Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 27, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
🟡 Player Ratings: Nani Aliibuka na Nani Alianguka Katika Mechi Yanga 3‑0 Wiliete?…NI MAJARIBIO TU NDUGU MSOMAJI
🟡 YANGA SC – Player Ratings (0–10) Mchezaji Nafasi Rating Sababu Djigui Diarra GK 8.5 Alifanya kuokoa kwa ubora, hakuruhusu goli lolote. Shomari Kapombe RB 7.5 Alisaidia mashambulizi na kulinda…
💪 Ugenini na Ushindi: Yanga SC Wanaonyesha Uwezo wa Kimataifa, Wiliete SC Wapoteza…NI MAJARIBIO TU SI HALISI
🏆 CAF Champions League – Raundi ya Kwanza (Mchezo wa Kwanza) 📍 Uwanja: Estádio Nacional de Ombaka, Benguela – Angola📅 Tarehe: 20 Septemba 2025⚽ Matokeo: Wiliete SC 0 – 3…
💪 Uwanja wa Benjamin Mkapa Kuwaka Moto! Yanga vs Wiliete – Ni Vita ya Mwisho!
🧠 Changamoto, Mikakati & Mvuto wa Mchezo 1. Makala ya awali / mechi ya kwanza 2. Mbinu za kushambulia na kujilinda 3. Ulinganishaji wa viungo & ubora wa kikosi 4.…
Hapa chini ni utabiri wa mechi kati ya Yanga SC 🇹🇿 na Wiliete SC 🇦🇴 kwa Kiswahili 👇🏽
⚽ Hali ya Timu kwa Sasa 🔍 Mambo ya Kuzingatia 🧠 Utabiri wa Mechi Kwa hali ilivyo sasa, Yanga SC wana nafasi kubwa ya kushinda tena. 📊 Asilimia za Matokeo…
Netanyahu awashtumu waliolitambua taifa la Palestina
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, leo ameyashtumu vikali mataifa ya Magharibi kwa kulitambua taifa la Palestina.
Belarus yapendekeza kujenga kiwanda kipya cha nyuklia
Belarus imewasilisha leo pendekezo la kujenga kiwanda cha pili cha nyuklia chenye uwezo wa kusambaza nishati kwa maeneo ya Ukraine yanayokaliwa na Urusi.
Netanyahu ahutubia UNGA, ayashutumu mataifa ya magharibi
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo kwamba Israel ni "lazima imalize kazi yake" iliyoianza ya kulitokomeza kundi la Hamas huko Ukanda…
Umoja wa Mataifa waongeza makampuni 68 kwenye orodha nyeusi
UN yaongeza takriban makampuni 70 zaidi kwenye orodha nyeusi ya makampuni kutoka nchi 11 inayodai yanashiriki kukiuka haki za binadamu za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi kupitia uhusiano wa kibiashara.
Interpol yawakamata washukiwa 260 wa utapeli mitandaoni
Polisi ya kimataifa, Interpol, imesema leo kuwa msako unaoratibiwa na shirika hilo dhidi ya uhalifu wa mtandaoni, umesababisha kukamatwa kwa washukiwa 260 katika nchi 14 za Afrika.
UN yazishutumu kampuni 158 kwa uhalifu Palestina
Zaidi ya kampuni 150 za ndani na nje ya Israel zimeshutumiwa na Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya Umoja wa Mataifa kwa kuhusika na kile unachosema Umoja huo kuwa ni…
Viongoni wa dunia wataka vita kukomeshwa Sudan
Katika mkutano wa kila mwaka wa viongozi wa dunia kwenye Umoja wa Mataifa, nchi kuu na mashirika ya kikanda yamekuwa yakiratibu juhudi za kumaliza vita walivyovitaja kama vya kutisha nchini…
Watoto wako katika hatari ya kupoteza maisha Sudan Kusini
Ripoti ya hivi karibuni inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa watoto wako katika hatari ya kufa Sudan Kusini, kutokana na baa la njaa linalochochewa na hatua ya kupunguzwa…
Qatar yasema inajitolea kuhakikisha amani inarejea nchini DRC
Nchi ya Qatar, imetangaza kujitolea kwake kuhakikisha amani inarejea mashariki mwa DRC, na kanda nzima ya nchi za maziwa makuu. Imechapishwa: 26/09/2025 – 16:33Imehaririwa: 26/09/2025 – 16:37 Dakika 1 Wakati…
Madagascar: Jiji kuu lasalia mahame baada ya maandamano ya Alhamisi
Jiji kuu la Madagascar, Antananarivo, limesalia mahame baada ya maandamano makubwa ya Alhamisi ya wiki hii yaliyoshuhudia vurugu, ambapo raia walijitokeza barabarani kupinga mgao wa umeme wa mara kwa mara…
UN yaonya kuwa Sudan Kusini inaelekea pabaya
Mkuu wa tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, ameonya kuwa nchi ya Sudan Kusini inaelekea kutumbukia katika machafuko mapya, wakati huu watu Zaidi ya elfu 2 wakiripotiwa…
Juhudi za kupata suluhu ya mzozo wa Sudan zinaendelea New York
Wakati huu kikao cha umoja wa Mataifa kikiendelea jijini New York, Marekani, nyuma ya pazia juhudi za kumaliza vita ya Sudan zimeshika kasi, wakati huu mzozo wa nchi hiyo ukisababisha…
Uchaguzi wa kwanza Syria baada ya utawala wa kidikteta
Syria inajiandaa kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa bunge baada ya kuangushwa utawala wa kidikteta wa zaidi ya miongo minne na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Mabadiliko ya tabianchi yachangia tabia za mbu
Utafiti wa Taasisi ya Kitaifa ya Utafiti wa Tiba Kenya (KEMRI) kwa ushirikiano na wanasayansi wa kimataifa umebaini kuwa mabadiliko ya tabianchi yamesababisha kubadilika kwa tabia za mbu aina ya…
Je, ni sawa wanaume kutumia majina ya ukoo ya wake zao?
Hivi karibuni Mahakama Kuu ya Afrika Kusini iliandika historia mpya kwa kutoa uamuzi wa kihistoria unaowaruhusu wanaume kutumia jina la ukoo la wake zao, hatua ambayo imeibua mjadala mkubwa barani…
Pretoria yapania kuvunja Recodi ya Dunia ya nyama choma
Mjini Pritoria wakaazi wakiwa wana zana za kuchomea nyama wamejitokeza kuvunja rekodi ya dunia ya japan ya watu 2,220. Lakini zaidi ya shindano hilo kuna ufahari ndani yake- Kwani wengi…
Pezeshkian: Iran iko ‘tayari kabisa’ kwa hali yoyote iwapo mpango wa snapback utatekelezwa
Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa Iran iko tayari kikamilifu kwa hali yoyote endapo nchi za Ulaya zitaendelea na hatua ya kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa kupitia kile kinachoitwa utaratibu…
Rais wa Bolivia: Marekani na Israel ‘zinatekeleza mauaji ya kimbari’ Gaza
Rais wa Bolivia, Luis Arce, amekemea vikali Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kusababisha maumivu na vifo duniani kote na “kutekeleza mauaji ya kimbari” katika Ukanda wa Gaza…
UNRWA: Ndoto ya Wapalestina sasa ni kufa kwa heshima kuliko kuishi katika mateso ya jinai za Israel
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), Philippe Lazzarini, ametoa onyo kali kuhusu hali ya kibinadamu ya Gaza kiasi kwamba Wapalestina wanafadhilisha kufa…
Waziri Mkuu wa Sudan ataka dunia iwatambue waasi RSF kama magaidi
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, siku ya Alhamisi ameitaka jumuiya ya kimataifa na Umoja wa Mataifa kulitambua kundi la waasi la RSF nchini humo kama “kundi la kigaidi.”
Iran yaandaa moja ya maonyesho makubwa ya teknolojia za elektroniki, kompyuta na biashara ya mtandaoni
Jiji la Tehran wiki hii ni mwenyeji wa ELECOMP 2025, maonyesho makubwa na yenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Iran yanayohusu teknolojia za elektroniki, kompyuta, na biashara kwa njia ya mtandao…
Iran yaonya kuhusu kurejea kwa askari wa kigeni Afghanistan
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema vita vya miongo miwili vilivyoendeshwa na Marekani ni chanzo cha migogoro ya sasa ya Afghanistan, huku akionya kuwa kurejea kwa…
Ukraine yashambulia kiwanda cha kusafisha mafuta Urusi
Ukraine imeendeleza mashambulizi yake ya kimfumo dhidi ya sekta ya mafuta ya Urusi ikilenga kiwanda cha kusafisha mafuta katika eneo la kusini. Haya ni kulingana na mamlaka ya Urusi.
Mashambulizi ya Israel yawauwa watu tisa mjini Sanaa
Watu wapatao tisa wameuawa kwenye mashambulizi ya Israeli katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa. Watu wengine zaidi ya 170 wamejeruhiwa kwenye mashambulizi hayo.
Haiti yaomba msaada wa kukabiliana na vurugu za magenge
Mkuu wa baraza la mpito la urais nchini Haiti Laurent Saint-Cyr, ameyaomba mataifa ya dunia kuisaidia nchi yake kukabiliana na kile alichokitaja kuwa vita dhidi ya ghasia za magenge na…
Mali yakatiza ushirikiano wa mapambano ya ugaidi na Ufaransa
Utawala wa kijeshi nchini Mali umetangaza kusitishwa kwa ushirikiano wa kukabiliana na ugaidi na Ufaransa na umewafukuza wafanyakazi watano wa ubalozi wa Ufaransa nchini Mali.
Mataifa ya Ulaya kujadiliana namna ya kukabiliana na droni
Umoja wa Ulaya utafanya mazungumzo ya kwanza yanayolenga kuja na pendekezo la kujenga mfumo wa kuzuia droni. Hii ni baada ya uvamizi wa droni za Urusi kwenye anga za wanachama…
Ulimwengu wazidi kuishinikiza Israel kwa vita vya Gaza
Shinikizo la kimataifa dhidi ya Israel inayoendesha vita vyake vinavyoelezwa na wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuwa mauaji ya kimbari kwenye Ukanda wa Gaza, linazidi kuongezeka.
Kwa nini Israel inahofia maneva ya pamoja ya baharini kati ya Misri na Uturuki?
Kuanza tena meneva ya kijeshi kati ya Uturuki na Misri, sambamba na kupelekewa idadi kubwa ya wanajeshi wa Misri katika Peninsula ya Sinai, kumeutia wasiwasi utawala wa Kizayuni.
Hukumu dhidi ya Sarkozy yaibua mapya kuhusu vita vya Libya
Kuhukumiwa jela kwa miaka mitano rais wa zamani wa Ufaransa Nicholas Sarkozy, baada ya siku ya Alhamisi, kupatikana na kosa la kuwatumia wake wa karibu, kupata ufadhili wa kifedha kwa…
Marekani na washirika wake zaendelea kuiga kutengeneza droni maarufu ya Iran
Nchi kadhaa duniani zikiongozwa na Marekani zinapigana vikumbo katika kuiga na kutengeneza nakala za ndege isiyo na rubani ya Shahed ya Iran, ambayo si ghali lakini yenye ufanisi na usahihi…
Malawi yapongezwa kimataifa kwa kuendesha uchaguzi huru na wa haki
Tume ya Uchaguzi ya Malawi (MEC) na waangalizi wa kikanda na kimataifa wamesifu uchaguzi wa rais wa Septemba 16 nchini humo na kusema kuwa ulikuwa huru na wa haki.
Israel: Tulishindwa kwa fedheha katika shambulio letu la nchini Qatar
Duru rasmi za utawala wa Kizayuni wa Israel zimemnukuu mmoja wa maafisa wake wa kijeshi walioendesha operesheni ya kigaidi ya kuishambulia Doha, mji mkuu wa Qatar akikiri kwamba, Tel Aviv…
Jeshi la Algeria laua wanamgambo 6 katika operesheni ya kukabiliana na ugaidi
Jeshi la Algeria limeua magaidi sita wakati wa operesheni ya kukabiliana na ugaidi wiki hii katika mkoa wa Tebessa, yapata kilomita 700 mashariki mwa mji mkuuu, Algiers.
Hamas: Muqawama utaendelea kuwepo maadamu ardhi za Palestina hazijakombolewa
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina imetoa taarifa mpya na kusema kuwa, Muqawama utaendelea kuwepo madamu ardhi za Palestina zinaendelea kukaliwa kwa mabvu na Wazayuni na imelaani vikali matamshi…
Korea Kaskazini ina karibu tani mbili za Uranium Iliyorutubishwa, Seoul yabainisha
Kulingana na serikali ya Korea Kusini, Pyongyang ina uranium iliyorutubishwa ya kutosha kutengeneza mabomu mengi ya atomiki. Seoul ambayo imenukuu wataalamu, imebaini siku ya Alhamisi, Septemba 25, kwamba serikali ya…
Madagascar yatangaza amri ya kutotoka nje usiku kufuatia maandamano makali
Serikali ya Madagascar, kisiwa kilicho katika Bahari ya Hindi, siku ya Alhamisi kimetangaza marufuku ya kutotoka nje usiku kufuatia maandamano makali. Polisi walitumia risasi za mpira na mabomu ya machozi…
Baraza la Usalama kupiga kura kuhusu vikwazo dhidi ya Iran
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litapiga kura leo Ijumaa asubuhi juu ya azimio la kuchelewesha kurejeshwa kwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran, inayoshutumiwa na Ufaransa, Ujerumani na…
Mkurugenzi wa zamani wa FBI James Comey afunguliwa mashtaka mawili
Mahakama kuu ya shirikisho huko Virginia imemfungulia mashtaka Mkurugenzi wa zamani wa FBI James Comey kwa mashtaka mawili yanayohusiana na ushahidi wake kwa Congress. Imechapishwa: 26/09/2025 – 06:08 Dakika 1…
Trump atangaza ushuru mpya unaozilenga kampuni za dawa
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza ushuru mpya utakaoanza Oktoba 1, kwa kampuni za dawa, malori makubwa, vifaa vya ukarabati wa majumbani na samani.
Mkurugenzi wa zamani wa FBI James Comey ashitakiwa
Mkurugenzi wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani FBI na mkosoaji maarufu wa Donald Trump James Comey, amefunguliwa mashtaka kwa makosa mawili ya jinai.
Baraza la Usalama kupiga kura azimio la vikwazo vya Iran
Urusi na China zimeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuipigia kura rasimu ya azimio la kuchelewesha kwa miezi sita vikwazo dhidi ya Iran.
Trump asema hatoruhusu Israel kunyakua Ukingo wa Magharibi
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa hatoruhusu mshirika wake wa karibu Israel kuunyakua Ukingo wa Magharibi.
Madagascar yatangaza marufuku ya kutoka nje usiku
Serikali nchini Madagascar imetangaza marufuku ya kutoka nje usiku kufuatia maandamano yaliyoshuhudia polisi wakitumia risasi za mpira na gesi ya kutowa machozi.
Lammy: Mgogoro wa Gaza umekuwa wa kikatili na haukubaliki
Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza na waziri wa mambo ya nje David Lammy ameutaja mzozo unaoendelea Ukanda wa Gaza kuwa wa kikatili na usiokubalika kabisa.