kuliko uwajibikaji
Gavana wa chama cha Democratic huko California amekosoa maonyesho ya kijeshi ya Trump ambayo yalisababisha kufungwa barabara kuu, akiyataja kuwa ni ishara ya Rais kutanguliza mbele "kiburi kuliko uwajibikaji."
Maaandamano dhidi ya Trump nchini Marekani yanafanyika kwa malengo gani
Mamilioni ya Wamarekani waliingia mitaani katika maandamano ya nchi nzima wakiimba "No Kings" kupinga muhula wa pili wa rais Donald Trump na kile wanachokiita "mienendo yake ya kimabavu."
Jumatatu, tarehe 20 Oktoba, 2025
Leo ni Jumatatu tarehe 27 Rabiu Thani 1447 Hijria sawa na Oktoba 20 mwaka 2025.
Gavana wa Darfur: Mashambulizi ya RSF huko El Fasher ni sawa na mauaji ya halaiki
Gavana wa Darfur, magharibi mwa Sudan, Minni Arko Minawi, amesema kuwa mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) dhidi ya El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini,…
Deni la umma lailemea serikali ya Marekani, wachumi washikwa na wasiwasi
Deni la umma la Marekani limefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo, ambapo sasa deni hilo linatajwa kufika trilioni 37.9.
Wamisri wataka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani na Ukanda wa Gaza
Huku msaada wa kibinadamu unaohitajika ukisalia kuwa haba huko Gaza, waanchi wa Misri wametaka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani cha Rafah kwa ajili ya kuingiza misaada neo la Ukanda wa…
20.10.2025 Matangazo ya Mchana
Israel imeanza tena kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia katika ukanda wa Gaza// Rais wa Marekani Donald Trump amemtaka mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukubaliana na masharti ya Urusi ili kumaliza…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 20, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa