Ripoti: Theluthi moja ya watoto wa Gaza hawali chakula kila siku
Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa, theluthi moja ya watoto huko Gaza hawapati chakula cha kutosha cha kula kwa siku.
Uganda: Kampeni ya uchaguzi wa urais kufunguliwa kama mwaka 2021
Nchini Uganda, kampeni za urais za Januari 12, 2026, zinaanza leo Jumatatu, Septemba 29. Rais wa sasa Yoweri Museveni, 81, anawania muhula wa saba baada ya takriban miaka arobaini madarakani.…
Uchaguzi wa urais Côte d’Ivoire: Simone Ehivet, mke wa rais wa zamani kwenye mstari wa kuanza
Miaka minane baada ya kuachiliwa kutoka gerezani na miaka mitatu baada ya kupata talaka yake kutoka kwa Laurent Gbagbo, Simone Ehivet sasa analenga kuchukua wadhifa wa juu zaidi nchini Côte…
Watu 95 wafariki dunia kwa njaa na magonjwa Sudan
Watu 95 wamefariki dunia kutokana na njaa pamoja na magonjwa katika kipindi cha siku 40 zilizopita kwenye kambi ya wakimbizi ya Abu Shouk huko El Fasher nchini Sudan. Hayo yameelezwa…
Tanzania: Mwezi mmoja kabla ya uchaguzi wa urais, upinzani unaangazia Zanzibar
Mwezi mmoja kabla ya uchaguzi wa rais, upinzani unashutumu demokrasia ya ngazi mbili. Kikiwa kimekataliwa mara mbili katika kinyang’anyiro cha urais, ACT-Wazalendo, chama cha tatu kwa ukubwa nchini humo, sasa…
Msumbiji: Karibu Euro milioni 6 za kufadhili ugaidi zagunduliwa
Wiki iliyopita, Shirika la Habari za Kifedha la Msumbiji (GIFim) lilitoa ripoti ya inayotaja mitandao ya ufadhili wa kigaidi kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024. Kwa miaka minane, eneo la…
Marekani: Takriban watu wanne wameuawa katika shambulizi dhidi ya kanisa la Mormon huko Michigan
Takriban watu wanne wameuawa siku ya Jumapili, Septemba 28, na mtu aliyefyatua risasi wakati wa ibada katika kanisa la Mormon huko Michigan, kaskazini mwa Marekani, kulingana na idadi mpya ya…
Netanyahu kukutana na Trump huku Israel ikikabiliwa na ukosoaji kutokana na vita vya Gaza
Waziri Mkuu wa Israel anatarajia kukutana leo Jumatatu na mwenzake wa Marekani Donald Trump kuhusu vitra vya Gaza, baada ya kuelemewa na ukosoaji kutoka nje ya nchi kutokana na vita…
Cameroon: Paul Biya hakuonekana wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikianza
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu ziking’oa nanga mwishoni mwa juma lililopita nchini Cameroon, kiongozi mkongwe wa taifa hilo Paul Biya anayewania kuchaguliwa kwa muhula wa nane hakuonekana. Imechapishwa: 29/09/2025 –…
Watu 95 wafariki kutokana na njaa pamoja na magonjwa Sudan
Watu 95 wamekufa kutokana na njaa pamoja na magonjwa katika kipindi cha siku 40 zilizopita kwenye kambi ya wakimbizi ya Abu Shouk huko El Fasher nchini Sudan, wafanyakazi wa kujitolea…
Netanyahu kukutana na Trump huku ukosoaji ukimuelemea
Rais wa U.S Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza anapokutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, huku Israel ikizidi kuishambulia Gaza City.
DRC: Serikali yasitisha kwa wiki mbili utoaji wa leseni za makanisa
Wizara ya sheria nchini DRC, imetangaza kusitisha kwa muda wa wiki 5, utoaji wa leseni za makanisa, vyeti vya uraia na nyaraka nyingine katika kile imesema ni kujaribu kukabiliana na…
Netanyahu kukutana na Trump huku mbinyo ukiongezeka
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutetea hoja yake ya "kumaliza kazi" aliyoanza kwenye Ukanda wa Gaza wakati atakapokutana na Rais Donald Trump wa Marekani siku ya Jumatatu.
Rais Pezeshkian apinga makubaliano yatakayowaingiza matatani
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema kamwe hawataingia makubaliano yoyote yanayoweza kusababisha "matatizo mapya" wakati taifa hilo likirejeshewa vikwazo vya Umoja wa Mataifa.
Chama tawala cha Moldova chaongoza uchaguzi wa bunge
Chama tawala cha Moldova na kinachounga mkono Umoja wa Ulaya kinaongoza kwenye uchaguzi wa bunge hii ikiwa ni kulingana na kura ambazo tayari zimehesabiwa hadi mapema siku ya Jumatatu.
Peskov: Ukraine haionyeshi nia ya kurejea kwenye mazungumzo
Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema Kyiv haijawahi kuonyesha nia ya kurejea kwenye mazungumzo kati ya Urusi na wajumbe wa taifa hilo.
Iran: Wanachama wa UN hawana wajibu wa kuheshimu maazimio batili dhidi ya Tehran
Iran imesema madai yaliyotolewa na Marekani na nchi za Ulaya kuhalalisha kurejeshwa kwa maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi hii hayaziwajibishi nchi wanachama wa…
Hasira za walimwengu zairipukia Israel mauaji yake ya kimbari Ghaza
Katika siku za hivi karibuni wimbi la maandamano makubwa ya kote duniani limeongezeka sana huku makumi ya maelfu ya watu wakimiminika mitaani katika miji mbalimbali ikiwemo Liverpool, Cape Town na…
Mpango wa Trump wa eti kumaliza vita vya Ghaza, kuwasilishwa kwa Misri
Balozi wa Marekani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni anatarajiwa kuelekea Cairo mji mkuu wa Misri hivi karibuni ili kuwasilisha mpango wa rais wa Marekani wa eti…
Hamas: Hatujapokea mapendekezo yoyote mapya kutoka kwa wapatanishi
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, haijapokea mapendekezo yoyote mapya kutoka kwa wapatanishi na iko tayari kuzingatia mapendekezo yatakayotolewa kama yatakuwa na maana ya kuzingatiwa na…
Jeshi la Sudan latangaza kupata ushindi mkubwa, RSF wakanusha
Jeshi la Sudan (SAF) limetangazaa kuwa limepata ushindi mkubwa katika mapambano yake na wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika eneo la Kordofan, huko Magharibi mwa Sudan. Hata…
Vipi Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limefikia natija ya kufanyika mauaji ya kimbari huko Gaza
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetangaza hatua za Israel huko Gaza kuwa ni mfano wa kisheria wa "mauaji ya halaiki."
Jumatatu, 29 Septemba, 2025
Leo ni Jumamosi tarehe 6 Rabiul-Thani mwaka 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 7 mwezi Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe 29 Septemba 2025 Miladia.
29.09.2025
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza atakapokutana baadae leo na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu+++Serikali ya Tanzania inatuhumiwa na shirika la…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 29, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Hamas yapoteza mawasiliano na mateka kufuatia mashambulizi
Kitengo cha kijeshi cha Hamas kimesema leo kuwa kimepoteza mawasiliano na mateka wawili, Matan Angrest na Omri Miran, wakati wa operesheni kali za Israel katika vitongoji viwili vya Gaza City.
Magharibi: Iran kurejeshewa vikwazo si mwisho wa diplomasia
Umoja wa Mataifa umeirejeshea Iran vikwazo na marufuku ya silaha kuhusiana na mpango wake wa nyuklia, hatua iliyochochewa na Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, ambazo zinasema Tehran imekiuka makubaliano ya mwaka…
Starmer aonya chama cha Labour UK kinapigania maisha yake
Chama tawala cha Labour nchini Uingereza kimeanza mkutano wake wa mwaka, huku Waziri Mkuu Keir Starmer akiwashawishi wabunge anaweza kuongoza kile alichokiita “mapambano ya maisha yetu” dhidi ya chama Reform…
Mkanyagano wa maelfu ya watu India wasababisha vifo 40
Watu 40 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 120 wamejeruhia baada ya msongamano kutokea katika mkutano wa kisiasa wa nyota wa filamu na mwanansia maarufu Vijay katika jimbo la Tamil…
Trump aashiria “mpango maalum” kuhusu Mashariki ya Kati
Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria uwezekano wa makubaliano ya kihistoria Mashariki ya Kati, siku moja kabla ya mkutano wake na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, huku shinikizo la…
Ujerumani yakosolewa kwa mpango wa mazungumzo na Taliban
Serikali ya Ujerumani imetangaza mipango ya kuanza mazungumzo na Taliban kuhusu urejeaji wa raia wa Afghanistan, hatua iliyokosolewa vikali na upinzani ukisema inaleta uhalali kwa kundi hilo lililotengwa kimataifa.
Vifaru vya Israel vyaingia zaidi Gaza, vifo vyazidi 66,000
Vifaru vya Israel vimeingia ndani ya Gaza City huku watu takribani 79 wakiripotiwa kuuawa katika muda wa saa 24 na mamlaka za afya zikiripoti idadi ya waliouawa katika mzozo huo…
Watumiaji wa X: Hamas inawakilisha watu wa Palestina
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameitaja harakati ya muqawama wa Palestina "Hamas" mwakilishi wa watu wa Palestina wanaotetea taifa lao.
Uganda yazilaani nchi za Magharibi kwa kulitumia Baraza la Usalama kama wenzo wa kuishinikiza Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amelaani kitendo cha nchi za Magharibi kulitumia vibaya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kuishinikiza Iran, baada ya baraza…
Ufuska Ujerumani: Maambukizi ya magonjwa ya zinaa yaongezeka kwa 460%
Mambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) yanaonekana kuongezeka kwa kiwango cha kuogofya nchini Ujerumani.
Makombora ya Urusi na mkururo wa droni vyaua wanne Kyiv
Urusi imerusha mamia ya makombora na droni dhidi ya Ukraine usiku kucha Jumapili, na kuua takribani watu wanne akiwemo msichana wa miaka 12 mjini Kyiv, huku majeruhi wakipindukia 40 katika…
Hatuamini kwenye kukata tamaa: Naibu Katibu Mkuu aeleza hadhara New York
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed, amewashukuru watu waliohudhuria tamasha la Global Citizen jijini New York, Marekani siku ya Jumamosi kwa kutumia sauti zao kudai haki…
Spika Qalibaf: Snapback ni batili, Iran itajibu mapigo
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Baqer Qalibaf amepinga uamilishaji wa utaratibu wa snapback wa kurejeshewa Iran vikwazo, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kinyume cha…
Kwa nini Iran inaona utaratibu wa snapback kuwa hauna uhalali wa kisheria
Seyyed Abbas Araghchi Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika barua yake kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwamba: Hatua ya Marekani na…
Kamanda wa Iran: Uchokozi wowote dhidi yetu utajibiwa haraka
Kamanda Mkuu wa Jeshi wa Iran, Meja Jenerali Amir Hatami amesisitiza kuwa, taifa hili limejiweka sawa na tayari kutoa jibu zito na la haraka dhidi ya vitisho na vitendo vyovyote…
Safavi: Marubani zaidi ya 16 wa Israel waliuawa katika vita vya siku 12
Mshauri mkuu wa masuala ya kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, zaidi ya marubani 16 wa Israel waliangamizwa katika vita vya siku…
Uchaguzi wa rais wa Ushelisheli waingia duru ya pili
Tume ya Uchaguzi ya Ushelisheli imetangaza leo Jumapili kwamba, uchaguzi wa rrais uliofanyika hivi karibuni utaingia duru ya pili, kwani hakuna mgombea aliyepata zaidi ya asilimia 50 ya kura katika…
Iran yalaani urejeshwaji “usio haki” wa vikwazo vya UN
Iran imelaani urejeshwaji "usio halali" wa vikwazo vya Umoja wa Mataifa kuhusiana na mpango wake wa nyuklia, baada ya kuvunjika kwa mazungumzo na mataifa ya magharibi na mashambulizi ya Israel…
Iran yalaani hatua ya kurejeshewa vikwazo na UN
Iran imelaani vikali hatua ya kurejeshewa vikwazo na Umoja wa mataifa kuhusiana na mpango wake wa nyuklia, baada ya mazungumzo na mataifa ya magharibi kutofanikiwa pamoja na Israel na Marekani…
Vifaru vyazidi kuingia ndani ya vitongoji vya mji wa Gaza
Magari ya kijeshi ya Israel yameendelea kuingia ndani ya vitongoji vya Gaza City, yakilenga maeneo ya Sabra, Tel Al-Hawa, na Al-Naser.
Ukraine: Urusi yashambulia kwa mamia ya droni usiku kucha
Ukraine imesema Urusi imefanya mashambulizi makubwa kwa kutumia mamia ya droni na makombora na kuuwa takriban watu wanne katika mji mkuu Kyiv pekee, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa.
Moldova yachagua Wabunge katika mtihani wa mwelekeo wa EU
Raia wa Moldova wanapiga kura hii leo katika uchaguzi wa bunge muhimu unaoweza kuamua iwapo taifa hilo litaendelea na mwelekeo wake wa kujiunga na Umoja wa Ulaya chini ya Rais…
Ujerumani: Tutafanya mazungumzo na Taliban kuhusu wahamiaji
Serikali ya Ujerumani inapanga kuanza mazungumzo ya moja kwa moja na mamlaka ya Taliban mjini Kabul kuhusu uhamishaji wa raia wa Afghanistan wenye rekodi ya uhalifu kutoka Ujerumani.
Ujerumani: Tutafanya mazungumzo na Taliban kuhusu wahamijai
Serikali ya Ujerumani inapanga kuanza mazungumzo ya moja kwa moja na mamlaka ya Taliban mjini Kabul kuhusu uhamishaji wa raia wa Afghanistan wenye rekodi ya uhalifu kutoka Ujerumani.
Kenya: Mustakabali wa Elimu Kupitia Uwezo wa Kidijitali na AI
Kenya imepiga hatua kubwa katika kupanua maandalizi ya kidijitali. Kufikia mwaka 2023, asilimia 82 ya shule za msingi za umma zilikuwa zimeunganishwa na umeme kupitia gridi ya taifa, na asilimia…