Messi Awasha Moto, Lakini Inter Miami Wapoteza Ushindi Dhidi ya Toronto!
📊 UCHAMBUZI WA INTER MIAMI – SARE YA 1-1 DHIDI YA TORONTO FC Inter Miami walikosa kurekebisha faida ya mapema na kumaliza kwa sare ya 1-1 dhidi ya Toronto FC,…
Real Madrid Wapoteza Kipigo Kikubwa, Atleti Washerehekea Kwenye Derby
📊 UCHAMBUZI WA WAENDELEZAJI WA REAL MADRID – KIPIGO CHA 5-2 KATIKA DERBY YA MADRID Real Madrid walipata kipigo chungu cha 5-2 dhidi ya Atletico Madrid kwenye derby iliyochezwa RiyadhAir…
🔥 Moto Wa Mabingwa Afrika: Yanga na Pirates Watinga Kwa Kishindo, Simba na Pyramids Bado Vitani Hatua ya Makundi CAF Champions League!
Hii habari inazungumzia mwendelezo wa hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2025/26) ambapo mechi za marudiano zimeamua nani anaingia roundi ya pili ya mchujo. Hapa…
🔥 Haaland Aibuka Mashine: Man City Wapiga Burnley 5-1, Guardiola Arejesha Moto wa Ubingwa EPL!
Baada ya Septemba kuanza kwa wasiwasi kufuatia kupoteza mechi mbili mfululizo za EPL (dhidi ya Tottenham na Brighton), Manchester City ya Pep Guardiola imejibu kwa nguvu kubwa na sasa imepata…
🔥 Historia Yaandikwa: Atletico Madrid Wazima Real kwa 5-2, Derby Moto La Liga Lapasuka Baada ya Miaka 75!
Hii ilikuwa derby ya kihistoria, yenye msisimko wa kila aina na matukio makubwa yaliyogeuza uso wa La Liga msimu huu. Atletico Madrid walifanikiwa kufunga mabao matano dhidi ya Real Madrid…
Kiongozi wa Mapinduzi: Israel ni utawala unaodharaulika na uliotengwa pakubwa duniani
Ayatullah Sayyid Ali Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameitaja Israel kama utawala unaochukiwa zaidi duniani.
UN yaiwekea tena Iran vikwazo vilivyokuwa vimeondolewa kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeiwekea tena Iran vikwazo vilivyokuwa vimendolewa huko nyuma kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia ya 2015 katika hatua iliyochochewa na mataifa ya Ulaya…
🔥 Amakhosi Wapeta kwa Ujasiri: Kaizer Chiefs Wazima Kabuscorp kwa Penalti, Wasonga Mbele Kombe la Shirikisho CAF!
Kaizer Chiefs (vigogo wa Afrika Kusini) wameonyesha uthabiti na uzoefu baada ya kutinga Raundi ya Pili ya Awali ya Kombe la Shirikisho la CAF (2025/26) kwa ushindi wa penalti 5–4…
🔥 Mababe Waafrika Waingia Moto: Yanga na Orlando Pirates Watamba, Wafuzu Kwa Kishindo CAF Champions League!
Michuano ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (TotalEnergies CAF Champions League) imeendelea kushuhudia vigogo mbalimbali wa soka barani wakipiga hatua kuelekea hatua ya makundi. 🔥 Orlando Pirates (Afrika Kusini)…
Abdulmalik al Houthi: Nasrallah bado ni jinamizi kwa Israel
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdulmalik al-Houthi amesemam kuwa kiongozi wa muqawama wa Lebanon shahidi Sayyid Hassan Nasrallah bado ni jinamizi kwa Israel ingawa aliuawa na utawala huo…
Niger katika Mkutano wa UNGA: Ufaransa inapasa kukumbuka na kutambua jinai zake
Lamine Zeine Ali Mahaman Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Niger ameikosoa Ufaransa nchi mkoloni wa zamani wa nchi hiyo akisema kuwa nchi hiyo ya Ulaya inatumia ugaidi kudhoofisha…
Maelfu waandamana Afrika Kusini wakitaka kukatwa uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Watu zaidi ya elfu tatu jana waliandamana katika mji wa Cape Town Afrika Kusini wakiitaka nchi hiyo kukata uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na Israel, ikiwa ni pamoja na kufunga…
Urusi yarusha ‘mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora’ dhidi ya Ukraine usiku kucha
Urusi imerusha “mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora” dhidi ya Ukraine usiku wa Jumamosi, Septemba 27, kuamkia Jumapili, Septemba 28, kulingana na Waziri wa Mambo ya Nje wa…
Iran yarejeshewa vikwazo vya Umoja wa Mataifa ‘kutokana na kushindwa mpango wake wa nyuklia
Vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran vimerejeshwa rasmi siku ya Jumapili, Septemba 29 usiku wa manane, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo na nchi za Magharibi, ambazo zinadai kuhakikishiwa juu…
Sheikh Naim Qassem: Kama alivyokuwa Shahidi Nasrullah hatutaweka chini katu silaha za Muqawama
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, amehutubia maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashem Safi al-Din huko Beirut na kumhutubu…
Rais wa Iran akataa matakwa ya nyuklia ya Marekani na kuyataja kuwa ‘hayakubaliki’
Rais Masoud Pezeshkian WA Jamahauri ya Kiislam7u ya Iran amesema kuwa, taifa hili lingependelea kurejeshwa kwa vikwazo kuliko kutii matakwa "yasiyokubalika" ya Marekani ya kukabidhi akiba yake yote ya urani…
Wapalestina wengine 40 wauawa na Israel katika Ukanda wa Gaza
Kwa akali Wapalestina 40 wameuawa shahidi katika Ukanda wa Gaza tangu alfajiri ya Jumamosi.
Watu 100 wahofiwa kuaga dunia kwa kufukiwa mgodini Nigeria
Takribani watu 100 wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na vifusi vya mgodi wa dhahabu katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Indoneasia yasisitiza kufungamana na malengo matukufu ya Palestina
Serikali ya Indonesia imesisitiza kuwa, inafungana kikamilifu na malengo matukufu ya Palestina.
Zaidi ya raia 100 watekwa nyara Ituri na wanamgambo wa CODECO
Raia zaidi ya 100 wametekwa nyara katika mkoa wa Ituri katika shambulio la wanamgambo wa Codeco. Raia waliotekwa nyara walikuwa wakirejea kutoka soko la Bule.
Kwa nini kuadhibiwa katika uga wa michezo ni hatua muhimu ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni?
Kufuatia kuongezeka mashinikizo ya kimataifa kwa serikali na taasisi za Ulaya ili kutoa jibu kali kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza, Shirikisho la…
Jumapili, Septemba 28, 2025
Leo ni Jumapili tarehe 5 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1447 Hiijria mwafaka na tarehe 28 Septemba 2025 Miladia.
Matangazo ya Jioni- 28.09.2025
Hamas yapoteza mawasiliano na mateka wawili kutokana na mashambulizi ya Israel +++ Mataifa ya Magharibi yasema Iran kurejeshewa vikwazo si mwisho wa diplomasia +++ Starmer aonya chama cha Labour Uingereza…
Mtangazo ya Mchana- 28.09.2025
Iran yalaani hatua ya kurejeshewa vikwazo na Umoja wa mataifa +++ Vifaru vyazidi kuingia ndani ya vitongoji vya Gaza, wengi wakwama +++ Moldova yachagua bunge jipya katika mtihani wa mwelekeo…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 28, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Pacôme na Andabwile Washinda, Yanga SC Yashinda Jumla ya 5–0″
⚽ Muhtasari wa Mchezo Mechi ya leo, Jumamosi, Septemba 27, 2025, ilimalizika kwa Yanga SC kushinda 2–0 dhidi ya Wiliete SC, na kuifanya jumla ya magoli (agg) kuwa 5–0 baada…
Mashambulizi ya Israel yawaua zaidi ya Wapalestina 50
Shirika la habari la Palestina WAFA limeripoti zaidi ya watu 50 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na Israel tangu Jumamosi Alfajiri wengi wao wanawake na watoto. Watu 27 kati ya hao…
Syria yatoa waranti wa kumkamata Bashar al-Assad
Mamlaka za Syria zimetoa Waranti wa kukamatwa kwa Rais wa zamani Bashar al-Assad. Anakabiliwa na tuhuma za kupanga mauaji, kutesa watu hadi kifo na kufanya uchochezi uliokusudia kuanzisha vita vya…
Iran: Marekani ilitaka tusalimishe Urani tusiwekewe vikwazo
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema Marekani iliitaka nchi yake isalimishe madini yake yote ya urani iliyoyarutubisha ili iepuke kuwekewa vikwazo kwa kipindi cha miezi mitatu.
Droni zisizofahamika zashuhudiwa tena Denmark
Wizara ya ulinzi ya Denmark imesema droni zimeshuhudiwa katika baadhi ya kambi zake za jeshi usiku wa kuamkia Jumamosi. Droni hizo zimeonekana siku chache baada ya droni nyingine tatu zilizoshuhudiwa…
Uchaguzi wa Rais na wabunge wafanyika visiwa vya Ushelisheli
Raia wa Ushelisheli wamepiga kura Jumamosi 27.09.2025 ili kumchagua Rais na wabunge katika uchaguzi mkuu. Rais Wavel Ramkalawan wa chama cha Linyon Demokratik Seselwa anatafuta kuchaguliwa katika mhula wa pili.
Je, kesi ya Machar itazidisha mgogoro Sudan Kusini?
Aliyekuwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na kesi mahakamani kwa mashtaka yanayojumuisha mauaji na uhaini, hali inayochochea hofu ya kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe…
Cuba yataka kuundwa kwa mpangilio mpya wa dunia kwani wa sasa umepitwa na wakati
Katika hotuba yenye msisitizo na maono ya mbali mbele ya wajumbe wanaoshiriki Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje…
Mashambulizi ya Israel yawaua zaidi ya Wapalestina 30 Gaza
Zaidi ya watu 30 wameuawa Ukanda wa Gaza usiku wa kuamkia Jumamosi kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel. Kulingana na watoa huduma za afya miongoni mwa waliouawa ni watu…
Ukraine yaishambulia miundombinu ya mafuta ya Urusi
Urusi imesema droni za Ukraine zimeishambulia miundombinu ya mafuta katika mkoa wake wa Chuvashia. Gavana Oleg Nikolaev amesema mashambulizi hayo yamesababisha mitambo ya mafuta kwenye kituo kilicholengwa kusimama.
Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?
Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi…
Iran yawaita mabalozi wake wa Ujerumani, Ufaransa, Uingereza
Iran imewarejesha nyumbani mabalozi wake katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ili kufanya mashauriano kuhusu mgogoro wa mchakato wa Umoja wa Mataifa ulioanzishwa na nchi hizo wa kuirejeshea tena…
Ujerumani kuwarejesha Syria waomba hifadhi waliokataliwa
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Alexander Dobrindt amesema serikali nchini humo inataka kufikia makubaliano na Syria mwaka huu, ili kuwarejesha waomba hifadhi ambao maombi yao yalikataliwa.
Mali yadai Algeria inaunga mkono “ugaidi wa kimataifa”
Waziri Mkuu wa Mali Abdoulaye Maiga ameishutumu Algeria mbele ya Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kwa kile alichokiita kuunga mkono "ugaidi wa kimataifa" baada ya kuidungua droni ya jeshi…
SEPAH: Tutaendelea kuunga mkono Muqawama hadi ukombozi wa Quds Tukufu
Katika taarifa yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Jenerali Nilforoshan na Sayyed Hassan Nasrallah, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi SEPAH limesisitiza kuwa litaendelea kuwa pamoja na imara na…
SEPAH: Tutaendelea kuunga mkono Muqawama hadi ukombozi wa Qud Tukufu
Katika taarifa yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Jenerali Nilforoshan na Sayyed Hassan Nasrallah, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi SEPAH limesisitiza kuwa litaendelea kuwa pamoja na imara na…
Hamas: Uongo wa Netanyahu UN ulilenga kuonesha Wapalestina ni mashetani, Muqawama utaendelea
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemlaani Benjamin Netanyahu na hotuba yake iliyojaa uongo kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, lengo la uongozo huo…
Shehena muhimu zaidi ya satelaiti ya Iran ya Nahid-2 yafanyiwa majaribio
Shehena kuu wa setilaiti ya Nahid-2 ya Iran, ambayo ilizinduliwa mwezi Agosti, kwa sasa inafanyiwa majaribio katika obiti. Shehena hiyo ina jukumu muhimu katika kuanzisha mawasiliano ya satelaiti.
Larijani: Utawala wa Kizayuni hauna huruma na nchi yoyote
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran ambaye amewasili Beirut kuhudhuria kikao cha Baraza la Kumbukumbu za Mashahidi wa Muqawama wa Hizbullah amesema kwamba, utawala wa Kizayuni…
Rais wa Madagascar alaani uporaji, atoa mwito wa utulivu
Rais Andry Rajoelina wa Madagascar amelaani matukio ya vurugu yaliyotokea hasa katika mji mkuu Antananarivo na kuwataka wananchi wote wa Madagascar kuwa watulivu.
Rais wa Afrika Kusini ataka kushughulikiwa changamoto za kiuchumi duniani
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa mwito kwa taasisi za kimataifa kufanya mageuzi ya maana ambayo yatashughulikia changamoto zinazoukabili uchumi wa dunia.
Bado Watatu – 42
Alikwenda mbele ya kaburi hilo akachutama na kusoma kibao kilichowekwa mbele ya kaburi hilo ambacho kilikuwa na jina la marehemu. “Ndiyo hili hili. Jina lake limeandikwa hapa. Thomas Christopher,” akaniambia.
Bado Watatu – 41
Afisa upelelezi aliponiuliza hivyo, tulicheka sote. “Ni kama hivyo, lakini huyu mtu inaonekana yupo, kwa sababu alama ya dole anayoiweka katika karatasi anazoziacha kwa marehemu ni yake.” “Kweli, huo ni…
Marekani yafuta visa ya Rais wa Colombia kwa kauli yake katika maandamano ya kuunga mkono Palestina
Katika hatua inayoonekana kama kuunga mkono wazi wazi mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza, Marekani imetangaza kuwa itafuta visa ya Rais wa Colombia, Gustavo Petro, kutokana na kauli aliyotoa…