Polisi 3 wauawa na 7 watekwa nyara katika hujuma ya wanamgambo wenye silaha Nigeria
Maafisa watatu wa polisi wameuawa na wengine saba kutekwa nyara jana Jumapili katika shambulio la wanamgambo wenye silaha katika Jimbo la Benue nchini Nigeria.
Maandamano makubwa ya kuunga mkono Palestina yawavutia maelfu jijini Nairobi
Maelfu ya Wakenya, wakiwemo Waislamu na Wakristo kwa pamoja wamejitokeza kwa wingi jijini Nairobi kushiriki maandamano na tamasha la mshikamano wa kuunga mkono Palestina, yaliyoandaliwa na kikundi cha 'Kenyans for…
Iran yalaani shambulizi la waasi dhidi ya Msikiti nchini Sudan
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali shambulizi la droni lililotokea hivi karibuni katika msikiti wa Al-Fashir, Sudan, ambalo limesababisha vifo na majeruhi kwa makumi ya waumini wa…
Hamas yaitaka jamii ya kimataifa na Umoja wa Mataifa kuitenga Israel
Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina, Hamas, imekaribisha hatua ya kutambuliwa kwa taifa la Palestina na mataifa ya Uingereza, Australia na Kanada, ikieleza kuwa ni hatua muhimu katika…
Rais wa Iran atoa wito kwa China kutekeleza kwa vitendo mpango wa utawala wa kimataifa
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa Iran inatarajia China kuchukua hatua madhubuti kutekeleza mpango ilioupendekesza kuhusu utawala wa kimataifa, ili kuimarisha ushirikiano wa pande nyingi…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza wanamieleka wa Iran kwa kutwaa ubingwa wa dunia
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ameipongeza kwa dhati timu ya mieleka ya mtindo wa Greco-Roman ya Iran kwa kutwaa taji la ubingwa wa dunia katika…
Jeshi la Somalia laua magaidi wanne wa al-Shabaab
Jeshi la taifa la Somalia, kwa kushirikiana na washirika wa kimataifa, limeendesha operesheni iliyopangwa kwa umakini na kuwaua angalau wapiganaji wanne wa kundi la kigaidi la al-Shabaab, kwa mujibu wa…
‘Haitatokea’: Benjamin Netanyahu awajibu viongozi wanaotambua taifa la Palestina
Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu amebainisha siku ya Jumapili, Septemba 21, kwamba hakutakuwa na taifa la Palestina, katika video iliyoelekezwa kwa viongozi wa Magharibi ambao wamelitambua taifa al Palestina…
Palestina, nchi ambayo tayari inatambuliwa na nchi 52 kati ya 54 za bara la Afrika
Wakati Uingereza, Australia, na Canada zimelitambua rasmi Taifa la Palestina siku ya Jumapili, na nchi nyingine za Magharibi, ikiwa ni pamoja na Ufaransa, zitafanya hivyo Septemba 22, nchi 52 kati…
Nicolas Maduro akanusha tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya, amwalika Trump kwa mazungumzo
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amekanusha katika barua aliyomwandikia mwenzake wa Marekani Donald Trump tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya dhidi yake, akimtaka mwenzake “kulinda amani kupitia mazungumzo” huku…
Jong-un kufanya mazungumzo na Marekani kwa sharti la kutozungumzia mpango wake wa nyuklia
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema yuko tayari kuanza tena mawasiliano na Marekani iwapo Washington itaondoa matakwa yake ya kutaka Pyongyang kuachana na mpango wake wa silaha za…
Washington yashutumu utambuzi wa taifa la Palestina kwa baadhi ya nchi
Marekani, mshirika wa karibu wa Israel, imekosoa siku ya Jumapili, Septemba 21, kutambuliwa kwa taifa la Palestina na msururu wa nchi kama “kujionyesha,” ikisema “inaweka kipaumbele kwa diplomasia ya kweli”…
Utambuzi wa Gaza na taifa la Palestina kutawala Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Saudi Arabia na Ufaransa zinatarajia kuongoza mkutano wa kilele wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, unaoanza Jumatatu na utaangazia suluhu la mataifa mawili katika mzozo wa Israel na Palestina.…
Umoja wa Mataifa kujadili suluhisho la mataifa mawili
Ufaransa na Saudi Arabia zitaongoza mkutano wa kilele wa wakuu wa nchi na serikali katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kujaribu kufufua matumaini ya suluhisho la mataifa mawili katika…
Sudan Kusini: Kesi ya Riek Machar kuanza kusikilizwa Juba
Riek Machar atafikishwa mahakamani leo Jumatatu, Septemba 22, pamoja na washtakiwa wenzake saba, wanachama wa chama chake cha upinzani, SPLM-IO, akiwemo Waziri wa Mafuta, Puot Kang, ambaye pia alisimamishwa kazi.…
Ufaransa na Saudi Arabia kuongoza mkutano wa kilele wa UNGA
Ufaransa na Saudi Arabia zitaongoza mkutano wa kilele wa wakuu wa nchi na serikali katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kujaribu kufufua matumaini ya suluhisho la mataifa mawili ambayo…
DRC: Wabunge kupiga kura kuamua hatima ya Vital Kamerhe
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wabunge baadaye leo Jumatatu wanatarajiwa kupiga kura, kuamua hatima ya Spika Vital Kamerhe, baada ya siku kadhaa za vikao ambavyo vimekuwa vikifanyika kujadili utendakazi…
Jeshi la Israel lapeleka divisheni ya 36 Gaza
Jeshi la Israel, IDF limepeleka divisheni yake ya 36 Gaza City, ambayo ni ya tatu, kama sehemu ya mashambulizi yake ya ardhini dhidi ya wanamgambo wa Hamas.
Raia wa Guinea wasubiri matokeo ya kura ya maoni kuhusu katiba mpya
Raia wa Guinea wanasubiri matokeo ya kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba mpya, iliyopigiwa kura Jumapili ya wiki iliopita.
Estonia: Umoja wa Mataifa kujadili uchokozi wa Urusi
Estonia imesema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura kujadili ukiukaji wa usalama wa anga yake uliofanywa na ndege za kivita za Urusi.
Malawi: Chama tawala chadai kulikuwepo na wizi wa kura
Nchini Malawi, Chama tawala cha Rais Lazarus Chakwera kinadai kuwa kulikuwa na wizi wa kura katika uchaguzi wa wiki iliyopita huku chama hicho kikidai kuwa na ushaihidi wa kutosha wa…
Msalaba Mwekundu kujadili ukiukwaji wa sheria za kimataifa
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu, ICRC imesema itaandaa mkutano wa kimataifa wa ngazi ya juu mwaka ujao, kujadili ukiukaji wa sheria za kimataifa katika vita.
Chama tawala Malawi chalalamikia wizi wa kura
Chama tawala Malawi cha Rais Lazarus Chakwera cha Malawi Congress, MCP, kimedai kina ushahidi wa wizi wa kura, wakati ambapo matokeo ya awali yanaashiria kuwa kinashindwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika…
Jumatatu 22 Septemba
Leo ni Jumatatu 29 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1447 Hijria Qamaria, mwafaka na tarehe 31 Shahrivar 1404 Hijria Shamsia mwafaaka na tarehe 22 Septemba 2024 Miladia.
Iran na Pakistan zaja na mkakati wa pamoja wa ustawi wa kiuchumi
Kamisheni ya 22 ya Pamoja ya Uchumi (JEC) kati ya Iran na Pakistan, iliyofanya kikao chake hapa mjini Tehran imetilia mkazo suala la kurejeshwa mkakati wa kiuchumi kati ya nchi…
EU yagawanyika juu ya kifurushi cha vikwazo dhidi ya Russia
NATO imepeleka ndege tatu za kivita za Ufaransa huko Poland Mashariki kwa kile kilichotajwa kuwa ni sehemu ya kukabiliana na Russia. Wachambuzi wengi wanasema kuwa, ni vitendo kama hivyo vya…
Takriban magaidi 34 wauawa katika operesheni za kijeshi za Niger
Jeshi la Niger limetangaza kuwa, Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya nchi hiyo vimeangamiza magaidi wasiopungua 34 wakati wa operesheni mbili zilizofanywa wiki iliyopita katika mikoa ya magharibi ya Dosso…
Baada ya kuachiliwa huru kwa huruma za HAMAS, gaidi Mmarekani ajigamba atarejea Ghaza kufanya mauaji zaidi
Mateka wa zamani wa Israel raia wa Marekani ambaye HAMAS ilimuonea huruma na kumwachilia huru, amethibitisha kivitendo kuwa "Fadhila za punda ni mateke." Ametangaza kuwa anajiandaa kurejea Ghaza kwa sare…
Afghanistan: Kambi ya Jeshi la Anga ya Bagram si kitu cha kujadiliwa
Mkuu wa Majeshi ya kundi la Taliban nchini Afghanistan amesema: "Hatukubali mashinikizo ya Rais wa Marekani kuhusu kuutwaa tena Uwanja wa Ndege wa Bagram (ambao ulikuwa umegeuzwa kuwa kituo muhimu…
Wanawake wajasiriamali wa baharini Zanzibar
Najjat Omar22.09.202522 Septemba 2025 Utafiti wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Tanzania ulibaini kuwa wanawake huchangia zaidi ya asilimia 78 ya kazi za usindikaji wa samaki, uvuvi mdogomdogo, kutembeza watalii…
Teknolojia ya usalama ya kulinda mifugo dhidi ya wizi
Wakio Mbogho (HON) / MMT22.09.202522 Septemba 2025 Kufuatia eneo la Kaskazini mwa Kenya kukumbwa na matukio ya mara kwa mara ya wizi wa mifugo, wanafunzi wa eneo hilo wamebuni mfumo…
22.09.2025
DIRA.BZ22.09.202522 Septemba 2025 Kikao cha viongozi wa ngazi za juu cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa kinafunguwa milango yake leo katika makao makuu ya Umoja wa mataifa mjini New…
Taarifa ya Habari Asubuhi 22.09.2025
Ufaransa na Saudi Arabia kuongoza mkutano wa kilele wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kujaribu kufufua matumaini ya suluhisho la mataifa mawili//Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya…
22.09.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
22.09.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Baadhi ya mataifa yamepanga kuitambua Palestina kama nchi huru katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utakaofanyika jijini New York / Mahakama Kuu…
Uingereza, Australia na Canada zalitambua taifa la Palestina
Uingereza, Australia na Canada zimetangaza hii leo kulitambua rasmi taifa la Palestina katika mabadiliko makubwa ya miongo kadhaa ya sera za kigeni za nchi za magharibi na kuchochea hasira kutoka…
Mawaziri wa Israel wataka Ukingo wa Magharibi kunyakuliwa
Mawaziri wawili wa Israel walio na siasa kali za mrengo wa kulia wametoa wito wa kunyakuliwa kwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa na Israel kufuatia tangazo la Uingereza, Canada na Australia…
Raia wa Guinea wapiga kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba
Raia nchini Guinea Conakry wamepiga kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa kijeshi, aliyechukua madaraka kwa nguvu miaka minne iliyopita, kuwania kiti cha urais.
Netanyahu asema kuna uwezekano wa amani na Lebanon na Syria
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema vita vya Israel na kundi la wanamgambo wa Hezbollah vimetengeneza uwezekano wa kuwepo kwa amani na nchi jirani za Lebanon na Syria
Wanariadha wawili wa Kenya washinda mbio za Berlin
Kenya imepata ushindi mara mbili katika mbio za 51 za Marathon mjini Berlin kwa upande wa wanaume na wanawake lakini wameshindwa kuvunja rekodi ya dunia.
Chama cha upinzani Uturuki chamchagua tena Ozgur Ozel
Chama kikuu cha upinzani cha Uturuki CHP, kimemchagua tena Ozgur Ozel,kuwa kiongozi wake katika mkutano mkuu leo Jumapili huku chama hicho kikipambana na changamoto nyingi za kisheria.
Uingereza,Canada na Australia zaitambua Palestina kama Taifa
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema hatua yake inalenga kuleta amani mashariki ya kati na sio kuizawadia Hamas kama inavyodai Israel
Amnesty International imetaka Israel iwekewe vikwazo haraka iwezekanavyo
Shirika la Amnesty International limeitaka jamii ya kimataifa kuiwekea Israel vikwazo haraka iwezekanavyo kutokana na vita na mauaji ya kimbari yanayoendelea kutekelezwa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
IRGC: Iran itatoa majibu madhubuti kwa chokochoko mpya za maadui
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limewaonya maadui wa Iran hususan Israel na Marekani kwamba, watakabiliwa na majibu makali na madhubuti ya Jamhuri ya Kiislamu iwapo watafanya makosa…
Yemen: Tunao uwezo na njia za kutoa vipigo vikali kwa adui Mzayuni
Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Majeshi ya Yemen wametahadharisha kuwa nchi hiyo ya Kiarabu ina uwezo na na njia za kutoa vipigo vikai na kuumiza sana kwa adui Mzayuni…
Netanyahu aiomba US iishinikize Misri ipunguze kujiimarisha kijeshi kwenye Peninsula ya Sinai
Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameiomba serikali ya Marekani iishinikize Misri ipunguze hatua za kujizatiti kijeshi katika eneo la Peninsula ya Sinai. Hayo ni kwa…
Islamabad: Mkataba wa kiulinzi kati ya Pakistan na Saudia unafanana wa Muungano wa kijeshi wa NATO
Pakistan imesema, makubaliano ya hivi karibuni ya kiulinzi ambayo hayajawahi kushuhudiwa iliyosaini na Saudi Arabia yanalingana na yale yaliyopo katika Muungano wa kijeshi wa Magharibi wa nchi wanachama wa NATO.
Serikali ya Marekani yasitisha sensa kuhusu njaa Marekani ikiona kuwa ni ‘hatua ya kisiasa’
Ukosefu wa usalama wa chakula hautachunguzwa tena nchini Marekani, serikali ya Marekani imetangaza siku ya Jumamosi, Septemba 20, ikiona hatua hiyo kama ya “ya kisiasa zaidi”.
Uingereza na Ureno kutambua rasmi taifa la Palestina
Licha ya shinikizo kali kutoka kwa Marekani na Israel, na bila ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lenye hadhi ya juu, Uingereza na Ureno zitalitambua rasmi taifa la Palestina…
Gaza: Watu wasiopungua 14 wauawa, Israel inadai kuwalenga wanachama wa Hamas
Mashambulizi ya Israel yamegharimu maisha ya watu wasiopunguwa 14 usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi katika Jiji la Gaza, maafisa wa eneo hilo wameripoti. Israel imezidisha mashambulizi yake katika siku za…